Wajenge nyumba ya Mzee Alhapi,ongera sana kaka,kazi nzuri,nyumba ijengwe .
@dennisotieno80772 ай бұрын
Mungu akubariki sana dungu kwa kazi nzuri unayo fanya
@SabraKhalidy6 ай бұрын
Hongera Mkuu, Mungu akusimamie katk majukum yako
@mariamm27244 жыл бұрын
Mkuu wangu wa mkoa nakupenda sana kwanza unahofu ya mungu na unatenda haki,najuwa nahilo utatenda mungu akusimamie huyo mzee apate haki
@johnjacob95874 жыл бұрын
More Congratulations RC Ally Happy nakupenda Sana
@laulymo20633 жыл бұрын
Barikiwa sana 🙏 mkuu
@fatemafatema47806 ай бұрын
Mkuu wa mkowa hongera sana kutetea wanyonge mungu akubarik
@mamaliabdi23054 жыл бұрын
uko vizuri brother mungu akulinde
@happynanyaro44214 жыл бұрын
Mungu akubarik mkuu wa mkoa wa lringa
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
Mungu awabariki mmetimiza andiko alikosema Yesu nalikuwa uchi mkanivika, mmeuvika mwili wa krsto
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
Watoto wa MAGUFULI oyeeeee piga kazi kaka
@margretchai33844 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa
@linusisiyovizurikumkanamza76222 жыл бұрын
Wewe kumbe mtendajji mzuri unastaili bado kuwa mkuu wa mkoa mama Samia huyo rc hapi big up
@brunochilole71854 жыл бұрын
Nakuombea mkuu uje uwe raisi wa Tanzania kaziyako safi
@ibrahimmawazo71652 жыл бұрын
Hadi nahisi machozi yanatoka, kiama kipo na tutahukumiwa! roho mbaya sio nzuri. Allah akulipe kheri Muheshimiwa.
@karimmveyange2802 жыл бұрын
Alli Hapi nijembe bwanaa.Unaeleweka tangia Kinondoni.Mungu akuzidishie.Fanya subira. Haki haiozi.Nyota yako ilisha fahamika na inang]ara sana.
@dolnaduswege19843 жыл бұрын
Hapo hapi nakupa hongera sana kwa kufuata haki
@juliethmollel93554 жыл бұрын
mkuu wa mkoa wa iringa nimekupenda bure ,ungegombania uras ningekupa kura zangu zoe mungu akubariki
@crunkersdd45784 жыл бұрын
I liked the democracy of republic of 🇹🇿.Thanks to mr Hapi and God bless you
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
Crunkers Dd, is a kangaroo court democracy?
@bintiiddy70434 жыл бұрын
Huyo mama anaroho mbaya kama yule mchaga aliouwa mfanya kazi wake yani hawana utofauti😭
@aaminaasljbgbvf74510 ай бұрын
Wewe chekelea dada yatakutoka napuani 😢😢😢
@nayopamlimbatv13824 жыл бұрын
Pole sana mzee wangu ila mbona wamama mna sifa nzuri za huruma ila uyu mama yupo tofauti sana na wanawake au wamama wenzake duuuh wewe mama mungu anakuona kwa kweli
@teedullah57082 жыл бұрын
Wanarukana Sasa we mkuu nimekupenda bure🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@yussufbare49134 жыл бұрын
Kenya ndo Kuna unyama zaidi hii
@bintlola31275 жыл бұрын
Na avuliwe vyeo vyote mamaeeee.....sijui kwann hawavyama pinzani wakolofi...alafi hao ndo wakwanza kusema serikali mbovu...
@janerosempeta56622 жыл бұрын
Kweli kabisa maligo makomi igoo! Umwanako peiwonaga udade afwete itawulo hela nyeee! Pole sana Kaka yetu!
@yussufbare49134 жыл бұрын
Mama unakaa kudulumu lakini huyu hakimu uko mbeleyake SI mtu hivi hivi Leo una kibarua ngumu hapa ....eti kijijio ya ugurua shenzi
@yusuphyohana87384 жыл бұрын
Kweli ya Mungu mengi
@alimbarakmselem84672 жыл бұрын
Masha Allah
@georgeszigashane47102 жыл бұрын
Wewe nimuheshimiwa unastahili kwelikweli, unahekima yakuamua kero za watu, hatakama leo Samia suluhu ameshakutoa kazini, Ila tuko nyuma Yako wewe nishupavu kbs, maana wewe utamurizi magufuli Samia nibure.
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
Safi sanaaaa
@queenlovemgallah65204 жыл бұрын
Nimekupenda bule mkuu wa mkoa
@shufaavuai96903 жыл бұрын
MashaaAllah
@rowlandwilbert96256 жыл бұрын
kuanzia dakika ya 41 uyo mzee amezungumza kwa hisia sana, hao ndo wazee wakereketwa
@mariamm27244 жыл бұрын
Kweli mhehe mwenzangu huyo kanyanyasika kiasi kwamba unafikili mkimbizi kweli jaman, imeniuma sana
@ELGIUSKELAMIYE6 ай бұрын
Mkuu wa mkoa wapi jamn Yuko vzr sana
@ednamanji4 жыл бұрын
Huyu RC Ni Magufuli number 2 Msaidizi wa Wanyonge.
@midumbiojijo81263 жыл бұрын
Huyo mama anakiburi sana
@mayowangimba95532 жыл бұрын
Kuna wengine walishabarikiwa kua matapeli,hapo nguvu sio huruma,municpal haina shida,shida ni ccm na usiasa wao
@lucymacha18534 жыл бұрын
Jamani wewe mama kwanini unakuwa katili hivyo mkuu wa mkoa sukuma ndani hafai kwenye jamii
@shakilamasoud29834 жыл бұрын
Ningependa kujua hivi huyo mama alihukumiwa muda gani. Maana si kwa roho mbaya hiyo khaa
@leonardpetro14636 жыл бұрын
Nimefurahi huyu mama kukamatwa maana niliumizwa sana hila ya huyo mjinga RC Fanya kazi yako baba
@mwnaidibushuti99584 жыл бұрын
Mimi sio mtanzania LAkini nafurahia kazi ya muheshimiwa happy mungu akupe afya njema na muongo zo mwema zaidi nimekupenda kwa ajili ya Allah
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
RC WAIRINGA SHIKAMOO MITANO TENA NAKUPA KUANZIA LEO
@fediliaulomi49694 жыл бұрын
Mama ana roho mbaya mungu amlaani
@bafaqurish90184 жыл бұрын
Ally plz njoo moshi tunataka mkuu wa mkowa kama wewe asee wewe ni noma aseeee karibu moshi
@jordanyassin60384 жыл бұрын
Huyo amgeukie MUNGU aombe Toba sana
@fatoomfatoom55905 жыл бұрын
Hili sio jipu bali tambaza litumbue muheshimiwa Ally HAPPY Mungu yupo pamoja nawe
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
Kwakweli tena tambazi sugu lina mizizi
@sophsoph4740 Жыл бұрын
😂😂😂
@danypray22596 жыл бұрын
Mpaka machoz yanatoka
@hadijashabani8904 жыл бұрын
Adi nimelia jamani dah
@RossaRutasha7 ай бұрын
Tunamungoja Sabaya mama yetu mpendwa hawa ni watumishi makini sana
@susananyasani65268 ай бұрын
Haya maneno mazito kutoka kwa Wananchi yanauma lazima yaangaliwe upya
@yussufbare49134 жыл бұрын
takataka bado mnakula nguruwa basi hata mbua kuleni
@abdulazizabdillahkijaro30704 жыл бұрын
I wish we had this kind of power in kenya
@deogratiusyudatadei56582 жыл бұрын
Huyu mama alifikiria kweli juu ya huyu mkuu wa mkoa au alifuata fitina zawatu kumtumbua
@VitalisPaul10 ай бұрын
Grobal inawekaje tangazo ktk ya hutuba ya mtu, kuna wakati mnazingua bwana
@franceobert30873 жыл бұрын
Inauma
@silayostraton37782 жыл бұрын
We all
@juliethmollel93554 жыл бұрын
mama anaroo mbaya huyo cjawahi ona ,sura mbaya kama uchi wake
@susananyasani65268 ай бұрын
Maskini inauma kutofuata haki pole sana Baba na Familia yako
@dianaamon98444 жыл бұрын
Huyu mama unaweza mtia kisu aisee
@erneolumato5745 жыл бұрын
uko vizur kaka
@nahyialetomia92844 жыл бұрын
Huruma kweli
@luganojacob4 жыл бұрын
Mkuu apo upo sawa ila migambo hawahusiki
@innocentsindi9944 жыл бұрын
Dear Happ mimi si mu Tz rakini ninakupenda jinsi unavyosikia watu wako na kutatua matatizo. Mungu akubariki sana
@mwariworld65474 жыл бұрын
20:40💔💔💔💔😥😥😥😥
@khadijamasoud55213 жыл бұрын
natamani uwe rais
@antonwicki2624 жыл бұрын
Uuwi huyo mama ningeshamuuwaga zmn
@telaamtauta22274 жыл бұрын
Mungu akupe subra tu my ndugu
@munaahmed84994 жыл бұрын
Mm nalia tu kila ninapoona hii clip inaumiza huyu ni mzazi na ni binadam nina miaka 23 lkn maisha nilipitia mpk sasa nipo kam binadam inaumiza kam baba huyu anavyolalamika. Mpk sasa nipo natmikia waarabu kisa ili nije naishi kwa aman lkn huwez jua roho mbaya kam hizi ikija kunikuta mm si kufa tu jmn haaaaaaa inauma mar 10000
@munaahmed84994 жыл бұрын
Walah nimemaikiliza huyu baba nimetokwa na machozi anaelez kwa hisia na amenyanyapaliwa vby mno na kuteswa nimelia vby unavua nguo mbele ya watoto wako wa jinsia zote kwann jmn
@janethmollel63244 жыл бұрын
Duh hadi machozi
@nathalieswedy36534 жыл бұрын
I wish na mkuu wangu wa mkoa angekua km wewe
@ELGIUSKELAMIYE6 ай бұрын
Ni mkuu wa mkoa wa wapi jaman
@mariamm27244 жыл бұрын
Uyo mama shetani mkubwa ona linavoangalia
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
Huyu mama nammaindi
@frankaugustine95124 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa tulia huko ndo tunaona kalama yako achana na wenye uchu wa mdaraka
@luthntulo Жыл бұрын
Unastahili kuwa raisi.kwanini. Hukugombea uraisi njoo rujewa tunakuhitaji MUNGU akubariki mheshimiwa.
@denisrukangula22272 жыл бұрын
Wewe mama umeanza unaongea kwa ujasiri sasa unaanza kutetemeka
@georgejindwa81354 жыл бұрын
Mm ni mkenya lakini huwa napenda sana kufatilia siyasa ya Tz huwa yanipa muongozo mzuri wa kisiasa. Huyu mama anampenda huyu mzee that's way alimwambia akampe chumba kwake.
@LingxueMhume8 ай бұрын
Wakenya mna akili sana
@mwayayamashaka67082 жыл бұрын
Hata mupemba yapo sana
@mjegembishalms24613 жыл бұрын
Utawara wakizalendo sijui kama bado upo kwa bibi samia
@failunaimba97744 жыл бұрын
Hahahahaha amenaswa
@yussufbare49134 жыл бұрын
Utashugulikiwa taktak
@stumay-wx9rp3 жыл бұрын
Mama na wigi lake kama fangiyo hana hata huruma
@agnettakamugisha49846 жыл бұрын
this is WRONG! lazima kesi ifunguliwe! Hacha kunyanyasa watu😢
@leonardpetro14636 жыл бұрын
Nothing wrong we know how this woman doing.
@iddindudi96323 жыл бұрын
Iddi ndudi wa kondoa dah inauma sama ila kilaa chenyemwazo hakikos mwisho by iddi ndudi
@deogratiusyudatadei56582 жыл бұрын
Hichi kipande nimekikuta tictok nikajua huyu jamaa katumbuliwa kimakosa kumbe nikwaajili ya maslahi ya watu
@zamoyonirashidy11544 жыл бұрын
kwakweli mkuu wamkoa ilinga wanalaha mana hanajua kutenda haki na wengine wakuu wamkoa waige mfano wa Mwezao kujua matatzo ya wanachiwao
@mariamm27244 жыл бұрын
Huna jipya piga ndani
@galawesakayala8066 жыл бұрын
wewe mbunda tutakufuatiria siyo bure, na wewe ndiyo sawa na huyo delila
@jacklinejosam3713 Жыл бұрын
Wemkuu wamkoa wewe, nataka tukutoe copy jamani usambae Tanzania nzimaa
@adamkaita30096 жыл бұрын
mbunda hakuna chombo chenye lawama kama mahakama hazitendi haki sasa huoni hapo kuna chuki binafsi za kisiasa tena wote ccm.
@bintlola31275 жыл бұрын
Umeon eenhee
@sarahlydia26354 жыл бұрын
And you hear idiots saying u ve done nothing giving us yours ears till late tht they could not do
@georgeszigashane47102 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu Ally happy, wewe utakua rais tu sikumoja