Justice delayed is justice denied big up our brothers from Tanzania.🇰🇪
@miriam57355 жыл бұрын
Gonga like kama na ww una mama, maana nimewaza kama ni mama angu afande ungenibeba 😂😂
@rehemajackson80505 жыл бұрын
Hongera mh. Good job
@josephchalatv83182 жыл бұрын
Mungu akuweke hai mweshimiwa daaah hakika haki ya mnyonge haipotei wew ukiwepo 😂😂😂🙏
@theopistamganwa77525 жыл бұрын
Ally Happy Ulitumwa na Mungu kuokoa wanyonge. Mungu akutie nguvu kwa haya majukumu.
@waukweelinikkon65555 жыл бұрын
Tunakupenda muheshimiwa,Maana police hawachelewi kumpigia cm Za vitisho
@lucygk58945 жыл бұрын
Ally hapi uko vizuri sana
@mohdsalum38325 жыл бұрын
Serekali ya magufuli ni ya kutetea wanyonge
@cadzabibu98715 жыл бұрын
Wasimufanyiyevibaya
@mkwipunda20365 жыл бұрын
Brother Nampenda kwa ufuatiliaji mzuri wa mambo ila namshauri ajitahidi kuwa mpole watuhumiwa wanapojieleza awaache huru wamalize kujieleza asiwakatizekatize
@edsostephano34775 жыл бұрын
Mkwipunda
@mkwipunda20365 жыл бұрын
@@edsostephano3477 edson stephano
@stankaduma10525 жыл бұрын
Walipe hao
@kaidrisa27115 жыл бұрын
Mama kauwa kuidai polis da big up sana bama
@fatumashaban79314 жыл бұрын
Jisafishie njia kaka kesho ukagombee ubunge Iringa
@esaumpulule88875 жыл бұрын
Kazi nzuri
@boreshaafya74115 жыл бұрын
Nakupenda buree mkuu wa mkoa wa Iringa
@kassimjuma87135 жыл бұрын
Kazi ya Askari ni kazi ya Laana. maana hata Yesu. walimuwa wao.
@noonelike63825 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@imeldabamba37795 жыл бұрын
Kassim Juma ila ni kweli eti😀😀😀🏃🏃🏃
@emmanuelthomas36575 жыл бұрын
Ok vizuri mheshimiwa hii ni hapa ni kazi hapa
@princesinko40735 жыл бұрын
MLIPENI MAMA WA WATU
@alfredkillo60805 жыл бұрын
Ally happy u'r the strongest kamanda & God bless u pambana hufany kaz icyo na malipo MUNGU atakulipa
@esabelfadhili84325 жыл бұрын
Ali happy yupo vizuri kwakwel
@nyakinyaki17025 жыл бұрын
mh happ nimependa sana msimamo wako endelea kupiga kazi
@mligombuma22875 жыл бұрын
Hakuna kitu kinanikeraa kama hao wabeba mabango yaani shida walizonazo na mabango waliyobeba ni vitu viwili tofautiii mmmmmmxiiiiiiuuu kazi kweelii kweelii
@nzokirahappy73935 жыл бұрын
Uyu bwana mwisho atakua President wa Tanzania
@vinozamhone11105 жыл бұрын
Kibarua miaka yote hiyo mmezoea kudhulumu watu tu
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Vinoza Mhone ilikuwa mkataba
@shabanikidaba98565 жыл бұрын
Uko vzr Ally Happy njoo na singda uwanyosheeee
@samirhamis96955 жыл бұрын
Shabani Kidaba
@bareall39485 жыл бұрын
Hivi hata singida
@karolikisaka8991 Жыл бұрын
Siasa mpaka kwenye chombo Cha haki.Mmm tuiondoe ccm madarakani tuu
@mariamfaki11665 жыл бұрын
Alafu jamani kibarua miaka karibu miaka minane dhuluma sio nzuri
@lwagamwakalinga52765 жыл бұрын
Ni kweli huyu mama anadai anapaswa kulipwa lkn Ally Happi msikilize pia askari wako usimkatishe katishe sio njia nzuri za kutatua !
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Lwaga Mwakalinga yaani huyu mkuu anataka cfa kwa wanaanchi ngoja nae aje rais azalilisgwe hivo tuone km atafurahi
@nyamogafamily42624 жыл бұрын
Hao waongo,lazma asimame atutetee sisi wanawake❤️
@naomikakingo70705 жыл бұрын
Jamani kibarua miaka yote hiyo jaman
@Tariqxxtenations5 жыл бұрын
Rais kasema hakuna raiya wala polis akilosea mtu weka ndani😂😂
@sendeesupriydewoochiagaliy74745 жыл бұрын
Powerful Leander
@natyvan40715 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wa iringa 😘😘😘😘😘
@girbertimgaya17665 жыл бұрын
Hapa kazitu
@gipsonice7gipsonice7915 жыл бұрын
Vizuri mkuuu wa mkowa
@bakarimngazija66725 жыл бұрын
Hii nim serikali ya wanyonge ni kweli ni serikali ya kuwanyonga. Yote aliyoyanya mama alistajhiki kuwa ni muajiriwa bila ya matatizo uwajiri unaingia mtu akifanyakazi zaidi ya miezi mitatu moja kwa moja anakuwa muajiriwa. Maafisa wengi wa serikali wanakula pesa za umma kwa kutumia vyeo vyao.
@shabanihamadi65955 жыл бұрын
safi sana rc piga kaz
@shawaribakari12265 жыл бұрын
Af ww afandee huyu ni sawa sawa na mamako cyo yulee aliyee kuzaaa ndo mamako
@twilumbakabelege34265 жыл бұрын
Mweeee jamani hadi machozi yamenitoka kama mama angu vile, yote haya ili alee watoto wake, mh rais msaidie tu
@melisemasebo89315 жыл бұрын
Mungu akutangulie mkuu
@emmanuelwilliam16645 жыл бұрын
Wanyonge watapewa haki zao, kila kitu kina mwanzo na mwisho
@gracechalagwa97455 жыл бұрын
Hapi Kamwene nimekupenda bure
@festokiraryo.61075 жыл бұрын
Hapi oyeeeee
@shebbylove41455 жыл бұрын
Kamata nahao sasa au ndio eanalipa tu.....
@gracetitus99635 жыл бұрын
Hii ndiyo haki iliyokosekana kwenye serikali zilizopita. Wakati wa Nyerere Watanzania wenye shida waliweza kumushitaki hata mkuu wa polisi kwa Mkuu wa mkowa. Nyerere alikuwa akiwakumbusha viongozi wasitumie cheo ni dhamana na wasitumie vyao vyao kuwanyanyasa wananchi. Serikali zilizofuata wenye pesa na madaraka ndiyo waliokuwa wakipata haki. Udhurumaji ulikuwa mukubwa tulikuwa tunaelekea kama Kenya. Wasi wasi Watanzania , je Rais Magufuli akimaliza wakati wake atachukuwa madaraka nani? Je tutarudi kwa wapiga vifuwa wa kutuuliza unajuwa mimi ni nani?
@fatumashaban79314 жыл бұрын
Mwizi wa kwanza ni polisi,yaan hawana huruma ata kidogo mi wananikera sana walimsingizia mtu kamuibia askari kwenda mahakamani walikimba
@husseininteligence62345 жыл бұрын
Huyu anafaa mje mmpe urais tz
@hassanaloobaidan255 жыл бұрын
MKUUU UKO SAHIHI KUUULIZA HADHARANI NDIOO SAWA WATU WAMESHA NYANYASWA SAAANAAA
@huldanjiro74195 жыл бұрын
babá mmefanya Mazur mungu akubark
@josephgomalo415 жыл бұрын
Tukianza kujiheshimu na kuheshimiana.. then tunaweza tukasonga mbele..!
@margarethsaramaki11005 жыл бұрын
Safi sana Mh
@dyanatanz65745 жыл бұрын
Makonda oye🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@binurusm88865 жыл бұрын
Hapi utaongea kihehe mwaka huu, kamwene.
@dennismalima53654 жыл бұрын
Ally HAPI taifa kubwa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@naamohamed99645 жыл бұрын
Haki ipo kwa mungu duniani ubabaifu tu mana ukweli wote anaujua mungu huko hakuna kuongopa mara huyu alifanya ivi mara vile hakuna huko
@staviusbagambilana8675 жыл бұрын
jamni tuwe na huruma smzingine ni rahana tu million tu
@mohdsalum38325 жыл бұрын
Safi
@giftlwesha22135 жыл бұрын
Rc msikilize na police kwanza aongee...ukal hausaidii unaweza ukapga klle ukatoka Apo na asilipwe Ni kawaid yenu
@mussaabdiel97975 жыл бұрын
gift lwesha asipolipwa kwa mkuu c anapafaam Kwan
@ibrahimaziz71585 жыл бұрын
Mama mbona km unaonekana hujiamini unachokisema
@sudiaman85035 жыл бұрын
ally hapi rais wa iringaa
@m.mmarckus62985 жыл бұрын
Sasa jamani milioni 1 na kidogo mnashindwa kumlipa mama wa watu.hata km nikibarua lkn kazi sialikuwa anawafanyia
@mgayajofreyj97885 жыл бұрын
Vzr sana
@georgelupembe76215 жыл бұрын
.....aibu sana...!
@shedyjr32275 жыл бұрын
Ha h ha ha police bana.. Yani mnadaiwaa.. Sasa hapo msimamizi wa mashitaka atakuwa nani?
@imeldabamba37795 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀
@jovinezekiel36525 жыл бұрын
kama kweli mungu akutete
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Afya yangu sio kweli watu hamuwapendi polic huyu mama alilipwa ila kuna mtu amempampu eti hela aliyolipwa nindogo
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Afya yangu huyu mama ila huyo mama Mungu atashughulika nae maana nitapeli ameanza km wagonjwa wa temeke walitaka kumfukuzisha nesi kazi kuchunguza kumbe ni muongo wananchi wamejua wanatetewa bc Huwa wanataka kukomoa huyu mama alilipwa ila kuna mtu kampampu kwamwambia hela uliolipwa ni ndogo sana nenda ukakatae km hukulipwa
@djdj3urj885 жыл бұрын
Kina msigwa wanalalika nini wananchi wanaonewa hivi anawatetea hawapendi msigwa nitamchukia hadi kesho
@faidhamyovela1795 жыл бұрын
Kasesela bwana muone macho😂😂😂😂
@fanfrees_motors_ltd33195 жыл бұрын
Mhhhh police muna roho mbaya sana
@alistachiusalistidesmwemez19305 жыл бұрын
Good Rc
@stephenmgema22085 жыл бұрын
Hapi si usikilize kwanza.....!
@jumalojala92714 жыл бұрын
hapy nakwelew cn wew kweli unafanya kz mungu akubarik akwepushie na coron
@kasianlinus49965 жыл бұрын
Dhuluma munazofanya zinawatafuna
@godfreywebiro40585 жыл бұрын
he, huyu mwenye kijani na bango lake anajielewa kweli, pia haya mambo ya kijeshi hayatakiwa kuletwa uswahilini huku. aende kwenye ngazi husika za kijeshi hata ikiwezekana kwa IGP , jeshi la polisi halitwajwi kizembe zembe kiasi hicho na kiutendaji RC hana mamlaka ya kuiamulia polisi kufanya anachotaka yeye. RC anajitahidi sana and i appreciate that ila mipaka izingatiwe, otherwise you did superb
Mussa Joseph bara wwumeligundua hilo anataka cfa kwawananchi huyo mama alikuwa anakuja raini mwenyewe anaomba km mtu unanguo akufulie unampa hela hata huko kufua nguo kuwapikia maabusu alikuwa kibarua maana kila akija mkuu mwingine aombe maana aliemleta anakuwa ameondoka nahela walimilipa nasaizi zipo
@JohnFrancis-t5g22 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@saitotisaitoti67345 жыл бұрын
Saafiii kusaidia wamama
@jeffreymalingula14895 жыл бұрын
Hapi anajitahidi kufanya kazi
@richardmaliwanga45655 жыл бұрын
Kibarua miaka yote hiyo bila ajira ya kudumu!?
@ericbaraka24985 жыл бұрын
Naweza penda nizae mtoto ambaye atakuwa mkuu, nae akaweza kukata hukumu vizuri kama huyu mwanaume.
@mjukuumaiige85595 жыл бұрын
Watafoji sign
@goldendaisy1875 жыл бұрын
Huyu jamaa ahamie huku kwetu Kenya, mkuu wa mkoa
@vumiliabakari60504 жыл бұрын
Huyo wa kwetu dada
@gracetitus99635 жыл бұрын
Malipo kama haya yanasababisha wizi wa fedha za umma. Huyu mama angeajiliwa na Jeshi la polisi moja kwa moja kupikia warumande. Sio OCD ama RPC.’kama mtumishi wa binafsi. Polisi inatakiwa kuweka hesabu za mishahara ya waajiliwa raia kama wafanyakazi wowote serikalini. Ama sivyo waipe kazi hiyo kampuni binafsi ifanye hiyo kazi kwa mapatano na serikali. Tanzania lazima tubadilike tuende na wakati. Nampa hongera kwa hekima yake ya kusaidia wasiokuwa nacsauti na kwa ujizi wake wake wa sheria na haki. Amewataka polisi walete ushahidi. Mtu hawezi kulipwa pesa za umma bila ya kuweka kidole. Hongera serikali ya Rais Magufuli na watendaji wake.
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Ww mkuu wa mkoa ucwe upande mmoja cmama km upo upande mmoja
@allyomari6805 жыл бұрын
huyu asikal binaadamu anasema ukweli
@tanzanianaturalt.n48465 жыл бұрын
Hahahaaaaa police shuuuuuuuuuu
@mercymtunguja12525 жыл бұрын
Sijawahi kuona mkuu wa mkoa kama huyu
@charlesemmanuel94345 жыл бұрын
Hata yule sukuma ndani walimsemea hivyohivyo
@mercymtunguja12525 жыл бұрын
@@charlesemmanuel9434 kwaiyo ni kaka maigizo eee ee
@ndagabwenekusaya2235 жыл бұрын
Huo utendaj wa kz magufuli adumu miaka yote
@emmanuelndahan14215 жыл бұрын
Affisa wa jeshi la Police
@mwanajumaomahundumla65045 жыл бұрын
Iringa kumenoga ha ha ha ha
@badmanno.16505 жыл бұрын
Mama yake na amba rutty..
@imeldabamba37795 жыл бұрын
w4k1- 70wn jmn hafu wewe😀😀😀😀
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Subiri naww mkuu akujie maana unataka cfa kuwadhalilisha wenzio mbele ya umati cjapenda hatakidogo
@giftaugustine6035 жыл бұрын
Sultan Mganzira acha afanye kaz yake we ni mlund nn sio mtanzania
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Gift Augustine ckia mm nimtanzania Lkn cc watu niwabaya sana huyu mama alilipwa kapampuwa eti kalipwa hela ndogo kwakuwa wanajua wanasaidiwa naserikali hii bc mtu anatunga chochote dar manesi temeke walifukuzwa kazi kwaraia mmoja kutoa uongo Lkn baadaye hata wagonjwa waliokuwepo walieleza jinsi ilivokuwa wale wakarudishwa kazini unajua uhuru ukizidi sana watu wanataka kuwakomesha maasikari Lkn huyu mama Mungu atashugulika nae hata hiyo hela hata mfikisha popote
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Gift Augustine tena alie muajiri alikimbia hakuna Lkn hawa walichanga hela mifukoni mwao wakampa tena km huyo aliekuwa anaongea hukuwepo yy kaanza kazi 2013alikuwa shule bado Lkn alipo likuta hilo kampa alipo jikunia sasa yy anataka zayule amtafute km Alisha sitafu ustarabu angesema nashukuru hawa waliokuja wamempa kidogo
@miriam57355 жыл бұрын
Sultan Mganzira Vp mbona mapovu huna mama nn
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Miriam Hemed sasa mbona walileta alipo saini kakimbia hata ipogolo kakimbia
@sawatimustapha48675 жыл бұрын
Asanteeeee
@matitu_jr50355 жыл бұрын
huyu Ali nae vp?
@faidhamyovela1795 жыл бұрын
Safi tu
@Rashidmhedhery5 жыл бұрын
Upuuuzi huu, haya mambo sio ya hadharani, ni kutafuta sifa tu!
Ndio zenu mnapenda siri kuumbuliwa hamtaki, wasenge wabovu nyie
@salmaoman63475 жыл бұрын
Acha ufala
@mamymamiza29245 жыл бұрын
Awamu ya tano
@theresiakaruhanga95025 жыл бұрын
hapi kwanini usisikilize??? utapatataabu sana
@habibumallanga63925 жыл бұрын
Duuh
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Habibu Mallanga jamani kumbe mbona mnakuwa mnaowaona sana police
@knowledgeprofit50905 жыл бұрын
Habibu Mallanga wew na bango lako
@sultanmganzira43885 жыл бұрын
Knowledge Profit maasikari mmewaweka maadui hata jambo ambalo likowazi laki nane hajasrma mpaka polic anataja nfio anaitika Lkn anasema co zenyewe wananchi tuwe waungwana tushabikie kitu kwachuki za vyama
@badenbensoni75165 жыл бұрын
Hili jambo ni siri. Jaribu kutatua ofisini si hadharani
@mohamedisarafi53085 жыл бұрын
Siri ilikuwa, zamani saizi pasupasu
@imagepower36415 жыл бұрын
aroo kiongozi unalidhalilisha jeshi
@samateryussuf59385 жыл бұрын
waTZ wajinga tu , kwani serikali iliyopita ilikuwa ya chama gani ? jamani si ilikuwa ccm pia ?
@fathermore97725 жыл бұрын
Samater Yussuf acha usenge wewe kwaiyo kama ilikua ccm watu wasidai haki zao .....wewe ni kilaza kweli
@samateryussuf59385 жыл бұрын
@@fathermore9772 haki gani , wametawala nchi hii kwa katiba ya ccm hadi sasa , mm naleta hoja tu , TZ haina katiba toka 1964 wakati mtukufu nyerere alipoamua (waTZ usingizini) kuwa rais , na waZenj (wakiwa gizani wakaungaunishwa) enzi ya leo wadanganyika wanaikataa ccm ujue , leta katiba huru , tume huru ya uchaguzi , uone kama kutakuwa na mhimili uitwao ccm ? wala sina haja ya kukuktukana kaka
@mashakathomas93215 жыл бұрын
Samater yusuph we we ndo mjinga sio watanzania tena!!!!!!
@samateryussuf59385 жыл бұрын
@@mashakathomas9321 hahaha mapovu ya ccm , jibu swali , kwani awamu zote zilikuwa za chama gani???