No video

ISHARA 20 WEWE NI NABII MKUBWA SANA ILA BADO UMEJIFUNGIA. STUKA.

  Рет қаралды 20,899

SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY

SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY

Күн бұрын

Пікірлер: 201
@MTUMEEVPHINIASNAHEPYY
@MTUMEEVPHINIASNAHEPYY 24 күн бұрын
Amina nimekuelewa na nimepoke
@user-xx6yr1fj5r
@user-xx6yr1fj5r 10 ай бұрын
Asante sanaaa Mtumishi wa Mungu kwa kunifunulia haya yote. Mimi sikuwa ninajua kwamba nina sifa za Kinabii. Lakini kiukweli ni kwamba haya yote uliyoyasema ninayo kabisa kwa asilimia zote, na ndivyo ninavyo ishi katika maisha yangu yote. Sasa nina muomba Mungu, anisaidie ni yaishi maisha ya Kinabii ili Mungu azidi kunitumia katika maisha yangu na kwa ajili ya watu wengine hapa Duniani tuki mngojea Yesu kurudi kwa mara ya pili, kutuchukua kwenda Mbinguni katika maisha yetu ya umilele. Mungu wetu akubariki sana Nimeguswa mnoo. Amen
@estherdavidjohn-py7hh
@estherdavidjohn-py7hh 7 ай бұрын
Asante mtumishi dalili nyingi zimenigusa, mimi nampenda MUNGU sana na naichukia dhambi,nikiota kitu huwa kinatokea vile vile, huwa nina roho ya hisia mtu anaweza kuwa ananishirikisha changamoto anayopitia basi hunijia hisia naanza kumtamkia kinachomsumbua ni nini na nampa solution yake kwa kumwombea na kumpa neno la Mungu na kinaenda kutokea vilevile, Na kweli huwa ninaroho y kutonyamazia kitu kikinijia ktk hisia huwa najikaza nisiseme lkn kuna roho inanipush niseme na nikisema bdae kinathibitika kuwa Mungu alikuwa n kusudi jema kuniambia nikiseme bila kuogopa japo kinaweza kutafsirika vibaya lkn bdae sifa zinarudi kwangu, Napenda uwepo wa MUNGU, na ninapenda kubeba shida y mtu ktk kumwombea nitahakikisha namfatilia mpaka majibu yatokee, Pia huwa naweza pata hisia kichwani km mtu ananielekeza na nikiongea kinatokea vile vile hd najiogopa, Pia huwa natamkiwa kuwa mimi ni mtumishi ila cjajijua au cjapata pa kutumika kulingana na kipawa changu, mamaangu Ananiitaga nabii. MUNGU anisaidie
@josephmeleki3984
@josephmeleki3984 Ай бұрын
Apostle mungu akubariki sababu viote uliviosema hakika nimimi niko ivio
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 4 ай бұрын
Amen amen na ukionda uko kwa nyumba ndani na uko ije Ya nyumba hiyo inajekwa na mafundi
@janepherodouri3393
@janepherodouri3393 15 күн бұрын
Aki Mimi napenda manabii sana tena Mimi hukutana na manabii sana pia kuomba na kuombia wenzangu hata kama sikuwa Nimekuwa nimepanga kuombia🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌hata kwa ndoto najikuta Naomba ama naombia watu
@teresiakwambokaorangi3677
@teresiakwambokaorangi3677 10 ай бұрын
Mara nikiombea watwu wangojua nikitembea Mari akunaanga nyumba waramiti niiji kaafu kapisa pastor mungu akupariki sana the jasas nemu ♥️🙏
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 10 ай бұрын
Glory be to Jesus Christ amen 🙏🙏🙏
@agneskapenegele7754
@agneskapenegele7754 7 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, katika hizo ishara ulizotaja mimi ambazo ninazo ni kuota ndoto ,kupata ujumbe frani kabra haujatokea iwe ni mzuri au mbaya, kuumia ninapoona mtu anapitia shida na Mungu yupo,kuwa muwazi sana kwa mtu au watu kwa jambo ambalo naona halitosis sawa,napenda kuombea watu na nione matokeo ya kuomba kwangu uponyaji nk ,na huwa inatokea,kumtamkia mtu neno na ikawa kweli na mengine mengi uliyotaja kuna baadhi ya watu huniita nabii
@mwavitaseremab
@mwavitaseremab Ай бұрын
Barikiwe Sana mtumish Wa mungu
@DanieryWangao
@DanieryWangao Ай бұрын
Nishawai kuota nimeokota biblia kipindi cha Masika mashambani sjawaii tambua ndoto hii
@maureenmuhenje916
@maureenmuhenje916 10 ай бұрын
nashukuru sana Mungu kukutumikia ili nijue napotelea wapi sijui nifanye aje !!ili nitumikie hii kipower😢😢nmekaa tu bure dunian ambapo kazi ya Mungu inaningoja😢😢
@user-io1tp6nz8m
@user-io1tp6nz8m 5 ай бұрын
Barikiwa sana mutumishi wa mungu Mimi ni barikiwa sanaaaana nimejijua kweli unatumiwa na mungu wa kweli kabiza mutumishi wa mungu barikiwa sanaaaana
@maryedson8382
@maryedson8382 5 ай бұрын
Mimi huwa nachukia sana dhambi, napenda kukaa peke angu kutafakari juu ya neno la Mungu, muotaji wa ndoto zinazotokea baada ya siku chache baadae ,naamini katika kuwezekana,kuthibitisha vitu kwa nguvu, naamini katika kuwezekana na nyingine nyingi tu ulizozitaja . Mungu anitie nguvu mimi ni nabii wake .
@jenniferongwech6421
@jenniferongwech6421 4 ай бұрын
Asante sana mtumizi wa Mungu kwa mafunzo
@doreenhallai2060
@doreenhallai2060 11 ай бұрын
Mungu asante kwa ajili yako mtumishi naomba kufundishwa zaidi
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
AMEN 🙏🙏🙏
@narggdhdv765
@narggdhdv765 11 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@JamesOdhiambo-wu2pj
@JamesOdhiambo-wu2pj 9 ай бұрын
Asante, asante asante
@hidayangoda4724
@hidayangoda4724 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa ufafanuzi mzuri nimejielewa sana 🙏🙏
@angle3600
@angle3600 7 ай бұрын
Mimi,napenda kuomba na kumtaja Mungu sana,ninapenda kusaidia sana,nina huruma nyingi hata hua nateseka kwa moyo ninapoona shida za wenzangu,ikuna kipindi naeza ombea mtu na akapona,lolote litakalo tokea hata kama ni kesho nitaota,hofu kipindi chengine,sipendi ogomvi,nina hasira sana ila ni mwepesi wakusamehe,hata adui yangu niko tayar kumsaidia,nafikiria sana nikifa nitakwenda ishi vipi huko,Hakika Mungu tuongoze kwenye mema
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 7 ай бұрын
MUNGU akubariki SANA
@angle3600
@angle3600 7 ай бұрын
@@shiningstarheavenlyembassy amiin
@angle3600
@angle3600 7 ай бұрын
@@shiningstarheavenlyembassy pia wewe nawe Mungu akubariki kwa lolote utakalo fanya akutangulie na akuongoze
@BeatriceIluta
@BeatriceIluta 5 ай бұрын
Mutumishi wa mungu ubarikiwe kabisa,miye najisikia kukua Na furah maneno aya unatoka kuyasema inanifanya nijijuwe kama mie niko nani,lakini ndani ya moyo wangu nakuaka na woga,ila nasemaka ndani ya moyo mie niko mutumishi wa mungu kupitia byenye na kuaka naona ao byenye napitiaka,tatizo yangu yenye nakuaka nayo nakuaka nasema tamutumikiaje mungu,maisha ya mwili aina bien ,ila tangu nilianza kukufata nilikamata atuwa kusema kama mie uyu mwaka wa 2024 tajikaza kwenda kuma ibada,kuma fundisho,nifundishwe mbele juu maneno na matendo ivaye mwili nione kile mungu alitia ndani yangu,sijui ni seme nini kwa kweli na shukuru tu kwa yote.
@user-ob7jh3bh9s
@user-ob7jh3bh9s 2 ай бұрын
Thax man of God for the revelation
@KhadijaSaidi-bg6nc
@KhadijaSaidi-bg6nc 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi uzidi kutufindisha na kutufinua! Mimi mtumishi hapo nimeona vingi sana kwangu zaidi ya 10 Apostle,nahitaji kujifunza mengi sana kutoka kwako ili niweze kujipata Apostle naanza kugundua kitu...!
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 4 ай бұрын
+255768275795 nitafute mtu wa MUNGU
@hidayangoda4724
@hidayangoda4724 11 ай бұрын
Mtumishi yote uliyoyaelezea ni yakwangu utadhani unanujua asante sana stay blessed ❤
@user-gt2bk3dy2t
@user-gt2bk3dy2t 11 ай бұрын
Yesu ni bwana mwanangu ana zote ishirini haswa ya maombi nakutabiri na ana miaka 16 ninahitaji sana mungu amtunze awe mtumishi wakumtumikia cku zote za maisha yake
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
Mungu amuinue zaidi Kwa jina la YESU KRISTO
@user-gt2bk3dy2t
@user-gt2bk3dy2t 11 ай бұрын
Amina mtumishi
@user-gt2bk3dy2t
@user-gt2bk3dy2t 10 ай бұрын
Shalom mtumishi nisaidie tafadhali natamani kujua haya mtoto wangu anaona vision yakuonyeshwa vitu Tena katikati ya bahari juu ya mwamba anafanta maombi samaki na viumbe was baharini wakimzunguka bilakumzuru na anaonyeshwa mistari ya biblia kwenye hayo maono kaona waraka Kwa waebrania sura ya tatu mstari 1 Hadi SITA lakini kwenye ndoto isaya 60 :1 na hagai 1
@jenniferandmwakikono4960
@jenniferandmwakikono4960 11 ай бұрын
Asante sana mtu wa Mungu Mimi hizi 20 zote ninazo kabisaa nitakutafuta ila sijui unapatikana wapi .ila nampenda sana Yesu nilibatizwa 2006 na nabii Geor Davie na nilikuwa mwanamaombi ktk watu 5 kuombea ministry na kumuombea nabii lakini nilipata matatizo nikaondoka ila nipo nasali ktk kanisa la kiroho lakin ninakiu yakujenga ministry ili nimtumikie Mungu ila Leo umenipa ujasiri zaidi nimempanga kwenda Kwa nabii pia maana tangu niondoke sijawahi Rudi huko.mungu akutunze
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
Mungu akubariki SANA na akuongezee Baraka tele
@graceyamado8578
@graceyamado8578 7 ай бұрын
Mimi napenda nitabiliwe,arafu iyo yakitizama mtu unaona ugonjwa wake iyo ninayo sanaa,kingine ndoto zangu naotaga mtu ana niambia kitu "uyo mtu simuoni nasikia sauti tu"lazima icho kitu kitokee❤
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 7 ай бұрын
Anza KUMTUMIKIA MUNGU
@GodrichSamwely
@GodrichSamwely 21 күн бұрын
Amina
@DeborahNyagawa-jy5gb
@DeborahNyagawa-jy5gb 5 ай бұрын
Umesema na mimi kabisa yaani mimi ni nabii MKE Asante kwa kunifunilia siri hii ya kujua kipawa cha kinabii ameno
@janepherodouri3393
@janepherodouri3393 15 күн бұрын
Mimi kuna mtu tulikuwa kwa mazungumzo naye akinieleza maisha yake nikajaribu kumwambia aokoke iliapeene maisha yake kwa mungu ikawa ansitasita nitakuja mimi kwakuongea tu nikamwambia eti atakufa imagine huo mwaka haukuisha kabla ya yeye kufa😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢tena kuna mwingine naye ni rafiki yangu pia yeye nilimwanbia dada yake kuwa huyu rafiki atakuja kupigwa na watu miezi tu miwili alipigwa tena sikwepo bali dadayake alinipigia simu akasema ati amepigwa sawa😥😥😥😥😥😥kwanza yule mwenye alikufa iliniuma hadi naogopa kwa mbia mtu kitu kibaya😢😢😢😢
@reginamarwa8636
@reginamarwa8636 9 ай бұрын
Oooo Asante Mungu wangu.......mie naona ninazo zote.isipokua Ile ya kuota.Mungu wangu na Yesu wangu.......nimeogopa sanaaa ...dumisha kilichomo ndani yangu na ninakipokea.ninaitika kama samwel.nena bwana mtumishi wako anasikiaaaa.ninavyo viashilia karibu vyoteeeee!!!!!!
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 9 ай бұрын
MUNGU atakusaidia na CHUKUA HATUA ya Imani! Kwa jina la YESU KRISTO
@reginamarwa8636
@reginamarwa8636 9 ай бұрын
@@shiningstarheavenlyembassy Aminaaaaaaa Mungu nisaidieee
@NSIAGKWEKA
@NSIAGKWEKA 11 ай бұрын
Nakushukuru sana mtumishi wa Mungu Kwa kunifungua Akili. Nilikua nahisi tu ila sikua na hakika kilichomo ndani yangu.Mungu akubariki. Ntakutafuta Nina jumbe/na maonyo mengi sana juu ya Taifa na watu hata makanisa. Barikiwa.
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
MUNGU akubariki SANA
@monicasanca1865
@monicasanca1865 10 ай бұрын
Asante mtumishi tangu nimeanza kukufuatilia nimepata baraka na mwanga flani dhidi ya ndoto na tabia zangu, Mungu azidi kukubariki
@rhodamushumbusi7609
@rhodamushumbusi7609 7 ай бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe Sana, mi karibia sifa zote ninazo ila huwa najiuliza Sana nifanyeje sasa na Nani wa kunisaidia ili nifikie kusudi la mungu
@user-jn7vr3tb9q
@user-jn7vr3tb9q 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana, naziona nyingi kwangu, hofu ndio kikwazo kikubwa Kwa upande wangu, nahofu km nitakosea, kudanganya watu, nifanye Nini ?
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 10 ай бұрын
Fear not my friend in Jesus Christ Amen 🙏🙏🙏
@mpesastatements2265
@mpesastatements2265 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtu wa mungu
@AgnessPete
@AgnessPete 5 ай бұрын
Sharon Sharon miminiriota usingizini nikamuona mtu amevaakanzu nyeupe ndefu harafu anandevundefu nyeupe kama Sufi irayuko navitotoviwiri navyo vimevaanguo nyeupe anavirushia sarafu vinashindwakudabasivinachekavinacheza hahukunayuremtu mbereyakekunabarabar inamwanga mkari wakierekea huko sijajuwa. Maanayake emen🙏🙏
@JanetJumwa-zf7nn
@JanetJumwa-zf7nn Ай бұрын
Ameeeeen 🙏🙌🙏🙏
@JeniferIminza-ur3wj
@JeniferIminza-ur3wj 10 ай бұрын
Amen ata mm uwa najihisi niko na unabii lkn sijui venye nitaanza shida yangu ni maneno mengi alafu venye napitia maisha ngumu ndio maani uwa narudi nyuma
@RivonaNtanyinya
@RivonaNtanyinya 10 ай бұрын
Nimepata majibu,barikiwa mtumishi wa Mungu
@EdwardYusufu-ek5gy
@EdwardYusufu-ek5gy 11 ай бұрын
Ubarikiwe mwalimu nakupata sana
@user-fs1oo5mq5v
@user-fs1oo5mq5v 5 ай бұрын
Mutumishi wa mungu barikiwa kabisaa
@JoshuaPeter-es4xm
@JoshuaPeter-es4xm 9 ай бұрын
Ubarikiwe sana Aposlte Mm zote ninazo
@happynesseliezel6950
@happynesseliezel6950 11 ай бұрын
Hongera sana mtumishi wa mungu, na Mimi Niko hivo hivo naomba msaada wako
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
Zidi kusoma BIBLIA, mtumie ROHO MTAKATIFU na aza hapo ulipo kutumika
@user-qk3uw4jf7z
@user-qk3uw4jf7z 6 ай бұрын
Asante sana Mtumishi wa Mungu Kuna kitu kikubwa nimejifunza hapa leo
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 6 ай бұрын
MUNGU azidi kukufungua na KUKUPA hekima KUBWA Kwa jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏
@wakywenaky3674
@wakywenaky3674 11 ай бұрын
All of things it's me , thank God for this gift 🙏
@JanetJumwa-zf7nn
@JanetJumwa-zf7nn Ай бұрын
Ameeeeen
@moureenmosha6587
@moureenmosha6587 2 ай бұрын
Nini nifanye napoona hali kama hiyo ❤
@wekvawr9055
@wekvawr9055 10 ай бұрын
Asante. mimi huwa roho inanitangulia kuwa hiki kitu au mtu ni mbaya na napata ni kweli .tena juzi nikaota kaburi jipya la mwanamume nisiyemjua kuamkia kesho nikapata ni kweli hadi mitandaoni na kuna zingine kama kuokota kuni mm na mamangu na mimi kukwama na nikweli kabisaa lakini Mungu ananisaidia hata kama bado,,,na napenda kuwa peke yangu,kusema ukweli,upendo na nasukumwa kumutumikia Mungu pia na maombi ila mimi ni muoga.
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 10 ай бұрын
USIOGOPE! WOGA ni mlango WA SHETANI kukutesa
@everlyneimili
@everlyneimili 8 ай бұрын
wow nimebarikiwa sana pastor nashukuru.
@user-fb2so8yg6r
@user-fb2so8yg6r 11 ай бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu ubarikiwe sana na mungu aendelee kukuinua zaidi ili uweze kusaidia wana wa mungu
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 God bless YOU
@user-fb2so8yg6r
@user-fb2so8yg6r 11 ай бұрын
Usichoke kufanya haya unayoyafanya mtumishi kwa kuwa ni kwa njia hii wengi wetu tumepata kujielewa kwa kuwa yote hayo uliyoyasema kwa mfano ni ya kwangu ila huwa naogopa nikijiuliza ikiwa kama kwa kweli mungu ameniita nimtimikie kwa njia hii?Kwa kuwa tumekua katikati ya watumishi na wengine huwa hawatuambii,,,,🙏🙏
@chrisdewill6485
@chrisdewill6485 3 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Bwana.Naomba unifundishe nifanye nini ili hii karama iweze kudhihirika.
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 3 ай бұрын
Tuna vitabu na mafunzo maalumu nitafute Whatsapp + 255768275795
@DeborahNyagawa-jy5gb
@DeborahNyagawa-jy5gb Ай бұрын
Safi😂😂​@@shiningstarheavenlyembassy
@appsplay4324
@appsplay4324 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@NyongesaNdege-xt8ip
@NyongesaNdege-xt8ip 4 ай бұрын
Napenda kutapiri mtoto aliye dumboni Kama ni .mufulana na akisaliwa anakuasichana
@teresiakwambokaorangi3677
@teresiakwambokaorangi3677 10 ай бұрын
ndoodo pia kushidia watu pia wantonto pia Kashi ya. Mungu kanisani watwumishi wamungu naota nikipuruka juu yahanga namuntinto watogo emeni the jasas nemu 🙏
@user-ir5ex1qo3f
@user-ir5ex1qo3f 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@monicacastory1626
@monicacastory1626 2 ай бұрын
Sharom mtumishi wa Mungu,mm ninazo zote isipokuwa ya utambuzu ndiyo cna
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 2 ай бұрын
YESU KRISTO akutumie Kwa jina la YESU KRISTO AMEN
@user-tf1il1hg3l
@user-tf1il1hg3l 3 ай бұрын
Asante hizizote na sikiakama nyingine katiya azo zinani fikia ila sijifahamu kwani sijajua namuna ya kizitumikisha alafu sijui ni fanye Nini mimi Nina majukumu inayo husiana na mamboya kiroho ila naishiakwanjia Yani hazitimiye wazi asante kua kio kwangu je nifanye Nini
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 3 ай бұрын
+255768275795 nitumie sms Whatsapp nkushauli Cha kufanya
@user-rn6zu1ik4c
@user-rn6zu1ik4c 9 ай бұрын
Mimi mara mingi hupenda kuomba sana,Kila mara nikipatana na changa moto hua natumia neno Kwa Imani nitashinda,Kuna wakati hua naonyeshwa mambo Kwa ndoto na baadaye nakuja kuziona adharani.. please naomba uniombee tu kama Mungu ameniitan ameniita
@stanleyjohn1361
@stanleyjohn1361 11 ай бұрын
Mungu ni mwema
@irenemoseti4584
@irenemoseti4584 8 ай бұрын
Namshukuru sana pastor maana nimejifaamu Sasa.
@GodrichSamwely
@GodrichSamwely 21 күн бұрын
Amina
@BellyKepher-jq7ef
@BellyKepher-jq7ef 11 ай бұрын
Amina Mtumishi wa Mungu, mimi nina kipawa hicho ila nina vita vikali sana
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
Ni kawaida kwani Kila penye MAONO ni LAZIMA pawepo muuaji
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
Endelea kupambana
@EmmanuelSanare-bc7si
@EmmanuelSanare-bc7si 11 ай бұрын
Amina🙏💪
@humblemercyy
@humblemercyy 7 ай бұрын
Hapo kwa ishara ya 5 ❤️❤️ni ukweli yaani ninajua kabsa Huyu mtu Anafikiria hivi na ndo hivo inakuwa ukweli ❤🙏🙏🙏Mungu nifungue Macho
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 7 ай бұрын
Kuna vitabu vya kinabii na na ma ya kufanya! +255768275795
@ChichiSekiko-go1lm
@ChichiSekiko-go1lm 8 ай бұрын
Aamin mchungaji nahisi hata mimi ninachembe chembe za unabii.
@EliaMvungi
@EliaMvungi 4 ай бұрын
Na Mimi nasikiaga Sana watu wanachowaza Ila naogopa kusema pia nasikiaga sauti ya mung ikinisemesha pia naupendo na nachukia dhambi pia ukwel ninaoujua si rahix mtumish kunipotosha pia napendag kujtenga na nishawahi kukaa peke yangu kama mwaka nikiomba peke Yang Ila nilivojichangany kuomba na wezangu roho ya kuomba ikapungua pia nishawahi kufunga siku tatu kavu
@musokedios8162
@musokedios8162 11 ай бұрын
Naomba no yako mtu wa Mungu
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
0768275795
@humblemercyy
@humblemercyy 7 ай бұрын
Mtumishi 🙏Nko na hiyo roho kitu inachotaka kutokea na limetokea nakuwa na ile roho inaniskuma kuomba
@esthermasudy8415
@esthermasudy8415 11 ай бұрын
Shalom Mtumishi wa Mungu. Mimi ninazo hizo ishara, namshukuru Mungu ninatumika kuwaombea wenye shida mbali mbali
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
MUNGU akubariki SANA Amen 🙏🙏🙏
@esthermasudy8415
@esthermasudy8415 11 ай бұрын
Ameen
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 8 ай бұрын
Kwa kweli ninazo hizo dalili zaidi ya 15 nifanye nini na naupenda unabii .asante sana. Ingalau niko ktk hofu kipindi hiki lakini umeziondoa mungu ashukuriwe na ubarikiwe
@irenenanjala3242
@irenenanjala3242 10 ай бұрын
Nakumbuka nkiwa na mimba ya mtoto wangu 2021 my sister alikua ameoleka mwanaume fulani akamdanganya nikamwambia usioleke kwa uyo mwanaume baki kwa mzee yako maanake mtasumbuana hakunisikiza baada ya miaka miwili kujifungua aliniambia my sister kweli uliniambia still io ndoa ako tu but aina amani ni maombi tu
@athumanmagomba5930
@athumanmagomba5930 11 ай бұрын
Nisaidie nifanyeje Ili kulifanyia kaz ufalme wa mbinguni ume karibia amina
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
Zidi kuomba, KUFUNGA na kujitakada
@athumanmagomba5930
@athumanmagomba5930 11 ай бұрын
Amina
@athumanmagomba5930
@athumanmagomba5930 11 ай бұрын
Amina
@user-jw8ex6hd5m
@user-jw8ex6hd5m 11 ай бұрын
Shalomu mtumishi Mara nyingi nikiota ndoto lazima itimie sijajua Nina kipawa gani
@maureen2151
@maureen2151 10 ай бұрын
Barikiwa sana pastor,,
@AziziMapunda-vt4nv
@AziziMapunda-vt4nv 9 ай бұрын
Nashukulu kwaahana Mimi nikoivyo asante
@user-of1ec3yd3p
@user-of1ec3yd3p 9 ай бұрын
Nashukuru kwa ujumbe mzuri❤❤
@user-sq2zk9lu4z
@user-sq2zk9lu4z 2 ай бұрын
😊
@user-bo2il2ub1f
@user-bo2il2ub1f 8 ай бұрын
Amen God bless you
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 8 ай бұрын
MMMMM. MHUU YOTE 20 ULIYOYASEMA NINAYO NI HATARI MNOO UMEMIGUSAA MTUMISHI WA MUNGU
@user-bz8xx3hy1r
@user-bz8xx3hy1r 7 ай бұрын
Nimewai kuota ninatembea na mchungaji juu ya maji na nilishawai kuota mtu simuoni sura ananiambia nitoe pepo akaniita Simon petro ma alikuwa amejifunga kiuno chake kwa kitu kama kamba
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 7 ай бұрын
Kipawa Cha uponyaji na UTUMISHI WA MUNGU. Anza kusoma zaidi
@MarthaTosh
@MarthaTosh Ай бұрын
Anza
@israelmlabwa9783
@israelmlabwa9783 10 ай бұрын
MUNGU akubariki
@Inah4579
@Inah4579 11 ай бұрын
Nakumbuka mara ya Kwanza nilikua darasa la tano sijui chochote kuhusu uzazi,ila nilimuona mdada mmoja mjamzito amepita maeneo ya nyumbani nilimfata na nikamwangalia saana kisha nikamwambia siku ya leo haitoisha na utampata mtoto wa kiume ,alikua Yuko na ndugu yake ..siku iliyofuata nduguye alikuja nyumbani kunitafuta na hakunikuta Kwan nilikua Niko shule,Ila alimkuta Mama yangu na kumweleza kilicho tokea juu ya nduguye kua ni kweli kampata mtoto wa kiume usiku ule..Nilipotoka shule Mama alinieleza habari Ile kweli nilifurahi lkn Mama akanikataza nisiwe nawaambia watu juu ya ninachokihisi au kukiskia moyoni kwasababu naweza kushikwa uchawiii😂😂
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 11 ай бұрын
Endelea KUMWOMBA ROHO MTAKATIFU AKUSAIDIE. MANABII bado WAPO kibao TU. Na WEWE UNAWEZA kuwa usikate TAMAA ya kufanya KAZI ya Mungu
@user-tm2os7ex8e
@user-tm2os7ex8e 9 ай бұрын
Asante kwa ufafanuz mzur mm kalibia zote ninazo asante maana nimetambua kipawa changu.
@DeborahNyagawa-jy5gb
@DeborahNyagawa-jy5gb 5 ай бұрын
😂
@aggiekenya
@aggiekenya 7 ай бұрын
Napenda vitu mingi sana hapo definitely mimi ni nambii..how to activate nataka kumfanyia mungu kazi kabisa
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 7 ай бұрын
Anzia pale ulipo
@ChristinaSamweli-le9cz
@ChristinaSamweli-le9cz 3 ай бұрын
Christina samweli asante Kwa kunijilisha izi hishara ninazo
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 6 ай бұрын
Yaani Kila Wakati napenda kukaa peke yangu Ili kuongea na MUNGU,pia namchukia Dhambi sana
@user-tm2os7ex8e
@user-tm2os7ex8e 9 ай бұрын
🎉
@josuemalega-ec7pj
@josuemalega-ec7pj 11 ай бұрын
❤❤asante ubarikiwe
@Emmahmwende-bo6zc
@Emmahmwende-bo6zc 10 ай бұрын
Jesus Christ is lord
@ChristinaSamweli-le9cz
@ChristinaSamweli-le9cz 3 ай бұрын
Yani Mimi Toka niko mdogo nikisema kitu Huwa kinatokea halafu napenda sana kukaa pekeyangu Huwa najiulizaga Mimi mwenyewe moyoni mwangu sipati jibu mana sinaga rafiki
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 6 ай бұрын
Nipe no.yako ya sim Apostle, Nimefurahi zaidi Kwa somo hili
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 6 ай бұрын
+255768275795
@josephmeleki3984
@josephmeleki3984 6 ай бұрын
Nikweli kuna wakati nakua nanguvu alafu wakatimwingine nakua na ofu ninapo taja jina la yesu ofu inaisha.
@user-ce2en8bz4w
@user-ce2en8bz4w 8 ай бұрын
Mimi nimepata 11,jee mpakwa mafuta wa Mungu nifanye nini ilikipawa hiko kifanye kazi
@DeborahDeecassama
@DeborahDeecassama 4 ай бұрын
Mtumishi nimesikiliza Sijui Kwanini nimelia 😭😭
@cecilianjeri5490
@cecilianjeri5490 3 ай бұрын
Sante kwamafudusho niko ivo kalimbu zote
@EdithaMyenzi
@EdithaMyenzi 11 ай бұрын
Bwana asifiwe Mtumishi wa MUNGU ALIE HAI mimi nimesikiliza yote ulio sema ninayo ila huwa sielewi kuwa mimi ni nani
@lucywamaitha4088
@lucywamaitha4088 8 ай бұрын
Hii mafunzo yote nimeishika na hii mabo yote Niko nayo .kunjikaisha peke yangu ni sana mtumishi na pia kukasirika sana Kwa neno la mungu likiharibiwa maono ndoto ninazo na kulia sana kwa kazi ya Mungu.lakini sijaelewe nimejua Leo ni unabii
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 8 ай бұрын
Usikate TAMAA, unaweza kuwa CHOCHOTE DUNIANI KIRAHISI MNO-Kwa jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es 6 ай бұрын
Uwezo wng wa kunusa upo juu sana,naweza kusikia harufu nzuri au mbaya hata kama IPO mkoa mwingine, pia naweza Kupambanua sauti Kwa kiwango Cha juu sana, mtu akiongea hata Neno zuri, Lkn kama Nia yake ni mbaya, Huwa namchukia tu,pia naweza kuona Vitu ktk sura za Watu, hii ni ajabu
@ashnaom2270
@ashnaom2270 10 ай бұрын
Mimi najisikia kuomba tu ila kunawakat ata nikitaka kuomba mdomo unakua mzito, pia ninajikuta nimeongea kitu kina kua kweli, mpaka najisikia vibaya kwann nimeongea, pia naweza ona mtu nika mwambia jambo likawa kwel mfano nika mtania ila nikwel na laaibu, kuna wakati staki niongee ila najikuta nimeongea , kingine naweza kukaa zangu tu nikajikuta kausingiz flan dk chache mno nikaona jambo kama naota ila huo usingiz niwatofaut nakitandan naona mpaka naogopa, ila nikiona kinakua kweli kabisa, kingine saut nasikia napata taarifa ndani yangu mabishano saut mbil nisha uliza sana natatizo gan, nishaombewa hakiachi,
@dorismasakia9839
@dorismasakia9839 11 ай бұрын
👏
@janengaga2928
@janengaga2928 4 ай бұрын
Nichukue hatua gani mtumishi kipawa hiki kiinuke sana.
@elizabethkivuruga5351
@elizabethkivuruga5351 10 ай бұрын
Mtumishi mm nikilala hasa mchana naota kila kitu kinachoendelea ktk vyote vinavyoendelea.pia naweza kujua kitu kilicho ndani yake nguvu inayomdrive.
@donaldmpagaze9803
@donaldmpagaze9803 2 ай бұрын
Ktk vitu 20 ulivovitaja na kuvitafsiri mimi vingi ninavyo nivichocheeje maana kutokana na maisha ninayoyapitia najikuta nimekata tamaa na ninakuwa kam nazira kwakuwa ninatendwa na wale ambao sikutegemea kuwa wangenifanyia hivo hivyo ninapoteza mambo fulani kiroho
@MejumaaMwaka
@MejumaaMwaka 4 ай бұрын
Zote umesema Mim Niko Ivo
@okoambwaga6365
@okoambwaga6365 9 ай бұрын
Du!jaman mm hayoyote yanatokea nikisema inakuwa napia niliota naongea na ndege na waelewa wanacho ongea napia niliwahi kuota ninaonyeshwa watu wanateswa na wachawi nami nilisimama miguu yangu ikawa haikanyagi chin nikaita moto namoto ukatokea ukawaunguza wale wachawi wakawa majivu na watu wakawa huru wakawa wanashangilia jamani sijui hata lakufanya
@nzambimanaprosper5150
@nzambimanaprosper5150 11 ай бұрын
Aksante mtumishi. Sasa nifanye je ?? Ili kuendeleza karama hii .
ISHARA 5 WEWE NI MWONAJI NA NABII MKUBWA ISHARA HIZI ZITAWATOKEA WATU 10 KATI YA 1000 #2024.
13:10
NDOTO HIZI '3' NI HATARI SANA!!
4:07
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 366 М.
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 22 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,6 МЛН
UKIONA HAYA 8 JUA UNA ROHO MTAKATIFU WA MUNGU AMEKUZINGIRA PANDE ZOTE. USIOGOPE.
13:41
SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY
Рет қаралды 150 М.
HIZI HAPA KANUNI ZA KUSOMA NA KUIELEWA BIBLIA
31:06
Mwalusambo International Ministry
Рет қаралды 7 М.
KINACHOKUPATA NI KILE ALICHOSEMA MUNGU
34:35
mpoki jafari
Рет қаралды 9
Ukiona mtu anakufanyia haya 7 jua wewe unamoto wa ROHO MTAKATIFU KUPITILIZA
8:14
SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY
Рет қаралды 14 М.
Ukiota umeokota hela, unanyeshewa mvua hii ndio maana yake
10:11
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 13 М.
USIPO SALI KWA KUFUATA MASAA HAYA 8 KIROHO SAHAU KABISA KUWA NYOTA NA MTU MKUU HAPA DUNIANI.
15:08
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 22 МЛН