UKIONA HAYA 8 JUA UNA ROHO MTAKATIFU WA MUNGU AMEKUZINGIRA PANDE ZOTE. USIOGOPE.

  Рет қаралды 155,305

SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY

SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY

Күн бұрын

Пікірлер: 228
@liliankitundu
@liliankitundu 8 ай бұрын
Nimebarikiwa na neno la Mungu kupitia ww mtumishi wake...Barikiwa sana
@HamadiJuma-o1x
@HamadiJuma-o1x Жыл бұрын
Karibu roho mtakatifu unifundishe unisafishe unifinyange upya niweze kuuona ufslme wa mungu naskia kulia na maisha yangu niliyo endelea kuish hapa duniani
@JacklineGasper-s1b
@JacklineGasper-s1b 19 күн бұрын
Napokea maono yangu Kwa jina la yesu kristo alie ai
@naninana13346
@naninana13346 10 ай бұрын
Yes, ayo yote yako ndani mwangu liameza kama vidonge; thank you God na kwako pia man-of-God. Ila kuna ambalo ukutaja kila napomtizama mlemavu mzee mgonjwa mtu yeyote mwenye kuonekana na hali ya ukosefu asa-asa kwa watoto aimanishi yatima si yatima mjane si mjane kijana si kijana, nikikutana na watu kamaao uanaguswa kiroho na chozi litatoka na hapo-apo lazima niachie kitu chochote hela chakula nini. Kwaufupi aya yalisababisha kila mwaka natoa shukrani kwa Mungu kusaidia watu kamao pamoja na familia yangu. Sa watu usema ninanguvu kubwa sana ya roho mtakatifu wa upendo eti wakati nipo kwenye shida eti Mungu hakawii kunisaidia; nikweli mana mesha chunguza i than God for being that way
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy 10 ай бұрын
God 🙏🙏🙏 bless YOU
@ElpidiusAlphonce
@ElpidiusAlphonce 9 ай бұрын
Namshukru Mungu kwakutuuisha na roho za uovu na naomba azidi kutuuisha na mabaya milele Amen
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
Napokea haya mambo haya yote nane ndani mwangu katika jina la yesu Christ wa Nazareth 24/7 forever. Amen *21.
@ElmarKache
@ElmarKache Жыл бұрын
Asante Johova Kwa kunipa huu ufahamu Ameeeeeeen
@AnnNyambura-rg2ks
@AnnNyambura-rg2ks 11 ай бұрын
Praise God hata mimi.nataka .RoHo mtakatifu
@سيسيلبونيد
@سيسيلبونيد Жыл бұрын
Amen 🙏 nakuomba mungu unip nguv
@philisiamwashalo4364
@philisiamwashalo4364 9 ай бұрын
Amen mtumishi Mungu akubarki kwa fafanuzi hizi.nn maana ya ndoto hii m huota Yesu amerudi bt naachwa nyumba akinyakua ulimwengu
@rachealsidi587
@rachealsidi587 Жыл бұрын
Nashukuru sana mtumishi aki nashukuru kwa kuwanina roho wamungu ndani yangu
@sedekiabilijite5516
@sedekiabilijite5516 Жыл бұрын
Nilikuwa Sijiamini kumbe nina Roho Mtakatifu , Naomba Toba kutojiamini😢😢😢😢 Yesu nisamehe , niongoze zaidi niishi maisha matakatifu ya kukupendeza wewe unipe hatima njema mimi na familia yangu yote, Asante mtumishi kwa kunisaidia ktk hili , zaidi naomba maombi yako nidumu ktk imani hii, Ila kuna ndoto 2 zimenisumbua zaidi ya miaka 5 zinanisumbua sijui maana yake
@ResparGirbert
@ResparGirbert 5 ай бұрын
Amen barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho ya nguvu 🙏🙏
@irinenanciebarasa5566
@irinenanciebarasa5566 Жыл бұрын
Yes ..........ooooh kabisa BABA Amen Amen Amen yote Niko hapo BABA nakuomba MUNGU uniogezea nguvu unipe mahali pa kusifu yes nikiota ndoto BABA kweli mchana naona hiyo...ndoto hifanyike lakini Niko na madui wengi..........lakini mm nawapenda Sana wengine ni ndugu yangu ooooh MUNGU nipe nguvu ya kusimama na kazi yako oooooh nasikia kulia😭😭😭🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️
@keziaakaliche4802
@keziaakaliche4802 Жыл бұрын
Amina mutumishi WA mungu,Mimi husikia kukaa pahali pametulia na kulisoma nakulielewa na kulifanyisha kazi maishani mwangu Asante nimejia Sasa ROHO mtakatifu humo ndani yangu barikiwa.
@bettymariga
@bettymariga Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah
@JacklineOmoga
@JacklineOmoga 2 ай бұрын
Wow nimebarikiwa Sana
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Жыл бұрын
Nimejifunza jambo la msingi sana katika maisha na safari yangu ya kwenda mbinguni ❤❤
@dianaoyengo2758
@dianaoyengo2758 7 ай бұрын
Amen
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
I receive this teaching *21 in Jesus Christ name.
@yungeelias9339
@yungeelias9339 Жыл бұрын
Napokea. Na iwe hivyo kwangu kwa jina la Yesu Kristo AMEEN
@km_soundstudio8029
@km_soundstudio8029 11 ай бұрын
Hallelujah
@HappyBureta
@HappyBureta Ай бұрын
Karibu roho mtakatifu karibu ndani yng unifundishe uniongoze
@sekikigosi8265
@sekikigosi8265 20 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu.🎉
@monicahango4745
@monicahango4745 Жыл бұрын
Mshiukuru Mungu kwa jilo
@JohnMargwe-g3f
@JohnMargwe-g3f Жыл бұрын
Unity is power and different is fades be together forever
@Tusajigwekiblaga
@Tusajigwekiblaga Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Mungu azidi kukukaa ndani yangu
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
Amen hallelujah Holyspirit is our helper.
@JaneKatambachi
@JaneKatambachi 2 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu asante Kwa mafunzo mazuri barikiwa
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 Жыл бұрын
Amina mtumishi hi nguvu ya kutawala hakika ninayo mpaka muda mwingine najua nisipokuwepo kwenye ofisini ,au kikao fulani basi mambo yataenda tofauti hivo nalazimika kuwepo...hakika namtukuza MUNGU 🙏
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Жыл бұрын
Mungu azidi KUKUINUA zaidi Amen 🙏🙏🙏
@ErickMallya-wj4fj
@ErickMallya-wj4fj Жыл бұрын
Ameni
@JumaMasanja-zd6wu
@JumaMasanja-zd6wu 5 ай бұрын
Amina mtumishi mungo akutie nguvu
@HansIgna-l3y
@HansIgna-l3y Жыл бұрын
Amen kubwa mtumishi.
@Roze-so4he
@Roze-so4he 11 ай бұрын
Ameeen
@MariamOmary-r4q
@MariamOmary-r4q Жыл бұрын
Amina
@HanaMangula
@HanaMangula Жыл бұрын
Ameni ubarikiwe
@julianamliga5264
@julianamliga5264 Жыл бұрын
Ameen! Ahsante Mtumishi wa Mungu.
@atuganilekajumba-hz3sl
@atuganilekajumba-hz3sl Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@nungariesther5553
@nungariesther5553 Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏🏽 nakubaliana n mafundisho yko sna MUNGU akubari n akupe hekima zaidi y kufunza wanawa MUNGU 🙌🙌
@vickyedward
@vickyedward Жыл бұрын
Amen nimekuelewa
@farajaflorence1690
@farajaflorence1690 Жыл бұрын
Aminaaaaa
@aliaaliamint8545
@aliaaliamint8545 Жыл бұрын
Amen, Ubarikiwe mtumishi kwa ujumbe mzuri naomba Mungu aniwezeshe kulinda Roho azidi kunifundisha na kunionya
@haluwahavla9740
@haluwahavla9740 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 amen 🙏🙏🙏 barikiwa xna mtumishi wa mungu kwa neno zuri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@evilahmponzi2768
@evilahmponzi2768 Жыл бұрын
Roho Mtakatifu nakuhitaji sana usiondoke maishani mwangu Natambua uwepo wako na nakuthamini sana
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Namushukuru mwenyezi MUNGU sana kwa kunipa roho mutakatifu mimi mnyonge sababu nikifika kwa familia fulani nikikuta wame ishi n'a tabia ya uvivu ao tabia mbaya yoyote uwepo wangu unawabadilisha labda mutu anaweza jiuliza ni familia gani naendeaga? Sisi ni wa fanya kazi kwenye nyumba mbali mbali nimeisha tembelea nyumba 11 kwakuwafanyia kazi ila chakushangaza najikuta mabossi n'a wanafamilia wana nipa heshima sana n'a wana hofu ya heshima kwangu kwa hiyo namushukuru sana MUNGU kwa kunipa neema hiyi
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Жыл бұрын
Mungu azidi KUKUPA KIBALI zaidi Kwa JINA la YESU KRISTO
@rosechao8101
@rosechao8101 Жыл бұрын
Amen
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ata Mimi jolemes nashangaaga sehem yeyote ata kwa mabosi zangu napewagwa heshima paka wenzangu wanashangaaga ata tulivyoendaga fild wenzangu wote walipangiwa kudabo kazin kasoro Mimi peke yangu paka wenzangu wakashangaa na tulienda watatu lakin Mimi sikupewa kudabo
@ntumbagiselle8285
@ntumbagiselle8285 7 ай бұрын
Alléluia
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl Жыл бұрын
Amen!!!mungu awe nami daima kwan Mungu nahis yupo pamoja nami ,kwan hiki kitu kimenitokea nipo naomba kitu mungu anitendehe nikajikuta kama kuna mtu ananisemesh kuwa nimepata yn kuna nguvu ilikuwa inanijia ,kwahyo naamin naenda kupokea kwa jina la yesu🙏🙏🙏🙏
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Жыл бұрын
YESU KRISTO AKUSAIDIE Amen 🙏🙏🙏
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl Жыл бұрын
@@shiningstarheavenlyembassy .Amen🙏🙏
@magrethqamunga6052
@magrethqamunga6052 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@veronicamokiwa4315
@veronicamokiwa4315 Жыл бұрын
Ameeen na asante
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 3 ай бұрын
Asante sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
Amen *21 to this teachings in Jesus Christ name.
@NOELNASIMIYU-k8z
@NOELNASIMIYU-k8z Жыл бұрын
Niombee mungu anipe roho mtakatifu
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Aamen kubwa barikiwa sana mtumishi wa kristo,ndo once nakutana na mafundisho yako,yamenigusa sana sana sana Roho Mtakatifu anisaidie niishi kwa jinsi anavyoniongoza,na nidumu ktk neno na maombi,
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI Sana 🙏🙏🙏
@elizabethoigoro1937
@elizabethoigoro1937 Жыл бұрын
Amen Amen Amen napokea in Jesus name
@DebbyDeibz
@DebbyDeibz Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 let the WIIL of GOD be done
@mabrighton
@mabrighton 11 ай бұрын
Amen man of God
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu
@IvonneAlice
@IvonneAlice Жыл бұрын
Amena 🙌🙌🙌 amena 🙌🙌🙌 amena 🙌🙌🙌
@SolomonSakare
@SolomonSakare 2 ай бұрын
I need prayer from you
@Gaynor1234
@Gaynor1234 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Asante kwa Neno.
@silasnatir7915
@silasnatir7915 Жыл бұрын
Amen ninawesa mambo yote katika yeye anitiae nguvu
@florencekioko7501
@florencekioko7501 11 ай бұрын
May God grant me all of these. Holy spirit lead me in all ways
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@reginajoel3785
@reginajoel3785 Жыл бұрын
Baba,mimi kuna hali unitokea,matendo utokea ama ni ninayatenda mimi,au wengine uwa kwa haraka sana,nashtuka maana nakuwa nimeshawai kuyaona na kuyetenda ki ufupi yanajiludia,,kwa mfano kuna mahali niliishi iyo ikatokea nikasema mbona hii nyumba nimeshawai iona na hawa watu wa humu nimeshawaona,,Pastor naomba uniasidie kufahamu maana ya hii
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Жыл бұрын
Kuna NDOTO za fikra kurejelea jambo na NDOTO za mungu. Muda mwingine ni ubongo unarejerea kile ulichowahi kuona
@pakasisalimu2636
@pakasisalimu2636 Жыл бұрын
Amen Mungu anisaidie maono
@bensimon7330
@bensimon7330 Жыл бұрын
God bless you
@FlorenceMutonyi
@FlorenceMutonyi Жыл бұрын
Amen amen amen 🙏🙏
@PascasieNiyongabo-ip8sx
@PascasieNiyongabo-ip8sx Жыл бұрын
Santé mutmishi wa Mungu
@paulmwangi294
@paulmwangi294 Жыл бұрын
Amen. Be blessed servant of Jehovah.
@franciscakambe1419
@franciscakambe1419 Жыл бұрын
Nakuomba ewe roho mtakatifu unijaze kila ninapiwaza kunena na kutenda.katika jina la yesu.
@veronikambwillo1276
@veronikambwillo1276 Жыл бұрын
Amen
@sylviamusumba1235
@sylviamusumba1235 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 nimebarikiwa sana
@rosemwanyalo5693
@rosemwanyalo5693 Жыл бұрын
Amen and amen..
@Juliana-vn6so
@Juliana-vn6so Жыл бұрын
Ameen
@leahtheo3922
@leahtheo3922 Жыл бұрын
Amen, nakuomba Roho mtakatifu ukae ndani yangu, naomba mwanga wako maishani mwangu niishi kwa kukutumikia wewe🙏🙏
@musajoseeh5372
@musajoseeh5372 Жыл бұрын
Amen Mungu akubariki sana Mtumishi 🙏🏼
@UpendoMathayo-mt7wk
@UpendoMathayo-mt7wk Жыл бұрын
Ameen 🙏 Asante kwa neno nmepata ujasiri
@Happylwiva
@Happylwiva Жыл бұрын
Ameeen mtumishi
@jmeliasshanelle4303
@jmeliasshanelle4303 Жыл бұрын
Shukran kwa maelezeo mazuri. Siku hizi naota ndoto ambazo zinakaa ni Yale mambo italayo tokea future
@OctaviaChari
@OctaviaChari Жыл бұрын
Amen 😂😂mtumishi niombee niwe na hiyo nguvu zaidi
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Жыл бұрын
Mungu atakutiw NGUVU zaidi Kwa jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏
@janetnyanchera1252
@janetnyanchera1252 10 ай бұрын
GLORY be to God🙌🙏
@mirakeniya1712
@mirakeniya1712 Жыл бұрын
Amen.. nimepata kujijua sehemu nilioko, na katika haya mambo 8 nimepata nguvu za rohoni na kutambua roho mtakatmifu
@ruthmshereja3976
@ruthmshereja3976 Жыл бұрын
Nimebarikiwa Kwa mafundisho haya mtumishi wa Mungu
@shiningstarheavenlyembassy
@shiningstarheavenlyembassy Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Mungu akubariki SANA
@tabithakawira7844
@tabithakawira7844 Жыл бұрын
Thanks for your teaching
@kamenemulu8561
@kamenemulu8561 Жыл бұрын
Ohoo lord holy spirit locate me to dy i want to sarve you lord
@roseyanko1838
@roseyanko1838 Ай бұрын
Amen 🙏 🙏
@AsiaH-jf5fo
@AsiaH-jf5fo Жыл бұрын
Ubarkiwe sana
@RebeccaAkiruLokui
@RebeccaAkiruLokui Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 mchungaji mwema kwa kunijulisha hayo.
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 Жыл бұрын
Ameeni 🙏🙌 barikiwa mtumishiwa Mungu Asante kwa somo hili...
@vymauavy5661
@vymauavy5661 10 ай бұрын
Hii ni Siri kubwa hakika.
@naomiwanjema3133
@naomiwanjema3133 Жыл бұрын
AMEN
@Christina-dz7ff
@Christina-dz7ff 3 ай бұрын
Aminaa 🙏🙏
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Жыл бұрын
Ahsante Yesu❤❤❤❤
@gracekivolwe3037
@gracekivolwe3037 Жыл бұрын
Asanti sana ubarikiwe
@Qwoxedits.
@Qwoxedits. Жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe saaaana
@SuraiyaMsangi
@SuraiyaMsangi Жыл бұрын
Napokea katika jina la Yesu 🥰🙏😍😘
@ShipolaJohari
@ShipolaJohari Жыл бұрын
Amen
@esthermbete9932
@esthermbete9932 Жыл бұрын
Ameeen pastor. Asante kwa mafundisho manzuri sana barikiwa
@slamafamily5720
@slamafamily5720 Жыл бұрын
Pastor barikiwa sana
@EstarMachenge
@EstarMachenge Жыл бұрын
Amina sana
@marybosy
@marybosy Жыл бұрын
Amen asantii Sana mtumish 🙏🙏
@fayjeff3651
@fayjeff3651 Жыл бұрын
Amen Be blessed man of God
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 878 М.
UTAJIJUAJE KUA UNA ROHO MTAKATIFU? JIBU NI HILI. - Pastor Myamba.
1:10:21
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 62 МЛН
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 2,2 МЛН
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,4 МЛН
ISHARA 7 ZINAZOONYESHA ROHO MTAKATIFU YUMO NDANI YAKO - Innocent Morris
1:07:20
JOEL NANAUKA - MUDA SAHIHI WA KUKAA KIMYA
8:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 95 М.
KUNENA KWA LUGHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
14:20
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 19 М.
JINSI YA KUACHILIA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU NDANI YAKO
1:18:40
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 51 М.
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 64 МЛН
NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
28:59
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 15 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 71 МЛН
ZABRON SINGERS - UKO SINGLE ? (Official Video)
3:45
Zabron Singers
Рет қаралды 10 МЛН
MAOMBI YA KUOMBA KAMA UMEPOTEZA NGUVU ZA KUOMBA - Innocent Morris
42:03
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 48 М.
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 01/09/2022
33:34
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 53 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 62 МЛН