Mungu akubariki sana mtumishi umeongea vitu vyenye hutokra sana kwangu
@silviamakupe23857 күн бұрын
Mungu akubariki sana
@buhitexmohamed47859 күн бұрын
Shukrsn naomba uniombee nipate ndoa maana mume wangu amekataa k urudi tafadhali
@AnithapaulKarugaba29 күн бұрын
Mungu wangu, Yesu wangu, Roho mtakatifu nisaidie nifafanunue maono, na ndoto....
@AirtelPlc15 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi wake
@MwehuMuganza-z1k17 күн бұрын
Jambo mtumishi wa mungu, niliota na nunua mbuzi ,kisha ule mbuzi anakidonda
@harunsarafu5085 күн бұрын
Ila wewe Nabii wa Ndoto upo sahihi kabisa Mungu ana kutumia kwa asilimia100 nakufatilia sana tangu TikTok sasa nime kufuata Huku KZbin Mungu Akubariki sana hii duma Yako isonge Mbele
@NeydsKimario20 күн бұрын
Asante sanaa Mtumishi Mungu aendelee kukutunza kwa ajili yetu
@VeledianaKalolo28 күн бұрын
Aseee me ishara zote ninazo. Mungu akubariki mtumishi
@marymngodo542023 күн бұрын
Vmungu akubarikisana hakika nimejifunza kitu nanimetambua kwasasa mm ninani barikiwa mtumishi wa Mungu🔥🔥🔥🙏
@AishiwamwiKileo27 күн бұрын
Asante ubarikiwe sana mtumishi wa bwana
@stephanosospeter170915 күн бұрын
Ameeeen ❤
@bahatiguyana846426 күн бұрын
Duh!!Mungu wangu yaani mimi nikienda kwenye kanisa mara ya kwanza kama lipo tofauti tu najua
@AngelMhina-s6z13 күн бұрын
Me pia hii kitu ninayo kabisa
@SofiaUsanje29 күн бұрын
Amina mwana wa MuNgu.niko songea ,nimebarikiwa Sana.
@GiftiLauti20 күн бұрын
Barikiwa mtumishi,naomba niunge
@SaumuChengo29 күн бұрын
Amen, Mungu akubariki mtumishi
@ThomasMmary-r7w26 күн бұрын
That's right ❤🎉
@vallerymkawandu866421 күн бұрын
Amen. Pia mimii mara nyinyi nshaona mambo kupitia ndoto
@HelenaMtondokoso21 күн бұрын
Amna mungu akubarki niunge
@ImakulathaMalilo19 күн бұрын
Naomba msaada zaidi
@mp4rashel22 күн бұрын
nimefarijiwa sana MUNGU akubariki niunge
@NeemaKarisa-s2w21 күн бұрын
Asante hii Hali ya kujiskia kulia nimepata jibu sasa 🙏
@emmymatigula487020 күн бұрын
Nahitaji msaada zaidi ili nijijue zaidi 🙏
@BenMtweve-d1b13 күн бұрын
ubarikiwe Kwa elim ulio tupa
@valentinanduku871827 күн бұрын
Asante nabii nabarikiwa sana yote umesema nimeyaona asante Yesu kwa kutuletea huyu nabii
@LydiaNasimiyu-h1n15 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@glaisfupa976023 күн бұрын
Asante nabii niunge
@SusanaSitole18 күн бұрын
balikiwa naomba tuungane kwa maombi asante
@Patience763Ай бұрын
Amina Amina mimi naomba kujiunga na hilo group ya maombi
@janengaga292829 күн бұрын
Amina.barikiwa
@JimsonMtuya15 күн бұрын
Niunge nabii
@EstellaMANIRAMBONA-s2f23 күн бұрын
Mungu akubariki paster Kwa sasa ninejua mimi ni nani Naomba uniunge
@HappinessCosmas25 күн бұрын
Niunge🙏
@MerinaNkupama6 күн бұрын
Niunge nabii 4:04
@maglindaanyangoАй бұрын
Amen
@nsialema28 күн бұрын
Amina pastor 🙏🙏🙏
@AnesiaMhaya25 күн бұрын
Kuna siku nilihisi kama mabishanondani yangu nabishana na familia na ulikuwa kweli pia
@MiriamMlele-j8p27 күн бұрын
Nionge nabii
@EinothMotika28 күн бұрын
Ameeeen
@SaumWangeci27 күн бұрын
Ahsanti mafuzo mafuzo nzuri
@phiniasntem24421 күн бұрын
Niunge pastor
@BraviusBenedicto-l7o28 күн бұрын
Ameee
@WilsonShomi6 күн бұрын
😢
@AmanilazaroDuma29 күн бұрын
Amen mchungaji
@Theoristerbulamu22 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe unaweka number ya cm lkn hupokei cm
@GastoNyantoАй бұрын
Ee Mungu huyu ni Mimi kabsa mda mwingne najihs kama natakiwa kutoa huduma ata sijielew
@janethmkuki53888 күн бұрын
Naomba niunge wasap
@NancyWawira-r6k5 күн бұрын
Nkona mchumba hatukai pamoja ..nimekuwa nkiombea ndoa yangu sana sa nkaota na mvulana flani mara mbili..alafu Cha kushangaza after nmeaota the same same mvulana nliyeota akaniapproach...ety anataka tufunge ndoa ..meaning ya hii n nn?
@AndrewKimoli-ng5ij23 күн бұрын
Niuge
@AndrewKimoli-ng5ij23 күн бұрын
Mimi andrew naomba musada wako wakiroho
@SaumWangeci27 күн бұрын
Mimi huota ndoto 4 au 3 namchana pia
@bahatiguyana846426 күн бұрын
Kuna rafiki yangu huwa anaonyeshwa vitu vya watu kwenye ndoto na vinatokea na yeye anakuwa mwonaji?
@GaspardSelemaniАй бұрын
Ivi vyote unasema vinanikutaka
@JanetCharo-q1u29 күн бұрын
Eeeeemen
@fortunatapatrick992324 күн бұрын
Pastor niliota nachuma nyanya zimeiva nyekundu ila mdogo mdogo. Tafasiri yake ni Nini nabii
@NaomiLombutwa29 күн бұрын
mtumishi bwana asifiwe.mimi nimeota nikiwa nyumban tukiwa kwenye jumba kubwa halafu kwenye hiyo nyumba kuna sherehe tukasherekea baada ya kusherekea gari lika hapo limebeba watu baadhi wamefaa vzr halafu watu wakanza kulia nikauliza mbona watu wanali wakasema kuna mziba .hapoha nikamuona baba yangu akaniambia umemuona babu yako ndy akaniambia kamnunulie blangeti .hapoha nikashutuka
@MachameChame9 күн бұрын
Hio ikemee ni roho ya mauti
@GaspardSelemaniАй бұрын
Niunge
@davidmasimo242929 күн бұрын
Maana ya hii ndoto utapata Mali lakini zitauzwa sababu ya mikopo uliyoikopa,omba Mungu hio roho isipate nafasi
@BernadethaRobert29 күн бұрын
Umejuaje?
@Agrelio26 күн бұрын
Niunge
@Mary-x5m7tАй бұрын
Swali langu nikioba hua natapiaka sana na akuna kitu natoa nikwanini
@Dianamo-u4kАй бұрын
Unafanyiwa delivery na mungu soo endelea kuomba sana na mungu atakufungua zaidi dada
@Mary-x5m7t27 күн бұрын
Ast sana na niliota nikifagia kanisa na ku mwaga maji vupi iishe sielewi hio doto
@PraiseJason-j2y29 күн бұрын
Ndoto hua inachukua mda gan kutimia
@HafsaShukuru-sq8bsАй бұрын
Nimejifunza kitu Roho mtakatifu nisaidie
@VenocterVladyАй бұрын
Niliota nimenunua gari na nikapewa ujumbe kuwa kupitia ilo gari nitajenga nyumba na ilo gari limeabdikwa CRDB lakini ni miaka mingi sana tangu nimeota iyo ndoto lakini bado sijapata matokeo ya iyo ndoto na msaada wako mtumishi nini nifanye
@valentinanduku871827 күн бұрын
Wewe kila siku zidi kuomba itakuja tokea
@MarthaNgunda-m8t25 күн бұрын
Amen mtumish mimi huwa naota kitu kwel asubuh nikiamka nakikuta ivyoivyo ila mi sijiamin alafu saiv sina msukumo tena wa maombi kabsa ila hiyo hal ya kushindwa kuomba ilinitokea baada ya kuwa naota mara kwa mara naibiwa na ndugu zangu ila iyo hali ya kuota kitu kinakuwa kipo ivyoivyo ila kuomba ndo nimepunguza
@VictoriaMichael-jg3be13 күн бұрын
Mjukuu wangu ameota mdogo wake ameanguka tukaanza kulia! Nimembeba kwenda naye hosp. Kufika hosp mimi nikaanguka Daktari akawaambià nimekufa.wakaanza kulia inamaana gani?