Mudi Msomali una hela ila lifestyle yako jiangalie uyo dogo amekupa umaarufu lakini tunashangaa dogo anafanya kazi za mawe anauza vitumbuwa dogo hadi saidia fundi ambaye ametambulika tz!!! Hivi unafikiri uyo dogo watu wa sanaa wangeshindwa kumchukuwa? Msomali bora usingepost msiba ungekaa kimya dogo ulimtupa sana😢 Daah!