Part1:USHUHUDA WA ALIYEKUWA AKIMILIKI MAJINI 4,004

  Рет қаралды 23,536

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 119
@magdalenamatiko9995
@magdalenamatiko9995 4 жыл бұрын
Na ushuhuda huu lakini waislamu bado wabishi Mungu anawaona
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
Karibu kwa YESU Kuna nafasi teleeeeee,your freeeeeeeee...
@bonifasiemanueli2708
@bonifasiemanueli2708 3 жыл бұрын
Hongera kwa kukomborewa
@bonniebaraka
@bonniebaraka 4 жыл бұрын
Mtumishi JACTAN asante kwa kumleta huyu Rashid. Alishatoa ushuhuda miaka minngi sana enzi za VHS Tape. Ebu tupate story yote sasa asiruke kile kipengere walitaka kummaliza jamaa zake
@vj8313
@vj8313 4 жыл бұрын
Muwe mnaonyesha na video kbs tuwe tunaona mahojiano mana mpo ana kwa ana why mnatuwekea sauti tu. By the way big u kwa shuhuda hizi zinatujenga.
@jeanmjimmy
@jeanmjimmy 4 жыл бұрын
Na huhu ndiho uislamu ambao umefunga wengi ni kuwaweka mikononi mwamashetani na unapofanya mdahalo hupinga sana na ukweli waujuwa.
@mr.jasonfxsignals4873
@mr.jasonfxsignals4873 4 жыл бұрын
Unaeka advertise mingi sana ...mpaka utafanya kuangalia izi video ngumu
@ellykibale190
@ellykibale190 4 жыл бұрын
@Jacktan Msafiri, huyu ndugu alikuwa na majini 4,004 naye pia kawaita Ni vitendea Kazi, Ila naona tena Kazi alikuwa akizifanya kwa nguvu zake na siyo kwa msaada wa hayo majini,Kama Kazi ya kuteketeza bucha za nguruwe? Nini Maana ya kuwaita hayo majini vitendea Kazi? Nionavyo,amesoma,amehatarisha maisha yake Hadi kufuzu na kuishia kupewa majini yasiyo na msaada wowote...
@bonniebaraka
@bonniebaraka 4 жыл бұрын
Rashid kumbe upo . Mungu akubariki. Ana story kali sana huyu mtumishi.
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
Tanga zito usipime,,nilitamani Yesu afanye makao mji ule
@leonardjuniorndarusanze584
@leonardjuniorndarusanze584 3 жыл бұрын
Tafadhali nahitaji namba ya mcungaji huyu ili niwasiliane nae
@MteuleMabuku
@MteuleMabuku 4 жыл бұрын
Niulizie kma huyu walikuwa pamoja wkt wa kuvunja mabucha na Mchungaji Daniel Daudi. Zamani ustadhi muhidin dauda wa tanga kwa msisi, yeye Yesu alimtoa gerezani na kumponya ukimwi.
@wardawarda3427
@wardawarda3427 4 жыл бұрын
Subhanaallah. Tena ni msambaa Ama kweli shetani hana haya wala hajui vibaya lo!
@veronicacharles9993
@veronicacharles9993 4 жыл бұрын
Shetani wapi amesema ukweli ?? Iv kweli dini ilio njema na ni mtu wa dini hasa majini wasomea nini , uchawi wa nini kwa watu wanaomwabudu Mungu jmn ...
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
@@veronicacharles9993 mtu wa din ndio nini huyo alikuwa mchawi tu na mshirikina kama angekuawa saudia lazima angekatwa kichwa chake hiyo ndio hukumu ya watu kama hao katika nchi zinazoomgozwa kidin
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Huyo muongo eti watu 80 walikufa nyie hamuon kama mnadanganywa hakuna mambo ya namna hiyo hiyo kusema watu 80 walikufa hapo lazima tuwe na mashaka na hiyo story lazima itakuwa ya uongo tu
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
@@inesstibenda2832 Kwa hiyo majini ni viumbe au sio viumbe na kama ni viumbe vilivyoumbwa na mungu shida Iko wapi Kwa wao kumuabudu aliewaumba au ndio wivu
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
@@inesstibenda2832 Kwa hiyo wewe ulitaka Dunia nzima wamwite yesu Kwa kiswahili we vip na mbona hushangai kuitwa jisus Kwa kiingereza au bebeto Kwa kireno
@pesamingi275
@pesamingi275 2 жыл бұрын
Huyu alisomea kuwa mganga sio dini ya kislamu hawafunzi hivi mnapotosha watu..
@kings5172
@kings5172 4 жыл бұрын
thankyou jacktan
@lazarontandu8308
@lazarontandu8308 4 жыл бұрын
Uliahidi hautoweka picha za kutisha naona umeshasahau mtumishi
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 4 жыл бұрын
Waiting for the next part am tuned
@paulokweba7186
@paulokweba7186 4 жыл бұрын
jambo usilolijua NI SAWA NA USIKU WA GIZA
@louisejean5846
@louisejean5846 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mary.matullu8279
@mary.matullu8279 4 жыл бұрын
♥️
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Je kuna muendelezo part 3?
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Mimi nafikiri vitabu vyote vya mungu vimekataza mambo ya uchawi na kuabudu vitu vingine zaidi ya mungu.sasa watu wengine huwa huabudu vilivyokatazwa na mungu.
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Mariam kitabu cha Mungu ni biblia tu.
@magdalenemaya3096
@magdalenemaya3096 5 ай бұрын
Video at least ,Muslims keep denying and defending a false religion bt the truth is out , God have mercy on ur pple😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@phineruge3480
@phineruge3480 4 жыл бұрын
Ahsante Kaka Joctan kwa shuhuda unazotuletea, Ila vp kuhusu ule Ushuhuda wa akuyekuwa Msukule kule gambosh akatoroka Imeishia WAP jamani?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Huo ushuhuda ulishafika mwisho siku nyingi tu,bonyeza hii link utazame sehemu zote kzbin.info/aero/PLXTmPgeqbJ0n_qJQ0de-oMri8438vbse5 lakini pia hakikisha una subscribe ili usiwe unapitwa
@ramazubery8396
@ramazubery8396 4 жыл бұрын
Alifu yenyewe hujui alafu unaongelea dini yakiislamu kwani ilikwambia ufuge majini au?hadisia ukafiri ulioufanya.alafu umeruka majivu unakanyaga moto hahaha.
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 4 жыл бұрын
Tuambie basi wewe alifu sahihi tofauti na hyo!
@ramazubery8396
@ramazubery8396 4 жыл бұрын
@@brigithadidas5128 nahiyo nn?
@aveirastephen9227
@aveirastephen9227 4 жыл бұрын
Karibu kwa YESU ndugu yangu .
@veronicacharles9993
@veronicacharles9993 4 жыл бұрын
Shida mnajua kubisha lkn Mungu awasaidie tu yan uislam ni uchawi na ndo mana qruan imeielezea vizuri ..na kila shekh anao na majini yao nando mana akikusomea dua ata kama yakufa unakufa si uvhawi huu jmn
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 4 жыл бұрын
Uongo wa waz kabisa
@enuelabunimkali9529
@enuelabunimkali9529 4 жыл бұрын
Huaga tunasema majini ni ngugu zetu kiimani ndipo kujiroga kabixa
@susynjambi
@susynjambi 4 жыл бұрын
Tuned
@everlineandeso822
@everlineandeso822 4 жыл бұрын
Sija chelewa sana
@barakamungure830
@barakamungure830 4 жыл бұрын
acha kumuuliza maswali unamtoa kwenyw maelezo yenye mpangilio
@leonardjuniorndarusanze584
@leonardjuniorndarusanze584 3 жыл бұрын
Namba yangu ya what's app ni +25779600473
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Angalia part 2 ametaja mawasiliano yake kzbin.info/www/bejne/jKmsZauQi55kbLM
@selemanichambo2944
@selemanichambo2944 4 жыл бұрын
Uislam umetakasika na uchafu unaongelewa hapa wewe ulienda chuo cha uchawi siyo cha uislam. Uislam ndiyo dini inayokataza uchawi, Quran ni kiboko kwa kufukuza majini, imekuaje ukashindwa kutumia quran..Mwogopeni Mwenyezi Mungu Moto wa Jahanamu upo kwa wazushi
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Bila majini hakuna uislam.
@nswilayella3295
@nswilayella3295 4 жыл бұрын
Unamfikuzaje jini wakati amesilimu kuwa muislam mwenzio au hujasoma surat jini
@selemanichambo2944
@selemanichambo2944 4 жыл бұрын
Wenye akili wanajua Quran ninini , ndiyo maana uislam unakuwa kwa kasi hata ulaya kuliko dini nyingine Yoyote ...Mashirika yautafiti yametangaza pamoja na CNN, Wewe utakochambiwa utafuata...ila hukatazwi kuaminishwa uongo kwasababu kina limitation za uelewa
@chancelinechuchu7333
@chancelinechuchu7333 4 жыл бұрын
Ukweli unaumaga
@selemanichambo2944
@selemanichambo2944 4 жыл бұрын
@@chancelinechuchu7333 hukatazwi kuamini unavyotaka wala sina haja na malumbano
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 4 жыл бұрын
Hukuwa muislam we nkafir tokea kitambo Ila umebadilisha mfumo wa ukafiri wako Uislaam haufundish uchawi ushrkina nk uislam uko mbali na mambo ya hovyo hukuwa muisla kabla na hata sasa we nkafir kitambotuu
@salmamohammed5623
@salmamohammed5623 4 жыл бұрын
Abuu Maryam hakuwa muislam alikuwa mchawi mshirikina na nina uhakika kafanya uovu mwingi sana. Na itakuwa bado anatumikia mashetani huyu.
@seifhamad9817
@seifhamad9817 4 жыл бұрын
Usiite mtu kafiri hata ww nikafir pia
@chuggapjt3782
@chuggapjt3782 4 жыл бұрын
@@salmamohammed5623 uchawi kafundishwa tokea Ana miaka 3 alipoanza madrasa
@truetohim3366
@truetohim3366 4 жыл бұрын
Alipoanza madrassa ndipo yalimuingia. Uislamu si dini ya Mungu, allah si Mungu ni jiungi, waislamu mnaabudu shetani aliyejifanya malaika, msidanganyike, kuna Yule aitwaye Yeah mwana WA Mungu ambaye ndiye Mungu aliyetufia Sisi site, na yeyote anayemkubalia Rohoni ataokolewa. Mohammed kadanganywa na shetani, Qur'an kaibwa kutoka maandishi ya biblia Sana Sana Torah, ATA kuna mahali mnaambiwa waulizeni watu WA INJIL , injili ni agano jipya ambayo yatufunza kuhusu Yesu wokovu wetu
@jaquevan9464
@jaquevan9464 4 жыл бұрын
Hivi maana ya Kafiri ni nini
Part2:USHUHUDA WA ALIYEKUWA AKIMILIKI MAJINI 4,004
29:55
PROMOVER TV
Рет қаралды 12 М.
USHUHUDA WA ALIYEKUWA MGANGA MCHAWI WA KASULU KIGOMA  l Part-1
40:42
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 81 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,3 МЛН
Part1_MKAKATI WA MALKIA WA PWANI DHIDI YA KANISA|Maono ya kutisha
37:45
PART 4 MAMBO YA KUTISHA WAKATI PARAPANDA ITAKAPOLIA USHUHUDA WA GRACIA
25:17
ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 1
32:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 8 М.
USHUHUDA WA MCH.DANIEL MAYUNGA ALIYEKUWA MGANGA MAARUFU WA KIENYEJI
1:16:53
MCHAWI WA KIJIJI CHA LUAGALA FULL MOVIE  HD
1:20:10
HEBUGWA SERIES
Рет қаралды 30 М.
BINTI ALIYEKUWA WAKALA WA SHETANI KWA MIAKA 12 | Part-1
18:24
PROMOVER TV
Рет қаралды 65 М.
USHUHUDA WA ALIYEKUWA KICHAA ANAYEISHI MAKABURINI
49:09
PROMOVER TV
Рет қаралды 16 М.