USHUHUDA WA ALIYEKUWA MGANGA MCHAWI WA KASULU KIGOMA l Part-1

  Рет қаралды 26,453

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Leo tunauanza ushuhuda mpya wa aliyekuwa mganga na mchawi wa Kasulu Kigoma,ataelezea mapito yake yote na jinsi alivyookoka.Fatilia ushuhuda huu hadi mwisho hakika utajifunza mengi

Пікірлер: 42
@kabebowakabebo5889
@kabebowakabebo5889 4 жыл бұрын
Hakika Bwana Yesu anazidi kufanya mapenzi yake na kutoa watu matopeni. Ubarikiwe sana msafiri
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Ameen
@barick
@barick 4 жыл бұрын
Asante Jactan pamoja sana
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Asante kwa kutuletea simulizi hii ambayo tulikuwa tukiisubiri.endelea kutuletea muendelezo mapema.
@imagepower3641
@imagepower3641 4 жыл бұрын
shukran kwa ushuhuda huu
@user-tn9zj1oy8e
@user-tn9zj1oy8e Жыл бұрын
Jactan barikiwa sana
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Watanzania wanapenda sana ushirikina asilimia 90% wanaamini sana hizi mambo na ndio maana shuhuda kama hizi ndio utawaona watu wanakuwa interested sana
@calvinleka4728
@calvinleka4728 3 жыл бұрын
Wengi wamepitia mazingira hayoo
@johnsonkamugisha7367
@johnsonkamugisha7367 Жыл бұрын
Nakuongeeza sana Mungu akuongeze nguvu
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
Part 2 pls ndugu zangu
@devothabishagazi2311
@devothabishagazi2311 4 жыл бұрын
Waoooh
@gwalemahamisi3112
@gwalemahamisi3112 4 жыл бұрын
Maneno wake mentioned niyauongo
@johnshedrackjansohn8984
@johnshedrackjansohn8984 2 жыл бұрын
Mungu atupe nguvu
@johnsonkamugisha7367
@johnsonkamugisha7367 Жыл бұрын
Johnson
@peninahmwangi5098
@peninahmwangi5098 3 жыл бұрын
Naomba namba ya huyo mtumishi wa mungu
@irenewilfred5169
@irenewilfred5169 4 жыл бұрын
pole
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 4 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka j wew ni mwaminifu
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe pia
@myself4128
@myself4128 4 жыл бұрын
Endelea kushuhudia bwana msafiri lkn umtukuze sana Yesu katika ushuhuda wako usikalie sana kuongelea ukuu wa nguvu za giza
@chancelinechuchu7333
@chancelinechuchu7333 4 жыл бұрын
Muendelezo
@macklinanicolaus5110
@macklinanicolaus5110 4 жыл бұрын
Kaka Jacktan ahsante kwa kutuletea ushuhuda, hivi naweza kuongea na huyo jamaa ili niweze kumuuliza maswali?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
+255 766 221 912
@yeshuasweapon4384
@yeshuasweapon4384 2 жыл бұрын
Hii huduma ni ya ajab na pekee
@obbymark8556
@obbymark8556 4 жыл бұрын
Weka zote ili tupate ushuhuda wote
@gilbertmabula8105
@gilbertmabula8105 4 жыл бұрын
Mwendelezo wahii lini?
@stevensudikwiyanga9954
@stevensudikwiyanga9954 4 жыл бұрын
pamoja sana mtumishi Jactan tunaendelea ku like na SUBSCRIBE kalibu tena kaka
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Ooh barikiwa sana mtumishi,usisahau kujiunga na grp letu la wasap
@stevensudikwiyanga9954
@stevensudikwiyanga9954 4 жыл бұрын
Jacktan Msafiri niunge mtumishi
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
@@stevensudikwiyanga9954 bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1lDtufLd2LPIP
@mamasamihamama2127
@mamasamihamama2127 4 жыл бұрын
Wanao amini majini hawana dini.
@myself4128
@myself4128 3 жыл бұрын
Uislam
@deogratiasnzelani160
@deogratiasnzelani160 4 жыл бұрын
4 Rafiki ujihadhari juu hawa wanaojiita waganga
@mamasamihamama2127
@mamasamihamama2127 4 жыл бұрын
Katika dini yetu kislaam tumekatazwa kuamini majini tumuamini peke yake Allah .
@judicatekimaro758
@judicatekimaro758 4 жыл бұрын
Sidhani kama unasisoma quran. Hebu soma hapa..al-Baqara 2;102, surat al anam 6;112, al-Hajj 22;52 na pia soma surat al ahqaf 46;29-30.
@farajangwala9748
@farajangwala9748 4 жыл бұрын
shalom Jaktani ushuhuda nzuri mnooo sasa sehemu zinazofuata mbona hazionekani? Binafsi najifunza mengi sana ninajengwa sana redio unayotangazia iko kwenye mawimbi namba ngapi? ubarikiwe sana Jaktani
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Ameen,jiunge na grp letu la wasap ili uwe unapata mapema shuhuda hizi kabla hazijafika huku
@obbymark8556
@obbymark8556 4 жыл бұрын
Group la watsup tunajiungaje
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
@@obbymark8556 bonyeza link kujiunga na grp la Ushuhuda-Jacktan Msafiri chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1lDtufLd2LPIP
@obbymark8556
@obbymark8556 4 жыл бұрын
Ahsante@jaktan nimeshajiunga na mm ni mfuatiliaji mzuri wa page hii ya ushuhuda ,ubarikiwe kwa kazi nzuri
@user-zo7uy5hc3p
@user-zo7uy5hc3p 9 ай бұрын
​@@PromovertvTz Mimi pia nimejiunga Mtumishi ubarikiwe sana🤝
@abbyadams8691
@abbyadams8691 4 жыл бұрын
Iko hivi:Hayo majini ndio yaliyomuongoza mzee kwenda kwa huyo mganga ambaye anatumiwa na yale majini ili kupitia huyo mganga lengo la kumpata huyu jamaa likamilike. Majini yana uwezo mkubwa wa kukontrol akili na mawazo ya binadamu.
Part-2:USHUHUDA WA ALIYEKUWA MGANGA MCHAWI WA KASULU KIGOMA
42:27
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 44 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 76 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 1)~Shehe Omary Mnyeshani
34:08
PROMOVER TV
Рет қаралды 67 М.
ALIYEKUWA AKIFUGA MAJINI 4004-Part 1
32:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 8 М.