SIFA 10 ZA MTOTO WA DAWA | MACHO YAKE YANATISHA | HUWA HAFI-SHEHE OMARY MNYESHANI

  Рет қаралды 16,909

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@esthetbabu7481
@esthetbabu7481 3 жыл бұрын
Habari ya asubuhi, Asante sana kwa maubili kwa ushuja wa mungu ,naulisa Sasa huyu mtoto anakua Kama binadamu ama anakua njini kwa maisha yake yote jamani niambie hapo
@PromovertvTz
@PromovertvTz 3 жыл бұрын
Anakuwa anaonekana kama mtu wa kawaida tu,na hata yeye hatajua kama si mtu halisi
@carendeborah5687
@carendeborah5687 2 жыл бұрын
Roho yake ndo tofauti but yeye ni binadamu
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Жыл бұрын
Niko na Wachina hapa wanakusikiliza kwa makini
@sospetermasanja3224
@sospetermasanja3224 5 жыл бұрын
Kwa elimu ya huyu shehe ni halali aokoke! Sio unaokoka hujawahi hata kupata tatizo lolote. Mungu akutetee!
@samuelnduati9792
@samuelnduati9792 5 жыл бұрын
Asante Mungu kwa somo hili.
@angelique10
@angelique10 2 жыл бұрын
Nimecheka hapo kwny kuhama 😃 😀 kwahyo yy ni kuhama tu yani ilimradi amehama 😃 shetani msumbufu sn jmn
@matildamartin7394
@matildamartin7394 5 жыл бұрын
Mbona imeabzia ya tano
@feristerkumbuka1837
@feristerkumbuka1837 5 жыл бұрын
Mi siend kwa mganga mtoto ni zawad toka kwa mungu awa wengine ni wakina sinduna
@bishopdr.abrahamjonathanmu90
@bishopdr.abrahamjonathanmu90 5 жыл бұрын
She he, unachokifanya kutufundisha juu ya majini no mwelekeo mwema sababu wengine wetu hatukujua majini mpaka tuelezwe
@lubatikoseme1446
@lubatikoseme1446 5 жыл бұрын
Wa kwanza ku coment na ku like 👏👏👏
@maryammaryam5789
@maryammaryam5789 5 жыл бұрын
Shukran ubarikiwe
@bishopdr.abrahamjonathanmu90
@bishopdr.abrahamjonathanmu90 5 жыл бұрын
Naomba shehe acktan tafafhali uzungumzie vile mimi kaa mchungaji naeza kuombea kutoa majini mahaba na vile naeza kuyaangamiza kabisa yasiwai rudia huyo ninayemwombea kabisa maishani
@allyawadh8492
@allyawadh8492 3 жыл бұрын
Dar! Jamaa nimuongo sana mtu gani mwenye uhai harafu hafi ikiwa hao majini wenyewe huishi harafu ikifika muda wake atakufa tu,lkn kwasababu wakristo elimu zao ni ndogo za kumjua mungu na hapo wanamuona kama jamaa ana elimu kubwa kumbe hakuna kitu.
@madetetv6576
@madetetv6576 2 жыл бұрын
Wewe mfuga majini kwani jini wako aliwahi kufa?
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 Жыл бұрын
Unadhani unamkuta Kwa elim yako huyu?, kafundisha mengi likufaalo chukua lisilokufaa liache mwingine litamfaa ndivyo maisha yalivyo
@servantofalmightygoddranth2511
@servantofalmightygoddranth2511 Жыл бұрын
Kwani nyie waislamu mnamjua MUNGU?nyie mungu mnaemuabudu ni shetani
@barick
@barick 5 жыл бұрын
Kuna mtu nimewahi kumwona nikadhan labda n mim wasiwasi wangu
@allyawadh8492
@allyawadh8492 3 жыл бұрын
Sijajua huyu jamaa ni mganga au ni mchungaji?maana mada zake nyingi yeye haongelei kabisa mambo ya mungu bali hupenda sana kuzungumzia mambo ya uchawi au mambo ya majini,Ushauri wangu kwa hao waumini wake msije kuwa mnafundisha kuwa wachawi au waganga ila mafundisho ya mungu yakawa mbali nanyi toka nianze kumsikiliza mbaka sasa sijaona hata mara moja akimtaja mungu.
@MishiPapalan
@MishiPapalan 3 жыл бұрын
Yani huyu baba mimi nahis uchawi umetoa akili kumuamtu si kitu kidogo ameongopa yeye shekhe ajuwi hata juzuu mojo wala aya yoyote sasa kaingia uchungaji haujuwi nao anafundisha uchawi mimi naona hata hao wanao kwenda kanisani kwake ni wachawi wenziwe
@PauloMaona-in4qh
@PauloMaona-in4qh 11 ай бұрын
ya kumi alisha iongelea askofu moses kulola ako sawa
@chumachadollar5917
@chumachadollar5917 5 жыл бұрын
Hakika Mutumishi wa Mungu unasema kweli kabisa na funguka macho kabisa nahisi tunalo lijini kwenye familiya yetu🤦‍♀️
@HappyJohn-w1z
@HappyJohn-w1z 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@richardonderi4288
@richardonderi4288 3 жыл бұрын
Siku zote kumshinda adui lasima kwanza umjue vizuri yeye ni nani,ananguvu zipi ziko upande gani na anasipata kivipi na mapunguvu ni yapi,atapigwa vita saa ngapi na salaha gani na mbinu ya vita ni ipi pora,la sivyo usipojumjua adui na malegevu yake utakua unatwanga maji kwa kinu...
@bishopdr.abrahamjonathanmu90
@bishopdr.abrahamjonathanmu90 5 жыл бұрын
Jambo la tatu shehe Jacktan naomba ueleze vile ninaweza kuombea MTU akiwa amenyanganywa pesa zake na Mali yake kuhukuliwa na mashetani na majini ya ukoo (ancestors) ili niweze kumrudishia MTU alopokonywa Mali yake wakitumia uchawi. Tafafhali zungumza niweze kuelewa ama unbie uko Arusha wapi nikuje mafundisho kamili ndugu yangu. Asante, Askofu Abraham +254738819122
@rafikindugu4674
@rafikindugu4674 5 жыл бұрын
una weza kuzipanga videos hizi in order
@PromovertvTz
@PromovertvTz 5 жыл бұрын
Angazia kwenye playlist
@jubethraphael9909
@jubethraphael9909 4 жыл бұрын
Ukimuoa mwanamke mwenye tabia hizo unatakiwa kufanyaje
@adelinakaijage8557
@adelinakaijage8557 4 жыл бұрын
All comment
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
KTN News Kenya
Рет қаралды 141 М.
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 11 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 14 МЛН
JINSI MTOTO WA DAWA ANAVYOPATIKANA,INATISHA!-SHEHE OMARY MNYESHANI
40:59
MAAJABU YA WATOTO OMBAOMBA (@asmacomedian9021 )
8:32
ASMA FILMS
Рет қаралды 2 МЛН
USHUHUDA WA ALIYEKUWA SHEHE - OMARY MNYESHANI 1/4 - bonyeza SUBSCRIBE
30:36
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 233 М.