JINSI MTOTO WA DAWA ANAVYOPATIKANA,INATISHA!-SHEHE OMARY MNYESHANI

  Рет қаралды 43,215

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Ni mwanzo wa semina ya mtumishi wa Mungu shehe Omary,ambaye kwenye video hii yupo katika kansa la ufufuo na uzima-Tabora.Somo ni mtoto wa dawa na jinsi anavyopatikana,endelea kufatilia nina hakika utabarikiwa.

Пікірлер: 127
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 3 жыл бұрын
Damu ya Yesu itusaidie,Asante kwa ushuhuda huu nmebarikiwa saaana 🙏🙏
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 2 жыл бұрын
Yesu mwana wa Mungu uturehemu wanawake na vizazi vyetu
@babumrisha
@babumrisha Ай бұрын
kuna kitu nimejifunza, kumbe ili jini litokee linahitaji maandalizi sahihi, hio inamaanisha ili Mungu wa kweli akutembelee unahitaji kumfanyia maandalizi sahihi.
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 4 жыл бұрын
Thanks for uploading
@nicholausmushi44
@nicholausmushi44 4 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu wangu kwakuwa mganga hajawahi kugusa mwili wangu
@erickykifaru1923
@erickykifaru1923 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 4 жыл бұрын
Duuuh!!!! Ni kweli kabisa nilishachanjwa ivo ivo
@joycehojes8331
@joycehojes8331 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kweli wengi wanawatoto walio wapata kwa njia hii kweli sio watoto harali ni vipepo vya kimajini
@noelashaoona
@noelashaoona 4 жыл бұрын
Mungu anilinde
@samuelnduati9792
@samuelnduati9792 4 жыл бұрын
Nasubiri mwendelezo 🙏🙏🙏
@zlfamz3540
@zlfamz3540 3 жыл бұрын
Kwa mungu kuna raha sana
@faridashaban8853
@faridashaban8853 4 жыл бұрын
Amina
@tulialembao6718
@tulialembao6718 3 жыл бұрын
Sarawa
@feristerkumbuka1837
@feristerkumbuka1837 4 жыл бұрын
MUNGU atusaidie sana
@devothabishagazi2311
@devothabishagazi2311 4 жыл бұрын
Huyu shehe ana madini mengi,Jacktan mshauri aandike vitabu na atoe DVD na CD
@EngLex-vo7te
@EngLex-vo7te 6 ай бұрын
Hivyo ndivyo wale malaika waasi walivyozaa na binadamu
@frankbella4271
@frankbella4271 Жыл бұрын
Yesu anatupenda
@chamwinoduka7446
@chamwinoduka7446 4 жыл бұрын
huyu anawafndxha ili tucpende kwnda kwa waganga maan anatuelimisha ili tujue huko hakufai
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 жыл бұрын
Mmmh nasikiliza Lakin naogop!
@andersonchongoma1723
@andersonchongoma1723 Жыл бұрын
Mahali ambapo biblia haitumiki hapo ukriasto HAUPO ....na aina hii ya wafuasi hawatakuwa waislamu wala wakristo bali waganga wa JADI....sasa wanaobarikiwa ,nn kinawabariki...
@samuelnduati9792
@samuelnduati9792 4 жыл бұрын
Hakika shetani anajua kutuchezea kweli.
@mwimbajinamwalimujaphetgeo1718
@mwimbajinamwalimujaphetgeo1718 4 жыл бұрын
Ushuhuda NI JINSI gani aliokoka, tafuteni clip ya kwanza zimo himuhumu ndani.
@fadhili2293
@fadhili2293 4 жыл бұрын
Hayo mambo hata uislam hauyakubali, Sema ulikuwa mchawi tu na sio sahihi kuweka uislam kundi moja na uchawi.
@lusekelomwinsasu318
@lusekelomwinsasu318 4 жыл бұрын
Unacho kiongea umekifanyia uchunguzi usije sema kitu usichokijua mbona sisi tunajua kama usitake ushirikiane toa vitabu hivi kitabu cha majini sura ya 72 na albadili pia itoe usipovitoa hivyo lazima uislamu usalimike maana hawawezi majini wakawa waislamu na waislamu wasiwe wachawi maana wanashirikiana na majini
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 2 жыл бұрын
@@lusekelomwinsasu318 Ww ndoo hauna Elimu na hata uelewa hauna!
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Mungu tutetee na hawa watu wabaya,tulinde na utupe imani.
@benwater4957
@benwater4957 4 жыл бұрын
Balaa duniani 😣
@nicholausmushi44
@nicholausmushi44 4 жыл бұрын
Kanisani siku hizi mnafundishwa uganga tena!!!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Hii miaka ndo Injili,kila anayeokoka toka uchawi anakuja kutoa sera zake
@richardkaogo3433
@richardkaogo3433 4 жыл бұрын
Alikutana na nn mbaka anaokoka?
@adamgobega1946
@adamgobega1946 4 жыл бұрын
Kweli mola atupiganie
@yustakipenyakipenya9117
@yustakipenyakipenya9117 4 жыл бұрын
Binam yangu alienda kwa mganga akaambiwa aoge maji yanayotembea yaani aogee hapohapo anunue sufulia mpya na hela ya sarafu aviache kwenye maji nilimsindikiza mtoni je kunamadhara naweza kuyapata mimi niliyemsindkiza kuoga japo sikujua anatatzo gani mpaka kwenda kwa mganga
@festokapela4833
@festokapela4833 4 жыл бұрын
tatizo lipo maana umeshiriki kumsindikza. soma hesabu 25:1-7
@maryammaryam5789
@maryammaryam5789 4 жыл бұрын
Jacktan tunaomba Nmber za shehe
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
0755 025 821
@leonardkadete6603
@leonardkadete6603 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz nitumie namba za huyo mtumish kwa kwenye namba zangu hizi 0687292762
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
@@leonardkadete6603 0755025821
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 4 жыл бұрын
Mimi nashangaa mtu eti anajivunia kuwa muislamu kwa kweli shetani kajipatia
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Eee Ameshaichagua hiyo njia inamfaa
@alikhamisog3422
@alikhamisog3422 4 жыл бұрын
innalillahi wa innalillahi rajiun
@daudmaikomwakapoma213
@daudmaikomwakapoma213 4 жыл бұрын
Huyu mtu nimemfuatilia saana lakini hajawahi sema sababu iliyompelekea KUOKOKA Naomba siku nijue kutoka kwake
@tumainigeofrey9702
@tumainigeofrey9702 4 жыл бұрын
sababu ni ya nini? kwani amekosea?
@reubenbusanji2904
@reubenbusanji2904 4 жыл бұрын
Ukiifahamu kweli itakuweka huru. Alipoifahamu kweli akaokoka.
@mbithejustus246
@mbithejustus246 4 жыл бұрын
Alisema, walienda kufanya ushindani wa uchawi, lakini jina la Yesu ikitajwa, hanapata shida sana, (angalia video ya ufufuo na uzima kwa KZbin) utapata ushuhuda wake
@euniceeunice7680
@euniceeunice7680 4 жыл бұрын
Tafuta ktk account ya gwajma utamuelewa kipindi iko yupo kijana mdogo
@alexdalali4599
@alexdalali4599 4 жыл бұрын
@@tumainigeofrey9702 kzbin.info/www/bejne/fHTIi52mfN91qaM
@emanuelmathew3067
@emanuelmathew3067 4 жыл бұрын
Ama kweli waisilam wanatakiwa waokoke, Duuu! Kumbe dua same time wanaitaga majin
@allyawadh8492
@allyawadh8492 4 жыл бұрын
Sasa kama mafundisho yenyewe ndio hayo ya kichawi hatagwi mungu hata kidogo kweli kuna mwislamu yoyote atatamani kuwa mkristo kweli? kwasababu ninachokiona hapo huyo jamaa anachofundisha ni uchawi tu lkn kwa upande wa wakristo wanaona huyo jamaa kazungumza mambo makubwa sana harafu nyie wakisto mnaonekana mnaabudu sana mambo ya kichawi kila unayemskia hata wale wanaejiita mitume na manabii feki ni mambo yanayohusiana na mambo ya majini mambo ya kichawi mnaonekana wakristo wengi mnamatatizo ya mashetani nahawa jamaa wamejua kusoma nyakati hizi tulionazo ndomana kila. mkristo anatoa mapepo wanamafuta ya upako maji ya baraka wanatoa utajiri tena walivyo waongo wanasema mambo hayo wanayafanya kwanguvu ya yesu kumbe wanaingia maagano na mikataba ya shetani yaani wanakwenda kununua uchawi kwagrama yoyote harafu anafungua kanisa baada muda mfupi tu utamuona kashakuwa tajiri, yaani wakristo mnatapeliwa sana bila ya kujijua kwa sababu ya tamaa.
@shaloboy3861
@shaloboy3861 3 жыл бұрын
Sio kweli huo ni uzushi musijue ukweli fanya utafiti wako binafsi utajua ukweli wacha kuskiza hawa wezi
@gladnesssidiu4922
@gladnesssidiu4922 3 жыл бұрын
@@allyawadh8492 Vita vyetu si vya damu wala nyama Tumepewa jukumu la kupigana na hila za shetani kwahiyo uchawi na uganga ni moja ya hila za shetani ndo maana tunapigana nazo Waislamu ndo wengi wamevamiwa na hizi mambo na mnaona sawa tu
@MishiPapalan
@MishiPapalan 3 жыл бұрын
Uyo hana ushekhe wowote arikuwa mchawi kachaa sasa kamuwa atafute kiki aongope yeye shekhe kaokoka hajuwi haya atamoja hapo alipo shekhe gani huyo mchawituu acha awatapeli wakirisoto wasilamu hawaburuzw wange mpiga maswali tena yatoki kwenye kitabu
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 3 жыл бұрын
@@MishiPapalan haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa anajua zote hizo aya sema ujamfatilia toka mwanzo
@davidwambura5915
@davidwambura5915 4 жыл бұрын
Haya mafundisho yanamsaada gani kwa washirika.
@WinWilly4162
@WinWilly4162 4 жыл бұрын
Ndo ushangae badala afundishe neno la Mungu anafundisha mbinu wanazotumia waganga,anapromote uchawi
@lilianluhasi7685
@lilianluhasi7685 4 жыл бұрын
@@WinWilly4162 huyu anafundisha uchawi aliokuwa anafanya halafu anafundisha jinsi ya kuepuka na kupiga kwa jina LA Yesu Kristo kama umeshadhurika
@lusekelomwinsasu318
@lusekelomwinsasu318 4 жыл бұрын
@@WinWilly4162 huyo anacho kiongea kinamaana sana kwa mtu mwenye kutafakari maana kuna watumishi wa Mungu wengi sana wanapenda kwenda huko kwa waganga wa kienyeji ukiwaambia mbona mnaenda huko watumishi wa Mungu utaambia Mungu amesema jisaidie nami nitakusaidia ko siyo dhambi kwenda kwa waganga wa kienyeji ko unafundishwa usiende huko Ahsante sana
@estasage5506
@estasage5506 3 жыл бұрын
Maneno haya haina maana. I'm extremely disappointed. I can't believe people think this is a testimony.
@estasage5506
@estasage5506 3 жыл бұрын
Should have stayed with pastor Gwajima in order to grow spiritually and give a quality testimony
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Huyu Bado hajaacha kabisa,Msibweteke Wakristo,
@estasage5506
@estasage5506 3 жыл бұрын
Mtumishi went to unnecessary details za kuchanja instead of going straight to the point. May be he needs a mentor to explain how to give testimonies. Should have just summarize of how getting a child from witch doctors is evil, a hassle and a mistake. But all the details are not a part of a spiritual. breakthrough.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Yaani Mungu afumbue macho ya Wakristo
@irenemangoina7848
@irenemangoina7848 4 жыл бұрын
Makubwa
@lightm2225
@lightm2225 4 жыл бұрын
Tunamba ushuhuda kwaza na. Atumie bibilia kufundisha nahilokanisa likowapi
@samhuyunimsaniiharuna7499
@samhuyunimsaniiharuna7499 4 жыл бұрын
Huyu. Ni. Msanii anaongopa. Kua. Yeye shee. Ili wakristo wamuamini.
@devothabishagazi2311
@devothabishagazi2311 4 жыл бұрын
Fanya utafiti ndo uje uongee pumba zako hapa
@ramadhanwilbard8196
@ramadhanwilbard8196 2 жыл бұрын
@@devothabishagazi2311 Tafiti gani?
@chancelinechuchu7333
@chancelinechuchu7333 4 жыл бұрын
nivizur mtupe ushuhuda wake kusema aokoke
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Ushuhuda utakuja
@susynjambi
@susynjambi 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz ndio tunangoja.ungetupea hio kwanza ndio tuelewe kule ametoka
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
@@susynjambi Haya mafundisho yamejitegemea kabisa hayahusiani ya ushuhuda wake japo kuna kufanana.
@chumachadollar5917
@chumachadollar5917 4 жыл бұрын
Jitahidi uwe naweka number maana video zinachanganya
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
tazama kwenye playlist
@khamisrajab6663
@khamisrajab6663 4 жыл бұрын
Futa jina shekhe
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@magdalenamatiko9995
@magdalenamatiko9995 4 жыл бұрын
Huyu in sheikh omari alietoa ushuhuda kwa Gwajima miala hy io au
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
ndiye
@shaloboy3861
@shaloboy3861 3 жыл бұрын
Huyu c sheikh ni mganga
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@shaloboy3861 alikuwa shekh na mganga wengi ni wale wale maana Dini inaruhusu haimtengi akiwa mganga au mchawi na hasa mchukia Mkristo
@marykibwana9413
@marykibwana9413 4 жыл бұрын
Kumbe wewe umeokoka? sijaelewa!!!
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Shehe mnyeshani kumbe una kanisa yako
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 3 жыл бұрын
Sio shehe tena ni mchungaji
@sosom14
@sosom14 4 жыл бұрын
Twambiyeni alivo okoka please
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
Subiri ushuhuda wake
@hairesellasie1667
@hairesellasie1667 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz Kaka umeshaupload ushuhuda wake?
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
@@hairesellasie1667 bado
@hairesellasie1667
@hairesellasie1667 4 жыл бұрын
@@PromovertvTz nashukuru kaka, pia ilikuwa vizuri kama ungekuwa unazipa shuhuda namba ili kuturahisishia kujua mpangilio wake, Mungu akubariki na kukufungulia milango kwa kuifanya kazi yake, Amen.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 4 жыл бұрын
@@hairesellasie1667 Shuhuda zote zina namba,angalia kupitia playlists ndo utapata mtiririko mzuri
@frauleinbergerjaneaika4872
@frauleinbergerjaneaika4872 4 жыл бұрын
Halijuaje yote ayaaaaaaaa? Eh!
@marykibwana9413
@marykibwana9413 3 жыл бұрын
Alitoa Ushuhuda kwa Askofu Gwajima search shehe Omary kwa Gwajima " KZbin"
@briansancedo9336
@briansancedo9336 3 жыл бұрын
Nenda you Tube Andika Ostadhi Omary utajua jinsi alivyo okoka maka sasa
@annamaryladislaus6377
@annamaryladislaus6377 4 жыл бұрын
Uyu mi ata simuamini niporojo tu ajui ata kutumia bibilia uyu
@Baba-JJ
@Baba-JJ 4 жыл бұрын
Anajua ila nafikiri anachokielezea hapo hakina au kina nukuu chache sana kwenye biblia. Mfuatilie vizuri kwenye ushuhuda wake. Ameokoka siku nyingi sana nafikiri zaidi ya miaka kumi iliyopita na anafanya huduma.
@lusekelomwinsasu318
@lusekelomwinsasu318 4 жыл бұрын
Usitake umuelewe kilazima maana kuna watu hawatamwelewa na kuna wengine watamwelewa atakaye muelewa atajifunza mengi sana na kuanzia hapo atasimama na Mungu kisawasawa Mimi nitakuibia kidogo maana yake acha kumtegemea mganga wa kienyeji maana mganga hana msaada wowote kwako mnadanganywa na waganga bali mtegemee Mungu tu huyo ndo yote Katina yote Ahsante kwa yote Mungu awe anakupa ufahamu wa kuyaelewa maneno kama anavyo kupa ufahamu WA kusoma biblia na kuielewa mistari yake
@annamaryladislaus6377
@annamaryladislaus6377 4 жыл бұрын
Atakama alikuwa anaabudu na gwajima gwajima mwenyewe anamapungufu yake sio malaika adi akamilike hivo hivo uwezi jua yaliyo mpaka yeye aliyeko sirini mungu mwenyezi ndiye anamajibu yote ya maswali yetu
@estasage5506
@estasage5506 3 жыл бұрын
@@Baba-JJ Kweli. Anazungumziya details hazihitajike wakati za kutowa ushuhuda. Ndiyo mana maombi ni ya lazma kabla ya ushuhuda
@estasage5506
@estasage5506 3 жыл бұрын
@@annamaryladislaus6377 Gwajima wetu ni muombaji
@blessedlovedandfavoured4129
@blessedlovedandfavoured4129 4 жыл бұрын
Nashangaa shetani ni mchafu.... Very disgusting.. Haya Maisha bila yesu unarisk tu
@abdullatifshambe280
@abdullatifshambe280 4 жыл бұрын
Without holiness no one can see God ZION DAUGHTER hivi na akili yenu mganga wa kienyeji mnamwita shehe huyu ni mshirikina tu na uislamu unafundisha kila mshirikina makazi yake motoni
@MishiPapalan
@MishiPapalan 3 жыл бұрын
Sasa ndio mnaabudu hapo mana kanisani hahahaaaaa au kilingeni hapo
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН
USHUHUDA WA ALIYEKUWA SHEHE - OMARY MNYESHANI 4/4 - bonyeza SUBSCRIBE
31:47
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 122 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,1 МЛН