PART1:SHEKHE OMARY MNYESHENI ALIOKOKA/UKIRISTO SIO DINI/MUUAJI MISUKULE 39/NILIWAUA KWA SABABU HIZI

  Рет қаралды 33,612

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

3 жыл бұрын

Пікірлер: 249
@linkreuben2261
@linkreuben2261 3 жыл бұрын
Shekhe Omar anajua vitu vingi sana vinatusaidia kujua siri za Shetani. Asante Yesu!
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 16 күн бұрын
Tunakupenda sana shekhe wetu ,acha Jehova Akulinde na familia yako.
@johnbaraka3743
@johnbaraka3743 3 жыл бұрын
Karibu sana Mnyeshani thanks for coming back
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 3 жыл бұрын
Namfuatilia na namkubalu sana Mtumishi Omary
@geofreypaul163
@geofreypaul163 3 жыл бұрын
Huyu Bwana ninakupenda sana...natamani siku moja...nionane naye ..MUNGU ambariki sana
@koperawasona9551
@koperawasona9551 Жыл бұрын
Nakuja Tanzania 🇹🇿 from USA 🇺🇸 kuwaona weye na yohana Ramathani,yohana kibavu na ule dada msomalia nawapenda sana nitumiye namba za simu tuongeye live
@user-fu6fx8if6w
@user-fu6fx8if6w 16 күн бұрын
Uliwahi pata nambari zao?Nina nambari ya Moja wao
@thb9561
@thb9561 3 жыл бұрын
😷🤙Nawatakia Eid Mubarak.. follows wote Wa davistar..
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Asante. Nawe pia
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 3 жыл бұрын
Welcome back Sheikh Omar we missed u
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Leo Rangi nzuri sijui camera mpya... All in All I'm happy 2 see mnyeshani again
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 9 ай бұрын
Kumufuata Yesu Kristo kuna faida kubwa mno. WAGALATIA 3 26 Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu. 27 Maana nyinyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo. 28 Hapana Myahudi wala Myunani, hapana mtumwa wala huru, hapana mtu mume wala mtu mke, maana nyinyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu. 29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahim, na warithi sawasawa na ahadi. Amen !!!
@sallo27.70
@sallo27.70 3 жыл бұрын
Waooo....! Karibu Sana Shekhe.
@ole_larusai587
@ole_larusai587 3 жыл бұрын
Ewaaaaa. Davistar nashukuru. Mungu ni mwema
@alicekarimi6168
@alicekarimi6168 3 жыл бұрын
God bless you man of God🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 3 жыл бұрын
Mhh mungu nifundishe kunyamanza kila mtu na mungu wake🇰🇪
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Amen 🙏
@jossyayielo7576
@jossyayielo7576 3 жыл бұрын
Hapo SASA asante Mr everything 🇰🇪🇰🇪
@moussashamba719
@moussashamba719 3 жыл бұрын
MM NI MMOJA YA WATU WALIOKUWA WANAMUULIZIA SHEKHE OMMAR KIUKWELI NASHUKURU SANA..SOMO LAKE TUNAENDELEA NALO KUJIFUNZA 🙏🙏🙏
@nhlnaturehumanbeingsandlif9780
@nhlnaturehumanbeingsandlif9780 Жыл бұрын
Mungu atusaidie
@utafitiimanitv6641
@utafitiimanitv6641 3 жыл бұрын
Hongereni kwa kaz nzuri
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Mnyeshani na Latino ni wazungumzaji Big up sana
@geofreypaul163
@geofreypaul163 3 жыл бұрын
Niandikie hiyo ya Latino niisikilize
@bartazarideogratius5611
@bartazarideogratius5611 Жыл бұрын
Mwenye Namba za shehe Omary mnyeshani naomba anisaidia
@KariukiRoysambu
@KariukiRoysambu 3 жыл бұрын
Shukrani kaka tunakuelewa tu kazi nzuri unayoifanya tena kwa utaratibu
@bensonryoba5968
@bensonryoba5968 3 жыл бұрын
She mnyeshan namuelewaga sana kwa kweli anafundisha anaelimisha.
@florachuwa301
@florachuwa301 3 жыл бұрын
Daaah afadhali umemrudisha Uyu Bwana....big up
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Mungu utumia watu kutufunulia ya gizani kupitia mitandao
@kahindiwanje90
@kahindiwanje90 3 жыл бұрын
Safi Sana broo
@lamerckmsuya5513
@lamerckmsuya5513 2 жыл бұрын
Halleluya, God bless you
@shizaarfred4059
@shizaarfred4059 3 жыл бұрын
Wallah umejua kunifurahisha dav
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😢😢😢binadamu sisi ni chakula cha majini..jamani akuna jini zuri woteeeee ni maadui zetu wanakuja kwa njia tofauti ya uongo 😢😢😢😢😢😢
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 жыл бұрын
@@josephemmanuel3175 nasikia uchungu kweli aiseee
@michaelmikemike467
@michaelmikemike467 3 жыл бұрын
Hakuna jini nzuri bro,majini ni malaika waliomuasi mungu
@seasonepisode3328
@seasonepisode3328 3 жыл бұрын
@@michaelmikemike467 😭😭😭😭😭😭
@eldkibeh
@eldkibeh 3 жыл бұрын
Tafathali Tafathali shehe naomba sana unieleze pale uliachia Yani mamma sita Shetani anavyomjua Yesu!!
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 3 жыл бұрын
Nice story
@mchopaluka4319
@mchopaluka4319 3 жыл бұрын
Ni moja kati ya waalim ninaowafuatilia mno na nimejifunza mengi toka kwa huyu Mtumishi.
@venantmshema1000
@venantmshema1000 3 жыл бұрын
Big up Mr fact!!!!!
@kakajoss2464
@kakajoss2464 3 жыл бұрын
Asante sana davista kwa kumrejesha shekhe tena. Then I request you to start working on kuanzisha mahojiano ya live ili nasi tuwe tukiuliza mhusika maswali live pia
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Pamoja dav endelea kutuelimisha 🙏
@Dutchez
@Dutchez 3 жыл бұрын
Safi sana subira huvuta heri na ndio yamefika
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
dav apo sawa twaeza tekwa
@angelbenjamin7326
@angelbenjamin7326 3 жыл бұрын
Am so happy
@agnesmwaizinga5401
@agnesmwaizinga5401 3 жыл бұрын
Hii ni part 1, tungonje part 2345.........
@starbizyousuf8370
@starbizyousuf8370 3 жыл бұрын
Inna lilahi wa iyna ilayhi rajiun
@josephmungai544
@josephmungai544 3 жыл бұрын
Hapo sawa!
@johnassilvester1600
@johnassilvester1600 3 жыл бұрын
Hapo sawa tulimmisii mnyeshani
@joycesycherlwy3835
@joycesycherlwy3835 3 жыл бұрын
Jamaani nimefurahi sana mnyeshani yaàani siwezi kuelezea
@aliceondeko3455
@aliceondeko3455 3 жыл бұрын
Yess
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Story nzuri sana ✨
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 3 жыл бұрын
Kwa sababu ya shekhe nimebonyeza kengere
@evalineawary3604
@evalineawary3604 3 жыл бұрын
Mambo ndo kama haya Sasa mr everything
@straightkonect1613
@straightkonect1613 3 жыл бұрын
Shekheeee sasa hapo ndipo but Davistar bado umrudishe na jamaa Wa BAKORA ZA KIMKAKATI
@reyyathu8978
@reyyathu8978 3 жыл бұрын
Haha liked his story too
@straightkonect1613
@straightkonect1613 3 жыл бұрын
@@reyyathu8978 😀
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Yupo Radio Free Afrika anatiririka KILA jumapili kipindi cha sintofahamu
@straightkonect1613
@straightkonect1613 3 жыл бұрын
@@heritier5119 nipo kenya haifiki huku nilitoka border
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
@@straightkonect1613 sikiliza online inafika
@ramayasly4584
@ramayasly4584 3 жыл бұрын
Nawasalim sana kakangu zangu
@videozaaj1069
@videozaaj1069 3 жыл бұрын
Hapo kwenye baiskeli angekuwa bwana zablon angeeleza in details kwanza angeitaja jina la baiskeli,angesema alinunua wapi,lini na shilingi ngapi hahahahaha
@djbullah2556
@djbullah2556 3 жыл бұрын
Zabron A.K.A Bwana Misosi noma anakumbukumbu kinoma
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Daaa nmekumbuka zabron bwana misosi ndo maaana ananenepeana sana
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
😂😂😂😂Angekuambia kama ilikuwa phonex Au ya gia
@jamalshabani1293
@jamalshabani1293 3 жыл бұрын
Hauna dini
@rahaisacl9954
@rahaisacl9954 3 жыл бұрын
Jmn sijui nikubebe kunirudishia mnyeshani
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 2 жыл бұрын
Davi hapa mic yako iko far sana
@raphaelmassawe7940
@raphaelmassawe7940 3 жыл бұрын
Nimekubali
@ijuekwelitv3150
@ijuekwelitv3150 2 жыл бұрын
Samahani huu ushuhuda ni wa muda mrefu ila nina ombi moja ndo nimeuona Kuna mahala alisema kuwa alimpakaa dawa binti akapotea akawa haonekani Sasa hajatupa jibu je baada ya kuokoka alimuombea binti na kumrudisha au alimuacha apotee hivyo??
@brenda1083
@brenda1083 3 жыл бұрын
Tuendelee Sasa
@babyboss2886
@babyboss2886 3 жыл бұрын
Mr DM kipenzi asante ku leta Bwana Omari
@meckylucy215
@meckylucy215 3 жыл бұрын
Nimefurahi sna kukuona tena Mnyeshani
@aminsalimali793
@aminsalimali793 3 жыл бұрын
SAFI KABISA DAVISTAR MATA MTU MAKINI KABISA
@lauriantemba7939
@lauriantemba7939 3 жыл бұрын
Hatuna udin sis
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Nilikuwa namsubiri sana
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kumbee🤣
@IGL-x1d
@IGL-x1d 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🤝🤝🤝
@davidochieng7055
@davidochieng7055 3 жыл бұрын
Pamoja sana
@omarimziya390
@omarimziya390 3 жыл бұрын
Diamondi vs stamina
@wilsonwilson2417
@wilsonwilson2417 3 жыл бұрын
Vizuri kabisa,atueleze yule jini wake alienda wapi?
@nazfatyabdallah1041
@nazfatyabdallah1041 3 жыл бұрын
Kaka mpemawazo afunguw chanli yake atowe mafuzo
@erikimethod6246
@erikimethod6246 3 жыл бұрын
Nataman neema ya wokovu inishukie
@neemameshack2758
@neemameshack2758 Жыл бұрын
Ikushukie katika Jina la Yesu kristo alie hai
@ulayaz
@ulayaz Жыл бұрын
Mung atunusuru na njaa, maan inatufanya tuseme uwongo.
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Funua Siri za wachawi
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 жыл бұрын
Nmefrahi kumuona Mr Omary,,,lkn naomba mr #Dm muulize how comes yeye ameokoka na wakati huo huo Appearance inaoneshe he is muslim kuanzia mavazi na vingne,,au kazoea kuvaa kanzu,,,I'm sory kama ntamkera mtu🙏
@Laila-lz4ij
@Laila-lz4ij 3 жыл бұрын
Hata Mimi nilikuwa najiuliza hilo. Na sana anatumia lafidhi za ki Islam. Ananichanganya
@tabithakigongo7801
@tabithakigongo7801 3 жыл бұрын
Mavazi na kuitwa shekh sio tatizo..!! Yote HAYANA ubaya ktk dini yoyote.. vazi la kanzu ni vazi la waarabu na watu walio na asili ya kuvaa ivo.. ambapo Pia lilivaliwa tangu enzi za karne ya 1. Sheikh maana yake MZEE.. - mtu aliezidi miaka 50 au anaejua mambo meengi ya ukuu hata kama ni mdogo. Hata kwenye bibilia neno sheikh ipo.. so sijaona kosa kwa OMARY apo
@presenttruthloudcryforthel5338
@presenttruthloudcryforthel5338 2 жыл бұрын
Davista tuandalie Kanyerere na shekhe omari watuambie zaidi kama walijuana wakiwa humo au vpi
@elephasadalamaimaadante7115
@elephasadalamaimaadante7115 3 жыл бұрын
God is great
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 3 жыл бұрын
Afadhal umempata tumalizie story yetu
@djbullah2556
@djbullah2556 3 жыл бұрын
Nilikua nimeisubilia sana hii
@shaabanrobertwapili8045
@shaabanrobertwapili8045 3 жыл бұрын
Njia ya mrongo ni fupi
@ghatynyantebu592
@ghatynyantebu592 3 жыл бұрын
Faida nyingi za mbaazi tunaomba tuambiwe jamani.
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 3 жыл бұрын
Mnavyo pepesa macho utasema kuna maaskali wanakuja kuwakamata
@puritykibe3099
@puritykibe3099 2 жыл бұрын
Mbaazi ni mti upi jameni?
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Iyo heading inamaanishann
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 3 жыл бұрын
Ndo mana napendaga interview ya davista yan penye manufaa anapauliza hasa
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 Жыл бұрын
Sahihii
@namanga9786
@namanga9786 3 жыл бұрын
Njaaa itakufanya usemee owomgoo
@scholamwasi2782
@scholamwasi2782 3 жыл бұрын
Mjilani zangu mpo
@IGL-x1d
@IGL-x1d 3 жыл бұрын
Hujambo wngu😘😘😘🇪🇭🇪🇭
@matridalule6477
@matridalule6477 3 жыл бұрын
Duh
@salumabdi3127
@salumabdi3127 2 жыл бұрын
wakiristo wa saiv bwan wte ni watakstifu na wana bahat sana mn mpka saiv wao wanapata manabii na mitume wapya kila siku na kila anaeokoka anakutana au anafatwa na mungu chakusikitisha hii miujiza ya kushukiwa na mungu ni wao tu lkn kwa waislam hakuna icho kitu sio kwa mashekhe wala waumin wa kawaida hamn alieshukiwa na mungu....kwa mtazamo wangu hawa wanafatwa na mashetan wao wanasema mungu ndio hapo wanapoanza kupotea na kunza kutuletea maigizo hawajamaa ni wajuz wa maigizo ,,, haya huyu nae ametengua kifo duh huu mtihan sn istoshe huyu jamaa alipotea kwa kwnda kukamilisha hii story yake saiv ashatunga tyr amerud tna yaaan hawa wakiristo kirahis rahis tu wao wanaonana na mungu duh
@denizamahongo8557
@denizamahongo8557 3 жыл бұрын
Amerudi aisee
@masoudkatiba1484
@masoudkatiba1484 3 жыл бұрын
Jamaa alienda wapi3?
@zainabmbarak1043
@zainabmbarak1043 2 жыл бұрын
Shehe kadanganya nashetani
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 11 ай бұрын
Hii stori meamua kurudia kusikiliza upya, ila kila comment ya Muislam humu zimejaa chuki kwa huyu Mtumishi. Kiukweli kama kufunikwa ufahamu Waislam wamatia huruma, hasa wa huku Afrika. Waarabu wa bara Arabu walipigwa marufuku wasisome Biblia wala kuikalibia ili tu wasijue ukweli, sasa kutokana na muingiliano wa kusafiri na mitandao ya kijamii kujaa imefungua Waarabu wengi na wamempokea Yesu sasa hawa Maamuma wa huku hawajui kitu ila ndo vigego vya ubishi eti wamadai wanaweka misimamo bila kujitambua kama Majini ndio yanawafanya wawe hivyo.
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 10 ай бұрын
Safi 🙏
@laurineasira7195
@laurineasira7195 3 жыл бұрын
Elimu haikamiliki when still living
@makame3524
@makame3524 3 жыл бұрын
Mimi niwashaur tu kwamba mbali na kuskilza hiz stry tunatakiwa tujue pia mbinu au mipango anayoitumia shetan kumtoa mtu katika reli
@TITOtz
@TITOtz 3 жыл бұрын
@Mussa Salum Kiwango unachompimia ndicho utakachopimiwa
@makame3524
@makame3524 3 жыл бұрын
@@TITOtz kwa maana gani
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Kabisaa
@sumamelody6197
@sumamelody6197 3 жыл бұрын
Ata watoa wasio kuwa na elimu ya dini na wale wanao babaishwa na miujiza
@saidessry9942
@saidessry9942 3 жыл бұрын
shekhe omari muogope mola wako hapa tunasikiliza ushuhuda wa ukweli mimi ndio naanza kukusikiliza part ya kwanza hii lakini maneno yako yamejaa uongo hili sijambozuri sisi tunaifatilia channel ya davister kwasababu ya uaminifu wake na ufuatiliaji wake wewe shekhe lakini hata dua hujui hata quran hujui muislamu gani wewe tena sheke
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Season one uliiona? Mana huu Ni muendelezo
@saidessry9942
@saidessry9942 3 жыл бұрын
@@upendoluv7197 hapana sikuiona
@fidelbarutwanayo4068
@fidelbarutwanayo4068 3 жыл бұрын
Ulikuwa na mashetani ndio maana ulimuacha mkeo mrudie mkeo
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂huo ugomvi ssa wa ngumi
@mustafahmansoorchapu560
@mustafahmansoorchapu560 3 жыл бұрын
Mweke live siku moja
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
hayanikuti mimi kabisa
@saidsaleem1732
@saidsaleem1732 3 жыл бұрын
Shetani kazidi kumpoteza kwenye giza
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Nyie jamaa akili zenu mnazijua wenyewe
@makame3524
@makame3524 3 жыл бұрын
Kumbe unamjua vizur shetani
@heritier5119
@heritier5119 3 жыл бұрын
Ngoja awaaumbue
@aboubakarhidad2886
@aboubakarhidad2886 3 жыл бұрын
@@heritier5119 labda akuumbue ww huyo hajaokoka kazid kupotezwa na hao mashetan wake
@aboubakarhidad2886
@aboubakarhidad2886 3 жыл бұрын
@@ikabako2454 nenda kasome hyo bibilia yko yesu mwenyewe kaingia mskitini bibilia ina sema hivi "yesu alipo fika mji mtakatifu alivua viatu vyake aka tawadha na akaingia kwenye sina gogi (msikiti wa wayahudi) fungua bibilia yoyote agano jipya au agano la kale fungua nyuma kwenye neno maana utakuta maana ya sinagogi kua ni msikiti sasa kama sis waisilamu tunapotezwa msikitini basi na yesu wenu kapotea maana kaingia msikitini au pinga hyo aya ubishane na bibilia yko wa mwanz kupotea ni yesu maana ndio kaingia mwanzo msikitini
@saadiaali5609
@saadiaali5609 3 жыл бұрын
Sasa inamaanisha m'baazi hatakumbuka kana unaweza akasahau
@goldylinda
@goldylinda 3 жыл бұрын
Nataka no ya davista
@yustakipenya6231
@yustakipenya6231 3 жыл бұрын
Nilimsubir kwa hamu
@harerimanadaniel7202
@harerimanadaniel7202 2 жыл бұрын
Anatu saidia kwel
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Inaaailah wainaailaih raajiwun yaan ww ni njaa tuu inakusumbua nakuombea kwa allah akuzndue akili yako mapastor wachungaj wote sasa wanaingia ktk din ya haki huku kenya kwetu tushajua ni ipi din ya hak ww upo unaweweseka na njaa yako
@medardissa6253
@medardissa6253 3 жыл бұрын
We umekazana na dini mpaka Leo badala ya kutafuta wokovu
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
Hakuna alie okoka duniani mpaka kiyama tukihukumiqa ndo ukihukumiwa peponi ndo utasema wewe umeokoka kwa sasa huyo shekh kaangamia umelitadi
@user-hw7ce8gf6v
@user-hw7ce8gf6v 9 ай бұрын
Acha kujidanganya mwenyewe Quran 46 : 9 mohammed hajuwi kitakachofanyika juu yake au weye Islam ilianzishwa 610-632 AD afu unasema ni dini ya haki Wokovu ni kwa Yesu Kristo pekee hakuna mwingine
@8pistons194
@8pistons194 15 күн бұрын
Your allah is not alive how can he save someone😂
@ahmadisaid7318
@ahmadisaid7318 Жыл бұрын
Kati ya watu wajanja wajanja ni walokole huyu anataka kusema yeye ni nabii Mungu anawasiliana na mtu kama huyo kweli huyu anatafuta hela kama mtu una akili msikilize 1 paka mwisho utagundua hataukimuangalia mdomoni au usoni stori yake niyaujanjaujanja kama yeye anavyoonekana
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 10 ай бұрын
Tupe kanuni
@katerelomkuyati6764
@katerelomkuyati6764 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 HUYU JAMAA NI MUONGO SANA, ANAONEKANA ALIANDALIWA KWAAJILI YA KUJIFANYA MUISLAM, NDIYO MAANA ANASEMA KUNA VITU AMESAHAU, YAANI HANA REKODI YA KUMFANYA KUWA ALIKUWA MUISLAM NAMSHAURI ATAFUTE KIKI YA NYINGINE
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part-3)~Shehe Omary Mnyeshani
30:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 21 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 98 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 7 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 8 МЛН
MAAJABU PEMBA ...Fundi umeme mwanamke APATIKANA
18:49
Ally Abass
Рет қаралды 22 М.
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 1)~Shehe Omary Mnyeshani
34:08
PROMOVER TV
Рет қаралды 66 М.
NINI KIMETOKEA KWENYE MITANDAO HII GHAFLA?
14:36
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 38 М.
USHUHUDA WA SHEHE ALIYEOKOKA(Part 6)~Shehe Omary Mnyeshani
49:50
PROMOVER TV
Рет қаралды 28 М.
Девушка ограбила мажора, но…😳
1:00
Trailer Film
Рет қаралды 7 МЛН
Каха заблудился в горах
0:57
К-Media
Рет қаралды 8 МЛН
23 июля 2024 г.
0:11
Tszb😈😈
Рет қаралды 2,8 МЛН
КЕПКА КОМАРОВ
0:16
KINO KAIF
Рет қаралды 4,3 МЛН