Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu maana watumishi kama wew wakisha pata neema kidogo tu wanajinua kuliko Mungu lakin wew ni tofauti na hao Mungu akupe kuendelea kunyenyekea kwake utukufu na heshima apewe Mungu pekeee 🙏🙏
@AnetPius Жыл бұрын
Amina
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Amen
@loinamsungu7459 Жыл бұрын
Amieli ubarikiwe baba namungu akuinue uwe juuu zaidi uniombee na mimi
@seciliajales6172 жыл бұрын
Naitwa sesy nimebalikiewa sana baba
@jessemach44592 жыл бұрын
Injili inashika kweli wadada wote leo wako very smart,wamefunika utukufu wao kwa ajili ya Mungu...Glory to God most high.
@GulaniaMadulege-jy7ni10 ай бұрын
Neno la Mungu ni kweli, mtumishi fanya kazi uliyoitiwa na roho wa Mungu asizimishwe ndani yako
@smariamwambene95242 жыл бұрын
Mungu atusaidie kuweza kutawala na kumiliki chochote tulichopewa na kubarikiwa na mwenyezi Mungu
@fediliakweka17182 жыл бұрын
Im so blessed! Ubarikiwe mtumishiiiiiiii
@leahenockmrina53812 жыл бұрын
Amen natangaza kumili na kutawala kila mahali na kila eneo la maisha yangu popote tunapokanyaga katika ilimwengu wa Roho na damu na nyama yaani wa mwili wa kawaida katika jina Yesu Kristo natangaza natanka na imekuwa kwaku na watoto wangu na wajukuu zangu na vizazi vyangu vyote Amen
@kimsamespa84902 жыл бұрын
Wamama woiye muliamua kuwachana na hizo nywele mko smart Sana hii safari ya kuenda mbinguni haitaki uzembe
@graceshayo13472 жыл бұрын
Pastor Amiel Mungu akutunze jmn
@miria6592 жыл бұрын
Hapo nimepata naweza miliki lakini mwingine atawale nimekataa katika Jina la Yesu prayer point, Asante Sana mtumishi wa mungu
@seciliajales6172 жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu mtumishi
@claudiabyalugaba23812 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi Mungu amekupa kijiti hiki kituinua na sisi na kutuongezea maarifa ya kiungu. Utarudi lini Tanzania nitakuja huko Geita.
@failaprince9250 Жыл бұрын
MUNGU atusaidiye sana ilitushinde anasa zaduniya
@esternzigo71652 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Mungu atusaidie tuenende katika utakatifu
@saumukarisa9873 Жыл бұрын
Kweli pastor mungu akubariki sana kwa huo ujumbe
@sophiajonas34592 жыл бұрын
Asante Yesuuuuuuuuuuuu
@ويلماويلما2 жыл бұрын
Amen mungu akubariki mtu wa mungu
@adventinandyanabo9358 Жыл бұрын
Nakushukru Mungu kwa kutupa watumishi wazr watuinue kiroho ,, Mungu akubariki katekela Uingie mbinguni
@joannanekesa77582 жыл бұрын
AMEN AMEN mtumish wa mungu ubarikiwe
@riccahcate81262 жыл бұрын
Amen Amen Amen barikiwa sana mtumish
@evodiaathansio7692 жыл бұрын
Mungu akibariki nakupa hekima na maarifa zaidi ya hapo
@happykajeli54532 жыл бұрын
Amina baba niongoze niache dhambi niwe na roho mtakatifu mm pekee siwezi
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Mungu atakusaidia happy mwili no dhaifu lakini Muombe Mungu akusaidie....
@maryandason18152 жыл бұрын
OKOKA YESU atakupa roho mt.akusaidiee kuzishinda dhambi zote
@RahelyKudela22 күн бұрын
Aime🎉
@vincentyohanachakupewa22192 жыл бұрын
Amen sana mtumishi wa BWANA YESU
@ruthmoitui86372 жыл бұрын
Amina. Very deep teachings
@EliidiEdward9 ай бұрын
Kwa jina la yesu ninarudisha kilichopotea ameeeen
@salimarosematrida8399 Жыл бұрын
Amen Amen papa asante kwa tujenga mioyo yetu Mungu kweli akutiye nguvu vraiment
@JacksonFransisco Жыл бұрын
Ubalikiwe sana
@judithbett4202 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@saramss72622 жыл бұрын
Mtumishii barikiwaa SANA Mungu Akuinuwe SANA
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Nabarikiwa sanna
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Amen mutumishi wa mungu
@elijahwambugu83015 ай бұрын
Amen Joshua Amiel Katekela, nafuatilia mafunzo au Injili unayo hubiri.
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Ameeeeeeeen
@faithfavour18502 жыл бұрын
Powerful testimony, i need more of you Jesus my Lord
@maggyirene1102 жыл бұрын
Halleluyaa halleluya, huo ushuhuda wa ufufuo... Mungu wetu nimkuu
@maryandason18152 жыл бұрын
Amen blessed pastor
@elinajamson3252 жыл бұрын
Ameen.Ameen nmebarikiwa mno tena sana.nanimepokea ujasir mkubwa.MUNGU akubariki mno mtumishi
@HenryKamonde10 ай бұрын
Mm ni Henry nawafuwata
@UKENDESTEPHANOSHILLA9 ай бұрын
AMEN
@bonifasiemanueli212 жыл бұрын
Eti mpaka Leo sitaki uchungaji,anafurahisha,
@upendomhagama32369 ай бұрын
Ameeeee
@aivanalexander Жыл бұрын
Ninavyo msikiliza mtumishi wa Mungu ninamkumbuka baba YANGU haya haya ndio anayoyahubiri Ila watu wanapinga ninabalikiwa sana na jumbe hizi ninamhaidi Mungu kuendelea kukemea dhambi ubalikiwe mno A Man of God ninaomba siku Moja TWENDE karagwe Mungu ATOE Neema ya wokovu Kwa watu
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Hallelujah ✨🤍🙌
@helmashimba77612 жыл бұрын
Hallelujah
@EliidiEdward9 ай бұрын
Ameeeeen
@evodiaathansio7692 жыл бұрын
Ameeen
@flm15302 жыл бұрын
Ameeeenn
@agnethpaul35962 жыл бұрын
Mchungaji, Asante.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Hakika Injili ya Moto kabisaa,Nimetamani kumiliki sasa na Kutawala kabisaa
@mercywanjira3092 жыл бұрын
Am so blessed just wish one day it will be in English too
@peninahmwendwa25192 жыл бұрын
Ni ukweli mtumishi niliona dunia kama imekujwakujwa kama ule mpira wa football,jina LA yesu linuliwe.
@Priska247 Жыл бұрын
Huwa nachukiya watu kuitika mutu kafa na hawajauliza Mungu ili wahakikishe, maana na amini sana Mungu anaweza fufua hawo wanaokufa na sikusudi lake. Nimesha kataa naoneshwa ndotoni mutu mu familiya amekufa gafla nikakataa ndotoni na nilipo amuka nilizidi kukata kifo na kwakweli muchomba ambaye familiya iliambiwa amekufa Tena habari ikabadirika ameamuka. Wapendwa katika Christo Mungu anatenda tusiitike itike hovyo
@valentinanduku87182 жыл бұрын
Amen Yesu mfalme
@aivanalexander Жыл бұрын
M A Man of God tunaomba Ukalibie kwenye group letu utupe hata NENO MOJA Ili tupate kupona kupitia ulichonacho
@SarahCharles-t6l9 ай бұрын
Jactani mbona mchungaji hapokei simu 😢
@claudiabyalugaba23812 жыл бұрын
kutuinua
@myself41282 жыл бұрын
sauti inakata katika
@peninahmwendwa25192 жыл бұрын
Haliluya
@mchopaluka43192 жыл бұрын
Fundi mitambo
@seperatusthomas6543 Жыл бұрын
Kama una Nia yakufungua makanisa huyo ni kalama ya kitume
@vansmziray84382 жыл бұрын
Ilikuwaje baba akachukuliwa msukule wakati ni Mchungaji????
@trophywilson72112 жыл бұрын
Alikuwa amekengeuka ,hapa ni Duniani tunajikwaa kila siku ,Baba Yake si Mungu ni Mwanadamu hata wewe leo unaweza jikwaa ndani ya Haya Mahubiri
@trophywilson72112 жыл бұрын
Na Pia Mungu alitaka Katekela Akumbuke Mungu ni wa Ajabu na Amuinue
@graceshayo13472 жыл бұрын
Me ninachojua mtu anawez asiwe ametenda dhambi na akafa kabla ya wakat Ni kwa ajili ya mda mwingne tunalemea na dunia unawez ukafa ukaenda mbinguni Ila unakuw umekuf kabla ya ahad ya Mungu kutumia Kwan musa hakuenda mbinguni? Alienda sema hakuingia nchi ya ahadi
@trophywilson72112 жыл бұрын
@@graceshayo1347 Shetani anaweza kukatiza siku zako apendavyo maana Anacho kibali kufanya hivyo
@leahenockmrina53812 жыл бұрын
Vita vya watumishi ni kubwa alipopata supporter campany akashinda