Part2_USHUHUDA:MAONO YA MBINGUNI NA KUZIMU KWA MCH.ABRAHAM YAKUBU WA NIGERIA ALIYEKUFA KWENYE AJALI

  Рет қаралды 13,417

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuchangia kila mwezi jiunge na magroup haya hapo chini na kama unataka kuchangia mara moja tu tumia namba ziko hapo chini :-
1.JS01-Kuanzia Tsh.2,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.JS02-Kuanzia Tsh.5,000 kila mwezi,bonyeza link hii chat.whatsapp....
3.JS03-Kuanzia Tsh.10,000 kila mwezi bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia pesa ni: +255784074462 / 0766294335 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 68
@bekaogoro7071
@bekaogoro7071 Жыл бұрын
Ushuhuda mzuri sana wa kujenga imani, asante. Mubairikiwe watumishi wa mungu kwa kutuletea ushuhuda huu.
@carolyneinjendi7481
@carolyneinjendi7481 2 жыл бұрын
Nimegwama kwa junction waaa so powerful testimony be blessed
@jeremiavedasto9806
@jeremiavedasto9806 Жыл бұрын
Amen
@jetmanjayjay4604
@jetmanjayjay4604 7 ай бұрын
Proverbs 22:2 “The rich and poor meet together: the LORD is the maker of them all.”
@helmashimba7761
@helmashimba7761 2 жыл бұрын
Thank you
@MwangiChege-nz3oe
@MwangiChege-nz3oe 11 ай бұрын
Everything this man is saying is true I know the other side of life which the alive people don't know, let's pray and restitute our ways with God..hell and heaven is real HV bee there I know😢
@everlynenanjala9747
@everlynenanjala9747 Жыл бұрын
Tafathali Nina ombi moja kwa mtumishi wa MUNGU aliye pewa sirihii ya kufungua television hii ya promover,, yaani Africa nzima MUNGU alitupea jacktan musafiri kwa ajiri yake tuyajua haya yooote,, ambayo yalikuako lakini hatungeliyajua bila jacktan MUNGU wa mbinguni akubariki Sana👏👏👏👏👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪na umbilangu nihili tupate makanisa yatakayo elekza watu kwa njia ya kweli na ya kumpendeza MUNGU
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen nawe ubarikiwe
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 жыл бұрын
Amen Amen
@happyalbert5089
@happyalbert5089 2 жыл бұрын
Mh ! Ushuhuda huu!!Mungu anisaidie,ni kweli kifo hakitufahamu na Mungu anayo side B.Ndugu tutubu muda huu wakati tunayo nafasi.
@happynesskimt6249
@happynesskimt6249 2 жыл бұрын
Amina, 🙏🙏
@ayetafatuu8715
@ayetafatuu8715 2 жыл бұрын
AMINA Amen amen
@nifamalandi5304
@nifamalandi5304 2 жыл бұрын
Ushuhuda mzuri wa kujenga Sana .dhambi dhambi dhambi ndo italetea wanadamu mauti ya milele.Yesu nirehemu unisaidie nitue mizigo yote ya dhambi unioshe kwa damu yako. Swali...wakati mt Abraham akiwa amekufa duniani.mwili wake ulikua wapi hizo siku zote na zilikua ngapi.familia yake haikumzika mpaka akarudi katika mwili wake wa duniani
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki jacton msafiri umetunga Sana Kwa shuhuda mbali mbali 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Shalom2018
@Shalom2018 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie tuishi maisha matakatifu ili mwisho wetu uwe mwema
@flourishing_wilderness6072
@flourishing_wilderness6072 10 ай бұрын
Mtumishi mzuri sana , tunashukuru promover. Ni kweli Mungu ni Pendo lakini akigeuka ni heri shetani . Mungu ndie anaestahili kuogopwa sana na wa kutisha sana.
@lucyjoseph4216
@lucyjoseph4216 2 жыл бұрын
MUNGU wangu nisaidie mie mwanao niilinde imani hadi mwisho🙏
@danielmatemu9698
@danielmatemu9698 2 жыл бұрын
It is a TERRIBLE thing to fall into the hands of the living God. Hebrews 10:31 NLT This verse comes in my mind when this man was speaking at 6:30 May the LORD have mercy on us and help us all…
@elizabethokutoi1805
@elizabethokutoi1805 2 жыл бұрын
eeeh God , Forgive me, I repent all my sin. Nionee Huruma Unirehemu Baba
@yungharry2204
@yungharry2204 Жыл бұрын
Thank you Lord for your life
@yvonnewitandaye1873
@yvonnewitandaye1873 2 жыл бұрын
Amen Amen Yesu tusaidiye kushinda zambi.
@naomikalinga3042
@naomikalinga3042 2 жыл бұрын
Barikiwa jactan kwa shuhuda unazo tuletea YESU nisaidie na Mimi kuzishinda zambi za dunia hii ili siku moja nikauone ufalme wako tena mimi Ni mwenye zambi nisamehe baba jehanamu siitaki .naomba niongoze YESU ili niwe na mwisho mwema
@shukurumwinami4958
@shukurumwinami4958 2 жыл бұрын
Wow. jesus he is good in deed.
@tamarali8325
@tamarali8325 2 жыл бұрын
Asante Yesu kwa maisha ya huyu mtumishi wa Mungu. Barikiwa mtafusiri. Jacktan Barikiwa na promover kwa ujumla. mnafanya kazi kubwa mno. Mungu awatangulie kwa jina la Yesu.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@elizalaya7887
@elizalaya7887 2 жыл бұрын
Yesu tusaidie kuweza kuzushinda dhambi za humu duniani
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 2 жыл бұрын
Amen 🙏...
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
This has made me bounce back to salvation road
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Be blessed thank you
@rosepeter8996
@rosepeter8996 2 жыл бұрын
Mtafusiri wetu barikiwa unatafusiri vyema sana....waha niseme nimejifunza kitu kupitia shuhuda hii na zingine nyiingi amabazo hua nafwatilia through hii chanel.barikiwa sana unaye tutolea hushihuda huu na kwa wanukuu wetu jacktan na wenzio m barikiwe sana🙏
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@elizabethopere2784
@elizabethopere2784 2 жыл бұрын
Jmn ushuhuda mzuri....
@carolyneinjendi7481
@carolyneinjendi7481 2 жыл бұрын
God remember me
@meshackmyumpu2139
@meshackmyumpu2139 2 жыл бұрын
Asante Sana promover TV, mnaifanya kazi nzuri Sana ya uinjilisti. God bless you.
@PromovertvTz
@PromovertvTz 2 жыл бұрын
Amen
@lucyakinyiowino8600
@lucyakinyiowino8600 2 жыл бұрын
This testimony has brought me a reminder i had of a junction road on thr right narrow with a lot of rocks on it while the left was broad ,soft and had green plants very pleasing to the eye,i now understand what i saw in my dream Lord Jesus Christ have mercy on me
@lucyakinyiowino8600
@lucyakinyiowino8600 2 жыл бұрын
I found myself following the left road ,soft and pleasing to the eye 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Lord have mercy
@evangelistdanielsenyagwa4018
@evangelistdanielsenyagwa4018 2 жыл бұрын
Yesu tusaidie
@roselineatamba916
@roselineatamba916 2 жыл бұрын
Ni seme nini, ni toba tu, Huyu Mtumishi, nimemuona Heaven Seekers akishuhudia asanteni sana Promover tv
@shukurumwinami4958
@shukurumwinami4958 2 жыл бұрын
Basi wewe ni mfuatiliaji mzuri sana wa chanell mbalimbali. Barikiwa
@roselineatamba916
@roselineatamba916 2 жыл бұрын
@@shukurumwinami4958 Asante
@everlynenanjala9747
@everlynenanjala9747 Жыл бұрын
Muchunguji ubarikiwe kwa ushuda huu ambao umeniinua iliniendelee kusimama imara ,,
@joycekaphevemba7215
@joycekaphevemba7215 2 жыл бұрын
Jameni Mungu aturehemu na atusaidie tufuate njia zako kikamilifu🤔🤔
@anitababyderickwasike7872
@anitababyderickwasike7872 2 жыл бұрын
God forgive us our sins...
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
YESU tusaidie
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 2 жыл бұрын
Amen God bless you servants of God
@jesusismyking5292
@jesusismyking5292 2 жыл бұрын
lord have mercy on my soul
@lucykarebe1567
@lucykarebe1567 2 жыл бұрын
Yesu atufungue kuelewa kwetu anapotuonya kupitia hawa watumishi, tusidanganyike dunia tuna muda mchache sana.
@lucykapinga369
@lucykapinga369 2 жыл бұрын
Hakika
@MaggieG276
@MaggieG276 2 жыл бұрын
Oh now I remember this man of God I came across his testimony in youtube a while ago thank God he is in our country now.
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Where was his testimony aired before??
@veronicadavid4613
@veronicadavid4613 2 жыл бұрын
Yea na Kuna mwingine sijui Ezekiel who hmm izo testimonies 🙏🙏🙏
@MaggieG276
@MaggieG276 2 жыл бұрын
@@irenek7280 check pastor abraham yakubu testimony on KZbin,many youtuber have shared his testimony
@EvangelistMathayo2604
@EvangelistMathayo2604 2 жыл бұрын
Hee Mwenyezi Mungu naomba unisamee ma dhambi yangu yote nilizo zifanya kwakujua ao kutokujua ninaomba Rehema zako zinifunike siku zote za maisha yangu
@veronicadavid4613
@veronicadavid4613 2 жыл бұрын
Waiting for the remaining parts ushuhuda wake ukuwa mrefu
@joycekaphevemba7215
@joycekaphevemba7215 2 жыл бұрын
Part 3 plz
@reginaruta3249
@reginaruta3249 2 жыл бұрын
Nauliza hapo anaposema untaonyeshwa dhambi zote ulizofanya. Je nazile ulizofanya kabla ujaokoka zitaonyeshwa au baada ya kuokoka? Amina ubarikiwe
@shukurumwinami4958
@shukurumwinami4958 2 жыл бұрын
Unaweza ukawa umeokoka na ukawa hujatubu dhambi hizo (TOBA YA KWELI), Lakini ukisha kiri JINA LA KRISTO ndipo yote yatakuwa yamefutwa. Barikiwa sana
@sifandayishimiye1929
@sifandayishimiye1929 7 ай бұрын
Ee mungu nisa idiye niponye moto wajehanamu
@miria659
@miria659 2 жыл бұрын
This is a great testimony promover family let's plead for God mercy coz it will be shameful to access all this truth n still miss heaven 🙏
@levismike16
@levismike16 2 жыл бұрын
Tafsiri inatatiza sanaaaaa
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 2 жыл бұрын
Be blessed man of God,, we are still learning more and more
@irenek7280
@irenek7280 2 жыл бұрын
Oooh my ... thanks to God nimeweza kuiskia huu ushuhuda ...promover and team barikiweni saaana ....this man is 🔥🔥🔥🔥the testimony is life changing ... blessings to you man of God from Nigeria together with your interpreter ... waiting for continuation 🙏🙏🙏
@cosmasshauri9002
@cosmasshauri9002 2 жыл бұрын
The translator is not competent! Anasema maneno mengine ambayo hayapo
@shukurumwinami4958
@shukurumwinami4958 2 жыл бұрын
Don't worry hata hivyo amejitahidi sana
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 жыл бұрын
Nina swali je kama umeikoja utakumbushwa dhambi zako?
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 2 жыл бұрын
Amen
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
KTN News Kenya
Рет қаралды 29 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,7 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 28 МЛН
NYISAKI CHAULA USHUUDA WA JEHANAM NAMBA 2
8:21
PASTOR NYUNDO
Рет қаралды 4,2 М.
😭nyumba kumomoka kahawa west
36:43
Paxson Tv
Рет қаралды 857
RUTO HAS ATTEMPTED TO KILL ME 3 TIMES- GACHAGUA ADDRESSES THE NATION
10:12
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,7 МЛН