Part 2_KUMBI 23 ZA HUKUMU BAADA YA KUFA|Ushuhuda wa Abraham Yakubu wa Nigeria

  Рет қаралды 9,614

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@robertsilington-cu4dz
@robertsilington-cu4dz Жыл бұрын
Mungu nisaidie kuiacha dhambi
@josephbaraza8800
@josephbaraza8800 Жыл бұрын
Yesu kile unahitaji ndo nikuone niwewe unajuwa ila ombi langu ni ya kwamba unishike mkono.usiniwache hata sekunde moja.unionye,unirekebishe,unichape na vinginevyo ili mradi nisiikose mbingu 😭😭😭😭😭. naomba baba🙏 Amina 🙏.
@bintmwambapa7734
@bintmwambapa7734 Жыл бұрын
Eeee Bwana YESU naomba kibali chakuishi ktk Neno lako sitaki kwenda jehanamu nisaidie MUNGU wangu kuto kukutenda dhambi.
@re.emmanuelmdoe3345
@re.emmanuelmdoe3345 Жыл бұрын
Toba na Rehema ziwe Nami katika Kristo Yesu wa Nazareth 25/01/23 Matendo 3:19 ahsante Sana,
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Baba uliye juu mbinguni nisaidie kuishi katika neno lako takatifu mda wote Amina
@bintmwambapa7734
@bintmwambapa7734 Жыл бұрын
Jacktani YESU Kristo akulindi siku zote za maisha yako,akukumbuke kwenye ufalume wake kwakazi yako ,hakika najiona Sina utakatifu wowote natamani niongizwe upya Sala ya toba.
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen amen
@janengaga2928
@janengaga2928 Жыл бұрын
Ewe Mungu nakusihi nisaidie niishi maisha ya utakatifu nisiikose mbingu nisamehe hakika wewe pekee ni mtakatifu na wa haki.Ila kuingia mbinguni si mchezo jamani 🤚🙌🙏🙆 ni neema tu maana viwango vya utakatifu ni vikubwa mno namna mfano.🙏😭🤔🙄🙌
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 Жыл бұрын
Mungu nisaidie kutenda yalio mema ke🙏🇰🇪
@miria659
@miria659 Жыл бұрын
Shukrani sana promover Tv
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 Жыл бұрын
Yaani hii ushuhuda inafanya natetemeka Mungu ni Rehemu
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Barikiwa! Kwa uelew wng mdg najua Mungu na shetani hawana uhusiano au mawasiliano kwamaana ya yakirafiki kama mtu na rafiki yke la! Ila adui kwakuw yey ndy mshitaki wetu huenda mbele za Mungu kutimiza UPANDE WA mashitaka maana Yeye si ndio baba na mwanzo WA uovu? Hvyo yyte anaeenenda kufuata nyayo zake n Mali yke" kila atendae DHAMBI ni WA ibilisi" hvyo hujitokeza kukamilisha tu UPANDE WA mashitaka lkn sik Ile ya utiisho mkuu ataangamizwa Kwa kutupwa motoni.
@evermayala5817
@evermayala5817 Жыл бұрын
Duuuh 😢
@cornelgwarda3849
@cornelgwarda3849 Жыл бұрын
Emungu nisaidie
@mwalimubarakajustin745
@mwalimubarakajustin745 Жыл бұрын
Hofu ya zambi na uovo wa kila namna uchipuke moyoni.
@merysebastan2169
@merysebastan2169 Жыл бұрын
Kama mafundisho haya hayafundishwi makanisani tena yale ya kiroho unafikiri Nani atapona? Wengi wanapotea kwasababu_ _ _ _
@gloriaakyoo2079
@gloriaakyoo2079 Жыл бұрын
Yesu atusaidie sana
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Жыл бұрын
Hapa nikujikana kubeba mzigo wako mwenyewe yaaani naona tungefundishwa uaminifu na utakatifu
@gloriaakyoo2079
@gloriaakyoo2079 Жыл бұрын
Kabisa wapi tutapata kanisa la kweli wapi tutapata kuijua kwelii hii kama sio neema ya kristo ni nani basi atapona makanisa ya leo yamekuwa na mamb meng sana ninani atapona Yesu tunaomba mafundisho haya wayapate na wengine ambao bado hawajayaskia amen
@sabinagwerino8493
@sabinagwerino8493 Жыл бұрын
Kama kuna mtu anaweza kunielezea kwa nini shetani na upande wa mungu bado wanamawasiliano nitafurahi maana ninachanganyikiwa
@eaflix3601
@eaflix3601 Жыл бұрын
Iyo haki ya Shetani kukutana na Mungu na kuongea na Mungu aliipata kutoka kwa Adam mwenyewe, maana Adam alipewa umiliki wa hii Dunia, alipo mskiliza shetani ndipo ile haki akampa shetani na shetani akawa mtoto wa Mungu, Soma Ayubu 1:6 utaona hii, na ndio maana shetani ana hangaika kutaka kila roho iangamie na dhambi ili kusiwepo mtu hata mmoja mwenye haki akiwa hai na akifanikiwa hii anakuwa automatically yeye tu ndio mtoto wa Mungu aliye msafi na hatoweza kwenda motoni, na ndio maana alitaka kumuangusha Yesu kwenye dhambi au kumuua alipokuja ili achukue haki ya umiliki wa Mbingu aliyo nayo Yesu, na hapo na yeye angekuwa sehemu ya Kiti cha Enzi kama Mungu mwana na hapo hawezi kuchomwa moto!! Shida yake ndio iyo tu!!
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 Жыл бұрын
Shetani akawa mtoto wa Mungu how 🤔
@mwalimubarakajustin745
@mwalimubarakajustin745 Жыл бұрын
@@eaflix3601 Mtu wa MUNGU, soma Ufunuo 20:7-10, 12:7-8, swala la shetani kupata sehemu mbinguni ni lakusahau kabisa. Sehemu yake imeandaliwa na Bwana, ni jehanam, hili ni agano la milele. Mungu atukumbuke katika rehema zake.
@chrisdeoglatias8665
@chrisdeoglatias8665 Жыл бұрын
Uhusiano au mawasiliano kwamaana ya yakirafiki kama mtu na rafiki yke baina ya Mungu na shetani hayapo ila kwakuwa yy huyo n mshitaki wetu mbele za Bwana hujitokeza hata kuonekana km anamazungumzo na Mungu ila n ktk kutimiza tu ULE UPANDE WA mashitaka na kumdai mtu kuwa n wake endapo aliishi ht kufa ktk dhamb maana imeandkw ATENDAE DHAMB N WA IBILISI" hvyo hutokea Ili kumdai mtu huyo. Ni km alivyotumwa malaika wakaugombanie mwili WA Musa! Ila baada ya kuwashitaki wanadam wte wanaohtajika kutupwa NAE NAE atatupwa motoni!
@eaflix3601
@eaflix3601 Жыл бұрын
@@mwalimubarakajustin745 Uko sahihi, lakini unajua kuwa Shetani Adam ndio alimpa haki yake mwenyewe Shetani!? Adam ndio alipewa umiliki wa Duniani na alipo kula tunda na kumsikiliza Shetani ndipo alipo mpa haki ya Umiliki Shetani, na ndio maana shetani alimwambia Yesu pale alipo mchukua katika roho ili amjaribu alimwambia kuwa, "Mali na kila kitu cha Duniani, nimepewa mimi, niabudu tu hivi vyoote vitakuwa vyako" Je ni wapi biblia inasema Mungu alimpa Dunia Shetani? HAKUNA! Adam ndio alipewa izo haki juu ya Ardhi ila alimpa Shetani izo Baraka, ndio maana akaanza kula kwa kuhangaika na hata wanyama hawakumtii tena!!
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 18 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 96 МЛН
PART 2 KUMBI 23 ZA HUKUMU YA MUNGU  BAADA YA KUFA/IBRAHIMU YAKUBU
28:26
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 13 М.
Elza love to eat chiken🍗⚡ #dog #pets
00:17
ElzaDog
Рет қаралды 18 МЛН