Part 1_KUMBI 23 ZA HUKUMU BAADA YA KUFA|Ushuhuda wa Abraham Yakubu wa Nigeria

  Рет қаралды 16,602

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 48
@mwalimubarakajustin745
@mwalimubarakajustin745 Жыл бұрын
Dunia ni kivuli machoni mwa mutakatifu wa Bwana, tuwe na nguvu katika utiifu wa neno la Muumba wetu.
@zenajuma4501
@zenajuma4501 Жыл бұрын
Wanadamu tumrudie Mungu wetu kwa kutenda mema na kutubu dhambi zetu.
@veronicawilson4263
@veronicawilson4263 Жыл бұрын
Ee Bwana YESU naomba unioshe Kwa damu yako ya thamani mm ni mwenye dhambi naomba rehema zako Ee MUNGU wangu 😭😭😭
@goddaughter8312
@goddaughter8312 Жыл бұрын
Mungu turehemu. Tusame sambi zetu
@queenesther8505
@queenesther8505 Жыл бұрын
Mungu wetu uturehemu,tunakuhitaji maishani mwetu.
@user-mf5ze5oi9k
@user-mf5ze5oi9k Жыл бұрын
MUNGU NIPE MWISHO MWEMA🙏
@bettytangus
@bettytangus Жыл бұрын
Tangu niwajue promover,nimegrow spiritually Kwa kiwango Cha juu sana, our God knows the great work you are doing,may the lord bless you with eternal life, Amen!
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen amen
@gosbertgideon6843
@gosbertgideon6843 Жыл бұрын
Namm pia maana nimekua jasiri mnooo
@user-sn2pl9kh9j
@user-sn2pl9kh9j 6 ай бұрын
Asanteni sana Burundi tunawasikiliza kila siku neema ya Mungu iwe juu yenu
@deboramshiha4058
@deboramshiha4058 2 ай бұрын
Mungu uwe juu yetu
@user-xi5bl4tp2m
@user-xi5bl4tp2m 7 ай бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA KWA HUDUMA HII MNATUKUMBUSHA KUWA SAFI TUOMBEA E SIKU MOJA TUMUONE YESU WETU NAWAPENDA
@JohnKamau-p1q
@JohnKamau-p1q Ай бұрын
Mungu niwezeshe kutembea hii dunia na hekima.niishi maisha ya kukupendeza.
@bintmwambapa7734
@bintmwambapa7734 Жыл бұрын
Eeee YESU Asante kwa Neema hiii yakuamini Neno lako, sijutiii kujiunga na promover hakika MUNGU awabariki Sana,mmenifanya kuogopa Sana kuludi dhambini kwakupitia shuhuda izi yaani naogopa Sana jehanamu.
@isayanyingi6622
@isayanyingi6622 Жыл бұрын
Mungu protect this Media,,,,ameniii
@peninahkariuki4679
@peninahkariuki4679 Жыл бұрын
Ameen, watching from Kenya 🇰🇪 🙏
@nurumwita9034
@nurumwita9034 Жыл бұрын
Bwana Yesu turehemu sisi ni wenye dhambi sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi.
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 Жыл бұрын
Bwana Yesu tufunze jinsi yakukaa katika Neno lako,,bila wewe hatuezi
@agnestunu5527
@agnestunu5527 Жыл бұрын
MUNGU TUSAIDIE KUFATA NJIA UNAYO PENDA TUIFATE,Ameeen
@victaeliud948
@victaeliud948 Жыл бұрын
EE YESU NIREHEMU MIMI MASKINI NA MWENYE DHAMBI NYINGI NIOKOE NAKUNISAIDIA KUFIKA MBINGUNI... promoter tv MUNGU pia awakumbuke katika ufalme wake maama mnafanya kazi tukufu. Nawapenda sana
@levismike16
@levismike16 Жыл бұрын
Yesu Kristo tusamehe dhambi na utuepushe na maovu.
@kimarioedifesta4161
@kimarioedifesta4161 Жыл бұрын
Mie sijui tena mungu atupe neema maana sijui mungu ni saidiye siwesi pekee yangu baba
@kevoalwodo5655
@kevoalwodo5655 Жыл бұрын
Ameen ushuhuda mzito .mungu atusaidie sana
@JohnKamau-p1q
@JohnKamau-p1q Ай бұрын
Mungu mhurumie bwanangu aokoke
@bekaogoro7071
@bekaogoro7071 Жыл бұрын
Asante kwa maonyo haya.
@labanijapheti3045
@labanijapheti3045 Жыл бұрын
Promover Mungu awalinde kwa kutupa shuhuda hizi naomba pia kama itawezekana kutuletea muendelezo wa ushuuda wa mchungaji Jonas wa Congo
@PromovertvTz
@PromovertvTz Жыл бұрын
Amen,kwa sababu zisizozuilika hatutaweza kuleta mwendelezo wa huo ushuhuda wa Jonas,tunaomba radhi kwa hilo.Endea kufatilia promover tv tutaleta shuhuda nyingi nyingi hivi karibuni
@labanijapheti3045
@labanijapheti3045 Жыл бұрын
@@PromovertvTz Amen mubarikiwe na Bwana Yesu Kristo
@barnabasmboya7688
@barnabasmboya7688 Жыл бұрын
Nafuatilia kutoka Russia . Nabarikiwa na shuhuda hizi
@saidmatikiti1566
@saidmatikiti1566 Жыл бұрын
Mungu tuhurumie
@Esther-Bri
@Esther-Bri Жыл бұрын
MUNGU nifundishe, nirehemu na kunielekeza Sawa Sawa na Mapenzi yako, Eeeh BWANA nakuhitaji Sana
@misnasma7875
@misnasma7875 Жыл бұрын
Ee Baba nisamehe dhambi zangu,..nisaidie nifanye ninayopaswa kutenda machoni pako
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
TUZIPENDE NA KUZIHESHIMU ROHO ZETU, MAANA ROHO ZETU NI ZA THAMANI KUBWA KULIKO CHOCHOTE KILE TUNACHOWEZA KUPATA HAPA DUNIANI. TUTUMIE HEKIMA KTK KUJUA NI NINI YALIYO MAPENZI YA MUNGU, MAKAMILIFU NA YA KUMPENDEZA!!
@BHULENGE
@BHULENGE Жыл бұрын
👏👏
@merysebastan2169
@merysebastan2169 Жыл бұрын
Ni kuzimu sio jehanum
@tulizorukundo9458
@tulizorukundo9458 Жыл бұрын
MUNGU atusaidie kabisa
@bartazarideogratius5611
@bartazarideogratius5611 Жыл бұрын
Sisi ni Mavumbi na Mavumbini Tutarudi ,
@geoffgaks2346
@geoffgaks2346 Жыл бұрын
hizi testmonies za heaven nd hell mingi ni uongo mbona hua hazifanani kila mtu huja n heaven tofauti
@veronicamahende3718
@veronicamahende3718 Жыл бұрын
Mmmmmh kwahy kuzimu ni moto na sio mateso ya bila moto...nakumbuka katekela alisema ni mateso ila moto bado mpk kiama au hii imekaaje?
@bartazarideogratius5611
@bartazarideogratius5611 Жыл бұрын
Luka 16:23-24; Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake. Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
@@bartazarideogratius5611 umejibu vema!! Kunywa soda nalipa meme
@daudijacob7377
@daudijacob7377 Жыл бұрын
Kuzimu Kuna moto lakin jehenam ndo bado siku ukifika kuzimu nayo pia itatupwa jehenam Ivo kuzimu Kuna moto na wako wanasubir moto wa jehaman ambao n makubwa Zaid
@veronicamahende3718
@veronicamahende3718 Жыл бұрын
@@daudijacob7377 oooooh noooo na KRISTO BWANA anisaidie nisifike huko 😥😥😥
@BerylSeer1
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Ara 😅😅
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
Muulize huyo mshuhudiaji, kipindi chote hicho hakuhisi njaa?
@sarahjacobs8814
@sarahjacobs8814 Жыл бұрын
Mwili wa Roho hausikii njaa
@williamnamende1023
@williamnamende1023 Жыл бұрын
Miili hii ndio inanjaa ila ile haina njaaa maana ufalme wa MUNGU si kwakula wala kunywa
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Жыл бұрын
@@williamnamende1023 Asante kwa jibu ila angejibu mwenyewe. Kama haisikii njaa mbona yule tajiri alipata mateso na njaa kule kuzimu? Niliuliza hivyo kwasababu yeye hakuwa ameokoka alipokuwa anachunguzwa.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 38 МЛН
Just Give me my Money!
00:18
GL Show Russian
Рет қаралды 1,1 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 52 МЛН