Amen barikiweni na muwe na safari njema YESU KRISTO awatangulie
@florencemueni11832 жыл бұрын
Karibuni sana nyumbani watumishi wa Mungu i wish ningekua nyumbani niwaone kwnza Amieli unitia nguvu sna za kiroho na ushuhuda wake....i love u guy's save journey
@veronicahmui64192 жыл бұрын
Karibuni sana kenya... twawapenda sana. Kenya hakuna matata. Mungu awajalie safari njema kwa jina la Yesu
@pendonaomi18252 жыл бұрын
Mungu awaongoze na kuwarinda ktk kuifanya kazi yake🙏
@sisterolivia98742 жыл бұрын
Tuko tayari... A kenyan in Asia Am glad about your efforts in building the kingdom of God.. Glory to almighty God
@gracewahu87412 жыл бұрын
Karibuni kabisa Nyumbani kenya ingawaje tuko bali kidogo wengine wetu, tunawaombea tunanena Damu ya yesu iwafunike Roho mtakatifu awaongoze , tutafuatilia hapa hapa online 🙏🏽
@hildpaul78232 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu mfike salama
@lynodari38242 жыл бұрын
Asifiwe Bwana wetu Yesu Kristo ...Haleluia! Karibuni sana Kenya watumishi wapendwa wa Mungu. Na mje Mombasa pia.
@josephinemuhonja7432 жыл бұрын
Amina.karibuni Kenya watumishi wa Mungu. Safari njema na Mungu awalinde kwa jina la Yesu Kristo
@leahbhoke87182 жыл бұрын
Karibuni saaana Nairobi Kenya watumishi wa Mungu Bwana Yesu Awafunike na Damu yake awape ulinzi barabarani na awatunze
@milkahwambuinjengambothu61732 жыл бұрын
Karibuni Kenya. heri ningepata nafasi ya kuja Nairobi. Bwana Yesu awalide na awatunze
@maryandason18152 жыл бұрын
Wooow GOD is good all the time.. YESU wangu afakishe salama mrud salama ktk jina la YESU litukuzwe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 wapo wameshajiandaa kuwapokea watumish was YESU alyeshinda kifo na kaburi. Mbarikiwee San pastor na promover TV.
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Ameeen...nawafunika kwa damu ya YESU
@theophiledeleternel91522 жыл бұрын
Bwana awabariki sana kbs kwa kazi ya Bwana mnayoiendea
@lucykarebe15672 жыл бұрын
Karibuni sana Nairobi Kenya Bwana Yesu awalinde katika safari Mfike salama Amina.🇰🇪
@wkjshsxbbsbs63922 жыл бұрын
Most highly welcome to Kenya 🇰🇪🇰🇪may God guide you always watching from Saudi Arabia
@peninahkariuki46792 жыл бұрын
Ameen welcome Kenya 🇰🇪 we love visitors
@emmanuelmtui40762 жыл бұрын
Safari njema
@piliechildofkingjesus45942 жыл бұрын
Karibu sana nyumbani Kenya. Mungu awatangulie kila mtakapoingia nakukanyaga. Mbarikiwe sana
@samajtz1732 жыл бұрын
Majeshi ya BWANA Yesu kristo yawarinde Mfike salama. Tuko pamoja Amani ya Yesu iwendani yenu.
@millicentnaliaka2 жыл бұрын
Amen Amen Amen Mungu awaongoze nimefurahia sana sana wacha Mungu ajidhihirishe katikati yenu
@justinianrubandwa79572 жыл бұрын
Bwana YESU KRISTO awe pamoja nanyi katika safari yenu, awabariki sana katika uinjilishaji, jina lake lipate kutukuzwa milele na milele Amina.
@wiliezecharia95752 жыл бұрын
Safe journey,welcome kenya
@pendonaomi18252 жыл бұрын
Jacktan hongera kwa hayo mafunuo Kaza mwendo utapokea taji isiyoharibika
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@kelvinmbutu2402 жыл бұрын
karibuni sana kenya.God bless
@happykajeli54532 жыл бұрын
Safari njema ikawe ya baraka mbele za bwana muimalize kazi ya Mungu salama
@irenek72802 жыл бұрын
Woooi unfortunately am out of my country Kenya ... would be glad to meet you but I know there will be a time ...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪barikiweni Wachungaji
@ويلماويلما2 жыл бұрын
Amen amen karibuni Sana mtulishe kilicho andaliwa n mungu
@mwananyamalaz44272 жыл бұрын
Tunawapata sana Asante Sana God bless you 🙏
@naomimunanga63632 жыл бұрын
😀😀👍 karibuni sana kenya, mungu awasafirishe salama.
@sallymumia84252 жыл бұрын
Glory to Jesus Christ, hallelujah, waiting for you.👏👏👏👏👏
@aminam.4102 жыл бұрын
Safari iwe njema Bwana Yesu awafikishe salama
@achsahcharles67282 жыл бұрын
Travel safe, Salaam kwa mtumishi Amieliiiii😀😀😀😀😀
@janendegwa17482 жыл бұрын
You are so much welcome.may the almighty give you journey mercies in Jesus mighty name
@munywokimakaa47772 жыл бұрын
Karibuni Kenya we love you guys.
@yvettekyalika9072 жыл бұрын
❤️❤️🔥🔥 BWANA YESU asifiwe 🔥🔥❤️🔥
@melesianageorge20122 жыл бұрын
Mungu awatangulie mfike salama na mrudi salama
@salomekemunto13732 жыл бұрын
Karibu Sana wachungaji kwetu Kenya na Injili iende Mbele.
@lydiamichael55092 жыл бұрын
Karibuni kenya watumishi wa Mungu twawaombea safari njema,,Kenya twapenda wageni muwe huru kabisa Neno la Bwana liende mbele watu wafunguliwe waokoke katika jina la Yesu KRISTO mwana wa Mungu Amina.
@noelashaoona2 жыл бұрын
Be safe and stay blessed
@saramss72622 жыл бұрын
WOW 😲😲😲 Mungu nimwema atafanya wepesi wake asanteee SANA jackat
@saramss72622 жыл бұрын
Aminaaa Watumishi mbarikiwee SANA
@monicahnjeri2572 жыл бұрын
karibuni sana kenya
@japhetthabit94282 жыл бұрын
Ameen Mungu awatangulie
@charigrace59932 жыл бұрын
Damu ya Yesu iwafunike, Shalom
@lovenesswalter66502 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@carolinemwugusi89452 жыл бұрын
Safari njema watumishi wa Mungu mfike salama nyumbani Kenya
@mariamngowa28822 жыл бұрын
Amen safari njema Mungu awatangulie
@bettywanjala56302 жыл бұрын
Karibuni sana sana Nairobi
@elizajeremiah7742 жыл бұрын
Karibuni Sana Kenya Mungu awatangulie
@reginaindakwa78122 жыл бұрын
Karibuni Kenya , safari njema
@kithia1002 жыл бұрын
Karibu sana Kenya akuna matata
@conqueror41072 жыл бұрын
Wow.. Karibuni sana nairobi jacktan
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Asante
@zeldamzena92952 жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi..lakin mara baada ya safari ya kenya muendeleze basi ule ushuda wa mch Amiel katekela msimu unaofuata ..ni shuhuda nzito zenye fundisho na zenye kutufungua mengi sana mbarikiwe sana.
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Amen
@josephomuto32402 жыл бұрын
Karibuni Sana Kenya. Sanaaa. Sanaaaaa.
@cynthiawanyonyi50942 жыл бұрын
Karibuni sana Kenya. Mungu awalinde
@eliasmoisesmbedo72972 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@juliekhaeli85602 жыл бұрын
Karibuni sana watumishi wa mungu
@tracyangells75952 жыл бұрын
Mbona Tuu Tupo ! Tunawasubiria kwa hamu Jacktan na Wenzako na Mtumishi Safari Njema Mungu na Awalinde 🙏