Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya Alleluya utukufu kwa Yesu kristo wa nadharethe aliye hai.
@nancyisoyi8164 Жыл бұрын
Trueee GOD IS WITH US🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Ehh MUNGU NGUVU YETU🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Ilete BARAKA KWETU🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@dorcasmugure56992 жыл бұрын
Am blessed listening to this message I never knew mtumishi katekela has ever been in Kenya am ever blessed with his messages.
@VictoriaMachozi Жыл бұрын
Mungu Wangu akubariki sana mtumishi wa Mungu mafundisho yako yananipandisha himani Asante sana kabisa
@fedhajoseph76872 жыл бұрын
Asante sana Yesu kristo kwakunikubali na kunipokea pamoja na dhambi zote nilizo zifanya.
@Lusenera2 жыл бұрын
Your teaching inanipa kiu zaidi,in brief empowers me ,Jesus bless you.
@maloleproduction17692 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu nitakutafuta kwa kweli maana nipo GEITA
@leahbhoke87182 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥Ahsante Yesu Kristo kwa upendo wako
@dorcasmugure56992 жыл бұрын
This message has truly ministered to me I am one person that dreams alot, I dream not less than two to three dreams per night, and many are the times I am not able to understand the dreams, but today I thank God some of the dreams God's servant has mentioned have occured many times. Now I know how to go about it.
@tatumluv60542 жыл бұрын
Amen barikiweni sana watumishi wa BWANA
@fedhajoseph76872 жыл бұрын
Yesu kristo wa nadharethe aliye hai awe kifuniko chako baba yangu kwa huduma iyo.
@faithfavour18502 жыл бұрын
We serve a Mighty God, full of mercy and compassion, JESUS CHRIST i give you all the glory
@lizmwangi92312 жыл бұрын
Kuhani mungu akubaliki Mimi nitafika sumba wanga
@nancyisoyi8164 Жыл бұрын
Amen HALLELUJAH ❤🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾😊
@maryandason18152 жыл бұрын
Jamani wakenya msikosee katka semina hiyo aisee!! N nzuriiiiiii Sana inafungua ufaham Zaid wa kimwil na kiroho rafk zangu nitafurahi zaidi nikisikiaa mmenda kwa semina.blessd all.
@peninahkariuki46792 жыл бұрын
Barikiweni sana watumishi wa Mungu kwa kuja kwetu Kenya 🙏♥️
@maryandason18152 жыл бұрын
Kaz kwenu Sasa kumkaribisha YESU moyon mwenu.muokoke
@gestinabunganiekuya63002 жыл бұрын
Hawa ni watu wa mbinguni kweli wametoboa bila kuchanjwa jina la Bwana libarikiwe
@gestinabunganiekuya63002 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana kuona wamama wote wamemwelewa Mungu wamefunika vichwa Mungu wa Mbinguni awabariki sana
@peninahkariuki46792 жыл бұрын
@@gestinabunganiekuya6300 Ameen pia nami nmefurahia🙏
@DeboraObostar3 ай бұрын
Nami napokea nyota kwa jina la yesu kristo amen
@zipporahmibei90072 жыл бұрын
God bless you servant s of God
@janetnzai98662 жыл бұрын
Amen Amen 🙏 God bless you. I'm Happy to see you preaching in my Mother land Kenya.May God touch His people through your teachings Man of God 🙏
@peninahmwendwa25192 жыл бұрын
Amen,tuko mbele pamoja watching from Lebanon.
@helenkimo10782 жыл бұрын
Kanisa limenysmaza sana napokea mimi kwa jina la yesu mnanyamaza?Ameeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ireceive
@irenek72802 жыл бұрын
Amen 🙏 powerful 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥
@annacharles28422 жыл бұрын
AMEN Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@peninahmwendwa25192 жыл бұрын
Haliluya!!! Tutangaa katika jina LA yesu
@aminimasamba35082 жыл бұрын
Nakuelewa Sana mtumishi wa Mungu
@fedhajoseph76872 жыл бұрын
Unanibariki sana mtumishi wa Mungu kwa huduma hii.
@agnesmuthara34812 жыл бұрын
Kwa Yesu ni salama
@magdalenapeter61062 жыл бұрын
HAKIKA WEWE YESU NI MZURI SAANA ONJENI MUONE YA KUWA BWANA NI MWEMA LOVE YOU JESUS
@blessedlameckbongoye73132 жыл бұрын
Asante sana mchungaji. We were really blessed. God bless you
@saramss72622 жыл бұрын
Daaaaa mtumishii barikiwaa SANA mtumishii barikiwaa SANA mtumishii barikiwaa SANA mtumishii barikiwaa SANA Leo hii mama angu
@everlynemiriam5943 Жыл бұрын
Amen Amen glory to the lord almigt God
@mwananyamalaz44272 жыл бұрын
Amen God bless you pastor 🙏
@ceciliahharon268 Жыл бұрын
Good work mtumishi keep it up
@sharonwalubengo95072 жыл бұрын
Hallelujah this is the day preach to kenyans please encourage them amen
@amishambar34182 жыл бұрын
Amen amen nitafika apo
@marifaadolphine35712 жыл бұрын
Ameeen, ameeen ni neema kuwa ndani ya yesu.
@millicentnaliaka2 жыл бұрын
God is so great for sure
@nemaodhiambo72742 жыл бұрын
Indeed
@highzacknnko96852 жыл бұрын
" Kama kuna mchawi mganga mizimu kuzimu mapepo majini wanga nawakata ngebe achia akili achia utashi achia uchumi achia connection kila ukuta walionijengea nawachana kwa damu ya YESU
@mercysimba35692 жыл бұрын
Ameeeen
@ungwamseke48192 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
@lindamongi63152 жыл бұрын
Yesu ni Bwana
@amishambar34182 жыл бұрын
Jamani mkalimani ajui kutafasiri Kiswahili kunamengine ataji YESU NI BWANA🎚🙏
@mreshiwamama32592 жыл бұрын
Hallelujah God continue blessing you pamoja
@helmashimba77612 жыл бұрын
More grace💮💖
@munakkwangaya56362 жыл бұрын
Ubarikiwe sana sasa tunakupataje tupate maombezi
@Priska247 Жыл бұрын
Nazidi ku amuka kiroho kila nisikiyapo shuhudu zote hapa kwa promover tv, Mungu awabariki.
@riccahcate81262 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@linetmusee65002 жыл бұрын
Thank you Jesus for the great revalation
@mindenlightenment2 жыл бұрын
Hallelujah much blessings 🤍🤍
@nemaodhiambo72742 жыл бұрын
Amen
@janetnzai98662 жыл бұрын
Jaktan May you never lack,May God honor you, bless you always
@tarimowakweli2 жыл бұрын
Amen
@evalynenyambaka10022 жыл бұрын
Amen more grace men of God
@lachey48952 жыл бұрын
AMEN AMEN
@esterswepa47352 жыл бұрын
👍
@saeedalharthi41282 жыл бұрын
Amina Amina
@highzacknnko96852 жыл бұрын
"Kumbe wakenya hawajuhi kiswahili mpaka watafsiriwe kiingereza" - wakenya mnamfanya Mtumishi anahubiri taratibu buana kwani hamsikii kiswahili? Nataka pasta aongee kiswahili tuende fasta fasta!!!!
@dativajoachimwai11942 жыл бұрын
wengine hawajui kiswahili wala English. wanajua light zao za mama tu.
@highzacknnko96852 жыл бұрын
@@dativajoachimwai1194 " wewe mbona ukajua kiswahili kwani haujuhi lugha mama ? Kuna wengine wanajifanyisha tuu
@dativajoachimwai11942 жыл бұрын
hapana wengine sio kujifanyisha. unajua tz kiswahili kinazungumzwa pote. hata ambae hajaenda shule anajua kiswahili labda pamoja na lugha ya mama. ila kwa wakenya ,wengi huanza kujua lugha mama tu.wakianza shule huko ndo wanajifunza kiswahili na English. inamaana mtu kama hajasoma wengi wao hawajui kabisa kiwahili wala kingereza. hapo labda wangetafsiri kiswahili kwa lugha ya kabila walioko.
@mercysimba35692 жыл бұрын
Anakuwa slow yes but nadhani itasaidia na watu wa mataifa mengine wapate ujumbe.. Itabidi tuvumilie tu..
@happykajeli54532 жыл бұрын
Amina mtumishi
@Jyne-shi2 жыл бұрын
Jesus is Lord ,hallelujah .
@zadockmunala87786 ай бұрын
I wish i knew when you came because i live near that area
@helenkimo10782 жыл бұрын
Personal dream
@prosmutonyi37062 жыл бұрын
God bless you brothers
@alexanney96302 жыл бұрын
Amina kibwa
@lydiamichael55092 жыл бұрын
MORE GRACE PASTOR
@peninahmwendwa25192 жыл бұрын
Nakuelewa pastar
@vincentyohanachakupewa22192 жыл бұрын
NA BARIKIWA
@mr.nyakundi86172 жыл бұрын
Tafadhali can someone send pin location I have to attend this
@sheledeshele10482 жыл бұрын
Mahubiri mazuri ila mkalimani anatuharibia ushuhuda aache tu anaharibu mtiririko
@marymichael92052 жыл бұрын
Mkalimani yupo sloo
@nisetameena92762 жыл бұрын
Barikiwa
@frankinspired64862 жыл бұрын
One word... Amazing! Welcome to kenya... How long will you be in Kenya.. Where else are you going from kayole..
@mwacuka1192 жыл бұрын
At what time is the seminar starting pls?
@davidmusyimi29942 жыл бұрын
Hapa ni wapi? Niko Nairobi naweza penda kuhudhuria
@PromovertvTz2 жыл бұрын
Umoja 2 Market2
@davidmusyimi29942 жыл бұрын
@@PromovertvTz asante iko mbaka lini
@peninahmwendwa25192 жыл бұрын
Pastor niombee hizo za kunyonyeza mtoto ishidwe
@mr.nyakundi86172 жыл бұрын
Someone send me pin location pulis
@lucyjoseph42162 жыл бұрын
Leo si mkarimani atulie tu anaharibu mtiririko
@nellydeborah9432 жыл бұрын
Na mtumishi ukiona unapigana na mapepo na ushinde,ni maana gani
@glorymwashala28232 жыл бұрын
Msaada Postor naota ndoto lakini sizikumbuki.Naomba msaada wa maombi
@bedykedy36042 жыл бұрын
Asee hyo kitu na mm inanisumbua ukijibiwa nijuze
@modestarmuchiri53862 жыл бұрын
I love the preaching but kindly why can't the pastor do the preaching himself without the translator.. His not in flow with the right words.. Maoni yangu.. Kiswahili cha mtumishi chaeleweka vizuli. Bariikiwa mtumishi 🙏🙏
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Hata Mimi nashangaa wakenya wanajifanya wanajua kiingereza Sana wakati tumesoma nao tukifanya mtihani tunawashinda!!!! Muhubiri angehubiri kwa kiswahili ili aende haraka haraka mtakosa masomo mengi Sana maana muda ni mchache
@modestarmuchiri53862 жыл бұрын
Nnko haswaa
@daisymuthoni6752 жыл бұрын
Kwa kweli Hamna Haja ya mkalimani,kiswahili chake mchungaji kinaeleweka vizuri
@nisetameena92762 жыл бұрын
Nanikiota navuka daraja la MTO mkubwa Mara daraja linavujika alafu navuka kwa shida ni nni?
@niyonkuruneema61972 жыл бұрын
Na ukiota upo darasani bila kuelewa unachofundishwa,Ina maanisha nini?
@lucilamushi28942 жыл бұрын
@@niyonkuruneema6197that is spirit of stagnation and backwardness
@wisdomhalisi......88912 жыл бұрын
Daraja ni kuvuka kimaisha na kukatika mwendelezo mgumu, aukushuka KIUCHUMI na kuvuka Kwa shida ni maisha kusuasua na LAZIMA yatakuwa yanaonekana ktk maisha yako, ilikuwa unaenda vizuri ghafla hueleweki...
@wisdomhalisi......88912 жыл бұрын
@@niyonkuruneema6197 KUOTA UKO DARASANI UNAFU DISHWA HUELEWI KITU UFAHAMU WAKO UNATUMIWA NA MWINGINE.
@niyonkuruneema61972 жыл бұрын
@@wisdomhalisi......8891 Naomba msaada wa maombi maana ninatatizo Kama Hilo.
@sarahsoso72022 жыл бұрын
Wacheni kutafsiri inakosa flow
@maryandason18152 жыл бұрын
Na wasiojuwa hyo lugha yko utawatafsria wee??kwa faida ya watu wote cyo too pek ako kaa kwa kutulia
@marymichael92052 жыл бұрын
Ukiota unakemea alafu sauti imekata maana yake nini
@myself41282 жыл бұрын
wachawi 80 only 30 wizards jamani mkalimani,,,,
@gestinabunganiekuya63002 жыл бұрын
Maneno aliyopatia yenyewe mbona hujayasema? Umeona kosa tu peke yake
@charletsada87792 жыл бұрын
Mkalimani ingia kwa maombi cz paster anahubiri wewe unaongea,sivizuri kabisa unaondoa uwepo mkalimani,muache paster tunasikia kiswahili