No video

MWAMPOSA ATAJA VIGEZO UKITAKA AKUOMBEE PRIVATE "NAUZA MAFUTA YA UPAKO, MAJI, JAMBO NYETI NJOO"

  Рет қаралды 138,555

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 712
@GraceKazi-z8d
@GraceKazi-z8d Ай бұрын
Huyu baba ni habari ya Dunia ! Mungu akuongezee hekima Mtume,kupitia ww Mungu amenitendea vingi sana. Amen
@dorahwillson1807
@dorahwillson1807 Ай бұрын
Tupo wengi yaan abarikiwe saana
@anevelymkambi5389
@anevelymkambi5389 Ай бұрын
Kwa nini hufundishi masomo ya uzima wa milele? Kwa maana Hao watu hata wakipata miujiza, lakini ipo siku watakufa. Lingine washirika wako mbona wanashika watu uchawi. Nisaidie sielewi hapo!!!!!
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
siyo habari ya Mbingu ni ya Dunia
@user-ez9qc2jo1x
@user-ez9qc2jo1x Ай бұрын
@@anevelymkambi5389 hata hao wanaosifia ni watu wake maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@regnaldkessy8793
@regnaldkessy8793 Ай бұрын
@glorymanga3650
@glorymanga3650 Ай бұрын
Kamaa hujawahi kupata matatizo ukasaidika na huyu baba kamwe huwezi kumwelewa.... Nakupenda sana Apostle na Mungu akutunze zaidi❤❤❤
@user-yb3kx5gw7f
@user-yb3kx5gw7f Ай бұрын
Kama hujawahi kupata matatizo ukasaidika na Mungu kupitia watumishi wake huwezui kuwa kuwaelewa sio wao wanaoponya bali ni Mungu
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 Ай бұрын
​@@user-yb3kx5gw7f upo sahihi sana, ni Mungu ty, ila unamkuta mtu anamuabudu mtumishi wa Mungu kuliko Mungu mwenyewe
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Ай бұрын
​@@Thisisgrace979😂😂😂😂😂hatar
@happyalexander9580
@happyalexander9580 Ай бұрын
Sikuzote wachawi ndo wanaowapinga watumishi wa Mungu coz wanaharibiwa mambo yao kwa upako Amen 😂😂
@user-cp2do9pd5k
@user-cp2do9pd5k Ай бұрын
Mimi sisalali kwako lakini sisubutu kumtukana mtumishi wa Mungu kama anadanganya hayanihusu mimi ninachojua anaponya kwa jina la yesu ole wako unesubutu kumtukana mtumishi wa Mungu
@iamnick8547
@iamnick8547 Ай бұрын
Nilikuwa namsema vibaya sana huyu mtumishii ila kuna siku Mungu alisema na mm kupitia mtu juu ya huyu mtumishii aisee niliomba tobaa kwa machozi nikasema sitarudia kuongea jambo lolote kwa mtumishi yoyote wa Mungu
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 Ай бұрын
kwakweli ujui mtu anapatano ghn na mungu tusihukumu wacha mungu aonae sirin ndio ajuwaye yupi aliemuit nayupi aliejiita mwenyewe
@EsterCosmas
@EsterCosmas 23 күн бұрын
Nikisikiliza maombi ya bb mwaposa napata aman moyon mwangu. Bb tunakuombea mungu akure maisha marefu make mi hapa ninatatizo la mungu kupekecha ndan ya mfupa miguu inajaa toka jana nasikiliza uponyaji najisikia kupona maumivu yamekwisha kabisa 5:16 5:16 ❤ 5:16
@AndreaHango
@AndreaHango Ай бұрын
Nyie watu, hamkumbuki maneno ya Yesu? Manabii wengi(sio wachache) watatokea duniani na kudanganya wengi ( sio wachache) maneno ya Yesu lazima yatimie. Kwa hiyo ya mwamposa na wengine wengi wao ndiyo wanaojua kama wanamtukia au la, Sisi wengine hatuelewi siku moja itajulikana tu. Ila elewa mahali dunia iko ni hatari kuliko kawaida.
@pheymack6682
@pheymack6682 Ай бұрын
Mwamposa una hekima sana kwenye kujibu maswali mungu aendeleee kukupa hekima zaidiiiii❤
@NMY-UInternationalMinistry
@NMY-UInternationalMinistry Ай бұрын
Amina
@iamnick8547
@iamnick8547 Ай бұрын
Sanaaa this man he is so wise watu kumuelewa wanajizima data tu
@MariamKileo-mu8rv
@MariamKileo-mu8rv Ай бұрын
Vibaya mno kuna mmoja akihojiwa kwanza anaangalia kwa dharau na pia anaongea huku kaweka mikono mfukon
@JonathanNtauta
@JonathanNtauta Ай бұрын
Injili ya kweli ni ile inayoanza kuziponya Roho zinazoangamia wala si kuuponya mwili tu kwa kuudanganya kwa vitu vizuri vya muda hapa iko siri Ajuwae Mungu wala tusihukumu tukaja kuhukumiwa.
@abelmbata37
@abelmbata37 Ай бұрын
@@JonathanNtauta anaeumwa mwili ni ngumu kupona roho. Mwenye njaa anahitaji chakula ndipo umpe neno la Mungu. Asiposhiba hata uongee vp hakusikilizi hata Mungu anajua hilo ndo maana Yesu alifanya kazi kubwa ya kuponya miili ya watu
@RobertsonNandime-eo9fp
@RobertsonNandime-eo9fp Ай бұрын
Umeongea ukweli mimi nilikuwa mtu wa Dunia nikafatilia mtumishi aneitwa Bishop elibariki sumbe nikwa na hofu na Mungu kwanza ndio nikaacha tibia mbaa unalolisema upo sahihi
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
​@@RobertsonNandime-eo9fp sijaelewa kwa sumbe ulivuna nini?? Kwamini kwa sumbe nilivuna kikubwa mnoo namshukuru mungu sana
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 Ай бұрын
​​@@abelmbata37kakwamia nani ni ngumu😂 muujiza yesu alifanya kwa wakati wake ila the news was Ufalme wa Mungu
@abelmbata37
@abelmbata37 Ай бұрын
@@richardcastromzena5136 kama rahisi nenda kawaambie wale walio hospitali watoke waende kuhubiriwa injili maana wanatakiwa kupona roho. Uponyaji wa roho unaanza na utayari wa anayeponywa nani aliye tayari kuhubiriwa injili akiwa ana maumivu? Mwenye uwezo huo ni yule aliye na roho wa Mungu ndani yake. Hata Yesu alipoletewa wagonjwa hakuwahubiria kwanza bali aliwaponya ndipo alipohubir habar za ufalme. Hata wachungaji tulio nao wakiumwa wanaenda hospitali hata kama ni siku ya ibada huo ndio ukweli. Waru wengi hatufaham uponyaji ni sawa na kuhubir maana wapo wanaomwamin Mungu kupitia watu walioponywa. Hata watu walijaa kumsikiliza Yesu na kumwamini kwa miujiza aliyoifanya.
@eliadahmhina4125
@eliadahmhina4125 Ай бұрын
Mm Mungu amenitendea mambo mengi sana makubwa,kupitia madhabahuu hii ,nasonga mbele
@fredykanju8811
@fredykanju8811 Ай бұрын
Hivi ashawahi kuhubiri habari ya wokovu kweli au anatangaza tu miujiza.
@NMY-UInternationalMinistry
@NMY-UInternationalMinistry Ай бұрын
Amina
@NMY-UInternationalMinistry
@NMY-UInternationalMinistry Ай бұрын
​@@fredykanju8811uatilia mahubiri yake ni Moja ya watu wanafafanua Neno kinaga ubaga
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
wewe songa ila Mbinguni utapasikia
@paulMlela
@paulMlela Ай бұрын
​@@fredykanju8811 Miujiza sio Habari za wokovu? Unamjua Simioni Mchawi wa kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume aliokoka kwa sababu ya kuona miujiza, watu Wana matatizo una hubiri wokovu unamwacha bado karogwa huyo ni Yesu kweli? Yesu alikuwa anahubiri na kuwaweka watu huru.
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 Ай бұрын
Mtumishi anasaidia wengi sana sababu huwezi kusema kwamba watu elfu tano wote wakose akili kumfata mtumishi ukiona una akili za hivo ujue hujakutana na matatizo barikiwa sana mtumishi 🙏🙏
@manswetitsuut
@manswetitsuut Ай бұрын
Soma biblia Mathayo 24:15-30
@lawrence-xk1km
@lawrence-xk1km Ай бұрын
@@manswetitsuut sasa mbona ulichojibu hakiendani na andiko ulilosema wasome?
@manswetitsuut
@manswetitsuut Ай бұрын
Sorry nime note vibaya
@trillhappybeautypoint9874
@trillhappybeautypoint9874 Ай бұрын
Asante Yesu kwaajili ya mtumishi ulietupa ninatembea kifua mbele chini ya Upako wa Mungu alie hai,glory to God🙏
@Ushashi26
@Ushashi26 Ай бұрын
Duh hahahahahah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ooooh hah😂😂 haha aahhaah 😂😂😂oouuhuuuhahaa wajinga ndiyo wakowao haah😂😂huuuu
@user-ez9qc2jo1x
@user-ez9qc2jo1x Ай бұрын
unaushaidi gani Yesu kakupa huyu?
@tiffanykerubo5327
@tiffanykerubo5327 Ай бұрын
Thank you so much apostal My God bless you ,through your ministry i and my family we are nolonger the same the Jesus you have has changed our life for good we love you
@GraceMwazembe-fu8js
@GraceMwazembe-fu8js Ай бұрын
Mtumishi mungu akuongezee siku za ishi hapa duniani unaokoa wengi na unaponya roho za watu kwa kupitia jina la yesu
@dorahwillson1807
@dorahwillson1807 Ай бұрын
Abarikiwe saana
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Ай бұрын
Mafutaaaa majii haaaa mbunguni ni mbali tutubu dhambi na kuacha baada ya kifo ni hukumu. Mmhhh MUNGU AIKUMBUKE TZ
@user-gu3ol1rv8g
@user-gu3ol1rv8g Ай бұрын
Umeongea kitu cha maana mpedwa
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 27 күн бұрын
​@@user-gu3ol1rv8ghajaongea vizuri tusifunge kama ni Mungu kumpa hiyo huduma ma'ana maandiko hivo vitu vimo.Yesu alisema mtafanya.zaidi ya haya Yesu.alitumia.tope.jamani tushikage mawili saizi nguvu za.giza ni nyingi sana.na Yesu.alizipima.haziwezi kutuzuru akaziamuru.ziwepo akasema.viache vikuwe pamoja
@AishaThabit-yr4mn
@AishaThabit-yr4mn Ай бұрын
Hunabaya mwamposa wet tunazidi kukuombea mungu akupe maisha marefu uzidi kutufungua
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
Bwana Yesu alitumia neno kumponya mgojwa wa yule akida, katika kitabu cha Mathayo 8:5-13. Alimwambia yule akida, enenda zako, iwe hivo kama ulivyoamini. Yule mgojwa alipona. Petro na Yohana walitumia neno la Mungu kumponya yule kiwete ambaye alikuwa anakaa mlangoni mwa hekalu, alisema nilichonacho ndicho nikupacho, simama uende zako, katika jina la Yesu Kristo, . Yule kiwete alianza kutembea vizuri. Matendo ya Mitume3:1-9. Sasa mwamposa hii mafuta ya upako umetoa wapi? Watumishi wa Mungu hawatumii mafuta ya upako. Wanatumia jina la Bwana Yesu Kristo. Haleluyaaaa.
@ASANTEMAMAHERBAL
@ASANTEMAMAHERBAL Ай бұрын
Katika Marko 6:13, wanafunzi wanawapaka mafuta wagonjwa na kuwaponya. Katika Luka 7:46, Maria anatia mafuta miguu ya Yesu kama ibada. Katika Yakobo 5:14, wazee wa kanisa wanatia wagonjwa mafuta ya uponyaji. Katika Waebrania 1: 8-9, Mungu anasema kwa Kristo Anaporudi kwa ushindi mbinguni, "Kiti chako cha enzi, Ee Mungu, kitakaa milele na milele ..." na Mungu anamtia mafuta Yesu "kwa mafuta ya furaha".
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Ай бұрын
@@ASANTEMAMAHERBALhawezi kurudi huyu umempa nyundo kwelikweli
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
@@Leeeeeeee-96 nisirudi? Acha ushamba
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
@@ASANTEMAMAHERBAL mafuta inayozungumzwa hapa sio hiyo mafuta kama mafuta. Ni swala la uelewa tu. Ww bado ni kiongozi kipofu.
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m Ай бұрын
@@ASANTEMAMAHERBAL Yakobo 5:14, inasema hivi, mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa, nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Hapo hamaanishi mafuta kama mafuta, ila jina la Bwana ndio mafuta. Afu tafsiri nyingine ya mafuta bac ujue ni neno la Mungu. Oky? Kwanini umepotoka kiasi hiki? Yesu Kristo akusaidie. Amen.
@noahchepe8036
@noahchepe8036 Ай бұрын
Siandiki kitu😮 maana watu wanafoka tukikosoa miujiza ya. Maji na mafuta😂
@amanmalima940
@amanmalima940 Ай бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@tuzakavera534
@tuzakavera534 Ай бұрын
Huyu mtumishi ni wa kweli kabisa,ni mtumishi wa kweli wa Mungu
@user-zx4zr3hc7y
@user-zx4zr3hc7y Ай бұрын
Huyu ni mtumishi wa Mungu kweli hakuna wakupinga na hata anayepingq anajua moyoni mwake
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Ай бұрын
May God Keep on blessing you true Man of God🙏🏿Huna baya Baba yetu mpendwa ,umeokoa Wengi mno ndani na nje ya Nchi,Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na kukubariki sana sana.
@stephenjoseph1322
@stephenjoseph1322 Ай бұрын
Amazing how the whole message not a single mention of Jesus.
@bernardmushi4869
@bernardmushi4869 Ай бұрын
JESUS IS HARMFUL TO HIS ALTAR.YOUR OBSERVATION IS VERY SPIRITUAL.THE BLIND DON'T SEE THIS!
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Ай бұрын
He was not preaching..but interviewed
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Ай бұрын
​@@bernardmushi4869...shame on you being a fake witnessed 😅😅speaking without evidence...he has been mentioning Jesus Christ in his altar a thousands times
@iamnick8547
@iamnick8547 Ай бұрын
​@@bernardmushi4869usilitaje bure Jina La Bwana Munguu wako😂😂😂
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 Ай бұрын
Ni hapo sasa!
@GodfridMbele-sb1ks
@GodfridMbele-sb1ks Ай бұрын
Maji, mafuta ndio nini uchawi, au unaagua, hakuna mungu hapo, hapo unapotosha watu
@johnsyonetz8323
@johnsyonetz8323 Ай бұрын
Hivi kwanini watu wanaenda kuhijj macca na kwanini wanachukua maji ya zamu zam?
@user-dn7gn6ib4k
@user-dn7gn6ib4k Ай бұрын
​@@johnsyonetz8323 have respect don't insult other people religion mind your business
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 Ай бұрын
Bora wewe ni Mkristo lakini unae akili ningeandika mimi muslim wangesema sana😂😂😂🎉🎉
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Ай бұрын
@@GodfridMbele-sb1ks umelazimishwa kuangalia au kwenda mshamba ww
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 Ай бұрын
Vipi kuhusu ndugu zetu na maji ya zam zam? Vipi yesu alivyomponya yule kipovu kwa tope alilolitengeneza kwa mate? Vipi kuhusu kwenda kunawa mtoni mara 7?
@thaddeojude7511
@thaddeojude7511 Ай бұрын
Wapo wapi akina Kakobe?wapo wapi akina Mzee wa Upako mpaka leo?na huyu naye atapita....watu wetu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.karama za Mungu huwa aziuzwi.bali karama za muovu zinapangiwa bei.
@iamnick8547
@iamnick8547 Ай бұрын
Elewa alichosema 😂😂 hizo kopo za kuwekea majii unampaga wewe!? Yeye na waumi wake walikubaliana kuchangia hela ya kopo sio maji wala mafuta asa unaumia nini
@iamnick8547
@iamnick8547 Ай бұрын
Alfu kijana Mwamposa umeanza kumskia leo au 😂😂😂😂 usifananishe na kina mzee wa upako....
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
​@@iamnick8547Mafuta ya nini??Amuombe Mungu asitumie Maji au Mafuta
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
​@@iamnick8547mmh Ndugu
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
Ni kweli YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai ndo Mwenyezi MUNGU
@user-im7wv1dn
@user-im7wv1dn Ай бұрын
Mwamposaaaa moto unakusubl na mganga wanu tunamjua uko nigeria paschal cassian mtumishi na mwimbaj anajua sana suala hilo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 BUKOBA TZ
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s Ай бұрын
Na ww nenda Nigeria Kwa huyo mganga
@user-im7wv1dn
@user-im7wv1dn Ай бұрын
Mambo ya walawi,waefeso na nyakati hizi mambo zinaisha na mwisho wake mbay yuk wap Tb joshua wa nigeria kuna mtu aliwahi kukusanya umati km ule njoo uganda yupo kakande pia mwamposa cha mtoto ila the ending of dis is🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@samehewaliokukoseya2605
@samehewaliokukoseya2605 Ай бұрын
​@@user-im7wv1dnISUUKUMU USIJE UKAUKUMIWA
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
@@user-im7wv1dn Ingekuwa hivyo basi waganga wooote wangekimbilia huko. Maana pake kawe Vipofu wanaona, viziwi wanasikia, wasiozaa wanazaa, mapepo yanafikuzwa na vidungu vyoote kufunguliwa. Jina la Bwana litukuzwe
@nuruosward8161
@nuruosward8161 Ай бұрын
Kichaaa ww Ww ni mganga ndio anawachoma moto na maombi mnakuja huku mnaongea pumba😂
@vero57
@vero57 Ай бұрын
MUNGU akupe maisha marefu mtumishi mwamposa, asante sana baba kwa kutukomboa 🙏🏾🙏🏾
@ciscojr2277
@ciscojr2277 Ай бұрын
Unafanya biashara kwa jina la Mungu...Yesu hakuwa mjinga kufukuza wale wafanyabiashara sinagogi
@user-kg8dn6qr8o
@user-kg8dn6qr8o Ай бұрын
Ngozi nyeusi Shida hatutumi Akili kabisa Dini watu Saizi ni biashala ibada Nzuli Ni kufanya yaliyo Mapenzi Ya Mungu Vinana saizi wamejua wa kinga wengi mmoo paka wana kela
@user-im7wv1dn
@user-im7wv1dn Ай бұрын
Akil mingi
@tumainitumsifumushi899
@tumainitumsifumushi899 17 сағат бұрын
Wewe Andrew Una hakika gani kuwa huyo uliye naye ni mtumishi wa kweli? Basi MIMI ninatamka wazi hiyo ni roho mbaya ya vunja wengine mioyo. ILA MUNGU abariki sana mwamposa
@goodluckkiget6359
@goodluckkiget6359 Ай бұрын
“Ikabidi Mungu anipe hekima” kweli watu wanopotea kwakukosa maarifa.
@abelmbata37
@abelmbata37 Ай бұрын
@@goodluckkiget6359 we maarifa unayo? Basi wasaidie hao wanaoenda kwa Mwamposa ili waje kwako
@apostlej.rministiryprophet2219
@apostlej.rministiryprophet2219 Ай бұрын
Unajuwa bei ya kuandaa hayo mafuta?
@joycefrances4516
@joycefrances4516 Ай бұрын
We mjinga,mafuta yachangiwa sadaka ili ipatikane garama yakuandaa mengine,we nenda dukani ukachukue bure,ukatumie nyumbani kwako,nyie ndio mashoga mnaotaka vya bure,loh aibu,kaa kimya Mungu atakudhalilisha na uzao wako,uwe kichekesho,
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Ай бұрын
@@joycefrances4516 mmmh!
@Bambagatz
@Bambagatz Ай бұрын
@@joycefrances4516 Hili jibu ni kama mtu aliyepotoka 😂
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m Ай бұрын
Swala la muda tu ngoja inyeshe tujue panapo vuja
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 Ай бұрын
Word
@goodneighbour2638
@goodneighbour2638 Ай бұрын
Naunga mkono pia kauli hii
@SymonJon-o3q
@SymonJon-o3q Ай бұрын
Unacbria anguko lamtu bado aujaawa mtu mzima bado unahtaji maziwa
@ufahamuoriginal4092
@ufahamuoriginal4092 Ай бұрын
Hakika ni suala la muda tu
@shaffihsiraji3141
@shaffihsiraji3141 Ай бұрын
Unachukulia historia ya Babu wa roliondo😂
@BettyMsongole
@BettyMsongole Ай бұрын
Mungu akuongezee baba yetu miaka mingi akuzishie
@tfelician
@tfelician Ай бұрын
Uponyaji na miujiza ni products sikuhz 😂😂😂
@rizikiquelcinerizikiquelci2492
@rizikiquelcinerizikiquelci2492 Ай бұрын
Kwa kweli mim nimekuja tz nimekuona bure kabisa, mungu akubariki zaidi mtumishi wa mungu maana nimeona muujiza wa mungu
@imanimussalacky3078
@imanimussalacky3078 Ай бұрын
Ulitoa kwa mtindo wa sadaka
@godiegodie1336
@godiegodie1336 Ай бұрын
​@@imanimussalacky3078sasa sadaka si kila dini inatoa sadaka 😂
@imanimussalacky3078
@imanimussalacky3078 Ай бұрын
@@godiegodie1336 ndipo anapowapasua hapo unadhan apartment zake pesa anatolea wp, biashara hiyo
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
hata shetani hutenda kama hayo,soma Ayubu soma ufunuo,atafanya mpaka moto kushuka toka mbinguni
@rizikiquelcinerizikiquelci2492
@rizikiquelcinerizikiquelci2492 Ай бұрын
@@kelvinpius-ne9rz kwani mungu atendi muujiza au mungu ni maskini ? maana akitokea mtumishi wa mungu yoyote mungu kamuinua wanadam amkosi kumuhukumu
@IsaacLameck-nz8yr
@IsaacLameck-nz8yr Ай бұрын
Tapeli aliejipata Anakula vichwa vya watu 😂😂😂
@user-ji5go2jf6h
@user-ji5go2jf6h Ай бұрын
Na watatapeliwa sanaaa😂 mpaka wakome
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai -mwenyezi Mungu ametuonesha haka ni kashetani tukiwa katika roho na mwili
@dorahwillson1807
@dorahwillson1807 Ай бұрын
❤❤❤naomba Mungu aendelee kukuweka kwa ajili yetu ubarikiwe saana baba yaan ❤❤❤❤
@chamaibra5966
@chamaibra5966 Ай бұрын
Kweli tanzania ndio nchi yenye wapumbavu wengi duniani
@chrisshonga
@chrisshonga Ай бұрын
Ha ha ha ha ha ha ha! hakika
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
kweli bro, lakini huyu jamaa ashaamua kumtukana YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai -mwenyezi Mungu,ni ka shetani ka motoni
@user-kp7em6zt1g
@user-kp7em6zt1g Ай бұрын
Kweli apostle barikiwa baba tunafuraha kwa hajili yko tunapona na kufunguliwa 🙏🙏🙏
@JonathanNtauta
@JonathanNtauta Ай бұрын
Tatizo watu wanaamini miujiza wala siyo kuamini kuwa Yesu anaponya hapa kuna siri nzito
@abelmbata37
@abelmbata37 Ай бұрын
@@JonathanNtauta umejuaje kama hawaamini uponyaji wa Yesu? Kwani yesu si anaponya kupitia watumishi wake? Kwa hiyo walioenda kwa mitume akina Petro na Paulo nao hawakuamini kuwa Yesu anaponya?
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Ай бұрын
​@@abelmbata37anaponya bila watumishi
@imeldaalbert5328
@imeldaalbert5328 Ай бұрын
Sasa yesu akikuponya hiyo SI ndo miujiza
@PrudencePaul-mr1ge
@PrudencePaul-mr1ge Ай бұрын
Changanoto ya Hawa watu hawajui miujiza ni nini
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 Ай бұрын
Wakristo mtatuonyesha mambo kwani anaeponya ni mungu au yesu??​@@abelmbata37
@neemacocorico2022
@neemacocorico2022 Ай бұрын
Mungu bariki mtume Mwamposa.Wengine mafuta ni Gali Sana na kumuona ningali Sana.Ila yeye ni bure.
@tumainitumsifumushi899
@tumainitumsifumushi899 17 сағат бұрын
Huyo anayesema wajinga ndio waliwao. Atabaki na upofu wake huo huo. Mimi huwa ninamuombea sana huyu mtu wa MUNGU Mtume meamposa. Kwakweli MUNGU amentumia kwa mapana na marefu sana katika maisha yangu MUNGU Akulinde baba
@mucky_perfume_store
@mucky_perfume_store Ай бұрын
Kaja na akili tu mjini 😂
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Ай бұрын
We akili unayo na hela huna😂😂😂masikini wa kutupaaa
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
huyu jamaa anatumia jina la MUNGU kuleta uharibifu kwenye roho za watu,nalichukia hili li shetani, Asante YESU KRISTO wa Nazareth uliye hai kwa kunifunulia la sivyo ningekuwa kama wao wajinga
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
​@@magrethmbuma3045 maskini ni nini? maskini ni kuwa mbali na YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai,sisi wakristo wa kweli hatuhitaji chochote
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp Ай бұрын
Nyie endeleeni kubwabwaja wenzenu tunaona mkono wa bwana kupitia mtumishi huyuhyu mnachelewa shauri en😂😂😂
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 Ай бұрын
Time, usifute hii comment
@estermathias8354
@estermathias8354 Ай бұрын
​@@richardcastromzena5136😅😂😅😅
@marcelinebyamungu3463
@marcelinebyamungu3463 Ай бұрын
😂😂😂😂
@MarmasMarah
@MarmasMarah Ай бұрын
Namkumbuka sana akiwa Moshi Machame mianzini 🎉🎉kwa mzee massawe 😊😊
@farajamkuchu8458
@farajamkuchu8458 Ай бұрын
Nikwer kabisaa nilikuwepo vatkan Bei tulitaja wenyewe nabarikiwa sana nawewe baba yangu Mungu akubariki sana
@richardmbasha1411
@richardmbasha1411 Ай бұрын
Wewe ni mfanya biashara kupitia Jina la MUNGU.. hakuna tafsiri nyingine..endelea kula hela za wajinga kwani imeshaandikwa "watu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA" ni wizi tu.
@user-hy4zb3eg1z
@user-hy4zb3eg1z Ай бұрын
Kwan biashara ni dhambi.....foolish mind
@richardmbasha1411
@richardmbasha1411 Ай бұрын
@@user-hy4zb3eg1z you're as brainwashed as everyone else.... bogus mind...
@sylivanusbernard3325
@sylivanusbernard3325 Ай бұрын
Kwanini na ww usiifanye hiyo biashara mkuu,kaifanye uone utaingiza pesa kiasi gan
@NeemaEmmanuel-yl7dp
@NeemaEmmanuel-yl7dp Ай бұрын
Si ni bora anatumia jina la Mungu kufanya biashara kuliko nyie mnaotumia waganga. You gotta be reasonable
@GraceKazi-z8d
@GraceKazi-z8d Ай бұрын
Kafanye na ww upate faida Muraaa
@soothingnaturesounds1209
@soothingnaturesounds1209 Ай бұрын
Imani huja kwa kusikia, kusikia neno la Mungu, mara nyingi watu wanaocomment vibaya, walisikia jambo kuhusu yeye ambalo si zuri, na bila kufuatilia wakasema ni kweli na kuendeleza sumu waliyoipata kwa wengine, Maana Chuki siku zote hupandikizwa, na wanaocomment vizuri walisikia, kuhusu yeye habari njema, wako hapa. wanaoamini na wanaopinga Amani iwe nanyi.
@FatnaMfinanga
@FatnaMfinanga Ай бұрын
Wetapeli hunalote majibu yatapatikana
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Ай бұрын
business kam business zingine 😂😂😂
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky Ай бұрын
Jamaa anawapiga sana wamama hela
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
sisi tutaangaikia ufalme wako ee YAHWEH,YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai na ikikupendeza Mungu wetu hayo mengine tutazidishiwa , Asante YESU maana ni MUNGU hakuna kama Wewe,ni mwema, mpole na wala umhukumu mtu ila asiye liamini jina lako
@teresiafrancis8549
@teresiafrancis8549 Ай бұрын
Be bless servant of JESUS
@VAILETHEZEKIEL
@VAILETHEZEKIEL 29 күн бұрын
Mungu akuongezee mwakamingi yautumishi wango iliuponye vizazinavizazi
@japhetbukuru5300
@japhetbukuru5300 Ай бұрын
Hata Yesu alifanya miujiza mingi zaidi ya hii ya Leo. Tatizo hujawahi pata shida wewe!. Siku utamtafuta TU mwamposa
@chrisshonga
@chrisshonga Ай бұрын
Aliyeandika NENO kuwa AMELAANIWA AMTUMAINIAE MWANADAMU ni nani mjomba wako?????
@charlietz7125
@charlietz7125 Ай бұрын
We nae ni zuzu... so tukipata shida kimbilio letu ni Mwamposa na sio kupiga magoti ku muomba Mungu?
@user-cd9nd9wd5q
@user-cd9nd9wd5q Ай бұрын
@@chrisshongaYesu anaaminiwa ila watumishi wake kama huwaamin Yesu utamuamini 😂😂😂 ulitaka Yesu aje umuone
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
​@@user-cd9nd9wd5q kila kitu kinamtumikia YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai-mwenyezi Mungu jamani sisi ametuonesha kwenye roho na mwili kuwa haka ni kapepo ka kuzimu
@user-dn8ok2io4l
@user-dn8ok2io4l Ай бұрын
Tunao kuelewa tupo Mtumishi wa Mungu, sio lazima kila mtu akuelewe. Ndomana kuna imani tofauti dunian, ukristu wenyew umegawanyika -walokole,waingrikan,wakatolik,wasabato, mashahid wa yehova nakazalika...... Wanaoelewz na waelewe wasio elewa ba waacheee..
@GabriellaWiseman
@GabriellaWiseman Ай бұрын
Ee Mungu utuokoe kwa njia ya msalaba wako mtakatifu amina
@SARAKAMBARAGE
@SARAKAMBARAGE Ай бұрын
Yupo smart kichwani.
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
umezifupisha siku zetu,miaka yetu ni michache, BWANA hatutauhangaikia mwili unaokufa kesho ila ufalme wako na watu wote ni watumishi wako ila kuna mashetani wala kondoo kati yetu ambao sehemu yao ni kwenye ziwa la moto na wao wanajua hilo,wakakufulu kwa kulitumia jina lako wakadharau damu yako pale msalabani na YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai uwaondoe na watu wote waone
@emlongetcha88
@emlongetcha88 Ай бұрын
MCHAWI ORIGINAL, Mwenda KUZIMU.... MTAALAMU WA KAFARA TANZANIA
@tumainitumsifumushi899
@tumainitumsifumushi899 16 сағат бұрын
KUMBE WEWE NDIYE MWENYE ELIMU HIYO YA KWENDA KUZIMU, KUTOA KAFARA NA UCHAWI. MAANA YA MTOKAO MTU NDIO YALIO UJAZA MOYO WAKE HONGERA MAANA WEWE UNANGUVU KUBWA SANA YA KUFANYA HIZO KAZI ULIZO ZITAJA HAPO JUU. AMELAANIWA ANYEIGUSA MBONI YA JICHO LA MUNGU UMLANIJE ALIYEBARIKIWA?
@GodfridMbele-sb1ks
@GodfridMbele-sb1ks Ай бұрын
Hizo ni nguvu za giza
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Ай бұрын
Katafute na ww kama laisi kuzipata
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai-mwenyezi Mungu ametuonesha haka ni kashetani tukiwa katika roho na mwili
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 Ай бұрын
Mzee una hekima sana Ktk kujibu maswali
@machakuroger7068
@machakuroger7068 Ай бұрын
Kabisa
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 Ай бұрын
Hekima ya kipepo na kuzimu.
@user-rb9pe8ip1e
@user-rb9pe8ip1e Ай бұрын
Kuna njia nyingi za uponyaji, tuwe makini sana kwenye kuwatuhumu watumishi wa MUNGU, Nabii Mtumishi wa MUNGU wa kweli Boniface Mwamposa ametusaidia wengi, Chondechonde muacheni msimvunje moyo
@fredykanju8811
@fredykanju8811 Ай бұрын
Anasaidia au anawapoteza
@user-tc7lp2fb9d
@user-tc7lp2fb9d Ай бұрын
@@fredykanju8811 amekupoteza wewe na ukoo wenu 😏
@moshially2543
@moshially2543 Ай бұрын
Namshukuru mungu ameniponya kupitia huduma hii ya madhabahu yainuka uangaze
@salumjabir813
@salumjabir813 Ай бұрын
Watu weusi wanaangamia kwa kukosa maarifa...yan huyu ndo mtume wa kwanza kumiliki lodge😂😂😂😂
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Ай бұрын
Usichukue sadaka tokakwa masikini😢😢.Yesu hakuwa hivyo
@Asheri-k5k
@Asheri-k5k Ай бұрын
Mm binafsi siamini juu ya iman ya huyu jamaa
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Ай бұрын
Siyo lazima uamin ww
@FredCharles-u3z
@FredCharles-u3z Ай бұрын
Nikweli kaka
@user-ne2pr6vk6e
@user-ne2pr6vk6e Ай бұрын
Unajua hujui, nenda kwa waganga wako
@DanielAllys
@DanielAllys Ай бұрын
Mungu ampe maisha marefu sana mwamposa
@JaneMwaipopo-i3s
@JaneMwaipopo-i3s Ай бұрын
Mungu azidi kukuinua baba ubalikiwe
@pastormarkokabisatv6821
@pastormarkokabisatv6821 Ай бұрын
Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake hata ajapo Bwana ambaye atayamulikisha yaliyo sitirika ya Giza na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo ndipo kila mtu atakapo ipata sifa yake kwa Mungu 1kor 4:5. Kwa andiko hilo niwaombeni wapendwa muachieni Mungu kazi msimseme vibaya mtumishi yeyote, Mungu ndiye atakaye wahukumu wenye haki na wasio haki soma mhubiri 3:17.
@AuletaDausoni
@AuletaDausoni Ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu sana❤
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Paschal casian mbona nae ni shoga tu ni hao hao tu wa shetani
@GeorgeRogers-zs2fb
@GeorgeRogers-zs2fb Ай бұрын
Yohana 14 13 Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 14 Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya. 15 Mkinipenda, mtazishika amri zangu.
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Ай бұрын
Amen Ameen Ameen
@shadraachshadinho
@shadraachshadinho Ай бұрын
Kubali kataa haijalishi umetendewa jambo gani kupitia huyu mtumishi lakin ukweli ni kwamba hajaitwanna mungu kwa vigezi vya kibibilia
@RenathaElias
@RenathaElias Ай бұрын
Mungu akuzidishie baraka umenitoa mbali
@GabrielMwamlima
@GabrielMwamlima Ай бұрын
Mungu amubariki sana mtumishi
@FrolaJoseph-m1o
@FrolaJoseph-m1o 8 күн бұрын
Amen
@caesar7745
@caesar7745 Ай бұрын
Anaponya nini sasa huyu jamaa. Kaahamponya nani jamaa serikali inabidi iingilie kati huu wizi
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Ай бұрын
Usiongee usichojua ww
@marykirigiti203
@marykirigiti203 Ай бұрын
kakuibia nn una nini mpaka akuibie ww unaumia nn sasa
@chrisshonga
@chrisshonga Ай бұрын
Njaa mpendwa kama serikali kuingilia kati ni jinsi watu walivyokanyagana na kufa wakati ule lakini pesa ilitembea na serikali inazidi tu kumwachia aendelee kuua na kupeleka watu shimoni
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Mwamposa kamponya bibi yako umesahau? Alafu hiyo serikali unayosema iingilie kati ndo inapeleka watu kwa Mwamposa au shida zao zinawapeleka😂
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Ай бұрын
@@caesar7745 kakuponya ww na ujinga wako
@dianaMwaki
@dianaMwaki Ай бұрын
Mimi nakuelewa Sana mtumishi mwamposa wanao kupinga ndo wale wenye wivu mkubwa na huduma yako Mwanzoni ilikua ngumu kukuelewa kutokana na maneno mengi ya watu kukusema vbya nilikua sikuelew maana sikukusiliza mahubiri yako na hekima yako lakin nilipo Anza kukufuatilia baba wew ni mtumishi kbsaa wa Mungu nimeona nguvu ya Mungu kupitia wew kwenye Maisha yangu
@chrisshonga
@chrisshonga Ай бұрын
Na utamuona sana usijali😁😁😁😁😁
@dianaMwaki
@dianaMwaki Ай бұрын
@@chrisshonga tena zaid na zaid yaani
@janethjuliasi7500
@janethjuliasi7500 Ай бұрын
Hakika Wewe Mtumishi Wa Mungu Mwamposa ww ni Mti wenye Matunda ila Wanao Rusha Mawe Kwako Yawaludie Wenyewe Mungu Akupe Maisha Malefu Baba Huna Baya na Mtu
@lucyikambo9888
@lucyikambo9888 Ай бұрын
Mungu akutunze usaidie watu asiwepo wa kukuludisha nyuma
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
we mpumbavu husiye kuwa na roho mtakatifu akakufundisha
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 Ай бұрын
Pongezi hubiri baba watasema San majbu yako kwa mungu siyo kwa watu, ikiuma chomoaa injili isonge mbele
@norbertharumukiza6574
@norbertharumukiza6574 Ай бұрын
Hapo kwa mafuta ndipo hatuelewani, tulipewa bule toweni bule.😂😂😅😢
@abelmbata37
@abelmbata37 Ай бұрын
@@norbertharumukiza6574 hivi unaelewa hata maana ya sentensi hiyo? Kwa nn hujiulizi mbona biblia neno la Mungu linauzwa?
@zablonrobert1522
@zablonrobert1522 Ай бұрын
Yeye amenunua bure
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania Ай бұрын
Acha ujinga ww huna akili umekalili maandiko mshamba ww
@hellenmwayole8715
@hellenmwayole8715 Ай бұрын
Mungu azidi kukuinua Mtumishi wa Mungu
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Ай бұрын
Tapeli wa matapeli
@rockygappi1018
@rockygappi1018 Ай бұрын
😂😂 na wewe ukiwa katapeli kadogo 😂😂😂
@Alexismadimo
@Alexismadimo Ай бұрын
Katapel na wewe kama n rahis
@user-tc7lp2fb9d
@user-tc7lp2fb9d Ай бұрын
Kwani wew umeshindwa nn kutapeli na wew
@QmSteezy
@QmSteezy Ай бұрын
Sio kila mtu anataka kua tapeli.
@brendasamson2086
@brendasamson2086 Ай бұрын
Wewe ndo tapeli pepo wewe jina lako ninasomeka kama nuksi nini
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Ай бұрын
Nakukubali mtumishi shida yangu ni haya mambo ya mafuta na maji mmmh😏
@FrankDavid-en6on
@FrankDavid-en6on Ай бұрын
Ndo Nini unapenda nyama hutaki mchuzi wake?
@augustinofifi
@augustinofifi Ай бұрын
Msikilize akifundisha na soma maandiko utamuelewa
@IreneLyimo-l8o
@IreneLyimo-l8o Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
@joyjackson258
@joyjackson258 Ай бұрын
Sasa wewe kama humuelewi nyamaza kwa usalama wako , hakuna kitu kibaya kama kumnenea Mtumishi wa Mungu kwa kashifa utakutana na kitu kizito haya . Jifunze kunyamaza
@barakabusima
@barakabusima Ай бұрын
Jifunze kuuliza ipo siku utauziwa mbuzi kwa gunia..
@HelenAbel-yq4tr
@HelenAbel-yq4tr Ай бұрын
Nimekupenda bure🥰
@LovelyBoardGames-mc6zu
@LovelyBoardGames-mc6zu Ай бұрын
Kwenda huko usitishe watu
@puregamers4215
@puregamers4215 Ай бұрын
wajinga ndio waliwao😂😂
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Ай бұрын
Haaa nimecheka
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 Ай бұрын
Kweli kabisa.wacha tapeli ajinufaishe maana wajinga ni wengi mnoo
@gidionkadaraja1403
@gidionkadaraja1403 Ай бұрын
Mjinga ni wew usiyekubal ATA kujifunzaa kila mtu aliefanikiwa kwenye Jambo flan anahitaj pongez sio rahs Kama unavyozan
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Ай бұрын
Wewe mjanja unanini mpaka sasa😂😂😂
@shabankitinga141
@shabankitinga141 Ай бұрын
Akili huna ww
@peterrulagora7403
@peterrulagora7403 Ай бұрын
Watu wanahangamia kwa kukosa maarifa,watu wanaponywa kwa neno wala sio takataka zingine
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia Ай бұрын
Hebu pisha, pita kushoto
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Wewe ndiye umebaki Jangwani umaskini Hadi usoni😂😂😂
@Japanese-lz1or
@Japanese-lz1or Ай бұрын
​@@GibsonNtamamiloPambana ww acha shobo
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 Ай бұрын
😂😂😂😂 Soma kwanza Neno kabla hujarudi kupiga kelele
@matildamushi1741
@matildamushi1741 Ай бұрын
Mwombe Mungu akusamehe
@GodfreyElias-l3k
@GodfreyElias-l3k Ай бұрын
Mungu anatenda jmn achane kumkashifu vbya mtumishi wa mungu
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
kati ya vitu ulivyovifundisha ee YAHWEH, YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai -mwenyezi Mungu ni kuangaikia mwili
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 Ай бұрын
Si ndio biashara hiyo 1000 x50000
@blessingcharles-lc1rr
@blessingcharles-lc1rr Ай бұрын
Kwan hay mafuta yye anayanunua bure na hivo vichupa mpk mnataka mpewe bure
@francessimilanzi4545
@francessimilanzi4545 Ай бұрын
Mungu anakwelewa na anakweshim sana baba uzidi kuinuka
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 Ай бұрын
Mimi na Wengi tunaokupinga, tunasimamia kwamba "Siku za Mwisho watakuwepo Manabii wa Uongo" na tunakataa kabisa kwamba "Mungu anatenda Miujiza" na tunakataa na kudai kwamba "Siku za mwisho Mungu hatamwaga Roho Wake na watu hawataponywa", mimi na wote tunaokupinga tunahekima sana, tunakataa kabisa na kusema "Mungu sio mwenye huruma na Upendo hata amtendee binadamu fadhila", Tunakataa na kusema kwamba "Mungu yuko ndani ya Madhehebu yetu tu na siyo nje ya madhehebu yetu", mimi na pumbavu wenzangu tuliologwa na kulogeka, tunaamini kwamba, "wanaoweza kutenda Miujiza ni mapdri na wachungaji wa madhehebu yetu kwa kuwa wamesoma sanaaaaa biblia!" Mimi na wenzangu, tuko vizuri sana ktk maandiko na werevu sana ktk maongezi, lakini, KAMA HATUWEZI KUFANYA MUUJIZA WOWOTE, NA TUNACHOWEZA KUFANYA NI KUONGEA TU , NA KAMA WATU HAWASOMI MAANDIKO NA KUJUWA NYAKATI ZA KUJILIWA KWAO, KWANINI MIMI NA WATU FULANI-FULANI TUSIENDELEDELEEE KUWAFUNGIA WATU HAO MILANGO YA NEEEMA YA DAMU YA KRISTO?
@edisonemmanuel-
@edisonemmanuel- Ай бұрын
Upako unauzwa??? Kama ulipewa na Mungu kwa nini uwauzie??? Si ulipewa bure toeni bure haiwezekani unasema eti Mungu alikupa mamlaka ya kusaidia watu sasa kwa nini uwauzie wakati you given free, sijaelewa
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Ай бұрын
na mimi nakuja kuchukua mafuta
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu Ай бұрын
Shindwa kwa jina la Yesu, rikabato reee sikatelekaa, Ee Mungu tukomboe sis wanao tunaohangaishwa na matapeli wa injil
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi Ай бұрын
Stella😂😂😂
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 Ай бұрын
umeambiwa uende 😂
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 Ай бұрын
😂😂😂😂Sawa Mungu
@laninjeje8290
@laninjeje8290 Ай бұрын
Rikabato ree ndo Nini Kuma wewe, biblia imeandika walionena kwa lugha walikuwa wanaelewana na pia ukinena kwa lugha bila jamii kukuelewa ni Malaya tu😂
@tusiimeroy3157
@tusiimeroy3157 Ай бұрын
Mwamposa Tunaomba uende muhimbili, Oven road na sehemu nyingi watu wanateseka kawape upako Au mpaka wake hapo kawe? Upako wako aundi mahospitalini?
@abelmbata37
@abelmbata37 Ай бұрын
Hospitalini kuna madaktari kwa hiyo unataka hospitalini waende wachungaji, masheikh, waganga wa jadi hivyo hiyo itakuwa hospitali au fujo?
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
​@@abelmbata37Sasa ma Dr si wanataka wagonjwa wapone kwahy akienda si atawasaidia ma Dr kutibu itakuwa vizuri 😂😂😂
@emmanuelmwendo2073
@emmanuelmwendo2073 Ай бұрын
Hakuna kitu hicho mambo ya kiroho yana madhabahu sio kila eneo linaruhisiwa kufanya mambo ya kiroho
@edchrisbeatz8976
@edchrisbeatz8976 Ай бұрын
@@abelmbata37kwani mwamposa kazi yake si nikuponya watu kwa kutumia mafuta !!? Au ni stupidty tricks anazo fanya 😂😂 hebu amkeni nyie mazombiiiiii mbona vichwa sisimiz ..u can be mwamposa of ur own stupid..ombea maji yako,ombea mafuta yako,weka imani juu yake kuwa atatenda thats all..mnajiingiza kwenye dhambi isiyo na maana kabisa..soma bible(hii inatokana na kutosoma bible asee mbona vtu vpo waz 😂
@abelmbata37
@abelmbata37 Ай бұрын
@@Official83640 unatoa hoja kama umeingia duniani ss hivi huelewi namna mambo yanavyoendeshwa duniani. Kwanza elewa kila kitu kinaendeshwa kwa utaratibu ndo maana unaona tunaishi kwa amani. Hospitali sio mahali pa kukusanyika wagonjwa ila ni mahali inapotolewa tiba ya kisayansi. Duniani kuna tiba za aina nyingi za kisayansi na kiroho. Tiba za kiroho nazo zinapatikana kwenye maeneo mahsusi ndi maana masheikh nao wana maeneo yao wanafanya dua mahali pake waganga wa jadi vilevile. Lakini pia ujue hospitali huiingii tu kuna sheria zake kwani kuna wagonjwa wanahitaji utulivu huwezi ingia ukipiga kelele kwa hoja ya kuombea watu.
@laurencekamgisha-im5gc
@laurencekamgisha-im5gc Ай бұрын
Katika agano jipya miujiza au zana za upako hazijawahi kuuzwa pia Yesu ameagiza tupakwe mafuta ya Roho mtakatifu
@kelvinpius-ne9rz
@kelvinpius-ne9rz Ай бұрын
ajabu kuna watu hata hawajui maana ya YESU KRISTO na wanajidanganya kuwa wameokolewa
@Auame-v2d
@Auame-v2d Ай бұрын
Mpelekeni hospital akawaponye wagonjwa wote madoctor wapumzike
@aysherrashid8527
@aysherrashid8527 Ай бұрын
Hilo nalo neno😊
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Ай бұрын
😂😂😂😂 kwakweri
@katemachanda7035
@katemachanda7035 Ай бұрын
Hata Yesu hakwenda mahospitalini, lkn aliwaponya wagonjwa. Soma Biblia vizuri kama unayo.
@edchrisbeatz8976
@edchrisbeatz8976 Ай бұрын
@@katemachanda7035 aliwaponya wagonjwa wengine walipona kwa imani kwa kumuamini yeye..jifunze kutafakari kabla ya kujibu..
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s Ай бұрын
Ma dokta wamesomea huo udokta ili iweje wapumzike au kutibu watu
@FOODMATTER144
@FOODMATTER144 Ай бұрын
Mimi nimempenda sana huyu mtumishi kwakua anatumia mafuta.
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
RIYAMA NA MUME WAKE WAFANYA YAO LIVE KWEUPE REDIONI TAZAMA.
16:49
TimesFMTZ
Рет қаралды 2,4 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 162 М.
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 90 М.