Sichokagi kumskiliza huyu mchungaji jmn hakika ww umetumwa na Mungu uokoe kondoo waliopotea Mungu akubarik sana🙏🙏
@zaidiissa37145 ай бұрын
Yesu alisema sikutumwa bali kwa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel je wewe nimuisrael??? Au haya maneno aliyo sema yesu niuongo ?? Alidanganya kwamba yeye hakutumwa Bali kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel???
@lilyg21345 ай бұрын
@@zaidiissa3714 WE NAE TUPISHE SIE, KWANI HUO UISLAM WA BABAKO HUKO MAGWEPANDE? SI LIMUNGU LA KIARABU...NENO LINASEMA WAGALATIA 3:13-14 "Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kuchukua laana hiyo kwa ajili yetu, kwa maana imeandikwa, “Mtu anayetundikwa msalabani amelaaniwa.” 14 Lakini alitukomboa ili baraka aliyo pewa Abrahamu iwafikie na watu wa mataifa mengine kwa njia ya Yesu Kristo. Na kwa kutegemea imani, sisi tupate kupokea Roho Kwa njia ya aman"....... SISI TUPO BUSY TUNASKILIZA NENO WE UNACHOWAZA UFALA WAKO KUTAKA KUBISHANA, ILI MRADI TU KUTUVURUGA USHINDWE KWA JINA LA YESU...KACHEZE UNAKO CHEZAGA
@SylvesterMakenzie5 ай бұрын
@@zaidiissa3714uislamu na ukristo wapi na wapi?kasubiri kuzimu wanawake wenye matako makubwa na macho kama kikombe 😅😅😅😅😅😅
@ReubenMbanga5 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi katekela, watu wamevutwa na upako wa Shetani.
@fadhilimrope51342 ай бұрын
Mtumishi Mungu akubariki sana, tuambie ukweli ili tupone, kwa kweli Bwana Yesu atuokoe,
@peninahndinda28744 ай бұрын
Ameen mchungaji katekela na Mungu azidi kukuwezesha kufumbua huu ukweli kwa ulimwengu wote
@AnnaKayanza28 күн бұрын
Ubarikiwe san,mtumishi wa Mungu,yaan nimechok kbs mungu atusaidie na Hawa manabii wadunia hii.
@leticiamakoye48716 ай бұрын
Mnaompinga amieli kaeni kimya na BWANA wetu YESU kiristo wa nazaleti awakemee.
@JohnAssey-g7v2 ай бұрын
Namshukuru mungu wa mbinguni kukuokoa kutoka kuzimu shuhuda zako zinafungua upeo kupitia mahubiri Yako mama mwenye nyumba kafoka sana mungu amsamehe maana nguvu za Giza zinamwandama
@makoti776 ай бұрын
Huyu ndo katekela tunayemjua sisi sasa,Wuuuuuh Hatari sana.. piga baba MUNGU yuko pamoja na wewe, na sisi tunakuombea.. maana hapa katikati ulianza kuwa na hekima flani unapozesha maneno, ila hii ndiyo dawa yenyewe imeingia...🙌🙌🙌🙌
@pollyneziegelmeire88982 ай бұрын
Asante sana mtumishi,unayoyasema ni kweli,lakini watu wamefungwa macho,hatuna marifa😢
Nabarikiwa Babaa,maelfu ya watu wanaenda kuzimu kwa sababu ya kukosa mafundisho sahihi.
@JAMESMUTUNGI-o3b4 ай бұрын
Asante kwa kumfafanua kristo..utukufu umrudie yesu wa nazareti.Amina
@CuteTe-d5sАй бұрын
Asante mungu wangu kunifunuwa macho nkkaona nuru
@GodfreyLazaro-bu8cy24 күн бұрын
Kwa kweli mimi naomba mungu anisamehe sana nilikunywa maji na mafuta ya mtumishi mmoja huku morogoro
@JohnMsokwa-z6f2 ай бұрын
Kweli mtumi mungu akupe maisha malefu tuzid kujifunz mengi
@MATHELINEFWEMULA13 күн бұрын
Asante kwa kutufungua fahamu
@IBRAHIMSOKONI3 ай бұрын
Mungu azidi kukupigania kamanda wa yesu piga injili ya yesu katekela
@EricMaingi-f8b6 ай бұрын
Amina, mchungaji Amiel, Mungu amekupa Neema kuu.
@StevenMutale-xt9yj6 ай бұрын
Mungu wa isaka na yakobo akuinue sema sana mara sabin
@Bénigne-k4x6 ай бұрын
Mch,Katekela mimi nakupata sana nikiwa Burundi,MUNGU akutumie zaidi hakika ww ninabiii wanyati zamwisho,Ee Tanzania mumebarikiw kuwapata watumishi kama katekela,karibu kwetu Burundi kabisa,Tanzania mumepata neema kuwapata watumishi wazuri kama hao na msipo pokea hiyo neema mtakuw mumelogwa sisi huku burundi tutaipokea tu!Katekelaaaaa YESU KRISTO abarikiw ndani yako,na penda hiyo mtu mzima hatishiwi nyauuu
@AnatoriaKafifi8 күн бұрын
Asante, sema tupone
@faithe40636 ай бұрын
Najaribu kushare huu ujumbe kwa mamangu ila aelewi amefungwa na awa manabii adi kuomba siku izi anaomba hivi Mungu wa nabii 😢yani jina la Yesu limetoeka kinywani mwake kabisa, sijui ni lini neema ya Mwenyezi Mungu litaokoa mamangu
@annkim26906 ай бұрын
Mungu amsaidie mjulishe kuhusu hii channel ya promoverTV
@IbrahimMgimba6 ай бұрын
Amini kua wewe ni daraja lake kumwamini Mungu aliye hai kama mama yangu pia alivyoanza kubadilika.. Mungu amsaidie Amina
@myself41286 ай бұрын
Ukishasikia Mkristo anaongelea Madhabahu za manabii anajiungamanisha ujue basi ni Msukule,Mitume na manabii wote waongo sababu Nabii hajawahi Kuongoza Kanisa,Neno la Mungu linayoaha kuponya hauhitaji Mafuta wala maji wewe uendelee kumuombea tu ipo siku atakombolewa!
@faithe40636 ай бұрын
@@myself4128 yeah sitakata tamaa nitaomba ata kufunga Mam wangu ndio alinifanya nimjue Yesu kwa hiyo sipendi apoteswe na awa waongo
@faithe40636 ай бұрын
@@annkim2690 ata uwa na share ili azikilize mwenyewe ila unajua awa manabii sijui wakona na kifumba macho asikii kweli atakubali leo kesho unasikia ameenda uko 😭neema ya Yesu imkumbuke tu
@MeryNaftali6 ай бұрын
Mungu akubariki sana pastor katekela wewe ni mtumishi wa kweli na Mungu amekutuma ili utufungue kwenye uteka wa kuzimu
@joycekaje87556 ай бұрын
Ubarikiwe mno baba Mchungaji, nabarikiwa na mahubiri yako .Nakufuatilia kutoka Uholanzi.
@prosperousbuildingconstruc35006 ай бұрын
Nakubariana ne waw 100% from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@israelimarco64655 ай бұрын
mlete Mungu wa kweli mi naona kama haumleti Mungu wa kweli na kuonysha kwa watu m naona unawapromote
@SelestinaHamis-dw1gs5 ай бұрын
Amina Amina Mtumish injili isonge mbele kwa jina la YESU
@BoazRambo5 ай бұрын
Mungu atusaidie sana. Mungu akubariki sana.mtumishi wa Mungu.
@isayalemberua91955 ай бұрын
mtumishi wa Bwana yesu asifiwe sana umeubiri vizuri sana kazamwendo baba
@BelithaFedrick5 ай бұрын
Balikiwa sana kwa mafundisho yako ❤❤❤❤❤❤❤
@lulungunda3546 ай бұрын
Namufatilia sana sana ,ulinivusha mahali,.promover Yesu akutunze na timu nzima,
@alexalexander30272 ай бұрын
❤nataman kutumika kama wewe baba nahitaji nitimize ndoto zangu niombee sana
@TitoFute3 ай бұрын
Mungu akulinde sana
@Everlyneaumaauma2 ай бұрын
God bless you pastor 🙏.
@utawalarecordstudiosnairob59294 ай бұрын
Kweli kabisaa MUNGU akubariki 🙏🙏🙏🙏
@YudatadeyMassawe5 ай бұрын
Mungu akubariki,injili kama hii kwa nyakati zetu inahitajika ili kurudisha waliopote,,
@LudovikLudovika5 ай бұрын
Ameen,Mtumishi,ni kweli tupu tunayaona
@ndeletwakidin87175 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@dianamutachuba1369Ай бұрын
Mtumishi Njoo huku kwetu Kilimanjaro Same MAKANYA calvary tupone
Kwakweli ulikuja kutuokiloa wengi ...mimi nimewahi kunywa mafuta ya upako ya nabii mmoja mpaka tulikua tunamwekea kaka etu kwa chakula ili kiu ya pombe na sigara ikate lakini haikukata....lakini namshukuru Mungu sana baada ya kukufahamu mch katekela alinifanya niokoke baada ya kusikia shuhuda zake kwa muda mrefu na alipokua matemela songea niliona analia na kusema mnakataa kuokoka ninyi aaah nililia na nikaokoka japo ilikua ngumu sana ...mpaka leo nimeokoka na namuona Mungu kwa viwango vya juu sana......Nasema mch katelela Mungu amekutuma kwaajiri yetu.....Naubarikiwe na Bwana kwa huduma
@peterrulagora74036 ай бұрын
Mungu akutunze
@SodioNyunga6 ай бұрын
Mafundisho hayo ya mchungaji Katekela ni ya uongo kwa sababu watumishi hao wanakuambia uchukue maji yako ya nyumbani kwako unaomba nao na matokeo yanaonekana. Halafu toa mfano wako wewe wala sio watu waliokufa. Tunataka na wewe ufanye miujiza. Mbona unarukaruka tu?. Umesema miujiza ya Mungu haina formula, mbona unataka wote wafuate akina Moses kulola walivyokuwa wanafanya? Hata mkipiga MANENO hamuwezi. Mbona wagonjwa wenu wanakwenda kuponea kwao? Kinachofanya watu waende kwao ni kwa sababu ninyi hamna upako. Watu wanakaa kwenu na mizigo kama utasa hawapati matokeo. Rudini kwa Mungu Ili awape UPAKO. KULIKO kushambulia. Baada ya Kuwa mmekosa upako, Mungu amegeukia upande wao.
@JosephChilemile5 ай бұрын
Mungu akutunze sana. Ushuhuda wako umenigusa....sana ..Yesu akukuze katika wokovu...
@mutabebwa-bm6pm5 ай бұрын
Wote MATAPELI
@NephiapiusiMbwelwa4 ай бұрын
Mungu atusaidie
@wilsonkombeyeri46235 ай бұрын
Hongela mtumishi bendera chuma mulingoti chuma
@lusajomwakibinga69126 ай бұрын
Huwa nabarikiwa Sana kukusikiza kaka God bless you
@Rukundo-z4k6 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji karibu kwetu burundi ❤
@leticiamakoye48716 ай бұрын
Sema kweli mchungaji wenye masikio wasikie . Wenye macho waone wenye akili watatambua. Wabishi wataangamizwa tumepewa kuchagua uzima na mauti
@PhibiPatroba2 ай бұрын
Bwana Yesu akitie nguvu
@serapionmnenuka5 ай бұрын
Asante sana Mchunqaji
@kennethchinguku5 ай бұрын
Barikiwa pastor watu wamefungwa watu wa Mungu wa kweli hawawataki ,hakuna mafanikio bila bidii (prophet Kenny mbeya
@rishyatuni5 ай бұрын
Nabii, Bw Yesu asifiwe. Nimependa kipindi chako. Naomba msaada wako kwa familia yangu Baba
@zaidiissa37145 ай бұрын
Yesu alisema Mimi yesu skutumwa bali wa kondoo waliopotea wanyumba ya Israel jee haya maneno ya yesu kusema Mimi sikutumwa ila kwakondoo waliopotea wa nyumba ya Israel niyauongo???
@faithe40635 ай бұрын
@@zaidiissa3714 umejipu vyema
@fitinamarando6 ай бұрын
Asante sana Mch Katekella nabarikiwa sana
@DevothaBenedictor6 ай бұрын
Nakukubali sana mungu akubaliki sana, 12:44
@MeshackSamwel-sj6bn4 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi
@angelamvaa22294 ай бұрын
Amen, Mungu turehemu
@ASHIRAFMBARACK5 ай бұрын
Ubarikiwe xana mchungaji katekela
@Shadiasemdami6 ай бұрын
Ubarikiwe. Mtumishi. Kunifu gua. Mana,
@HeroSam-dm8cxАй бұрын
Amen.
@MariaLazaro-kq2tv5 ай бұрын
Mungu akubariki mtumish
@ElianMbuba4 ай бұрын
Amina mtumishi
@andreasemoja-yn6pz5 ай бұрын
Mungu wa mbiguni akuzidishe Sana yaani. Hii ya wa totowachanga niliijua siku nyingi Sana huku Chuga
@JacksonMakuta5 ай бұрын
Mungu akulinde sana mtumishi
@CateringAmare5 ай бұрын
Mm ni mhasi lkn kwa mahubiri yako,mungu azidi kukupa nguvu ya kuhubiri.
@LucasLagos-dq4mh5 ай бұрын
Ubalikiwe sana simamia kweli
@sarahmaro2156 ай бұрын
Unanibariki sana Katekela, karibu Tabora
@KateWinslet-j8q6 ай бұрын
Ukweli kabisa ❤
@EliasHamisi-uy7qo5 ай бұрын
MTUMISHI UBARIKIWE SANA KWAKUFANYA LISAJI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NA KUWAUMBUA WATOTO WA SHETANI
@GeophreyMsomba3 ай бұрын
❤mch🙏
@RodahAdonice-dz4sm6 ай бұрын
Ilikuwa mwezi wa11 nikiwa nimejifungua kwa opp na mwanagu nikampoteza yule nabii alinambia mpaka mwezi wa1 utakuwa umebeba mimba nayo itakuua sasa tuma sadaka nikukomboe walah alivonambia vile nikakata sim sikumtafuta tena ila mpaka sasa nipo na mimba haijawahi ingia namtukuza Mwenyezi Mungu tangu siku hiyo niliacha kusikiliza hawa wanajiita manabii
@HappyMwaigwisya6 ай бұрын
Ukisikia tu neno tuma pesa nikuombee basiiiii kimbiaaaaa maombi hayauzwi. Sadaka ni hiari ya moyo. Kama ni Roho Mtakatifu anamuongoza mtumishi kusema utoe Huwa haiwi kama lazima. Manabii wa kweli wapo ila wachache sio kwamba hawapo. Lakin kuwajua LAZIMA uwe na Roho Mtakatifu ndani yako . Bila hivyo hutatofautisha. Ubarikiwe ulikata simu kabisa ndugu v
@sarahmaro2156 ай бұрын
Ubarikiwe, YESU akutunze na Huyo mtoto aje awe mtumishi wa MUNGU.
@LatiphaMwanga6 ай бұрын
Nafuu ulisanuka mapema maana alikuwa anataka kukufanya wewe kitega uchumi
@idrisajaphary82756 ай бұрын
Unafikiri kwa nn manabii watu wanawapenda ni ule upako wa uponyjaji kufufua misekure na unajua hatima sasa uwezi sikia nabii ana mzungumza vibaya mchungaji
@Esendi563 ай бұрын
Yes upako mwingine ni wa kubuy lkn mungu dio kila kitu
@waleedbahar52755 ай бұрын
MUNGU akulinde mtumishi uzidi kutuelewesha maana watu wengi wanapotea kws manabii wa uongo
@markmwau83873 ай бұрын
Swali langu ni... Mungu aliye wa kweli huwa anafanya ninii kwa sababu karibu kila kitu chanzo chake ni shetani😢😢😢
@RahelSalumu-pm9qx6 ай бұрын
Ezekiel 13:1 ( tusome tuelewe) mchungaji katekela ubarikiwe sana pamoja na promover Tv
@mosesmagehema6155 ай бұрын
Rahel
@jobabibyambanju2265 ай бұрын
Amen tusaidie tupone
@EliasMoyo-g3p4 ай бұрын
Waaambie ukweli bro waache kutapeliwa unakuta mama yuko tayari watoto walale njaa na kuwateza watoto ili tu apate pesa ya kuwapelekea hao matapeli wasio muogopa mungu wajinga wao
@SabinaOchami3 ай бұрын
Nishaa shirikishwa kuweka chumvi majini niganyake ndani miguu mara saba mtoto wangu akasmbiwa na mwingine akiwa na mimba ya wasiwasi akaambiwa aoge maji ya chumvi na awake penye barabara zinakutanika
@ROZITHOMAS-y4q5 ай бұрын
Miujiza tangu zamani ilikuwapo. Wakati wa Musa miujiza ya mungu na miujiza ya shetani ilfanyika
@LudovikLudovika5 ай бұрын
Mtumishi me nifanyeje,nimetumia sana Mafuta ya Mwamposa,kukanyaga,kunywa na kujipaka,mpaka saivi nina miaka 2,situmii lakini maisha yangu ni shida2
@samwelndaki2015 ай бұрын
Ubarikiwe sana sijui uko wapi?
@mariamibrahim65445 ай бұрын
Majini kila mahali, hatuko salamaa,
@carolinenakirutimana15595 ай бұрын
Mungu amekuokowa.
@josephjames45876 ай бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishii mie ukwel unazidi kunifunguaa
@tausimwinuka6 ай бұрын
Nimepona Baba🙏
@Neemajolamokataly2 ай бұрын
Hakika w nimutume niwchache wanasimamiya ukweri kama huo pasta m nimekupenda sana keufichuwa siri kaa hizo nataman kuwa karibu awe
@twalibukassim611120 күн бұрын
Ongea baba hamna kuogopa ukwel ndio huo MUNGU anakusud na watoto wake ndo maana wew ujafa kule kuzimu ili uje utuponye na kutookoa.
@JamilaJamilahjane6 ай бұрын
Mungu abariki Neno lake
@agnethapaul60575 ай бұрын
Amina , Damu ya Yesu ikufiche .
@UpendoNchimbi5 ай бұрын
Aminaaaaa
@ShazilMohamedi6 ай бұрын
Fact
@PeterSegire6 ай бұрын
Makanisa ya jumapili mungu wao tumbo mungu wao pesa
@lydiabenjaminmgalula61895 ай бұрын
Mungu atuhurumie sana 😔
@ShedrackMbata5 ай бұрын
Balikiwa sana
@AusyNkone6 ай бұрын
Amen
@upendokikwelele6205 ай бұрын
Napenda mafundisho yake. Anapatikana wapi
@PromovertvTz5 ай бұрын
Anapatikana Geita Tanzania
@MjumbeAgano3 ай бұрын
Miujiza yote inayofanyika sasa ni nguvu ya upotovu, hakuna kanisa Sasa, kanisa halisi linajengwa na, Mjumbe wa agano pekee, wengine wote ni waongo na watendakazi wa shetani.
@Derickkazinza-i9i6 ай бұрын
Kuna namna nakuelewa mchungaji❤
@Derickkazinza-i9i6 ай бұрын
Amen
@MagangaNdalu4 ай бұрын
Asante mchungaji
@silvanusjeremiah82566 ай бұрын
Yesu yu karibu sana kurudi. Tuokoke jamani
@MsafiriCharange4 ай бұрын
Tusaidie mtumishi
@amonimchaba44832 ай бұрын
Jamani naomba ufike mikoa mingi hasa kigoma sumbawanga Tanga