JAJI WARIOBA AWAONYA VIONGOZI, WABUNGE KUMSIFIA RAIS, AMTAJA KABUDI, MWAKYEMBE WALIVYOMSULUBU

  Рет қаралды 18,910

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 84
@saimonseleka8792
@saimonseleka8792 4 ай бұрын
Ni mzee wa kipekee sana anashangaza! Nimependa
@PartySekemi
@PartySekemi 4 ай бұрын
Asante sana mzee wetu wote wamekua machawa kazi kusifia tu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 4 ай бұрын
Nafuatilia hotuba nyingi za viongozi kabla ya kumshukuru Mungu utasikia namshukuru mheshimiwa rais.....
@rithaurassa
@rithaurassa 3 ай бұрын
Pole sana baba.Ila Mungu yuko na wewe.
@HassanKibwana-h3w
@HassanKibwana-h3w 4 ай бұрын
Mzee warioba upo vizuri sana Mungu Akusimamie Mzee Wetu
@gililwise
@gililwise 4 ай бұрын
Warioba Mungu akubariki sana wewe ndo msema ukweli
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 4 ай бұрын
@@gililwise Hilo zee linaona wivu kwa mama Samia kupata Uraisi, na vile muislam ndio basi Tena.
@mdedsm5522
@mdedsm5522 4 ай бұрын
​@@mansooralaisri5200acha udini mpumbavu ww
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 4 ай бұрын
Chawa​@@mansooralaisri5200
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 4 ай бұрын
Point
@microssadamu7556
@microssadamu7556 4 ай бұрын
Huyu ndie baba wa siasa tukiebakiwanaye only
@festokemibala5832
@festokemibala5832 4 ай бұрын
Pamoja na Mzee Butiku
@IddiKhamis-u6c
@IddiKhamis-u6c 4 ай бұрын
Yaani umeongea sahihi kabisa. Hata huku Zenji rais anasifiwa utafikiri ndie aliyeumba hii dunia. Wakati hakuna alichofanya cha kumpa sifa namna hiyo. Yote aliyofanya ni ya kawaida tu.
@happymrema7487
@happymrema7487 4 ай бұрын
We acha tu ukiongea viby unpotezwa
@leganmichael6148
@leganmichael6148 4 ай бұрын
Kwa kweli ni shida, mbunge anageuka chawa, anaamini wananchi hawana nafasi kwake bali mamlaka ya uteuzi ndio ina nguvu, kwa kifupi wabunge wanajua hawachaguliwi na wananchi bali na wakuu wa vyama vyao na Serikali
@AbubakarKawayasimwanza
@AbubakarKawayasimwanza 4 ай бұрын
Mbona Nyerere alisifiwa sana huyu Mzee hakuhoji Leo kaona nini
@SaidiKitange-us2ej
@SaidiKitange-us2ej 3 ай бұрын
Usipo sifu utakuwa na maisha magumu sana.
@kassimkingu5512
@kassimkingu5512 4 ай бұрын
Mbona wakati tunamsifia baba wa taifa ulikuwa kimya ila kusifiwa Rais mama samia ndio imekuwa kosaa na kero kwako.??
@emmanuelrweikiza6117
@emmanuelrweikiza6117 4 ай бұрын
Sasa na wewe si uelewe pointi ya kupunguza uchawa ndicho anachomaanisha
@judyngowi391
@judyngowi391 4 ай бұрын
Kusifiwa kwa Nyerere wakati ule kulikuwa hamna uchawa kama sasa
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 4 ай бұрын
@@kassimkingu5512 shida mnaitak nyie waisram kulet udin kwny vtu vy nchi
@AlfredGeorge-n2o
@AlfredGeorge-n2o 4 ай бұрын
Nimekukubali sana mzee
@Josephmwambe-r6n
@Josephmwambe-r6n 4 ай бұрын
Kunawatu wanafaidika na ihii nchi ukisoma utaona koment zao. Zakiboss boss tu awana shida na awajui shida kbs ila wanasaau kua mizizi wanayo imwagilia maji matunda watakuja kula watoto zao na vizazi vyake
@josephngowi1543
@josephngowi1543 4 ай бұрын
❤❤
@judyngowi391
@judyngowi391 4 ай бұрын
Wa kusifiwa ni Mungu peke yake
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 3 ай бұрын
Hiyo ndiyo inaitwa kutekwa kwa bunge na rais. Kazi ni kumsifu rais na bunge ni extension ya ofisi yake. Kama hapa kenya 🇰🇪 vile mwizi,muuwaji, msema urongo wa kiwazimu,fisadi mkubwa Ruto amefanya hapa. Ruto must go. Pepo
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 4 ай бұрын
Tunabaki kusifia huku nchi inaporomoka ,wizi na ufisadi unapamba Moto. Hakuna anayekemea . Tunasifu kama mazuzu hivi
@daviddsouza735
@daviddsouza735 4 ай бұрын
Mbunge lazima ashukuru kwasababu anajua alivyoingia kwenye ubunge
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 3 ай бұрын
Huyo kabudi ndio chawa mkubwa na ni mnafiki mkubwa kuliko hao wote uliowataja
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 4 ай бұрын
Unataka nani ASFIWE ?MBONA JK ALIKUWA ANASIFIWA NA. HUKUHOJI ? ?????
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 4 ай бұрын
Kila kitu Asante mweshimiwa Rais amna mtu yoyote alie upande wetu 😢😢
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 Ай бұрын
Hata mvua tu ikinyesha utasikoa mtu anakufuru kwa kumsifu mwanadamu!
@AzizMangara
@AzizMangara 3 ай бұрын
KUSIFU SIO KITU KIBAYA, ILA UNACHOSIFIA NI KWELI KINA UHALISIA AU, UNAPAKA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA!! Aiwezekani mtu ajaoga, unamwambia hongera umeoga umependeza.🤐
@salumuselemani-km2ee
@salumuselemani-km2ee 4 ай бұрын
Mlezi wa Nchi
@kingkendrickk
@kingkendrickk 4 ай бұрын
Uchawa unaangamiza taifa
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 4 ай бұрын
Nyerere alipewa kila sifa, Unajisahaulisha??
@abuialmarjibi979
@abuialmarjibi979 4 ай бұрын
:bora wakati wa nyerere hata kumtaja ilikuwa unafokewa Sema pole pole
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 4 ай бұрын
Mgema akisifiwa
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 4 ай бұрын
Hizo sifa ni ubinafsi wa watu fulani, wanasifia kwa maslahi yao binafsi
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl 4 ай бұрын
Mbona Katiba ya Walioba hujakata wakati Katiba ni yetu wananchi hiyo huni nisifa
@RonnieBertin
@RonnieBertin 2 ай бұрын
Hawaogopi Mzee wanalinda mitumbo yao
@AbubakarKawayasimwanza
@AbubakarKawayasimwanza 4 ай бұрын
Nyerere alisifiwa sana sana kushinda maraisi wote waliotawala Tanzania. Ikisemekana atafanya ziara Mahalia, masomo yalisimama hats miezi miwili kujifunza kwaya mashairi na Ngoma za kumsifu. Heri Leo wanasifiwa kidogo.
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 4 ай бұрын
Mzee enzi zenu ndo enzi za zidumu fikra za mwl Nyerere huko hakuku kusifu?
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 4 ай бұрын
Kusifu viongozi ni philosophical rationale ambayo inaongoza nchi .Change the government philosophy na kusifia viongozi kutaisha. Shida ni Wasomi wenye ufahamu kidogo sana .
@shabanimadobe972
@shabanimadobe972 4 ай бұрын
Mzee ww ni lulu ya Taifa hakika maneno yako yamegusa kwenye mshono,genge la sifia sifia adi wa bunge inakera
@BeatusBaltazary
@BeatusBaltazary 4 ай бұрын
Wewe ni jaji kweli vijana uliowaacha Amna kitu wewe ndio baba wa taifa uliebaki
@hashamadewa6451
@hashamadewa6451 4 ай бұрын
Mh
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 4 ай бұрын
Siku hizi ni mwendo wa kichawachawa
@lilangasayi1689
@lilangasayi1689 4 ай бұрын
Kama mnaweza mtekeni na huyo mzee
@robertphilip385
@robertphilip385 4 ай бұрын
Walisha wahi kumpiga makofi enzi ya Jakaya
@judyngowi391
@judyngowi391 4 ай бұрын
Alipigwa na Makonda
@robertphilip385
@robertphilip385 4 ай бұрын
@@judyngowi391 uko vizuri mtoto wa Ngowi kizazi Cha uru Timbirini
@donardmwasanga5451
@donardmwasanga5451 4 ай бұрын
Wamesikia mzee tutaona matokeo
@andrewjosephhezron23
@andrewjosephhezron23 4 ай бұрын
Mzee sio muoga
@KimarioMtumishi
@KimarioMtumishi 4 ай бұрын
Hiki kizazi kikipita sijui ndo itakua mwisho wa kusikia u kweli 😳
@henrymntangi7783
@henrymntangi7783 4 ай бұрын
TANGANYIKA YANGU
@AhmedDimoso
@AhmedDimoso 4 ай бұрын
Mzee akili imeludi utotoni ajielewi
@emmanuelrweikiza6117
@emmanuelrweikiza6117 4 ай бұрын
Wenye akili wanamuelewa mzee vzr mnoo
@habibujamali5746
@habibujamali5746 4 ай бұрын
Ulimsi mwl kwa kusema zidum rikira zake ilikuwa sawa kwa sami ndio kosa unaxh ww mzee
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 4 ай бұрын
IRON LADY KAINGIZA WATU CHOONI PIGA KAZI MAMA 🥾🥾🥾🥾
@johngibson3089
@johngibson3089 4 ай бұрын
Hata mimi kusifusifu kunanikera. In most cases ni ujinga!
@FabianPiusMghanga
@FabianPiusMghanga 4 ай бұрын
Kabisa ni ujinga mtupu
@AbeidRamadhan
@AbeidRamadhan 3 ай бұрын
Nasoma comment za watanganyika tu
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 4 ай бұрын
Huyu mwogopeni sana ni fitina mkubwa sana. Wakati wao ni mwingine na wakati huu ni mwingine. Ng'ombe mzee.😂
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 4 ай бұрын
Umeumia
@georgesolos344
@georgesolos344 4 ай бұрын
Idiot, moron Judge Warioba anasema kweli, wewe kibwengo mchambia magunzi unakasirika.
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 4 ай бұрын
Ngombe Mzee ? Seriously !!!! Kijana..hawa wazee wamefanya mambo makubwa..kua na adabu
@johngibson3089
@johngibson3089 4 ай бұрын
Ujinga unakusumbua
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 4 ай бұрын
@@charlesmwambinga4355 Ametaifisha watu yeye na mjimba wake Nyrere. Wamechomea maskini majumba mnchi nzima kuwahamisha watu kwenye vijiji vya Ujamaa, wametupwa porini hakuna nyumba, wameliwa na Simba na wanyama wakali, wamekufa kwa maradhi na baridi. Hata Wakiombewa hao moto ni wao.
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 4 ай бұрын
Viva walioba baba wa siasa
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 4 ай бұрын
wewe mzee achana na siasa,kama raisi anafanya kazi nzuri kwa nini asisifiwe mbona wakati wa JPM uliufyata?
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 4 ай бұрын
Mislaam ndo mnaeharibu h nchi
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 4 ай бұрын
Mm ctokuj chagua misraam labd majariwa au shein mingne yte siipend
@thamani5842
@thamani5842 4 ай бұрын
​@@DaudiMakazaAnotaka kupendwa na ww kafiri nani?
@judyngowi391
@judyngowi391 4 ай бұрын
Wa kusifiwa ni Mungu peke yake
@am2323tze
@am2323tze 4 ай бұрын
Huyu mzee ni hazina ya Tanzania
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 4 ай бұрын
Waisram wamepanik wakristo tunajenga nch nyie mnatuuwa mnaiba mal mislaam mijing sn rais anaharbu inasifia ndo Ming yao n mikapuku
@zahorhemed1045
@zahorhemed1045 4 ай бұрын
We mkundu na ni shoga kafir mkubwa
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza 4 ай бұрын
Viva walioba baba wa siasa
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 4 ай бұрын
@@DaudiMakaza Tunamsifu mama wa vitendo, sio baba wa siasa, mjinga kweli wewe.
PIGO TENA KWA UN, TRUMP AIONDOA MAREKANI  UNHRC NA UNRWA
3:10
Mwananchi Digital
Рет қаралды 866
Как Ходили родители в ШКОЛУ!
0:49
Family Box
Рет қаралды 2,3 МЛН
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
Young Lionel Messi Was Actually INSANE
14:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 457 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 819 М.
Кем был убитый в Москве Армен Саркисян
16:59
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 81 М.
WARIOBA AFUNGUKA YALIYOTOKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
21:52
Millard Ayo
Рет қаралды 22 М.