''LOWASSA ALIPATA KEJELI na MATUSI'' - MZEE WARIOBA AFUNGUKA MAZITO MBELE ya JENEZA la LOWASSA...

  Рет қаралды 77,023

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@globaltv_online
@globaltv_online 9 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@malindimalindimerinyo1632
@malindimalindimerinyo1632 9 ай бұрын
Mzee Warioba una memori mzuri sana Mungu akubariki mtu mkweli kwako konakona huna
@richardmteena4618
@richardmteena4618 9 ай бұрын
Hakika umeacha pengo na history kubwa katika nchii hii mungu akulaze pema peponi amina Baba yetu mpendwa Lowasa
@chizashungu8364
@chizashungu8364 9 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ampumzishe Mh Edward Lowasa Mahali pema peponi.Amina.
@paulokiwango21
@paulokiwango21 9 ай бұрын
Alipata kejeli alipata matusi lakini hakuwahi kurudishaa daaah RIP ENL mgombea w uraisi wa kwanza kukupgia kura nyuma y hapo skuwah pgaga kura RIP again
@ChalachimuZephania
@ChalachimuZephania 9 ай бұрын
Ndiyo baba sema ukweli baba............Mungu akubariki baba
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 9 ай бұрын
Uishi miaka mingi mzee wetu Warioba.
@abrahamantidius9596
@abrahamantidius9596 9 ай бұрын
Pumzka kwa Aman mpendwa wetu umeacha alama kubwa kwa taifa.pole Dr.pamela na ndugu zako Fred na wote
@fridaernestmkedege900
@fridaernestmkedege900 9 ай бұрын
Ahsante mzee wetu kwa ukweli huo
@ndiditheodore8272
@ndiditheodore8272 9 ай бұрын
Uvumilivu ni sifa ya Mungu, basi Lowasa ni mtu.
@paschalndimu7725
@paschalndimu7725 9 ай бұрын
Mzee wetu uko vzuri . Nakupongeza sana .Mungu akupe maisha marefu
@MichaelGreysoni
@MichaelGreysoni 9 ай бұрын
Mungu awape mioyo ya uvumilivu ndug rafiki na jamaa kuondokewa na mpendwa wetu mungu ampunguzie adhabu ya kaburi
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 9 ай бұрын
Watanganyika wanakutegemea kwa Uzalendo wake
@jossejunior5668
@jossejunior5668 9 ай бұрын
Warioba ni definition ya Kiongozi
@sabrinaurio365
@sabrinaurio365 9 ай бұрын
maneno kuntu asante baba,R.I.P Edo
@lameckilomo6432
@lameckilomo6432 9 ай бұрын
Truth never die
@afidbillmusic8461
@afidbillmusic8461 9 ай бұрын
Huyu ndiye kiongozi pekee aliyebaki katika ccm pekee
@monicamwita7865
@monicamwita7865 9 ай бұрын
Kweli kabisa. Huyu mzee yuko vizuri. Ni hazina pekee tulihonayo Mùngu Baba Aendelee kumlinda
@SilvianNinah
@SilvianNinah 9 ай бұрын
Asant kwamaneno ya busara
@josephmoses5406
@josephmoses5406 9 ай бұрын
Warioba is honest. Haongezi, hapunguzi. Jk anasikiliza Kwa uchungu
@allenmacha4131
@allenmacha4131 9 ай бұрын
Warioba ni mkweli na ni Mzee wa busara
@errydeo8865
@errydeo8865 9 ай бұрын
kikwete anafata nini huku? pokea hilo
@MsAggie5
@MsAggie5 9 ай бұрын
Si msiba wa rafiki yake? Walikuwa marafiki sana enzi hizo😢
@errydeo8865
@errydeo8865 9 ай бұрын
@@MsAggie5 Hukumsikia Mzee Warioba anamrushia Madongo(cameraman aligundua akamzoom 😂)Huyo rafiki yake ni mmoja tu,hawala yake samia! Unafiki tu unamsumbua!
@MsAggie5
@MsAggie5 9 ай бұрын
@@errydeo8865 weeeeeee! Huogopi? Mie simo 🏃🏾‍♀️
@errydeo8865
@errydeo8865 9 ай бұрын
@@MsAggie5 kuogopa nini na nani?! Kwani siri? Samia hajazaa na Kikwete? NYIE mnafikiri KWANINI kikwete ndo bado anawaongoza? Na hao ndio walimuua Magu
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 9 ай бұрын
Heshimu watu kaka yadunian yasikutoe utu wako
@paulmitanda1547
@paulmitanda1547 9 ай бұрын
Pumuzika kwa amani kamanda mwenzangu
@JamaliMbogo
@JamaliMbogo 9 ай бұрын
Mzee Warioba Wewe ni msema kweli ndio maana Makonda alikupiga maana CCM hawa pendi ukweli
@richardmteena4618
@richardmteena4618 9 ай бұрын
Raha ya milele umpe eebwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 9 ай бұрын
Amina ❤
@SaidiAside
@SaidiAside 9 ай бұрын
Ilikua ngumu kupata uraisi kupitia ccm sababu hakua mkatoriki
@sabrinaurio365
@sabrinaurio365 9 ай бұрын
sababu alitoka kaskazini pia
@mahingilasambichuma1369
@mahingilasambichuma1369 9 ай бұрын
Alikuwa na busara sana Lowasa
@AllyBaruti-c9m
@AllyBaruti-c9m 9 ай бұрын
Kama unaitaka nafasi fulani boss mkuu akassema huyu hafai hata wasaidizi wake hawawezi kuwa naimani nawewe wakati mwengine chuki hujifichua zahiri ili mungu kukuonyeshea kuwa hawa hawako pmoja nawewe
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 9 ай бұрын
Acha ujinga ww inamana nankikwete na mwinyi walikuwa wakatoliki Acha udine kukuwe
@SarahMajaliwa-ze4qh
@SarahMajaliwa-ze4qh 9 ай бұрын
Kibao xaf hich mama Naya
@ShkuruObed
@ShkuruObed 9 ай бұрын
Nyumba rasmi ya Edward lowasa
@AllyBaruti-c9m
@AllyBaruti-c9m 9 ай бұрын
Marais wote waliokuwa wakristo tanzania walikuwa wakatoliki lowasa yeye zehebu gani apewe nchi shida ndio ilipoanzia hapo
@AllyBaruti-c9m
@AllyBaruti-c9m 9 ай бұрын
Viongozi wote marais waliowahi kupita tanzania jiulizeni walikuwa zehebu gani nalowasa zehebu gani ilikuwa ngumu lowasa kuupata urais
@sabrinaurio365
@sabrinaurio365 9 ай бұрын
alikuwa threat pia kwa vile alitoka kaskazini,Nyerere hakuwahi kutaka watu wa kaskazini ikulu
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 9 ай бұрын
Rest in peace Edward Lowassa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 9 ай бұрын
mmmh
@adolphmerinyo5221
@adolphmerinyo5221 9 ай бұрын
Uzee ananikumbusha machungu ya 2015 lowassa pumzika kwa amani
@TinaSulle-j5x
@TinaSulle-j5x 9 ай бұрын
😂 pole
@SeveriniTemu
@SeveriniTemu 9 ай бұрын
Asante baba ukweli hufanya binadamu kwa huru mungu akulinde popote upitapo Asante yeye kamaliza mwendo tafakari tuliobaki 😂
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 9 ай бұрын
Bado kikwete
@MichaelGreysoni
@MichaelGreysoni 9 ай бұрын
😅
@annatemu4488
@annatemu4488 9 ай бұрын
Baba kasema yoteee
@marthamungure1777
@marthamungure1777 9 ай бұрын
Kikwete wewe ulimnyima nafasi wakati yeye alikusaidia kufika hapo
@selemankishema5780
@selemankishema5780 9 ай бұрын
Aka kazee fitna tu akana lolote kanataka kutonesha vidonda tu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 9 ай бұрын
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu 😢😢
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 9 ай бұрын
Mzee mwadilifu sana huyu, Mungu ampe maisha marefu
@errydeo8865
@errydeo8865 9 ай бұрын
hupendi kusikia ukweli??? ndo nyie kikwete type
@RashidyNangungwa
@RashidyNangungwa 9 ай бұрын
Hoo pole kama una vidonda dawa ninayo njoo upate dawa
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 9 ай бұрын
Hakuna mtu mwenye busara kama warioba, fuatilia manenoyake toka zamani.
@MaikoMatiku
@MaikoMatiku 9 ай бұрын
Xxx
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 82 МЛН
Hoodie gets wicked makeover! 😲
00:47
Justin Flom
Рет қаралды 128 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,6 МЛН
MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO
30:26
Mustakabali wa Ujerumani utakuwaje?
39:59
DW Kiswahili
Рет қаралды 3,6 М.
Edward Lowassa Mahojiano na TBC
34:24
Edward Lowassa
Рет қаралды 112 М.
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 82 МЛН