JAMAA ZETU MASUFI,MAHIZBI WANATUJADILI NA KUTUSINGIZIA HAYA

  Рет қаралды 2,715

@Abuu Twalha

@Abuu Twalha

Күн бұрын

Пікірлер: 50
@mohamedhaji4827
@mohamedhaji4827 5 ай бұрын
Allah awape khery mashekh wa kisalaf na awape subira maana bado sisi watu wa kawaida tusiyoijua daawa huwa tunapandikizwa mbegu za uongo dhidi ya usalafi
@HajiDibwa
@HajiDibwa 5 ай бұрын
Hawaiwezi daaw salafiy biidhin laallah najutia kuchelewa kuijuwa daawa salafiya .Allah akuhifadhi sheikh Abdul fadhil Qassimu mafuta Qassimu naamin kuwa ww ninguzo ya daawa salafiy
@IssaSimbilla-hw9ev
@IssaSimbilla-hw9ev 5 ай бұрын
@RuwaidaSaid-un3pc
@RuwaidaSaid-un3pc 4 ай бұрын
Hawaiwezi kweli kwasababu wadhamini wakubwa ni wakristo
@QudraIbnUmar
@QudraIbnUmar 4 ай бұрын
​@@RuwaidaSaid-un3pc Zaman tuliambiwa hivyo lkn had leo sion hao mayahud na wakristo wakidhamin masalaf misikiti watu washikana wenyewe kujenga . Siku nyngne usiridhik na unachosikia fanya utafiti
@HajiDibwa
@HajiDibwa 4 ай бұрын
@@RuwaidaSaid-un3pc utabeba masauliya makubwa ndg acha kufata mkumbo fata haki Allah akuongoze ktk haki
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
@@HajiDibwa dawa salaffiya nzuri lakini saivi imevamiwa na kundi moja hivi chama cha majadida tz walojinasibisha na dawa hii wameiharibu sana na kufanya waislamu wauchukie ikiongozwa na raisi wao wa jadida tz kasimu mafuta
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 4 ай бұрын
maa shaa allah
@aminaosman3315
@aminaosman3315 3 ай бұрын
,waambieni Kwanza waache zulma warejeshe wote waliowadhulumu wakiwemo familia ya marehem said janjira wanaume wote WA WA taasisi ya Ansar wanamshtaki mwamke mjane kwa haki yake mungu atawalipia hapa hapa duniani
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Na ninyi mungu atawahukumu kwakule kuwafanyia dhulma waislamu wenzenu kujidai ninyi ndo masalafi matusi na kejeli kwa watu et kujifanya ninyi ndo mmeongoka na hiko chama chenu kikiongozwa na raisi wenu mafuta ajiandae nae kumtangazia mabaya Salimu barahyani kuwa kadhulumu pesa hilo atahadhari na mahakama ya Allah siku ya kiama
@MohamedAlly-dq2rl
@MohamedAlly-dq2rl 2 ай бұрын
Hatamimi najuta kuchelewa
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 5 ай бұрын
Kisha wakumbushe wanafunzi wako warejee Suratul al Israai:53 ili waachane na matusi na vijembe kwani huo sio mwenendo wa Assalafi Asswalih. Pia tuache husuda,khusuma na malumbano.Tufanye kwa mujibu wa Kitabu na Sunnah ili ALLAH SUBHANAHU WATAALA Aturidhie na sio watu. "Hapana Muabudiwa wa Haki ila ALLAH A'ZZA WAJALLA ".
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 5 ай бұрын
Tukiipenda dunia lazima tuhusudiane hakuna namna tutalikwepa hilo ...wallahu musta'an
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 5 ай бұрын
Jirekebishe na umtake ALLAH A'ZZA WAJALLA msamaha kwa wingi kwa kuinyongesha Daawat Salafiya kutokana na hawaa za nafsi. Unapowasema masufi na mahazbi jikague, na huo ndo utambuzi safi. MAASHAALLAH Tabaraka LLAH ni fasaha na una Elimu nzuri ila umepungukiwa busara pale ulipokwenda kinyume na Muongozo wa Kitabu na Sunnah katika Usulubu Daawa. Kingine umekosa washauri wazuri. Wanaokuzunguka wanakuona wewe upo sahihi muda wote hukosei. Na hayo ni mapungufu ya ki-Aqida.
@shamsuddin4582
@shamsuddin4582 5 ай бұрын
Daah wallah umenikosha sana akhi kwa maneo ya uadilifu na hikma uliyoandika hapa wala hujamdhulumu..Allah akulipe kheri akhi
@IbraFareed
@IbraFareed 5 ай бұрын
Kaka mpaka hii comment nime hifadhi, umeongea maneno yanamazito sanah na yenye hekima kubwa Allah akulipe sheikh wangu @ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 5 ай бұрын
@@IbraFareed Jazaka LLAHU khayran wabaraka LLAHU fiykum akhiy lkariim. ALLAH A'ZZA WAJALLA Atuzidishie sote Hikma.
@AbuuabdirahmanAlfawzan
@AbuuabdirahmanAlfawzan 5 ай бұрын
Hazijatimia akili za alie ongea wala waliosifia
@HajiDibwa
@HajiDibwa 4 ай бұрын
Qassimu mafuta Qassimu ni nguzo katk daa'wah salafiyah na Allah amuhifadhi zidi ya chuki na husda za watu wasiyo ipenda manhaj salafy na akupe mwisho sheikh wetu
@FatumaNuru-g9z
@FatumaNuru-g9z 3 ай бұрын
I am salafi
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Salafi hawakijikweza na kejeli kama ninyi leo waliishi vzr ninyi bado jadida tuu mwendo wenu upo mbali na salafi bado sanaaa mnawasingizia masalafi swalehe na kuwaxhafulia jina
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 2 ай бұрын
Nyinyi ndio munowajadili waislamu wenzenu hamuna kazi ya kufanya kazi yenu fitna na ufisadi na kupandikiza chukii ndio kazi yenu hamuna jipyaaa
@mohamedhaji4827
@mohamedhaji4827 5 ай бұрын
Daawatu salafiyah ni haqqi na nidaawa ya kweli Maana tulivokuwa tunaisikia kutoka kwenye vinywa vya watu wapotoshaji na tulivokaa na kuenda kwa hao mashekh wa kisalaf kumbe mambo yakotofauti
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Dawaa ya salafi ni hakii lakini saivi imevamiwa na chama kimojoa hivi cha majadida kikiongozwa na raisi wao kasimu mafuta raisi wa majadida tz hii
@azizaj776
@azizaj776 2 ай бұрын
Nani akujadili ewe mnafiki
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 2 ай бұрын
Qassimu mafuta una usulubu mbaya Katika kuwakosoa watu unakosoa watu kwa kuwa kashifuu wewee na Abdallah dilele na huo sio usulubu mzur jirekebishe
@RuwaidaSaid-un3pc
@RuwaidaSaid-un3pc 4 ай бұрын
Kwani nyie hamuwajadili hao masufi
@salumtakao9828
@salumtakao9828 5 ай бұрын
Kam mnajua funguo ni za Allah kwa nin mnaendelea?? Mnavowaita watu majina mabaya mnasahau?. Uzuri ni kwamba mnjitambua mnyoyafanya kuwa mnapituka mipka ila tu ubishani ndo mmewek kipawa mbele. Mubadilike . Hayo si matumizi ya elimu
@Abuusamhasalum
@Abuusamhasalum 5 ай бұрын
Kwanza ondoa hio picha haramu kisha kasome
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Mafuta ilmu yake asipoangalia itamshitaki kesho kiama kwa Allah maana anaitumia vibaya na kuharibu vijana wengi, anafitinisha na kuwasema vibaya watu akijifichia usalafi Allah atoangalia jina lake analotumia madamu anafutinisha atajibu vzr tuuh
@kessynassoro2847
@kessynassoro2847 3 ай бұрын
shehe givi hakuna ama hauna jambo jingine ambalo lita leta faida kwa waislamu? zaidi ya malumbano na kukosoana waislamukwa waislamu kila kukicha? mi naona kuna mambo mengi ya kujadili juu ya maendeleo ya waislamu na jamii nzima ya kitanzania, ninyi mnaojuwa ndio tunawategemea mtufundishe sisi ambao hatuna upeo wa dini lakini mkianza kulaumiana na kukosoana kila siku sisi hakuna tutakachokijuwa mi nafikiri kila mmoja afundishe umoja wa dini kulikokuonesha tofauti ya dhehebu fulani. kwani unavyofikiri watu wa dini nyingine hawana tofauti? mbona hatuwasikii wakilumbana mitandaoni . hapo mnatukosea sisi ambao hatuna elimu y dini ya kutosha! badilika
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
Huyu shekhe kasoma lakini ilmu yake anaitumia vibaya na itakwenda mshitaki mbele ya mahakama ya Allah sasa yey anaitumia kufitinisha watu kujikeeza wakati kuna walomzidi ilmu mbali sana yeye kukaa miezi sita yemen ndo anajiona anafunguo za pepo kapewa yeye
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
Mafuta huna lolote ww ndo hizbi salafu ( rais wa majadida tz) huna lolote man hajji yenu kutoana kila siku kupeana red card 😅😅
@FatumaNuru-g9z
@FatumaNuru-g9z 3 ай бұрын
Mafuta kasoma kuliko mahizbi
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
@@FatumaNuru-g9z unamuita mtu hizbi ww mwenyewe hujui mwisho wako unadhani Allah siku ya kiama atamuadhibu mtu kisa ulomuita ww hizb ni kujisumbua tuuh na vikundi vyenu vimekuwa vyama skuhizi Allah atamlipa mtu kadiri ya matendo yako ww ita utakavyo mpk midomo yenu ipauke si tunasonga mbele hatujali dini so yenu hii na boss wenu mafuta sijui maftaaa ya taa sisi atuajali hayo
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 ай бұрын
@@FatumaNuru-g9z ilmu hiyo ya kukaa miezi sita yemen ndo inakudanganya ww kuna walomzidi ilmu hawaongei sifa nyingi kibri kimemjaa ilmu yake anaitumia vibaya sana mafuta itakwenda mshitaki mbele ya mahakama ya Allah siku ya kiama na wafuasi vyake vinavyoshabikia boss wenu amche Allah aache kufitinisha watu funguo za pepo hana yeye huko ni kutupa mipaka katika dini ya mwenyezi mungu na kuwakejeli watu na kuwasema vibaya hiyo so uislamu na so mwendo wa sallafi walotangulia bali ni kufanya mizaha na dini ya allah mafuta amevuka mipaka sana hilo atahadhali asidhani kujiita kwake salafi Allah ataliangalia hilo ohooooo
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
@@FatumaNuru-g9z yemwenyewe majadida wenzie wamemtia kwenye uhizb mnamatatizo nyi watu mungu awaongoze kweli hivi vikundi vya kuvamia vamia bila kuangalia ni shida xana.
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 2 ай бұрын
Huo so ukwel Kuna watu wamemzidi kielimuu huyo mafuta ​@@FatumaNuru-g9z
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 2 ай бұрын
Qassimu mafuta una usulubu mbaya Katika kuwakosoa watu unakosoa watu kwa kuwa kashifuu wewee na Abdallah dilele na huo sio usulubu mzur jirekebishe
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 42 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН
MAKOSA KATIKA SAFU ZA SWALA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
8:50
Fauz Production
Рет қаралды 7 М.
Tokea niumbwe sijawahi ulizwa swali kama hili | Mazinge
7:46
MAKIR ONLINE
Рет қаралды 553 М.
NAMNA YA KUSOMA FATIHA NDANI YA SWALA
17:07
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 3,5 М.
NI IPI TOFAUTI KATI YA MWENYE ELIMU NA MLINGANIZI??
4:07
@Abuu Twalha
Рет қаралды 499
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 42 МЛН