🅻🅸🆅🅴 : WANAOPINGA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI WAIBUA MAPYA/WAHOJI UKIMYA WA WANANCHI 'KESI YAO'

  Рет қаралды 8,394

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
WANAOPINGA TAMISEMI KUSIMAMIA UCHAGUZI WAIBUA HOJA NZITO KWA WANAHABARI/ WAHOJI UKIMYA WA WANANCHI KWENYE 'KESI YAO'
VIDEO:
Wananchi watatu (3) ambao ni Bob Chacha Wangwe, Bubelwa Kaiza na Dkt. Ananilea Nkya waliopeleka maombi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakiomba kufungua kesi ya kupinga Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo, Jumamosi Septemba 07.2024 wamekutana na wanahabari ambapo pamoja na mambo mengine kwa pamoja wamejadiliana nafasi ya ushiriki wa wanahabari/vyombo vya habari na wananchi kwa ujumla kwenye shauri hilo linalotarajiwa kutolewa maamuzi Septemba 09.2024
..........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 25
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 9 күн бұрын
Mzee wetu Kaiza,Mama Nkya na ndugu Bob Wangwe, napenda kuwatia moyo kwamba msivunjike moyo Wananchi na Watanzania wengi tuko pamoja tunafuatilia kesi hii kwa karibu sana,pia tunawaombea ulinzi wa Mungu uwe juu yenu nyote. Hakikisha mmeonyesha uthubutu wenu na Watanganyika/Watanzania tunawaunga mkono katika shauri hili na tunaomba Mungu asimame na wenye HAKI tushinde kesi hii, haki ishinde Dhuluma! TAMISEMI isisimamie uchaguzi wa Serikali za mitaa!
@davidbenjamin1541
@davidbenjamin1541 8 күн бұрын
Najua mahakama itatenda haki ushindi itakuwa kwa wananchi.. Ninavhojua mazoea Yana mwisho.
@OscarKasalile
@OscarKasalile 9 күн бұрын
Mzee upo sawa sana
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 9 күн бұрын
MAY OUR ALMIGHTY GOD PROTECT YOU ALL PEOPLE OF GOD
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 9 күн бұрын
Dada nkya waandishi wa habari waliowengi ni machawa wanaganga njaa na wengine wanavizia uteule watanzania wengine bado ni simba na yanga ikitamgazwa mechi ya simba na yanga wanafuatilia sana lakini mambo ya nchi hawana habari nayo du mungu awasamehe sana
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 9 күн бұрын
Main Stream Media zote zimedhibitiwa na Serikali hawawezi kuripoti habari za kuwafungua Macho Watanzania kujua haki zao.
@nicolausjanda714
@nicolausjanda714 9 күн бұрын
Waandishi wa habari mnatunyima haki zetu watanzania
@fabianmainchanyangachika5017
@fabianmainchanyangachika5017 8 күн бұрын
Mura wa mara Mungu akubariki
@DavidMtoi
@DavidMtoi 9 күн бұрын
Mama nkia. Bob chacha wangwe. Pamoja na bro kaiz wa tz tuko pamoja nanyi ktk shauri hili!
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 9 күн бұрын
Mrs ANANILEA TUMEKUELEWA VIZURI SANA....GOD BLESS YOU MAMAA
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 8 күн бұрын
Watanzania tupo nyuma yenu na wala msikate tamaa.Mungu awabariki sana na azidi kuwatia nguvu.Tatizo kuiamini TAMISEMI ni ngumu kwa sababu chaguzi zote zilizopita inasemekana hao hao TAMISEMI wamejigeuza wakala wa kuiba kura na kuendekeza ushetani wao.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 9 күн бұрын
ASANTENI RAIA WATATU KWA KUTUWAKILISHA SISI WANANCHI WA TANZANIA
@bedamassawe8107
@bedamassawe8107 8 күн бұрын
Naomba na mimi Beda Massawe niwepo
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 9 күн бұрын
Hio Nchi imekiwa kama North Korea
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 9 күн бұрын
Mpo sawa watanzania tuhamkeni
@JuliusMugyabuso
@JuliusMugyabuso 8 күн бұрын
Hapa inaonekana Tume ya Uchaguzi ni mtumishi wa serikali ya tamisemi,yaani waziri wa tamisemi ndiye anaamurisha Tume ifan ye nini badala ya Tume kumsimamia tamisemi ifanye nini Ili tupate Uchaguzi wa haki
@StevenTambi
@StevenTambi 8 күн бұрын
Waziri wa Tamisemi ni mkwe wa Samia, kwa misingi hiyo atakuwa katumwa na mkwewe afanye huo unyang'au kwenye uchaguzi.
@antipasmkude3789
@antipasmkude3789 8 күн бұрын
Mimi sitaki Tamisrmi isimamie uchaguzi. Sauti yangu itasika vipi.
@Ushauri235
@Ushauri235 9 күн бұрын
Mbona main stream hatuzioni
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 8 күн бұрын
KESI ZA WIZI WA KUKU HAZIKUSAIDII KUPAMBANA NA KESI ZA KIMATAIFA
@ernestlalu2067
@ernestlalu2067 8 күн бұрын
Ni mkate tu wenye fangasi
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud 8 күн бұрын
RAIYA WATAJAA IKITOKEA SIMBA NA YANGA KUCHEZA HAPO MAHAKAMANI
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 8 күн бұрын
Watanzania elimu yetu ya darasa la Saba inatutesa sana. Hatujuwi wala hatuelewi haki zetu. Serikali inajuwa udhahifu wetu. Ndiyo maana viongozi wetu wanatuburula bila sheria za haki za binadamu.
@OscarKasalile
@OscarKasalile 9 күн бұрын
Mzee upo sawa sana
AAFP WAIFUNGUKIA TAMISEMI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
46:27
SAUT DIGITAL
Рет қаралды 342
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 20 МЛН
МЕБЕЛЬ ВЫДАСТ СОТРУДНИКАМ ПОЛИЦИИ ТАБЕЛЬНУЮ МЕБЕЛЬ
00:20
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 50 МЛН
RUNGWE ACHARUKA SAKATA LA UTEKAJI, AMTAJA MAKONDA NA DKT PHILIP MPANGO.....
7:07
MDUDE AKIELEZA YALIYO MSIBU AKIWA MIKONONI MWA POLISI
52:26
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 15 М.
CJ Koome scared, Bad news to all Judges in Kenya
8:46
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 1,3 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 20 МЛН