🅻🅸🆅🅴 : WAFUASI WA MBOWE NA LISU WANYUKANA VIKALI

  Рет қаралды 28,433

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 277
@HellenLemilya
@HellenLemilya 16 күн бұрын
Gwamaka uko vizuri,unajibu vizuri na umetulia
@OnesmoRichard-n5r
@OnesmoRichard-n5r 16 күн бұрын
Huyuu brother aliyevaa gwanda aisee ana hoja Sana Kudos broo🙌
@mikachristopher8240
@mikachristopher8240 16 күн бұрын
Gwamaka Mungu akubariki
@ciciandjojo7701
@ciciandjojo7701 16 күн бұрын
Mnakuwa wapambe nuksi mpk mnasema chama kimeanza 2019! Muwe washauri wema na wenye hski kama mnavyo aminisha umma. Hongera Gwamaka na mwenzake kwa hekima zenu.
@kevinmkony9310
@kevinmkony9310 16 күн бұрын
😂😂ila kweli Mbowe muda wake umeisha bahati mbaya sana anaondoka kwa aibu! Kama hawa ndo watu wake, wanamvua nguo hasa!
@Swahili25
@Swahili25 16 күн бұрын
Lissu Mwenyekiti wa Chadema 2025 2029
@ebitariho9720
@ebitariho9720 16 күн бұрын
Mimi nilikuwa nafikiri yeriko ni mtu mwenye akili ,kumbe ni kichwa maji.
@mathewilomo8345
@mathewilomo8345 16 күн бұрын
Tikiti maji
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Yaan mtupu kama debe tupu
@gilbertmtoshu-gm7bt
@gilbertmtoshu-gm7bt 16 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@JosephKalegea
@JosephKalegea 16 күн бұрын
Yriko umechemsha kwanikatiba yenu inakataza viongozi wadini
@JosephKalegea
@JosephKalegea 16 күн бұрын
Hioni busaraya tundurisu to a hoja chadema sio utemi
@noelthomas619
@noelthomas619 16 күн бұрын
Team mbowe hawana hoja za mashiko..
@makoyethomas5012
@makoyethomas5012 16 күн бұрын
Lyenda na Gwamaka mpo vzr mmepevuka kisiasa.
@benedictomabula7577
@benedictomabula7577 16 күн бұрын
Katika mdahalo wako huu Chief Edwin Odemba, natoa maoni yangu washiriki wako walivyoofanya vizuri kuanzia namba 1 mpaka 4 kama ifuatavyo:- Scoring 1) Gwamaka. ( 50%) 2) Lienda. (30%) 3) Yerrico Nyerere. (15%) 4) Emmanuel Ntobi (5%)
@Hence2008
@Hence2008 16 күн бұрын
Gwamaka for President
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 16 күн бұрын
Waanangu na wadogo zangu Lyenda na Gwamaka mko vizuri sana. Hamna dalili ya uchawa hata kidogo, hongereni saana.
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
👏👏👏👏na wana akili wanajadili kwa hoja
@michaelshegwando9125
@michaelshegwando9125 16 күн бұрын
Mm akili sina lakini naona kabisa wapambe wa LISU wako vizuri kuliko wapambe wa MBOWE.
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Team ya Mbowe hawana hoja kama mwenyekiti wao
@HellenLemilya
@HellenLemilya 16 күн бұрын
Big up Gwamaka huna jasba unajibu kwa data na utulivu ,unafaa kua kiongozi
@michaelshegwando9125
@michaelshegwando9125 16 күн бұрын
Kiukweli naipenda sana CHADEMA na sijawahi kuichukia hata siku moja ila kwa staili hii ya hawa Tim MBOWE mh!!. Tumuachie mungu tu chadema inakwenda kufa kwa kishindo kikubwa sana...!. Kama hakuna chama mbadala bora nirudi CCM tu.
@AnoldMwambinga-kn1fi
@AnoldMwambinga-kn1fi 16 күн бұрын
Kilichonisikitisha timu mbowe wanawabagua wenzao hapohapo kuwa nyie siyo wapiga kula siyo vizuri
@MrMichaelHbog
@MrMichaelHbog 16 күн бұрын
Yaan wewe unaumizwa af unasema unataka busara. Wanachi tunataka kiongozi mwenye msimamo naye ni LISU
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 16 күн бұрын
Mbona Lissu alikubali Lowassa kuwa mgombea urais Ukawa wakati alikuwa kwenye list of shame ya rushwa? Lissu hakusema chochote. Huo ni msimamo gani? Lissu anakiu ya madaraka. Hafai kuwa rais.
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Kabisa. Waache wawe wagumu kama Farao kisha wasubiri mkono wa BWANA. Wao si wanasemaga kuwa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu, sasa watamuona Mungu akiongea
@vipikidude
@vipikidude 16 күн бұрын
Yericko Ni mweupe kama barafu Ni Bora akauze Magazeti yake mtaani, Ntobi Ni mzimu na kichekesho ndani ya chama Hana hoja zaidi ya vijembe na personal attacks
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Yaan Yericko kajiaibisha sana na huyo Ntobi ndio kiazi kibovu kabisa
@dassustephen731
@dassustephen731 16 күн бұрын
Hao wanao muunga mkono Mbowe Wana hoja dhaifu sana ,uwezo wao wa kufikiri mdogo sana,hawajustshiri hata kuwa viongozi.
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Kabisa aisee
@mwl.michaelsainethmlowe2641
@mwl.michaelsainethmlowe2641 16 күн бұрын
Mpaka hapo debate hii tundu lisu wapambe wamewin wapo vizuri kwa kujibu hoja upande wa Mbowe ni wahuni wasio na hoja kabisa wanashindwa kujitetea kabisa kama vile wapo form one A na sio wasomi!
@PaulKiwese
@PaulKiwese 16 күн бұрын
Timu mbowe mawazo na fikra zao nikulinda matumbo yao lkn ukiwasikiliza timu lisu wanazungumzia taasisi
@ebitariho9720
@ebitariho9720 16 күн бұрын
Yaani Yeriko ameshuka akili mpaka kiwango cha Steve Nyerere. Kweli Lissu katuonyesha ujinga wa watu wengi.
@dassustephen731
@dassustephen731 16 күн бұрын
Hastahili kutumia hata jina la Nyerere maana Nyerere alikiwa kiongozi mwenye Akili kubwa sana,na huyo Jericho ana uwezo mdogo sana kiakili
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Kajitia aibu sana ni boea angekaa pembeni kulinda brand yake kuliko alivyojidharaulisha sasa
@edwinayieko9517
@edwinayieko9517 16 күн бұрын
Yaaani kimeanzishwa 2019 ila mwenyekiyi ana miaka 20 na chama kina umri wa miaka 30. Huyu ndio Ntombi sasa😂😂😂😂
@josejesca3438
@josejesca3438 16 күн бұрын
Hao jamaa wa upande wa Lisu wapo very smart...jamaa wa Mbowe wamefunikwa na chuki
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Kabisa aiaee
@shivoly8098
@shivoly8098 16 күн бұрын
Wanafanya ubaguzi wazi wazi kabisaaa
@philimonkajigili-hx6ph
@philimonkajigili-hx6ph 16 күн бұрын
Odemba uko vizuri sana,ungeweza kuwaweka mdaaro hao watia nia ya uenyekiti ungetukonga sana watz
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Mbowe atakimbia
@emmanuelmwangwa825
@emmanuelmwangwa825 16 күн бұрын
Yaani kweli mwenyekiti anapeleka Ntobi kweli nimeamini sikio la kufa halisikii dawa
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂yaan vilaza tupu ndo wanamtetea
@shivoly8098
@shivoly8098 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂 wanasema wanataka utamu wa mwenyekiti
@RobinsonKadogo
@RobinsonKadogo 16 күн бұрын
Odemba tunaomba Uandae mjadara wa lissu na mbowe
@callmelwizz553
@callmelwizz553 16 күн бұрын
Hawa jamaa wa Lissu wana hoja heavy
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 16 күн бұрын
Team Mbowe hawana hoja! zaidi uchawa na kutetea matumbo yao tu!
@abdukhalnyerere8993
@abdukhalnyerere8993 10 күн бұрын
Huyu ntobi nae ndio maana kavuliwa uenyekiti maana anaongea ujinga tu lissu alikuwa ubelgium akiponda raha au alikuwa bado kwenye matibabu
@mathewilomo8345
@mathewilomo8345 16 күн бұрын
Huyo Nyerere ndo mwandishi wa vitabu?
@dunstankihaa2383
@dunstankihaa2383 16 күн бұрын
Huyo jamaa aliyevaa gwanda la kaki ana akili kubwa sn
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 12 күн бұрын
Hawa wanao mpigia debe Mbowe hawana hoja kabisa yaani mpaka unajiuliza hivi wamepatwa na matatizo gani hawa? cc tunamuhitaji mh. Lisu huyo Mbowe imetosha kutudanganya, Yeriko tulia upepo umevuma ngoja umpitie Mbowe, wajumbe msituletee mtu tusio mpenda Mbowe, mleteni mh. Lisu.
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 16 күн бұрын
Madish yapo mengi chadema .. naona Odemba anaongea na Mizimu😂😂😂
@emmanuelmwangwa825
@emmanuelmwangwa825 16 күн бұрын
Smart Gwamaka
@gdafa766
@gdafa766 16 күн бұрын
Gwamaka
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Gwamaka anaakili sana sikuwa namjua ila ni kichwa mno mno mno
@njanjimlwale
@njanjimlwale 14 күн бұрын
Mijadala ni safi sana, inaweza kutuonyesha pumba na mchele
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb 12 күн бұрын
Mbowe amechoka kodi ziko juu mbowe akichaguliwa sitakifurahi mbowe amechafua chama kungangania madaraka mbowe ndumilakuwili pamoja wenzee mbowe akichaguliwa wananchi tutapata shida tundusi alikuja mufindi vijiji tundulisu atatuletea maendereo vijiji tundulisu mbowe ndiyo adui wako Mungu akusaidie tundulisu siyo mwizi mzalendo mbowe siyo mwaminifu
@onesmoherman6832
@onesmoherman6832 16 күн бұрын
Mbona Team Mbowe wanaongea kwa kiburi sana na kejeli
@henrynjovu9147
@henrynjovu9147 16 күн бұрын
Nyerere Unafedhehesha Tai.
@jobbybobby6902
@jobbybobby6902 16 күн бұрын
Hawa chawa wa Mbowe hamna kitu...Yericko zero na huyu Ntobi ni mzigo dah
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
Tena mzigo mzito😂😂😂😂
@RobinsonKadogo
@RobinsonKadogo 16 күн бұрын
Nyerere unavuruga mjadara ,ufai kama mbowe
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje 16 күн бұрын
Mnajvunia kupiga kula ila kumbuken kuwa lisu ndo Kila litu njaa zenu izo kwa uyo mbowe pidid ✌️
@dennissamora729
@dennissamora729 14 күн бұрын
Huyo Yeriko akafanye komedi.. nashangaa sijui kwann aliitwa Nyerere 😂
@lusajomwakajoka4955
@lusajomwakajoka4955 16 күн бұрын
yaani hawa wa mbow. mm cwaelew mar wayakatae waliyosem mar wayakubali , washa changanykiw😂😂
@shivoly8098
@shivoly8098 16 күн бұрын
Kweli mwenyekiti mvumiliva,anamvumilia Ntobi kweli😂😂😂
@SilveryMasalu
@SilveryMasalu 16 күн бұрын
Zito Kabwe, Chacha Wangwe, Cessil Mwambe ,Fredrich Sumaye na sasa Tundu Lissu kugusa tu form ya uenyekiti taifa shida inaanza kuna nini katika chama cha Chadema?
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 9 күн бұрын
Team mbowe pumbavu hawa kumbe CHADEMA inawatu wapumbavu kiasi hiki? Daa eti ni wasomi wasomi gani hawa team mbowe kakojoe mukalale
@KikokoBenson
@KikokoBenson 15 күн бұрын
Team lisu muko vizuri
@josejesca3438
@josejesca3438 16 күн бұрын
Hawa jamaa wa mbowe ni aidha wamekula rushwa au washajua wataiba kura....yaani wana uhakika upi kuwa Tundu hawezi shinda
@benedictomabula7577
@benedictomabula7577 16 күн бұрын
Hawa vijana wa Chadema wanatakiwa wajengewe Chuo cha Uongozi kwa ajili ya kupikwa naona Kuna mapungufu makubwa zana. Ila kwa namna mdahalo unavyoenda Kuna jambo la kujifunza sana. Chief Odemba midahalo hii ni muhimu sana. Endelea kuiweka live kwa maslahi ya Watanzania
@Alphonce223
@Alphonce223 16 күн бұрын
Uyu kweli Nyerere akili anaakili izotuzo anazipataje😅😅😅
@WinnesRabieth
@WinnesRabieth 16 күн бұрын
Badala ya kusimamia na kutetea uwezo wa kupambaniua sera chama na jinsi wagombea walivyo na uwezo wa kusimamia chama, midume mizima inaongea mipasho? Mh.Mbowe anapiganiwa na watu wenye hoja dhaifu sana. 😢😢😢😢😢
@osoyarabuor4920
@osoyarabuor4920 16 күн бұрын
Hongereni wote mmenyukana vizuri sana
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 16 күн бұрын
Mbowe ukishinda nafasi ya M/Kiti. chadema itabaki na machawa tu. Hamuwezi kuwashawishi wananchi kujiunga na chama.
@lucasturuka8385
@lucasturuka8385 16 күн бұрын
Ccm itatawala milele kama akili zenu ndo hizi vijana wa Chadema yaan leo mnakili maneno ya Ndugai kuwa Lissu alikuwa anazurula Ubeligiji 😂😂 kwamba hata Mh Rais alipoonana Lissu akamwomba amtoe gerezani Mbowe hakufanya chochote yaani hata nyie hamwezi kumridhi Mbowe 😂😂😂😂, Ccm hoyeeeeee. Kama Lissu kavunja katiba ya Chadema mfukuzeni chama kama mlivyoofanya kwa wengine.
@salminmayla
@salminmayla 16 күн бұрын
Ntobi na yeriko Nyerere ni mashushu wa ccm
@ClarenceHilaly
@ClarenceHilaly 16 күн бұрын
Chawaaaaaa ni hatari sana yaani mijitu anamtolea macho mbowe ili atawale milele kwer hatar
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 16 күн бұрын
Jibu sahihi ni kwenye box nimeona mwamba ngoma huvutia kwake
@JosephFrank-zp3ft
@JosephFrank-zp3ft 16 күн бұрын
Mi jinsi ninavyoona ukilinganisha na mjadala naona tumpe lisu atuvushe
@celestinekimaro8996
@celestinekimaro8996 16 күн бұрын
Lisu hana tofauti na mwendazake.Tunashaka na intelligence yake kwenye masuala ya kisiasa
@maulidathuman1779
@maulidathuman1779 16 күн бұрын
Kumbe chadema imeanzishwa 2019
@msofegobless8596
@msofegobless8596 16 күн бұрын
Kwahiyo chadema ilianzishwa 2019? Sawa ngoja tunywe mtori tuzikute nyama chini
@omarykidendey1125
@omarykidendey1125 16 күн бұрын
Lisu oyeee
@EmanuelJohn-o3d
@EmanuelJohn-o3d 15 күн бұрын
ayo matikiti maji ya mbowe aw chawa ndio wanay dumaza siasa za tanzania
@jobbybobby6902
@jobbybobby6902 16 күн бұрын
Lissu's guys are very smart and competent these Mbowe's guys are just haters...omg uneducated and hatred for Lisu.
@PeterLaizer-hj3cy
@PeterLaizer-hj3cy 16 күн бұрын
Mwandishi Yuko vizuri sana kufatilia
@ceomomtz
@ceomomtz 16 күн бұрын
Huyo kasema chama kimezaliwa 2019. 😂😂😂
@Babamlezi2007
@Babamlezi2007 16 күн бұрын
Ntobi hamna kitu. Eti hizo ni strength
@mikachristopher8240
@mikachristopher8240 16 күн бұрын
Yeriko Nyerere umeonesha uwezo mdogo sana
@thegreat6694
@thegreat6694 16 күн бұрын
Kwel mwenyekit anavumilia watu.... Kama kaweza kuvumilia chiz kama wew yeriko....😂😂
@1stladyafrica402
@1stladyafrica402 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 16 күн бұрын
🙌🙌🙌
@Glr-ns4cl
@Glr-ns4cl 16 күн бұрын
😂😂😂😂
@shivoly8098
@shivoly8098 16 күн бұрын
Na ntobi, kweli anauvumilivu
@HellenLemilya
@HellenLemilya 16 күн бұрын
Nyinyi muongee vyote ila Lissu awe mwenyekiti, Mbowe muda umeisha asitawale milele
@AloiceMwanga
@AloiceMwanga 12 күн бұрын
Kwa hiyo nyinyi mlio upande WA mbowe mnawapongeza hao CCM Kwa kuvunja katiba mnaita ndio faida ya maridhiano mikutano ni halo kikatiba
@ciciandjojo7701
@ciciandjojo7701 16 күн бұрын
Chawa wa mbowe mnamaneno machafu lkn 😢
@celestinekimaro8996
@celestinekimaro8996 16 күн бұрын
Big up sana chief Odemba kwa critical and philosophical questions. Hongera sana
@JoachimKigahe
@JoachimKigahe 16 күн бұрын
Chadema kumbe imeanzishwa 2019 na m toka mtoto nakisikiaga kipo2
@johnallute7543
@johnallute7543 15 күн бұрын
Big up to Lyenda and Gwamaka.
@nabugobafakhruddin794
@nabugobafakhruddin794 16 күн бұрын
Chadema imeanzishwa 2019 alfu ina miaka 30 😅😅😅😅
@ancientkritus9142
@ancientkritus9142 16 күн бұрын
Gwamaka yupo smart sana.
@victormsigwa4806
@victormsigwa4806 14 күн бұрын
chadema imeanzishwa 2019 kumbee
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 16 күн бұрын
Mbowe kwisha
@kijukuuchamkawa6037
@kijukuuchamkawa6037 15 күн бұрын
Yeriko hauko sawa oparesheni Moscow haiendani na mitazamo yako
@MussaGodfrey-s7k
@MussaGodfrey-s7k 16 күн бұрын
Yeriko acha kupigia upatu kitu ambacho kinalete alufu ya kilukizofixha chama,,, kwanza hatujawahi kukuona sisi tumella polini tukiwa kwenye chadema misingi
@RobinsonKadogo
@RobinsonKadogo 16 күн бұрын
Nyerere unazaririsha iyo tai uliyoivaa
@MussaGodfrey-s7k
@MussaGodfrey-s7k 16 күн бұрын
Ukiona watu wanajadili kwa kutoa povu ujue kuna mahala wanaahadi sehemu km hawa wakina eriko niwakutizama mara mbilmbil
@sheilah2018
@sheilah2018 15 күн бұрын
Huyu Gwamaka ndo nimemuona Leo duh jamaa ana akili sana yaani ni Rasimali mzuri sana kwa nchi yetu
@erickmgaya3914
@erickmgaya3914 16 күн бұрын
Hawa wa upande wa lisu niwatu makini sana lakini upande wa mbowe wanauchawa mwingi
@geraldleger5793
@geraldleger5793 16 күн бұрын
hajatukanwa anaambiwa apunzike ! Acheni uchochezi ...
@mathewilomo8345
@mathewilomo8345 16 күн бұрын
Hivi Shinyanga ilikuwaje mkawa na mwenyekiti kama huyo kiazi??? Ni aibu sana
@hamilcweed5432
@hamilcweed5432 16 күн бұрын
Kimsingi watu wa mbowe wanaliogopa debe na ndio maana wanatamani lissu akatwe mapema kwa hoja zisizo na mashiko.
@malackedson7706
@malackedson7706 16 күн бұрын
Yeriko chawa.
@eliajimmy95
@eliajimmy95 16 күн бұрын
Huyu mhehe wa mufindi Yericko nyerere ni takataka kabisa
@Alphonce223
@Alphonce223 16 күн бұрын
Uyu ntobi 😅😅😅 kweli ni kibala ila mbowe umebugi kumuweka uyu akupigie kampeni
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 16 күн бұрын
Wanasema watu wenye vipara wana akili lakini hicho cha Ntobi ni cha kubeba mizigo.
@OmaryHeri-c3h
@OmaryHeri-c3h 16 күн бұрын
Yeliko kawa mpumbavu hivi jamani du
@AloiceMwanga
@AloiceMwanga 12 күн бұрын
Unazungumza na wanadrama skins mtobi mtobi kumbuka umesema mbowe ameshida her kids WA kampeni umefika si kuvunja kanuni
@josephmoses5406
@josephmoses5406 15 күн бұрын
Yerico na Stive Nyerere ni ndugu?
@jonathankizindo2817
@jonathankizindo2817 16 күн бұрын
Huyu yerico kumbe mweupe hivi
@7stianPius
@7stianPius 16 күн бұрын
yerico kichwa pumbu kabisa,sijajua kwann odemba kamualika
@KilongeHenry
@KilongeHenry 16 күн бұрын
wewe myalu huna hoja ndenda kavune miti
@jobbybobby6902
@jobbybobby6902 16 күн бұрын
Hana akili chuki tu hana tofauti na ignorant Ntobi
@mpeligwamoyo4254
@mpeligwamoyo4254 16 күн бұрын
Naamini Kuna watu wanamwambia lipumba Bado unatosha endelea ndio akina ntobi na yerico.mkipitisha mbowe jiandaeni kumfuata lipumba alipo
@MussaGodfrey-s7k
@MussaGodfrey-s7k 16 күн бұрын
Acha kudangaya umma unamanisha kilikufa ww usituletee ubishi wa dar huku watu tunauza kuku kufanikisha mikutano ya wilaya nyie huku mnatumiana nauli za ndege kuhudhuria kikao
@mwamibukulu7745
@mwamibukulu7745 16 күн бұрын
chadema kushika nchi bado
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 16 күн бұрын
Tim lisu mko vizr
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
WPAMBE WA MBOWE NA LISSU WAPAMBANA KWA HOJA
1:30:06
SK Media Online TV
Рет қаралды 16 М.
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН