KWANI TUMEKOSANA LINI? WANANCHI WA NYAMONGO WAMGOMEA CHANDI

  Рет қаралды 1,152

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Habari na @Fredrizzo Jambo Tv
Kufuatia Ziara ya mawaziri wawili May 30
Mhe. Mavunde waziri wa Madini na Mhe. Masauni waziri wa mambo ya ndani kutembelea kijiji cha nyamongo Tarime DC mkoani Maraambao walitarajiwa kuwasilisha katika viwanja vya shule ya Nyakabindi majira ya saa 4 asubuhi na wananchi kukusanyika na badala yake wakafika jioni majira ya saa 11 jambo ambalo lilionesha kuwakwaza wananchi waliyojikusanya tangu asubuhi,
Akipanda jukwaani na kuwasilimu wananchi wa nyamongo Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndg. Chandi Wananchi hao walionesha wazi hasira zao kwa kukataa salamu yake na kuzomea,..
"Kwani tumekosana lini?" alihoji Chandi M/kiti CCM Mara
Tazama video
#ccm #jambotv #trending #chandi

Пікірлер: 8
@yussufnyaregecha5827
@yussufnyaregecha5827 2 ай бұрын
Duh Aibu tupu,
@AbdulhaamidSoud
@AbdulhaamidSoud 2 ай бұрын
Muheshimiwe nyinyi tu mbwa nyinyi wananchi mnawaona kama mbwa
@MwajumaRajab-nj3nz
@MwajumaRajab-nj3nz 2 ай бұрын
Hatuwataki
@mwitanyahiri4586
@mwitanyahiri4586 4 ай бұрын
Kazi unayo mzee,utaweza kujieleza hiivyo kweli Kila sehemu utakayoenda?
@derickmagabe6656
@derickmagabe6656 4 ай бұрын
Hii ngoma ngumu
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 4 ай бұрын
😂😂😂
@MawazoMofu
@MawazoMofu 4 ай бұрын
😮
@chacharotente2525
@chacharotente2525 4 ай бұрын
😂
Wakili Stolla Aonesha Mapungufu ya Katiba ya 1977
13:23
WAKILI TV
Рет қаралды 788
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 58 МЛН
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Oxford Mathematician DESTROYS Atheism In Less Than 15 Minutes (BRILLIANT!)
15:43
WAITARA NA MASAUNI USO KWA USO NYAMONGO
19:19
JAMBO TV
Рет қаралды 1 М.
Sustainability & ESG Careers: Trends & Opportunities | Ellen Weinreb
21:01
Collective Responsibility
Рет қаралды 12 М.
Do you choose Inside Out 2 or The Amazing World of Gumball? 🤔
00:19