Tundu lissu uko vizuri sana kutuelimisha wanyonge nasi tupo na wewe baba.❤
@NathanKanickАй бұрын
Wewe ni mnyonge?
@JamesMatondo-fk4bhАй бұрын
Namkubar sana mweshimiwa makam mwenyekit kwa kutuelimisha mkuu
@GodfreySospeter-f7rАй бұрын
Lisu uko makini sana bro, nakukubali.
@jamaldaud-e4dАй бұрын
Hakili kisoda hawawezi kumwelewa Tundu Lissu mwamba anaona mbali sana Asante Sana kwa maana tunapata elimu jinsi watanzania wengi hakili zetu zimedumaa
@GoodTeck90Ай бұрын
Wanamuelewa Bwana, kwa sababu amewapa darasa .....hakuna Mtanzania asiyejua kuwa CCM ni genge fulani la wezi tuuu
@juliuskitaluka1206Ай бұрын
Akili kubwa sana
@AmosRugaimukamuАй бұрын
Tundu lisu noma sana, watu kama Hawa niwachache sana
@KassimAlly-xp4dzАй бұрын
Hakika ana waelimisha vilaza
@bmdele5816Ай бұрын
Akili kubwa sana mh. Tundu Lisu, Mungu akujalie maisha marefu uendelee kulielimisha taifa
@KassimAlly-xp4dzАй бұрын
Anao waelimisha sasa ni viziwi
@PeterchipembaАй бұрын
Lissu,, wewe ni darasa zaidi ya chuo kikuu,,
@JamesJapheth-z9nАй бұрын
Uko vizuri kwenye Sheria.
@PeterchipembaАй бұрын
Mweshimiwa lissu,,mimi huwa nakuelewa sana,,kwangu mimi wewe ni mwalimu mzur sana,,kwa hili nimekuelewa
@Oboss_billharvesterАй бұрын
Ila huyu mzee anatumia nguvu na akili nyingi Sana kulielimiaha taifa lakini wanamuelewa wachache Sana, hivi kwanini mtu Kama huyu tusimlinde hata traditional!!, binafsi hua namuelewa Sana sijali kutukanwa ila ila mtu akinitukana karibu namzika mda huohuo.
@huyu1993Ай бұрын
Kichwa utamla Mama ako mwehu wewe tena mshenzi
@huyu1993Ай бұрын
Utamzika baba ako na mama ako
@binseif2216Ай бұрын
Angekuwa na akili tungemlinda lkn hatuwezi kumlinda sabb chadema wauaji
@nugwiziwe7577Ай бұрын
Huwa najiuliza traditional huwa azifanyi kazi Kwa waviongozi wezi😢😢
@mathewmillanzi1700Ай бұрын
Ndugu yangu hao wanaokutukana ni mashemeji wa viongozi pia ni kula kulala
@DausonShensherwaАй бұрын
Tundulisu we ni noma mungu azidi kuku baliki kila kona
@PatrickiMpilukaАй бұрын
Ama kweli CCM hawana nia nzuri na nchi hii Ashukuriwe Mungu kwa kutoruhusu kifo cha huyu mwamba Tundulisu
@humphreymkony8915Ай бұрын
Makamu Akili nyingi!
@PoliteJustine-s9zАй бұрын
Genius wa Taifa
@ulomirabiel6980Ай бұрын
Lakini hiyo mitego yote ni uovu uliolenga kukosesha watu haki. It is devilish. Majitu haya yanapata wapi uhalali wa kutuonza?
@Bumutz-po2dfАй бұрын
Lissu akili kubwa sana hakuna kama lissu Nchi hii🎉🎉🎉🎉🎉
@barrynzeyimana6270Ай бұрын
Yeye ni wakili.
@saidrakwe8727Ай бұрын
Tundulisu ukiachana na kuwa mwanasheria ila jamaa anaakili isio ya kawaida ❤
@babuDingiАй бұрын
wewe ninoma Mzee lisu naku penda sana muhe shimiwa
@kinkybanjukome217Ай бұрын
Yaani hii ni mbaya sana watanzania amkeni Samia na genge lake hawana Nia njema kabisa dhulma ni kubwa sana .m.mungu ataangamiza hili taifa kwa dhulma
@mindicarrashid3131Ай бұрын
Kama umeona hilo mbona hukuandamana, 23
@abdullahmasakata170Ай бұрын
@@mindicarrashid3131 Hao ni bendera fuata upepo hawana hoja wala sera zaidi hufuata mkumbo tu.
@frankcharles3980Ай бұрын
@@mindicarrashid3131KICHWA HASARA PORE SANA PUMBAVU
@frankcharles3980Ай бұрын
@@abdullahmasakata170KICHWA HASARA PORE SANA PUMBAVU
@abdullahmasakata170Ай бұрын
@@frankcharles3980 Sera huna hoja huna zaidi ulicho nacho ni matusi, dharau na kejeli ndio misingi na itikadi ya chama yenu.
@tatizojoseph8702Ай бұрын
Duh Mzee ❤❤ wewe kidume!!!
@bsmonline8482Ай бұрын
Hili Jamaa watu wanalikubali sana hata wa CCM sema unafiki tuu. Huyu mtu sana
@norahfrankАй бұрын
Huyu ni msomi, mbobezi, na ana akili. Mungu Amemwacha akiwa na sababu kubwa sana kwa hili taifa.
@JoyceKabula-in1shАй бұрын
Asante baba tutawanyoosha mmbwa hawa
@kwayaviwawaparokiayabashne9281Ай бұрын
Kwa kweli kwa sasa mewashika koo
@MagdalenaNyakitale4 күн бұрын
bro huyu kazaliwa wapi? akiri nyingi sana
@albertkamala6843Ай бұрын
>Yaleyale yaliyosemwa na wengi mapema kabla ktk umuhimu wa madai ya kupatikana kwa Katiba Mpya na Tume Huru kabla ya kuingia kwenye uchaguzi huu! >Ni jambo lililo wazi kwambaWzr wa TAMISEMI na mfumo wote HAWAKO HURU! MASLAHI KISIASA YANAWAKATAA..kwa MGONGANO WA KIMASLAHI!
@godfreymelkiady5406Ай бұрын
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UNA AKILI SANA MH LISSU
@MustaphaSeleman-z7cАй бұрын
Jamaa kichwa sana uyu 😅
@AbdallaMwagora-sm1rjАй бұрын
Tundu lisu baba laoooo
@EmmanuelSabibiАй бұрын
Lisu anaakili za kutambua vitu kiumakin mno, na wanamna hii hua ni wachache , ila wanaoongoza wengi hua sio wabunifu wakutumia akil bali kutumia hela tu na sio akil
@stephenwakunyala4004Ай бұрын
Ila KATIBA hii kweli yakijinga ,yaani Mtu mmoja anapewa Mamlaka ya mamilioni ya watu! LISSU MUNGU AKUZIDIAHIE SIKU ZA KUISHI ILI UELIMISHE JAMII
@bahatielias6443Ай бұрын
@@stephenwakunyala4004 Yaan mwanangu tunasheria za kijinga na kipumbafu kabisa, yaan wazili anaweza amka tu huko akaja na kanuni zake juu ya hatima ya watanzania mil 60
@evodiusantony2115Ай бұрын
❤chadema
@alexandermalima610Ай бұрын
Mwalimu wa sheria na siasa
@saidrakwe8727Ай бұрын
Chadema ukiona mtu kapata nafasi ya uongozi hata kama ngazi ya chini basi ujue kasoma
@DanielNjonjeАй бұрын
Ahsante
@Frank-b2d6uАй бұрын
Wanao pinga hawajitambui toka madarasan au utotoni mwao hatawanayo fanyakatika maisha yao ni ujinga tu ni magugu na mlio ngano songeni mbele
@OmmyJames-xn7jiАй бұрын
Asante lisu kwa kuwafundisha SACCOOS kusoma na KUANDIKA MAANA SIASA bado sana hawa zaidi ya matusi na CHUKI 😢😢😢😢
@ulomirabiel6980Ай бұрын
Hongera unajua namna ya kuifanya demokrasia idumae. Ole wenu ck zinakuja ndo mtajua kuwa hamjui.
@OmmyJames-xn7jiАй бұрын
@@ulomirabiel6980 KABLA YA DEMOKRASIA TUJUE KWANZA KUJAZA FOMU MAKAMANDA 🤩🤩🤩🤩
@frankcharles3980Ай бұрын
@@OmmyJames-xn7jiKICHWA HASARA PORE SANA PUMBAVU
@gangan4618Ай бұрын
@@frankcharles3980Kwel Ommy ni akili kumkichwa maji.
@MSOMBAAlon-gh3psАй бұрын
Aise big up sana
@victorhamli3835Ай бұрын
The big brain advocate
@ayoubsanga315Ай бұрын
Waziri mbon anakua km mwiziii , mmmh hii Tanzania ya kihuni Sana
@obednyagani506Ай бұрын
Kwa mimi binafsi nisha piga kura rais wangu ni ney wa mitego makamo wa rais roma mkatoriki na waziri mkuu tundu lisu baba wa talifa mbowe mzee wa akiba dr. Sikaha nimemaliza
@MenAbdy-ct1izАй бұрын
Haya ndo madini yanatakiwa
@JohMwitaАй бұрын
tundu lisu anaelimisha vizuli sana ila kuna machumiatumbo utaona yanakosoa ili kuokoa matumbo yao ambayo hayana huluma na wana nchi utayaona natukama pale mwamba anapo ongea ukweli mnavunga hampendi ukweli kunasiku mtaupenda
@JamesJapheth-z9nАй бұрын
Nakubari mkuu
@YangaNewsАй бұрын
Mmmmh huo mtego kweli lissu wewe balaa motoooooo😂😂😂😂😂
@ThomasMmary-r7wАй бұрын
Akili kubwa we ishi tu lisu 🎉
@fikiaupeoАй бұрын
Hi nchi itaokolewa na mawakili 😢😢
@nyembobea7285Ай бұрын
@@fikiaupeo mawakili njaa wakaokoe ndoa zao vinazo taka kuvunjika lakini tanzania ilishajitawala ni nchi huru
@ramjum322Ай бұрын
president tundu lissu
@godfreykahabi1964Ай бұрын
My president 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@njanjimlwaleАй бұрын
Kongole kwako Mh. Lisu kwa elimu sawia
@GodfredAlfredNgaramaАй бұрын
Watakuja kuivuruga nchi hii siku moja kama hawataki kufata sheria zilizotungwa na bunge. Ubabaishaji unamwisho.
@joshuamollel6993Ай бұрын
Tupo pamoja mh lissu kweli kuna dhuluma inayofanyika kwa viongozi wa nchi
@januarysungura8119Ай бұрын
Vijana wengi wa tanzania ni watoto wa mama na ndio maana hawana ujasiri wa noo, na ndio maana pia wapo kwenye hofu kubwa ya kubakwa alihali ni wanaume tena wanahofu na maumbile waliyopewa na hakuna mtu anaweza kuyagusa isipokuwa kwa hiari ila hawawezi kuutetea uhai pamoja na tunaoutetea ,hawawezi kujitegemea badala yake wanaishi kama kunguni kwenye vitanda wakisubiri teuzi kama mafisi wanaongoja mzoga wanaokula simba porini
@StewartUkasonАй бұрын
NASHINDWA kuelewa, hivi kwanini watu hawapendi kunyooka katika mambo ya Sheria na haki. Wana shida Gani Viongozi wetu wa kiafrika?
@saimonisichimata8559Ай бұрын
mwenye kifua kipana😂😂😂😂😅
@godfreyLaizer-s8rАй бұрын
Sasa Mweshimiwa naomba habari hii ielezwe nchi nzima, na ikiwezekana muihoji mahakamani. Japo la zaidi la kusaidia mwelimishe wanaohitaji kugombea. Yaani hawa watu wa ccm wanatuongoza kwa hila sana.
@faustinebahenobi3412Ай бұрын
Ss hapo mh miwa lissu umeongelea kibamba je walioko vijijini elimuyako hiyo ulio toa wataipataje?
@AronSwai-s4hАй бұрын
Ndio
@YaziduKazibureАй бұрын
Huyu ndie nguli wa Sheria tz
@barakamanga5502Ай бұрын
Ndomaana sikuizi wananchi wanashangilia yanga na simba ishu ya viongozi kuaikikiza tunakutwa na wakati mgumu saana
@aronmilinga7303Ай бұрын
Jmn naon mama kump mkwe uwazir wa TAMISEMI ndo chanzo cha tatzo,man wat kla ktu n mkwe mkwe duh ,jmn kwel km kun dosar c kutok hadharan na kudai haki, nenden mkayajadil mpewe tarehe mnazotak hzo, ss hku kwetu tunaon sinema tu ,hta ktongoj mmoj hawez kupatkan kutok upinzan
@ramajuma5620Ай бұрын
Mungu kaniumba me na wew tunaeskiliza na kuna hyu mwamba ccm mavi inawadunda kweny masket yao wakimskia akiongea😂😂😂
@GoodTeck90Ай бұрын
Hakuna Mtanzania asiyejua kuwa CCM ni genge fulani la wezi tuuu .....watu wote wenye Wanaojiheshimu hawawezi kuwepo CCM kwa hatua walofikia.
@brightergermanus2163Ай бұрын
NI HATARI SAANA KUFIKIRI KUWA WATU WENGINE HAWANA AKILI AU HAWANA UFAHAMU AU HAWANA UELEWA .KWANI HATA WAKOLONI WALIWAZA HIVYO LAKINI WALIJIDANGANYA TENA WALIJIDANGANYA. VIBAYA MNOO
@rebekakulwa6159Ай бұрын
Fisiemu ni korona la taifa kulazimisha kututawala kwa mabavu. Ni mashetwani mungu simama tumechoka
@shubebunyesi542Ай бұрын
Chadema ndio kansa kabisa
@MenAbdy-ct1izАй бұрын
Mkwe hana shida anakula maisha
@SimoniJohn-j7mАй бұрын
huyu mtu nimhimu na nibidha kwetu mungu akulinde kwauelewa wako
@LuganoMwakalinga-p3kАй бұрын
Utawasikia wenye akili mgando,wao ni matusi na kutomuelewa Lisu na kujifanya wao ni wazalendo kumbe ni tende na aluwa tu.
@daudimchileg307Ай бұрын
Ila serkali wakizingua na uchaguzi huu patawaka, mie sina chama lakini ni ushamba kuwaibia watu kura.
@simonmalegesi414Ай бұрын
Mtajua wenyewe leteni michongo ya maisha yawe mepesi sasa wewe miaka nenda rudi mambo ni kuwaza uchakuzi ukisha unasepa ulaya
@ErickyKatunzi-gx3miАй бұрын
Wakupe mchogo wa maisha, kwani wao ndiyo wameshika dora.?, hilo swali waulize serikali iliyoko madalakani. 😅😅
@dorothmsuya1686Ай бұрын
Tunataka sera! Mkipewa nchi mtatufanyia nini! Sio kukosoa tuuu na matusi yasiyo na mwisho!😢😢
@obednyagani506Ай бұрын
Nenda memkwa
@ProsperUlungi-p3tАй бұрын
Hakuna maisha myepesi
@frankcharles3980Ай бұрын
@@dorothmsuya1686KICHWA HASARA PORE SANA PUMBAVU
@simonmalegesi414Ай бұрын
Kila siku unaenda ulaya leta hata matrekta utukopeshe tulime basi afu uje uniombe kula sasa wewe story nyingi unamajabu yoyote
@abdulmajidmageja6562Ай бұрын
Aisee huyu jamaa hatar Sana anaelewa mambo na anajua kutafsir haya mambo maccm wajanja Sana aisee
@JamaliMbogoАй бұрын
Huyu Tundu Lissu ni mtu na nusu akili mingi Sana nimekuelewa vizuri Sana
@KassimAlly-xp4dzАй бұрын
Chadema ni kama wake wenza wana mdomo bila vitendo wanafanana na wale wake waloengezewa wakee mdomo mwingi pumbavu
@DaudisangaSangaАй бұрын
Hawa wameishiwa mbinu kwahiyo wataka kubaka uchaguzi wapeni pingamizi kuwa hatutaki katiba hiyo
@duniakidogo8516Ай бұрын
Naomba mlisemee pia kuwa na askari ndani ya chumba cha kupigia kura. Kuwepo kwake ni kuondoa dhana ya kuwa HURU. Mamlaka ya uongozi yanatoka kwa watu ni lazima wawe huru. Lakini pia askari wanaweza kubadilishana kwa kuingia na kutoka. Mnajua wataingiza nini? Kumbuka uchaguzi wa ubunge Kawe
@BensonMpeteАй бұрын
Simba lamasimba lissu
@barakakashindye2820Ай бұрын
Ama kwel siasa ni ushetan tu hamna lolot jema iv Agenda kuu ya hiki chama upinzani nini? Kwa maana mara nyingi wanahamasisha chuki dhiidi ya serikali na wala hawaonyeshi sera zao hii ni mbaya sana hii ila mungu ni muweza wa yote hakuna na bado hajazaliwa yule ambae ataivuluga nchi yangu ya Tanzania
@DavidMutiba-hr3voАй бұрын
Ni aibu msimamizi wa uchaguzi tena waziri wa nchi, anapobuni mbinu chafu za kukwamisha uchaguzi huru na wa haki.
@stevesungura6789Ай бұрын
Ivi watu wanaotumikia ccm roho zao zina nini? Kwa nini ty haki yaiko mioyoni mwao jamani, dah!
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
Huyu angekua mwalima wa mathe ningemwelewa sana
@Expedito2512Ай бұрын
Daa!
@GodfreySospeter-f7rАй бұрын
Tunataka viongozi wenye akili zinazo fanya kazi. Sio eti kisa kumpa kiongoz wa chama fulani hata kama ni kilaza. Acheni kushadadia vyama, angalieni vichwa.
@ANGELUSLIJUJAАй бұрын
LISU MBONA AMLETI SELA KILA SIKU VISASI VIJEMBE TU SERA AMNA UCHAGUZI NDIO UWAPA LISI WA LEO SIO WA APO NYUMA
@sizorstartv6168Ай бұрын
We hujui hujielewi
@penelpenpenielpeniel2238Ай бұрын
Jitahidi kujifunza cyo kujibu kila kitu hata kama uelewi
@SephaniaMsigwaАй бұрын
Huu sio mda wa sela mpumbavu wew
@wiliamkatala6688Ай бұрын
Bora ww uliyemwambia uhalisia @@SephaniaMsigwa
@MesiakiKayan-qm7tvАй бұрын
Muelimishe usimtukane@@SephaniaMsigwa
@barakanatus5676Ай бұрын
LISSU UNAJUA
@fabianmihafu697Ай бұрын
TUNDU LISU ana akili kubwa sana, ndiyo maana Mungu alimuokoa kwenye lile shambulio. Bila sauti za hawa jamaa tutachezewa sana Watanzania. Tuzidi kuwaombea
Tuombe mungu atusimamie na corona wa ccm waondoke kabisa
@jamaldaud-e4dАй бұрын
Camera man miyeyusho sana unashindwa nn kuzungusha camera 📸 au na wewe ni chawa kama machawa wengine
@MohamediTegoАй бұрын
Wanambinumbovu hawajuisheria wanatakakumpamtu ushindi bila kupigwa..hawanaserasaivi
@sebastianmwantuge5597Ай бұрын
Hapo utakuta yalikutana yooote mpaka mastaafu kupanga huo uovu
@mohamedsaidalhabsi7862Ай бұрын
Mtego wakuchoma nguo
@ahmedalbalooshi8518Ай бұрын
Wezi wa kura hawaachi mbinu chafu
@sizorstartv6168Ай бұрын
Dhuluma. Dhulumaaa
@barnaba3037Ай бұрын
Fisiem ni kansa kwa Taifa
@AhmedHassan-vl5zfАй бұрын
Hili kitu jinga kabisa kapewa siku nyingi za kuanza kuchukuwa fomu lakini yeye kaona tarehe Tu ya mwisho nakuoongelea SASA wao Kwanini wasichukue mapema kabda ya siku yamwisho
@gastordominic410Ай бұрын
Anachukua toka kwa nan
@samjtv8852Ай бұрын
Yaani wewe ni zwazwa kweli siku nyingi walizipewa ni zipi hapo?
@edsonMasesaАй бұрын
Hahahaaaa kumbe nawewe uliiona, inawezekana nawewe ni mgombea wa ccm😅😅😅
@joscamwoshezi2986Ай бұрын
Jamani buyu mtu kichwani sio salama
@piusmdoe3200Ай бұрын
Kweli?
@halikumbeyemsiwayinga9482Ай бұрын
Wewe kichwa chako kikoje ?? Thibitisha hilo 😂😂😂😂
@ErickyKatunzi-gx3miАй бұрын
Uchawa utawaua, ndiyo maana mnapigwa machupa jukwaani.