Hapo mzee tumekuelewa leo umeongea point sanaaaaaa❤❤
@nsubilimusyani8034 күн бұрын
Mngekuwa na msimamo namna hii hakika nchi yetu ingekuwa tofauti sana
@MiriamAziz-z5t4 күн бұрын
BRAVO BABA ASKOFU SHOO....MANENO MAZITO YENYE HEKIMA, BUSARA NA UZALENDO KWA NCHI YETU....MH. RAIS SAMIA SIKILIZA MANENO YA VIONGOZI HAO WA DINI....NCHI INAPASUKA MIKONONI MWAKO....MACHAFUKO YAKO KARIBU...NA HISTORIA MBAYA ITAKUHUKUMU.
@hassannuru73993 күн бұрын
hakuna machafuko nchi hii labda hayo machafuko unayoyaomba wewe yatakuja nyumbani kwako.
@wisdomfolks4 күн бұрын
Najua leo utalala vizuri umeongea ukweli hongera
@leonardlameck74862 күн бұрын
Mzee nashukuru sana leo umesimama kwenye nafasi yako ya ki Biblia tangu mwanzo viongozi wa dini ndiyo wanaotakiwa kuwakemea na kuwakatalia watawala pale wanapokiuka misingi ya haki za watu ktk taifa, viongozi hatuna tuna watawala ndiyo maana wamejaa viburi hawasikilizi matakwa ya walio wengi, Mungu atusaidie
@hassankidilikia55662 күн бұрын
Mzee wa hekima wa Tanzania watapata maendeleo Lipitor wazee Kama hawa ❤tunakupenza tusikuombee masha marefu ila 😢huishi kwenye hofu ya MUNGU milele daima 🎉
@sambulugu99884 күн бұрын
Askofu Shoo leo katoa show nzuri kweli kweli!
@fabianmainchanyangachika50172 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
@akramissa33933 күн бұрын
Leo Askofu pamoja na mimi kua muislamu lakini kwenye hili namuunga mkoni na yupo sahihi kabisa, Inshalaah Mungu azudi kumpa maono na muongozo
@godwinkasaizi8823 күн бұрын
Dr. Shoo, nimependa shoo Yako. Amen
@jostamzxkaole31133 күн бұрын
Amen🙏
@jostamzxkaole31133 күн бұрын
Amen🙏🙏
@TegemeaFutemakatifu3 күн бұрын
Namuona Padre Dr Charles Kitima Katibu wa Tec
@kingmichael12342 күн бұрын
Mzee Shoo kwenye hili huko sahihi kwa asilimia 100%. Watanzania waamke Sasa. Nchi yetu hii pendwa ya Tanzania tutaipoteza. Kama hatutokuwa makini na serious hivi sasa.
@frankjohn87063 күн бұрын
Kinatupasa kumwamini Mungu na kumtegemea siku ZOTE kama mambo hayaendi sawa tumuombe Mungu kama sanduku la kura halitusaidii Mungu anatusaidia anaona kila mtu aombe Mungu awaengue wale wanaoharibu utaratibu wa AMANI kwa kuvunja HAKI huku wakitangaza udhibiti wa uhuru wa kujieleza na kuuita AMANI imeandikwa utii ni Bora kuliko sadaka hao mafarao wasiomjua Mungu kwaajili ya nguvu Yao ya magari ya vita na farasi wa vita kama ilivyokua kwa Farao na iwe hivyo Leo ijulikane yupo Mungu anaepiga wajikuzao wakisema mazuri na kutenda tofauti tuombe Mungu awatendee jambo ambalo kila atakaewaona AJUE ukuu wa Mungu na kumpa utukufu .na watakaosikia wajue lipo kimbilio la HAKI na kweli na nguvu kuu kuliko nguvu za roho ya fsrao
@ClementMercelli4 күн бұрын
Viongozi wa dini simameni kwenye haki ama mtalaaniwa wanachi wanapoteswa na mamlaka ambayo mnawajibu wakuionya
@VICTORMBWIGA3 күн бұрын
Hongera xana askof shoo ss kama wananchi tunafarijika kusikia maneno kama hayo kutoka kwa viongozi wa dini kama nyie
@felixmluge32114 күн бұрын
Leo baba kaongea kama baba wa watu wote sasa....🙏
@johnbundala75963 күн бұрын
Jamani nimemuona baba yangu(Charles)😢😢😢 aminaaaaaaaaaaa aminaaaaa ni kama mwisho nauona hivi.wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni.
@tumainielmaruwa31484 күн бұрын
Mitano tena usituvuruge baba askofu. Ulisema mwenyewe
@bonifacerobert29604 күн бұрын
Kuyarudia matapishi inahitaji ujasiri wa mtetea mwenye vifaranga. Hongera sana Baba Shoo.
@BuhetySharia4 күн бұрын
Uyu Mzee mbona kipindi flan mama alikua mgeni rasmi kipindi Cha DP WORLD...hakua HIV imekuaje tena
@MihayoMageta-k4n3 күн бұрын
Amegundua aliwakosea wananchii@@BuhetySharia
@bakarithegeoinformatician74063 күн бұрын
Katiba hairekebishwi! Kipindi mnabagua waislam ktk elimu, kipindi mnaoitisha magendo bandarini, kipindi umajibebea mapesa serikalini kupitia makanisa katiba ilikuwa hihii tulia dawa iwaingie
@hamissomary68693 күн бұрын
Ubarikiwe baba mungu akutiee nguvu
@geraldmwanzia79473 күн бұрын
Baba askofu upo vizuri Sana Sasa way forward ni Nini Baba Yatupasa kufanya
@FelixWilisoni3 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@jamilbillo59443 күн бұрын
Mashekhe waliwekwa ndani mlikua kimyaa, Leo kakatwa mbowe wa Chama chenu Cha kikanisa ndio mna bwabwaja bwabwa hovyoo, Siku zote kanisa Lina hubiri mauwaji tu ya kimbari kama lilivyo Fanya Rwanda, hapa Tanzania tunasema No, No, No, WACHOCHEZI WAKUBWA NYIE
@mdoelema12623 күн бұрын
Acha udini maisha hayana dini kama mawazo yako yalivyo taifa ni la watanzania wote sio wakristo tu hiyo ni roho mbaya wala wakristo hatujawahi kuwa na ubaguzi hata ukitaka msaada unapewa bila shida
@ernestkashunja15143 күн бұрын
Acha ufala wewe, mbona hakili zako kama zina fanyia matakoni? Amechochea nini hapo? Siku zote usiwe maiti ambayo haiwezi kuamka na kudai haki zako ,bali uwe angalau mlevi ambae pombe ikiisha atakumbuka kudai chenji yake
@hamidabarraball31624 күн бұрын
Sema baba sema, hii nchi sio ile tena enzi ya mwalimu nyerere, sasa hivi nchi inaendeshwa kiubabe tu na uchawa mwingi
@namsifubwana21524 күн бұрын
AMINA SANA BABA SHOO. ANDAMANENI MKAMWAMBIE CHURA NA MSOGA WANAONEA WATANZANIA
@ObeidChamila3 күн бұрын
Huna lolote ww askofu staafu na WENGINE watumike unaramba matapishi Yako Sasa,IPO KAZI kuwafikisha WA Kwa mungu ,wito wenu uko wapi NYIE watumishi?? Sasa ni machawa WA siasa tu
@TegemeaFutemakatifu3 күн бұрын
Mbona Hataivo Alisha Staafu! Sema tu hapo kapewa nafasi tu ya Upendeleo
@JohnMsafiri-v8s3 күн бұрын
Njaa zinawasumbua tu lkn ukweli ni kwamba riasi wetu SAMIA SULUHU HASSAN ♥️ 🇹🇿 anaupiga mwingi kweli kweli,
@JayndevuNgare3 күн бұрын
Mmmxiuuuu
@MaidaNkwama-id4ww3 күн бұрын
Mungu akubariki sana kwa kuongea kweli
@ndogoroedson1993 күн бұрын
Tokeni hapa bhana! Alikuwepo Magu mlisherehekea kifo chake kwendeni huko msitufanye watz wajinga wala msituchanganye acheni nchi yetu tuendelee tulivyo! Mambo cjui ya tume, tume ndyo nn? Chaguzi ndyo nn? Hao viongozi wa upinzani c pamoja na ww? Kwenda huko ninyi ndyo wajing mtz ana faida gani na uchochezi wenu wa kichaga? Ondoka we mzee
@ElibarikiSule3 күн бұрын
Point mzee mungu akulinde .uzalendo kwanza
@hamzakimaro37643 күн бұрын
Naona ili tume iwe huru,na iwe ya haki na huru,ichaguliwe kutoka UMOJA WA MAKANISA TANZANIA!!
@mzeewa69993 күн бұрын
acheni uongo awamu ya tano mlikuwa kimya. mbona hamkusema kitu alipewa huyo mliyesema kesi ya ugaidi mbona hamkusema unafiki huo. sasa kaja aliyemfutia kesi naongea acheni unafiki .mgesimama pale alipopewa kesi ya ugaidi mlikuwa wapi?. mkiona maslai yenu yameguswa mnaongea.
@maikojohn-xr5cg4 күн бұрын
Askofu umeongea mambo ya msingi sana asikuelewa basi huyo ana matatitizo ya ubongo safi sana hii ndio tunayoitaka sema kweli anapokosea ccm sema iwe ni chadema wanamakosa sema
@gabrielkyando26323 күн бұрын
Be blessed man of God,,
@AlexChawe3 күн бұрын
Mbona Mzee hueleweki mara mama aendelee akiendea unategemea nn kama sio kutupeleka shimoni
@hassannuru73993 күн бұрын
huu msimamo ulitakiwa sana kipindi cha jembe,sijui kwann hawa viongozi walikaa kimya,au mlimuogopa magu ? au mlikubaliana naye kwa kila uhuni alokuwa anaufanya.mlikosea toka kipindi kile,nyie ni mandumila kuwili wtz wengi hatuwezi kuwaelewa kwan mnachagua ni awam gani muipinge na ipi muiunge mkono kwasbb mnazozijua wenyewe.
@charlesmakelele42683 күн бұрын
Huyu askofu kigeu geu sn.
@brysonkaale30032 күн бұрын
Ulitaka asemeje?!
@DoraNyandamba7078-ef2rz3 күн бұрын
Mungu wangu viongozi wa dini
@danielshauri63903 күн бұрын
Wewe hubiri Injili , usitumie dini kuendesha siasa . Ukitaka siasa njoo kwenye siasa , Kenya wamebadilisha katiba na bado nchi yao iko pabaya kisiasa hadi leo . Viongozi tulionao ni bora ndio maana nchi ina utulivu wa kisiasa hadi leo
@danieljoseph71203 күн бұрын
Mchumia tumbo leo umepatikana 😂😂😂
@levissanga88673 күн бұрын
Siasa ni maisha ya watu. Huwezi ukatenganisha siasa na dini. Jifunzeni haya.....
@InnocentEdward-h6v2 күн бұрын
jitahidi sana kuzuia maneno yako kaka usijitafutie laana heri kunyamaza kuliko kashfa
@genesmnganya57442 күн бұрын
Hujui hata unachoongea
@petersilas42343 күн бұрын
Mzee kapata platform CCT, tusubiri, mara huku mara kule😅😅 Angelewa study tour azunguke nchi Jirani zote kisha angethamini alichonacho.
@rogersiddy4 күн бұрын
Mzee Shoo msimamizi mkuu wa nchi na mwenye maamuzi ya mwisho ndo yule yule uliesema amechaguliwa na MUNGU je hizo lawama unazosema aangushiwe nani?au huyu aliechaguliwa na MUNGU?
@EberiManya-rv6oi3 күн бұрын
Ninyi viongozi wa dini mkiungana kwa umoja wenu bila kujali madhehebu yenu nchi hii itanyooka... Tatizo viongozi wa dini mnafanyiwa na serikali kitu kinachoitwa "Divide and Rule" 😊
@estachengula39024 күн бұрын
Rais kama hasikii haya wanayo sema watu wengi na viogozi wadini huwasikilizi tunamwachia mungu ajibuye kwa wakati
@muharamijuma15693 күн бұрын
MAASKOFÙ NÌ WAKALA WA CHADEMA MNAJULIKANA MTATUĹETEA MAMBO YAĹIŸOTÒĶEA RWANDA TUSUBILI
@HamzaHeri3 күн бұрын
NDUGU ZANGU WAKRISTO ACHENI MAMBO MUNGU NJOONI HUKU KWENYE SIASA
@jumadinya37964 күн бұрын
Mbona hamkusema huko nyuma leo ndio mnasema mlikua wapi tuache chokochoko
@ScopionScopion-zj9cd4 күн бұрын
tumia ubongo mfano leo ukipita sehem hakuna njia imefugwa Na sikuzote unapita hapo siku pakifunguliwa huwezi kupita tena kwa sababu palifugwa siku ile au usishi jana ishi Leo
@Leodimk-n5c3 күн бұрын
Bora umenena baba Askof
@ScopionScopion-zj9cd4 күн бұрын
kamanda mkuu yeye alikua hapendi kelele akikuonea huruma sana kama hapa ungekia2 hebu mchunguzeni uraiya wake ila mama hana noma yeye Nichulla ambae hasikii kasema kwahiyo pigeni kelele2 mwisho mtamuona kafika Ndio anashuka
@NOELNYITOTI3 күн бұрын
Ase umeongea point sana
@EmmanuelSabibi3 күн бұрын
Hakika watu wa dini zote yaan viongoz mkisimama kwa umoja mkawa mnayasungmza haya ,hakika nchi hii lazma iwe ya mfano dunian Kwan itaendelea ,maana uchaguz sio wa uhuru na WA haki ,yaan watu hata kujitokeza kuandikisha uchaguz au kuandikisha swala la kugombea watu wanaogopa kisa ya mambo haya yanayoendelea hakuna aman na haki ktk taifa hili ,maana aman sio eti mpka kusiwepo na vita au mabom kama congo Bali kukosa aman hata Nyerere alisema unaweza kukosa aman hata kama ktk taifa hayatokei mambo ya mitutu au mabom ,ni kama Leo hii hakuna aman Bali Kuna utulivu tu wa nchi ,lakin aman haipo hata kwnye uchaguz hakuna aman Wala haki
@jamilbillo59443 күн бұрын
Acheni uchochozi nyie , muungane pamoja na nani? Mbona hukuyasema hayo wakati wa Magufuli?
@victorkisenha59333 күн бұрын
Dr. Sass tupo pamoja,
@TegemeaFutemakatifu3 күн бұрын
Askofu leo imesimama kama Askofu sio Chawa kama ulivotaka kuteleza juzi pale
@baghimabula57104 күн бұрын
Nchi upo pambaya sana, Mungu awatie nguvu na kuwa wajalia ujasiri wa kukemea uovu juu ya mamlaka
@petersilas42343 күн бұрын
Pabaya wapi wewe, tuache tule Raha zetu wewe hamia nchi Jirani ujionee😅😅
@asinahussein21763 күн бұрын
Mijitu inaongea tuu kwa vile hawjatoka Tz kwa sasa kila nchi mauaji kila kona maisha magumu mpaka naipenda mchi yaguTz.@@petersilas4234
@charlesseba20003 күн бұрын
Haya mambo yenu msituchanganye, unafiki mwingi kwa viongozi wa dini maana hakuna maazimio ndani ya makanisa
@AllanLyombile3 күн бұрын
Viongozi vigeugeu hawafai ktk dunia ya leo, msimamo wako ni upi? ule au huu?
@EliaHilukaКүн бұрын
Ni wakati wa viongozi WA dini kuonyesha nguvu zetu katika kutetea haki,kutetea wanyonge dhidi ya kundi lilili dogo linavyonufaika kisiasa na wengine wakitesekw
@IssaAlly-lp4uf3 күн бұрын
Safi sana
@IssaAlly-lp4uf3 күн бұрын
Watu wanawaza dhulma tu awafikilii siku ya kiama raisi na watu wake watakua na wakati mgumu sana wakisimamiwa na watu kutaka haki zao
@beinafuu62194 күн бұрын
Watu sasa naona umewakosha jaman.
@davisnyandindi49174 күн бұрын
Mzee wangu kwa mimi hata useme nn kwa sasa haina maana tena tayar umeharib ulitakiwa kuomba samahan kwanza alafu ndio uamie upande wa pili uliohamia sasa hv
@marthalazaro97393 күн бұрын
Mitandao inaumbua sana
@starlily073 күн бұрын
Hayo manyanyaso ya policcm kwa wapinzani ni maagizo kutoka kwa bi shura kiziwi, Hilo halina ubishi
@EberiManya-rv6oi3 күн бұрын
Viongozi wa dini nanyi kwa umoja wenu mmekaa kimya.
@martinchambala93994 күн бұрын
Mzee huyu hana tofauti na kinyonga
@walidmgonja36444 күн бұрын
Ni kweli,amesahau uchawa alioufanya juzi tu,huyu ni mtu wa maslahi
@hamisijuma32763 күн бұрын
D STD
@habibujamali57463 күн бұрын
Mna mkuu ww kansa lenyewe
@DianaKalinga-ho1cy3 күн бұрын
Hayo sawa ndo mambo yakemewe na maasikufu tunanyanyasika sana hii nchi
@HamissHamiss-h8r3 күн бұрын
Tanzania ndio nchi pekee ukiongea ukweli watakupgia makofi na comment nyingi sana ila yakikukuta sasa wanakaa kimya
@kilianjulius98824 күн бұрын
Hapo umenena point tupu ubarikiwe mwenye masikio na asikie
@hamzakimaro37643 күн бұрын
mzee shoo umewekwa kikao na akina KITMA!!acheni kuivuruga nchi!!
@josephmantago28373 күн бұрын
Hyo ww unayaona hayafai hiv kweli ninyi binadamu mbona mna kichwa ngum sana kwann hamtaki tuishi kwa haki na kweli? Mnataka dhulma itawale
@LucianSanga3 күн бұрын
Hilo ndio enough lakuźungumuza Watumishi wa MUNGU
@nyabahailani31694 күн бұрын
Leo babababa katoa maneno ya mfalume suleman ase askofu numenifurhisha sana*** nasikitika watu wengi hawatapiga kura maana nampigia mtu wangu analetwa mwingine uhuru hakuna
@chikizamifupa57864 күн бұрын
Kumbe na wewe ni mwana siasa. Mtateseka sana.
@AlexChawe3 күн бұрын
Jeshi lichukue nchi likae nayo mpaka litakapo weka mifumo ya uchaguzi vizuri bila hivyo tutasubiri sana sana hawa wavaa suti ni majambazi tu ss hatuwezi kuatoa kwa kula madarakani
@ngusawales20393 күн бұрын
Amina baba
@odoieriasmonga65913 күн бұрын
Mzee Shoo siku ile pale Singida ulikua umeamka vibaya kwani ulituudhi hadi tukaona wewe ni CHAWA ila leo umeongea point sana
@SebastianCharleskayanda4 күн бұрын
Kuna watu wanahoji ile hela kwani umerudisha??
@HABIBHASSAN-wf5mr2 күн бұрын
Sawa na ikitokea nyinyi ndio tatizo
@MwljofreyChitta4 күн бұрын
Mimi .asikifu huyu sikuelewi ..maaana ulisema cc wapo sawa Leo unatetea upinzani Tena kwani upo upande Gani baba ..uovu au wema???
@jut11613 күн бұрын
Hiv sasa Kuna rais ambae hana itikadi sawa nayy
@afredyohana3563 күн бұрын
Taifa linaelekea kubaya sana
@NafuuTaib-u8q4 күн бұрын
Angeacha tu uaskofu akagombea kwenye mchana chake hii siyosifa ya mtumishi wa mungu
@PatrickNgwaulanga-x2u4 күн бұрын
Huo ndio msimamo sahihi
@mlyamalitv17894 күн бұрын
utamaduni wa nchi unaharibika,sio sri unaharibika.kwa7bu ya............
@EliaHilukaКүн бұрын
Kwanini isiwe katiba mpya kwani ccma wao ndio nchi hii ni Mali Yao Yao hata wakwanishe katiba mpya?
@hoseazakayo37793 күн бұрын
Umeongea points Mzee wetu kwa manufaa ya vizazi vyetu 😢
@HaikaFoya-m5r3 күн бұрын
Ukitaka kumnyang'anya mkubwa pesa Ni lazima umvizie umfunge kamba na ukishapata ndipo useme ukweli sasa. Askofu Shoo/Samia.
@christophernzige39133 күн бұрын
Hapo wengine waogopa kweli,
@albertvalentino1303 күн бұрын
Angalau mmesema,lakini mmechelewa,maana tayari Kuna uchafu mwingi kwenye mchakato wa serikali vitongoji,vijiji na serikali za mitaa.
@asinahussein21763 күн бұрын
Mlisusa kujiandikisha hivyo tulieni
@loiloilolelendomir20374 күн бұрын
Hakika Baba Askofu mmefika sehemu ya kiamua kusema ukweli, simamieni KATIBA YETU hata Kama ni mbovu, hii iliyopo bado inakanyagwa na kuvunjwa na rais na wenzake, wanaojiona kuwa wao ndiyo wenye nchi na sisi na panya tu ambao unaweza kuwafanya utakavyo. Viva Viongozi wetu wa DINI!!!
@RubenMtuwaMungu-bz8ee2 күн бұрын
Si alisema Samia mitano tena!?
@bestman36514 күн бұрын
Next time mkiwasema vibaya viongozi wa dini huyu asiwemo, ni kiongozi anayejitambua. Bravo
@mzeewa69993 күн бұрын
mfumo wa elimu kipindi umeukamata ilikuwa katiba gani. mahospitali yenu garama mavyuo garama ilikuwa katiba ipi? sasa mmeona moto wa mama kazi iendelee vituo vya afya kila kona vyenye kiwango mahospitali ya rufaa mavyuo . sasa yale yenu ya ubaguzi jitubuni na msome wen yewe
@Omarimakuka3 күн бұрын
Mechi ya Simba vs Bravo lini?❤❤❤❤❤
@hamzakimaro37643 күн бұрын
Naona kina KITIMA wapo pembeni!!vikao vya maaskofu na makanisa mkindelea hivi sijui kama tutafika huko tuendako........!!
@michaelmshighati84323 күн бұрын
ASKOFU SHOO TANZANIA HAKUNA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI NI UHUNI UNAO ENDELEA WAPINZANI TUNANYANYASWA SANA NCHI IMEJAA MACHAWA WA CCM SASA HATUWEZI KUPATA VIONGOZI BORA TUTAPATA WAHUNI WENGI HII NI SABABU VIONGOZI WADINI WAMEKUWA NDUMILA KUWILI.
@crsysclamedia8 сағат бұрын
Baada ya kunyoshewa KIDOLE, hana lolote
@SimaGerson3 күн бұрын
Baba Askofu mbona unakinzana na kauli yako tena? ulisema Mama apewe mitano tena leo unarudi tena nyuma tena?
@georgewilson68303 күн бұрын
😂😂😂😂😂 alipitiwa bhana
@JohnMhogo-hd3fs3 күн бұрын
Maneno yenye ukweli lkn utasikia watu wengine udini huo.
@IssaAlly-lp4uf3 күн бұрын
Mi ni muisilamu kwa hili nakuunga mkono
@EliaHilukaКүн бұрын
Viongozi wa dini tunao wajibu wakusimwmw na kuandamana maandamano ya Amani kupinga uonevu dhidi ya viongozi WA vyama vya upinzani tukinyamqza madhara yatatukuta wote pale machafuko yatakapo tokea
@ShaibuAwadhi3 күн бұрын
Inasikitishwa kusikia Mzee kama ww unalitaadhalisha taifa lkn watu hawajali