Chadema waisikilize hii interview imesheheni uchambuzi wa nguvu sana na hii kwangu ni interview bora ya 2024
@josejesca343810 күн бұрын
chama kinapuska kivip....kwa wajumbe wasiomkubali Lisu au kitapasuka kwa kukosa kuaminiwa na Wananchi......chama sio wajumbe ni wananchi
@mwanache20 күн бұрын
Nadhani Mr. Kimwaga kapotosha ktk swala la mwenyekiti anapomchagua makamu wake… iwe wanachama au mwenyekiti wanapomchagua au kumpendekeza makamu wa position yeyote ile… kigezo kikubwa ni kwamba huyo candidate lazima awe na uwezo wa kushika nafasi ya mwenyekiti pale hitaji linapotokea. Kimwaga kusema mwenyekiti uchagua mtu ambaye anajua kuwa hatataka kuchukua hiyo nafasi ya uenyekiti ni kupotosha kwa jinsi fulani. Tumeona mara nyingi kama sio zote pale mwenyekiti anapojiudhuru au kumaliza muda wake Ni makamu wake kugombea au kuchukua nafasi hiyo. Makamu lazima awe mtu mwenye uwezo wa kukaimu na kushika nafasi ya UENYEKITI pale anapohitajika.
@barakaekuro18 күн бұрын
Umeiweka vizuri sana.
@caesarfranc12 күн бұрын
Kwenye suala la elimu nakubali. Watanzania wengi hawana elimu. Hata kusoma finace bill wengi hawajui so hata Mwigulu akileta tozo na kodi zisizoeleweka watu wanakaa kimya tu
@PakatJames15 күн бұрын
Mungu atujalie uhai na uzima na Mungu ndie pekee anaejua nini kitatokea baadae ila tabiri za kamwaga juu ya hatima ya chadema Zina mshiko sana.
@Jumamaduka24019 күн бұрын
Interview Kali sana hii, Kama kuna Mwanachana wa CHADEMA atamtukana Ezekil Kamwaga ujue haelewi au hakitakii mema chama chake. Mimi siyo CHADEMA lkn Naamini Lisu hana uwezo wa Ujenzi
@jangalaalexbubehi765816 күн бұрын
Wewe unaweza
@nickmpanzi20 күн бұрын
Hata kabla ya shambulio la 2017, Lisu alikua ni national political figure. Kusema kwamba amepata umarufu baada ya 2017 niupotoshaji. Kingine huyu mchambuzi anatatizo na ukweli. Kwa kifupi, ukweli ni kitu ambacho ni halisi, kinaweza kuthibitishwa, kina mantiki na usahihi, na hakinaupendeleo kwa upande wowote. Ukweli huweka watu huru, nikitucha nuruni, hufukuza giza, na ukweli hua unajitetea wenyewe na unaishi na kudumu milele. Watu kama Lisu wanaosema kweli kwa garama yoyote niwakuheshimiwa na kupigiwa mfano.
@adelinelyaruu303620 күн бұрын
Pole zake sana. Hamuelewi kabisa Lissu
@christinewomanoffaith547910 күн бұрын
Very true Sa, Zambia,kenya etc mkate ni chakula yaani mlo kamili mchana ,usiku....mpk nilishangaa iwe na nyama,au mbogamboga vyovyote mkate ni lazima. Bongo ni kwa chai tena sio familia zote zina afford.
@stationerykinondoni724115 күн бұрын
Aisee hii interview ni babu kubwa. Kamwaga unamwaga materials aisee big up
@Brunotarimo1020 күн бұрын
Big Up kamwaga ana jua siasa kweli kweli
@jimmundakega948020 күн бұрын
Kimwahga ni mwandishi aliyekomaa.....Mungu akubariki sana.
Huyu jamaa anajua sana kuelezea jambo ila alichokosa ni kutumika tofauti na kinachotakiwa na wanachadema kwa sasa na isotoshe nachotana kuamini ni kwamba lisuu anaogopwa sana na CCM
@JeromeNjovu-g4b18 күн бұрын
Jamaaa anahoja sana aisee
@japhetmwakagugu196814 күн бұрын
Tuzingatie ktk kufanya kazi halali kwa bidii ili kujiingizia kipato kuliko kudhani Lisu atabadilisha hali ya maisha yetu, vinginevyo kwa matamko yake kwa vijana wasiohangaika kufikiri wanaelekeza hasira zao kwa viongozi bila kujihoji yeye anafanya nini ili kujipatia kipato, hao ndio wakishawishiwa chochote bila kujua athari zake wanajikuta mahali pabaya. Sio wote tuna nafasi Ughaibuni.
@healingclinic69810 күн бұрын
Wewe ni mjinga nchi zilizoendeleaaa za Africa niambie zilipiga hatua kwa akili kama uliyonayo naona akili yako inatafsiri maisha ni kula kunya na kulala mjinga wewe angalia south Africa Ghana Botswana
@Allyiddsud17 күн бұрын
Lisu ametumwa na wazungu , je familia yake ipo wapi? Watanzania tuwe macho san. Aman yetu nitunu ya taifa tuilinde. Kwangarama yoyote ile. Tz ❤❤❤
@jangalaalexbubehi765816 күн бұрын
Huyo wakwenu katumwa na waarabu au
@JeremiaJohaziel13 күн бұрын
Pumbavu sana😂
@geraldleger579312 күн бұрын
Alikwambia ?
@healingclinic69810 күн бұрын
Mjinga wewe akili yako ndio imeishia hapo wewe ndugu zako wote wako hai kama unadhani maisha Yako yanatemegemea uwepo wa CCM ila matanzania bado majinga kwa kweli na hili nalo ni likijana lenye Umri wa 18-35 alafu linawaza hili
@SilveryMasalu20 күн бұрын
Mnaomnanga na kumtukana Ezekiel Kamwaga ni hamjamsikiliza tu vizuri. Uchanganuzi wake ni wa kina sana na weledi mkubwa, niwashauri tu kuwa msikilizeni kwa makini sana kwa ukamilifu mtamuelewa vizuri sana
@MmohamediSaidi20 күн бұрын
Hawa ma ccm yanampenda mboe kwakuwa ni rahisi kuongeka tofauti na lissu ndio maana wanaona akiwa mwenyekiti lissu mambo yao hayataenda watakavyo ndio maana leo hii mbowe anaungwa mkona na ccm kama vile tbc ilikuwa aitaki kabisa kusikia taarifa za chadema lakini leo alipo mbowe na tbc ipo tujiulize kunani apo
@ladislausriwa776820 күн бұрын
TBC inafanya biashara. Kama hawakulipwa huko nyuma wangetangazaje habari za chadema? Timu Mbowe ililipia matangazo ndiyo mana yakarushwa na vyombo mbalimbali vya Habari ikiwemo TBC
@jamesrobare52220 күн бұрын
Let him go,God will make a way.
@libe903620 күн бұрын
Jambo TV kuna wasomi na wachambuzi wa siasa katika vyuo vikuu vya TZ mkawahoji wanazuoni wa political science, leadership and governance kusudi watazamaji wenu tupate professional analysis
@caesarfranc12 күн бұрын
Kwenye swali la mkate Kamwaga kidogo umeyumba. "Mkate" ungechukulia kama general queation sio literal thing. Yani ungetakiwa kujibu kama vile unajibia hitaji basic la mtanzania kama sukari kwakuwa hicho ndio kitu kila nyumba inahitaji. Mkate kwa mazingira ya kitanzania ambapo ngano sio chakula kikuu ulivyojibu sio sawa. Ulitakiwa kum-redirect muuliza swali kwenda kwenye hitaji la kila siku la mtanzania. Edit. Niliamdika kabla hujafikia mwisho wa jibu. Lakini pia sidhani kama kuna familia ya kitanzania ambayo haitumii sukari kila siku
@gracekagoma323120 күн бұрын
Dezidelius hujasoma, pole Sana.hii inaonekana kutokana na hoja zako.Nenda shule
@josejesca343810 күн бұрын
KIMWAGA anasema Mbowe alitakiwa aachie ngazi tangu 2015.....mimi naona hata wakati huu anapaswa aachie ngazi kwa kuwa nje ya chama watu wanamkubali zaidi TAL na chama ni watu.....
@MikidadiSalim-xk9dc10 күн бұрын
Mbowe kama hawezi kuchagulika nje ya Chama basi akae pembeni awapishe wanaenda na wakati huu ...abaki kuwa mshauri...
@Felix7228220 күн бұрын
Kuhusu Tundu Lissu, Kamwaga kachambua vizuri. Lakini, kuhusu demokrasia, bado kuna mambo anachanganya
@malimiemanuelmuya814017 күн бұрын
Amefanya very proper definition of democracy, situational, depending on social cultural situations. Hii ni sahibi sana
@Peterchipemba14 күн бұрын
Huyu hatambui vipawa vya watu,,lissu anakipawa cha kipekee,,lissu kama unauelewa mdogo huwa nivigumu kumwelewa mwamba,,nabii,,na mtume lissu
@roypeters982920 күн бұрын
Very nice mwandishi
@richardnganya231120 күн бұрын
Tutasikia figisu za kutosha kukiandama chama tishio !! Mbona hatuoni wala kusikia kule CUF na wengine !! Hakika mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe !!
@Jumamaduka24020 күн бұрын
Interview hii haijalenga kupiga mawe. Ukimsiliza mchambuzi ameongea kitu cha msingi sana. Subiri matokeo yake mwa mwaka mmoja utaona matokeo yake
@nicojohn392020 күн бұрын
Huyu akili za kuchambua haitumii vizr kinachowates wapambe na msimamo wa kipuuzi w mbowe alaf mnalet ukabil wen
@josephbonday851020 күн бұрын
Uchaguzi Ukiwa HURU na haki ndani ya CHADEMA,..FREEMAN HATOBOI kwa LISSU.
@josejesca343810 күн бұрын
USICHOKIJUA KIMWAGA.....WATU SASA HIVI WANATAKA NYEUPE NYEUPE NA NYEUSI NYEUSI.....LABDA KAMA UPO GREEN, HUKO NDIPO WANAENDELEA KUENDEKEZA NYEUPE NI NYEUSI
@RutaJuvent-d8z20 күн бұрын
Tumien common sense tu,kupigwa risas kws lissu ulikuwa umaarufu mkubwa,na uwezo mkubwa kutikisa bunge na serikal ndo chanzo kuwindwa kuuawa,
@habibunguvumali333120 күн бұрын
Mpo vizuri sana nimependa mazungumzo yenu
@IshmaelLuyagaza18 күн бұрын
Kamwaga amefanya uchambuzi mzuri katika maeneo mengi. Ila kuna mahali namuona kama anazungumzia nadharia zaidi kuliko uhalisia.
@christinewomanoffaith547910 күн бұрын
Mpk hapa kwa mwenye uelewa wa kawaida tu, lisu nafasi ya uenyekiti haimfai Yes,Mbowe ni mlezi na ni mvumilivu Lissu hawezi hiyo nafasi hana uvumilivu kwenye kujenga na kulea
@caesarfranc12 күн бұрын
Hakunaga mshabiki wa Liverpool asiekuwa na akili. Kamwaga ni mshabiki wa Liverpool
@BonifaceMwita-p9o17 күн бұрын
Ezekeli kamwaga, wewe ni mwandishi mwandamizi lakini hili la tundu lisu kushindwa uchaguzi umedanganya, tundu lisu ndiye mshindi wa nafasi ya mwenyekiti mpya wa chadema.
@maikojohn-xr5cg20 күн бұрын
Chambueni mjuavyo ila ikishinda Mbowe chadema haipo tena kwisha habari yake
Hakuna mwanaCCM ambaye anatamani Tundu Antipas Lissu ashinde katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema, kwa sababu Lissu anataka Chadema ijisimamie kama chama cha upinzani badala ya kuendelea kuwa tawi la CCM kupitia ulanguzi wa Mbowe.
@gidongailo717420 күн бұрын
Watu hawaamini kama Lissu anaweza kufanya mabadiliko makubwa. Ila wanaamini kuwa CCM haifai kwa kuwa imekaa mno madarakani na haiwezi kufanya mabadiliko yoyote yenye tija😂😂😂
@mustafakimalio912920 күн бұрын
1977 ni sawa na Leo 2024 kimaendeleo ? Au ni wale wa 2000
@nkwazigatsha15 күн бұрын
Bwana mdogo kumbe umeacha michezo na kuingia kwenye masuala ya siasa! Ila nakushauri ufanye utafiti wako upya kuhusiana na demokrasia kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Nchi za Ghuba hazina demokrasia hata kidogo lakini ziko powa kidemokrasia kuliko hata hao walimu wako wa demokrasia. Sijui hili unalisemeaje?
@richarddavidmk20 күн бұрын
Lisu ndio habari ya mjini
@sadikiwilibadi453318 күн бұрын
❤liziu answerable hapo 6:38
@rumanyikajoe703820 күн бұрын
Mchambuzi wa siasa mbobezi hapo simuoni
@Jumamaduka24020 күн бұрын
Ni interview moja kali sana na kwakweli Kamwaga ameongea yale nilikuwa nayawaza mimi. Nilisema Mbowe si mtu muhimu ndani ya CHADEMA kama ambavyo mashabili wa chama hicho wanavyodhani. Lkn Lisu hafai na hawezi kuwa mkombozi wa CHADEMA nje ya MBOWE. Mbowe ni anapigwa mawe kwa sasa kwa sababu tu ya kutaka mabadiliko lkn Tundu Lisu hana tabia ya ujenzi. Hana sifa ya uongozi.
@SylvesterEmmanuel-n8q20 күн бұрын
Akili yako ni ndogooo sana nyamaza
@MmohamediSaidi20 күн бұрын
@@Jumamaduka240 kwa sasa hatumtaki mtu wa kuijenga ccm tunamtaka mtu wa kuibomoa ccm ndio maana tuko lisuu ata ccm wenyewe wanalijua hilo na ndio maana wanatamani mbowe atawale milele wanamjua lisu ni nani
@Piscesblair20 күн бұрын
Kampala unachosema ni sahihi kabisa. Tanzania tuko katika viwango tofauti tofauti kiufahamu. Napengine kama tukifanya utafiti ni mfumo upi wa uwongozi utatufaa katika nchi yetu tuweke mfumo huo kwenye Katiba mpya alafu democrasia irudi kwenye Chama kimoja. Huu mfumo wa vyama vingi ni kiini macho hakuna maendeleo ya haraka yanayoweza kupatikana kutokana na tabia zetu tulivyo Watanzania. Tunapoteza pesa nyingi katika chaguzi za vyama vingi.
@ProperGandatv-b1p20 күн бұрын
Nyerere katufanya watanzania mabumbunda
@MariamDilla18 күн бұрын
Wapo watu makini na nadhani Wana uwezo wa kuhoji ; kuuliza maswali nk. Wasomi wengi wa KIZAZI hiki wameishia ktk Uchawa na hasa Mamlaka zenyewe zinapohusika ktk biashara ya kujenga mfumo wa uchawa !
Jamaa na anasema Kuna wakat unachukua ela kokot kujenga chama, kwa hiyo mchambuz anataka kusema kuchukua rushwa kujenga chadema ni saw , timu rushwa huyu, Hana jipya
@bishopkulwajz20920 күн бұрын
Anayehoji na anayehojiwa wote wamepangwa,na niuchawa TU.
@danideuli531320 күн бұрын
Huyu ni msemaji wa Simba
@ProperGandatv-b1p20 күн бұрын
😂😂
@dorahy157920 күн бұрын
Yaani Tundu Lissu was Gali’s Ruto Kenya halafu wajue. Tundu Lissu hafai kabisa.
@MichaelMgudula20 күн бұрын
Wechambua uwezavyo ila ss tunaenda nalisu
@masdavie17 күн бұрын
Huyu jamaa ni kichwa sana
@SuolFat20 күн бұрын
Kwa Nini baadhi ya viongozi wanakubalika sana ktk uongozi wao Hadi kufikia wale watu hawatamani kuondoka ktk uongozi wake
@khamisjuma761618 күн бұрын
ana akili za kutengenezwa ila democracy ni mfumbo mbovu kuliko yote
@FatmaAli-i8g20 күн бұрын
Kamwaga ww ni nani hasa kwenye Chadema na unaijuaje hebu tuwache 👎
@mkanjimamkanjimamkanjima204320 күн бұрын
Hata Samia alisema uchaguzi wa selikari za mitaa utakuwa na uhuru na haki. Swali ni kweli uchaguzi wa selikari za mitaa ulikuwa na uwanja sawa wa mashindano? Kama cvyo hata Mbowe ndani ya chama keshafanya yake kwa ile tume inayo simamia uchaguzi ili mradi abaki tu kubaki madarakani
@Brunotarimo1020 күн бұрын
Ezekiel kamwaga kaongea kama wanachama 1000 wa chadema, sio yule kibaraka wa mbowe wa kule shinyanga Ntobi
@tumainimwaifunga388420 күн бұрын
Lisu awe Dicteta? Jamani siasa ni mbaya he!! Lakini wananchi tunampenda
@MariamDilla18 күн бұрын
Kimwaga unadhani watu wasio na shahada hawana uwezo wa kuhoji ! Mbona machawa wengi ndio hao wasomi na wanaonunuliwa !?
@isaacmduma599819 күн бұрын
0:04 Interview bora kabisa ya Kufunga mwaka
@eliasmadirisha98719 күн бұрын
Naona huyu bwana hakuna analolijua kuhusu siasa na uchaguzi ndani ya chama kwani uchaguzi maana yake ni nini, ni mgombea mmoja au wagomebea kwa nafasi moja Kuwa mgombea wa nafasi za serikal haikunyimi fursa ya kuwa kiongozi wa chama Nafikiri aachane na farsafa ya ccm kama anataka kujadili chadema maana ccm wao ndo mgombea ni mwenyekiti wa chama nawao Mwenyekiti hachaguliwi
@AloiceMwanga20 күн бұрын
Kweli usemi wa Sana ukajiona I'll Sawa lakini si Sawa fahamu hili CCM walihakikisha mjombo yote yanayo toka viongozi wakuu WA chadema wakawaengua wangombea WA chadema naamini wana ccm wote kwa drama ni hodari
@Mtuwawatu199320 күн бұрын
ivi hawa watu wanao amini kuwa mbowe anafaa ni machawa au ndiyo wavivu wa kufikiri
@FrankMwakatundu-cu6bd20 күн бұрын
Nimebaini sass UKABILA imechukuwa nafasi yake ni hatari Sana!!!
@stanastana319919 күн бұрын
Mbowe ana hela
@kakawataifa675220 күн бұрын
Wtz kwa sasa tunahitaji dictator mwanasheria
@ChalesLukumai20 күн бұрын
Mkipata dictator mnalia na kumbagaza eti dictator uchwara. Binadamu huna jema.
@chezariboy19 күн бұрын
Right
@mangombeitozia938220 күн бұрын
😮
@saimonisichimata855920 күн бұрын
mumbwabwaje mwezavyo sis tunataka lisu
@josephbura903420 күн бұрын
Lissu chaguo LA sasa someni alama za nyakati
@IbrahimKasambala-ts8re20 күн бұрын
hata kama mnamnanga lisu tuko nae na tutakua nae tu hata kama ni mbangaizaji kama sisi wabangaizaji katika Hill tungane tu
@edgarmbegu197420 күн бұрын
Lissu ataishia kama Mrema😅
@faithmlay594419 күн бұрын
😅😅😅@@edgarmbegu1974
@thomsanga795620 күн бұрын
Muongo huyu, lissu alikua national figure kabla ya kupigwa risasi, tumesahau alivyokua mbunge sio!! Chawa wa mbowe huyu, hamna mchambuzi mzuri hapo
@GiliadLuziro18 күн бұрын
Ongeeni yote,mpakeni uchafu wote mnaouona nyie ila sisi wananchi tunamtaka lissu
@kingj960620 күн бұрын
Lissu hafai kwa sasa, bado busara ni zero. Na alikuwa sehemu ya uongozi huu wa sasa. So kuwasema wenzake vibaya nje badala waongee ndani, sio busara. Lissu anapenda tu attention. Mfano;- Aliwahi sema kamanda sirro, anapenda aonekane special kati ya wengine au kama yeye peke yake ndo anaonewa na aonewe huruma.
@ConradMbuya-hl7nq20 күн бұрын
Media IPI ya walamba miguu na wapokea bahasha za khaki??
@johnmwasilu708720 күн бұрын
Tatizo la mwandishi yuko so much biased. Maswali na hoja zake zimeegemea kusaidia upande aliouchagua
@AdiaMwinyi20 күн бұрын
Akuna uchaguzi maana uchaguzi unakua km vita kwa sababu ya masilahi ya watu wachache ndio maana hawataki demokrasia kwanin wakati umasikin umejaa kila kona
@yusuphitambu340520 күн бұрын
Watu wanakufa na kupotea wengine mmekaa mnaongea ujinga
@patrickkazinja443520 күн бұрын
Democratic inaimarishwa na mifumo na sio utashi wa mtu binafsi.
@malimiemanuelmuya814017 күн бұрын
Msikilizeni vyema, tatizo mnatukana bilatafakuri, mna judge kwa vile mnamjua ni Kimwaga
@SephaniaMsigwa20 күн бұрын
Lisu chuma cha reli
@mack_vita_onyango840920 күн бұрын
Dahh kamwaga ana upeo mkubwa wa kuchambua siasa za ulimwengu. 😅 Lakini unapo zungumzia mkate, hukwepi ( NGANO ) lakini kama NGANO ipo nyingi na bei ya chini kabisa, basi swala la kumudu mkate nila hisi sana kwenye nyumba zetu na biashara zetu, mkate hauna gharama kutengeneza ni kama chapati na mandazi, kwahiyo kama bei ya mkate ikiwa kubwa lakini NGANO bei ya chini ni lahisi nunua ngano tengeneza mikate yako uzaa mtani, yule wa kiwandani atakosa soko...
@edwindezidery63218 күн бұрын
Lissu kwanza mengine badae
@kobelochamanga975719 күн бұрын
Da ila mbowe atakubali chadema ife kwa ushauri mbowe amuachie tundu badala yake mbowe awe katibu mkuu heche awe makamu naibu katibu
@19594123319 күн бұрын
Hamjui kuchambua nguvu ya TAL katika CDM.
@NardhisMhagama-sy3eq20 күн бұрын
Kama kusoma ni sababu tusingedai uhuru huna akiliwewe
@ProperGandatv-b1p20 күн бұрын
Haya mahojiano yametulia sana
@19594123319 күн бұрын
Huyu mwandishi uelewa wake wa masuala ni mdogo
@NardhisMhagama-sy3eq20 күн бұрын
Msumbiji hata kama kura Moja mnashinda
@Ramadhanilawoga19 күн бұрын
Mchambuzi wewe unaielewa vizur nchi ilikotoka ilipo na tuendako hao waropokaji twende nao tu mungu amewaleta watanxania tuna uelewa mkubwa ingawa wasomi wa kukariri mambo utawasikia lazima uwe mwanaharakati kwa maana ile kuleta hofu usaliti na vinavyo fanana wabongo tumetoka huko niseme tu lisu asubiri sana na ikimpendeza mungu arudi pale dingida afuge maisha yaendelee lakini kulazimisha kuwa kiongozi anachekesha
@OttoChiduo18 күн бұрын
Amekurupuka,tamaa ya fisi ilimponza
@ConradMbuya-hl7nq20 күн бұрын
Nana kasababishi hiyo disconnect? Siyo mfumo wa serikali kandamizi?
@TNgwale-eu3xl20 күн бұрын
Sio kila mwenye degree ni msomi. Watu wengine walikwenda shule wakapata makaratasi/vyeti na kuondoka navyo. Wakaacha ujuzi na maarifa. Sasa ukiwaleta ktk mitandao na kuanza kuwatumia kama wasomi shida kweli kweli ...waste of air time 😂😂😂
@amirimsuya953120 күн бұрын
Lissu ni mrobokaji tu
@joscamwoshezi298620 күн бұрын
Hivyo Lisu alipanga apigwe losasi ilo awe maarifu
@jeremiahkarulema306220 күн бұрын
Unahisi ataziba mianya yawiziwenu
@dismasmtui72919 күн бұрын
Uchambuzi wa huyu jamaa unatia mashaka kuhusu Mbowe!
@MchungajiNzelani20 күн бұрын
Embu iacheni tz ipate mabadiriko nchi zote zimebadirika imebaki tz tu tupate mawazo mbadala