BAVICHA WATOA TAMKO ZITO "HATUKUBALIANI NA KAULI YA RAIS'' WATUPE MIILI YAO KUTAZIKE

  Рет қаралды 12,263

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 55
@matalo0551
@matalo0551 5 күн бұрын
We are tired, nchi ni yetu sote...kila kiumbe kitauonja umauti....hivyo we have to unite together! This is what we call democracy.....a rule of people, for the people and by the people! From god father Abrahim Lincoln
@athumanhassani805
@athumanhassani805 5 күн бұрын
Ila ifike wakati ukiwa kiongozi wanchi kuna maisha baada yauongozi tujitambue tusipende madalaka mpaka kupiliza hii mbaya
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 4 күн бұрын
Ni kweli cheo ni kizuri ukikipata kwa haki. mpaka uue kisa madaraka!!!!? Heri kufa ni kiwa na cheo cha mkuu wa wasafisha vyoo bila ya kudaiwa na Mungu damu ya mtu yeyote mikononi mwangu.
@ezekielmirambo8704
@ezekielmirambo8704 4 күн бұрын
Mungu ibariki nchi yetu Tanzania, we have nowhere else to live except in our lovely country Tz
@edisonsanga5288
@edisonsanga5288 5 күн бұрын
Ni kweli kabisa nami niliona siyo kweli polisi hawahawa watanzania ndiyo wafanye uchunguzi naona wanalindana
@JamesLyatuu-y5s
@JamesLyatuu-y5s 4 күн бұрын
Samia must go😮
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 4 күн бұрын
Watu wengi walio negarive,kazi zao kumkosoa Lisu, Mboweau Chadema. Ukiwasikiliza wanajisifu wao kwa Kutembea Eti mara tatu. Wamesahau mchango wa Lisu toka akiwa mwanafunzi, kiranja, kuwa tetra wa kulima, madini na raslimali zetu, kapigania ndege, wamasai, bungeni eti kajitu kanajitokeza kanajitamba tu Lisu alipigwa rızası nyingi sana. Huwezi kumdharalisha mtu kama huyu unaonyesha udhoofu wa fikra na ubinafsi na kukosa heshima. Unamdharau Mbowe aliyejitoa, kafilidiwa, kafungwa Kaitwa gaidi na huyu aliyejipachika uraisi kupitia katiba anayoiita kijitabu. Hana hadhi ya uraisi hata. Mna kuja mnamvua nguo Mbowe. Unavidikiliza hivi vijitu ni vidogo sana. Hapo ndo unagungundua utashi na uelewa wao ni zero. Acha Kunze’s watu, jiulize una mchango gani wa kuongelea kile Lisu na Mbowe wanakipigania. Nitoe Nawe kwa hali na mali acha maneno matupu yasiyo jenga watu na nchi na Taifa letu. Unagawa watu badala ya kulinganisha juhudi.Mungu atuangazie kwa hili.
@allymohamed2724
@allymohamed2724 4 күн бұрын
MTAKUBALIANA NA WALINZI WA TAIFA MTAKE MSITAKE. TANZANIA AMANI AMANI AMANI DAIMAAAAAA.
@jovinbikongoro3469
@jovinbikongoro3469 10 сағат бұрын
Kwakweli raisi Samia afai kataka nchi hii afai kabasa
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 4 күн бұрын
Siyo mtanganyika huyo
@alexmduma6278
@alexmduma6278 4 күн бұрын
Nawashauri vijana wenzangu Raisi wetu ameagiza uchunguzi ufanyike,niwaombe tusubiri riport aliogiza Raisi wetu.Raisi hafurahishwi na utekaji na mauaji ya watu.
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 2 күн бұрын
uchunguz wa kina Ben sanane hatujawahi pata majibu, LISSU kupgiwa Risa's hatujawahi pewa report ya uchunguz wao Leo hili la marehemu Kibao ndo tutapewa report?! au ndo uchunguz utakamilika baada ya miaka mia?!!!
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 5 күн бұрын
Hapo ulipo wewe mwenyewe huna ata uhakika na maisha yako unaogopa ata kucoment kukosoa serekali
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 5 күн бұрын
Mungu atangulie mbele ushindi upo
@mwajumaadam6068
@mwajumaadam6068 5 күн бұрын
Alooo mjue na nyie mtatekwa au hamuogopi????
@matalo0551
@matalo0551 5 күн бұрын
Tunaogopa, lakini tutaogopa mpaka lini? Ikiwa hatima yetu imemezwa, je kunahaja ya kuendelea kuogopa?
@issaal-busaidi4479
@issaal-busaidi4479 5 күн бұрын
hali ikiendelea hivi sote hatuko salama,bora kujitetea na kufa hadharan kuliko kufiaa gizani
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 5 күн бұрын
Daudi angemuopa goliati tusingesikia historia yake, Samson angewaogopa wafilisti tusingesikia Habari zake,,Mungu anaweza kusimama na wew ikiamua kusimama nae nakumshinda falao zidi ya mauaji na watu wasiojulikana😮😮😮😮
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 4 күн бұрын
Kweli tutakua waoga mpakalini nduguzetu wanateketea wanaacha watoto wake watatizamwa nanani viongozi wamekaa kimya wanakula bata wanalindwa hawanashida njoo kwetu wakina hakunaga tunachinjwa kama kuku kwahiyo tufunge vibwebwe tuingie kazini tukaandamane tutajua mbele kwa mbele kufa au kupona namani tutaonewa sisi wanyonge mpaka lini ukitazama wabakaji wanaachiwa kwadhamana nakesi inaishia hapo utekaji wanasema nidrama sasa tukamshitakie nani bora tujitose kwakweli ishallah mungu atatufanyia wepesi amin amin amin tumechokaaaaaaaa 14:46
@Mosmwampa
@Mosmwampa 4 күн бұрын
Hata tukiogopa Bado wanatuua, Sasa tutaendelea kuogopa nin
@SakinaHassan-xc2in
@SakinaHassan-xc2in 5 күн бұрын
Ma Shaa Allah nawaombea kheri ktk kheri Allah akawaongoze ili Tanzania tunayoitaka irudi hatuwezi kuburuzwa hivi tuna Haki ya kuishi kwanini mnaua Kwa ajili ya madaraka people's power msiogope Allah yupo nanyi
@laurianmodest7372
@laurianmodest7372 5 күн бұрын
ENDELEA KUPIGA MAKELELE. MNAONGEA UJINGA. TUKUTANE KWENYE MAANDAMANO TAR. 23 MUONE MNAPENDA KUVURUGA AMANI YA NCHI HII. TUNAOMBA POLISI NA VYOMBO VYA DOLA WASHUGHULIKIWE. CHADEMA WASITUPANGIE SERIKALI WANAYOTAKA
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 5 күн бұрын
Unajua kelele ujinga niwewe wauji wakubwa mwahalamu wewe filauni wakwanza
@issaal-busaidi4479
@issaal-busaidi4479 5 күн бұрын
ngoja na wew ifike siku yako ya kutekwa au familia yako ndio utajua, watu wanatekwa tunakaa kimya , bora kufa kutetea haki kuliko kufa gizani
@baselinoelimwasi4771
@baselinoelimwasi4771 5 күн бұрын
Time tell ucjal fikiria baba yako kauawa utakuwaje
@tanzaniadealers
@tanzaniadealers 4 күн бұрын
ujitambui ww acha ushambaaaa
@emanuelymichael9759
@emanuelymichael9759 4 күн бұрын
Huyo jamaa ndio mtekaji ndio maana
@SaidiJuma-j3z
@SaidiJuma-j3z 5 күн бұрын
Raisi samia naimba chadema wote wekandani
@tanzaniadealers
@tanzaniadealers 4 күн бұрын
😂😂😂😂
@OSWARDPANJA
@OSWARDPANJA 5 күн бұрын
Hivyondivyo inavyo takiwa ongela Sana chadema huusiowakati wa kuogopa haki lazima ipatikane
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 күн бұрын
Nasikia hata mbowe anahusika kifo cha Chacha Wangwe. Halafu mjue hatuko tayari kuchunguzwa na wakoloni.
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 4 күн бұрын
Umesikia je upo na ushahidi tahazari jambo la kusikia hupashwi kulisemea bila ushahidi hio tahadhar unapewa
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 4 күн бұрын
KIJANA YULE ALIMUUA CHACHA WANGWE JINA LAKE ANAITWA MAALIYA YUKO WAPI MLIMTUMIA KUFANYA MAAUWAJI KW NJIA YA AJALI
@issakazi2758
@issakazi2758 4 күн бұрын
Tanzania huru hatupo chini ya mamlaka yawaingereza
@carlosditram2069
@carlosditram2069 4 күн бұрын
hamza angekuwepo angetangulizwa mbele na SMG
@AkidaDaudi
@AkidaDaudi 5 күн бұрын
Mauwaji ya viongozi wa ccm mbona mlikuwa hamuyasemi je na mauwaji ya chacha wangwe yaliosababishwa na mbowe mbona hamjasema,chunguzeni nyinyi vibaraka was ichi za magharibi,awajibiki mtu,hamna mamlaka ..
@hassandaisa7157
@hassandaisa7157 5 күн бұрын
Nyie wapuuzi pumbavu mmekosa hoja wajinga nyie
@matalo0551
@matalo0551 5 күн бұрын
Death is for all....vijana tunapaswa tambua hili.....Leo kwao kesho kwetu....hivo ni suala la muda! Tunakosa ajira tulio na ufaulu mkubwa, lakini tunashuhudia wale waliokuwa wanasapp kila semister ndio wameshikiria vitengo nyeti vya serikali! Hamna haki kabisa! We are tired of this bull sheet!
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 4 күн бұрын
HAMNA CHAMA HAPA UPUUZI MTUPU
@GeorgeKivuyo-po6qn
@GeorgeKivuyo-po6qn 5 күн бұрын
Ununio ni wap jmn
@Werema3760
@Werema3760 4 күн бұрын
■Dam ya watu ni nzito na hii ITATHIBITIKA MWAKA KESHO 2025.🇹🇿.
@Jackson-r6b
@Jackson-r6b 5 күн бұрын
Mnajisumbua,Bure,watu,WA,mrimani,tumesha,wajua,poleni
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 4 күн бұрын
Jifunze kuandika
@tanzaniadealers
@tanzaniadealers 4 күн бұрын
jingaaa hili
@SaidiSelemani-l1n
@SaidiSelemani-l1n 4 күн бұрын
Sikwer
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 4 күн бұрын
HAYA NIMAPAMBAMBANO ZIDI YA RAIS ANAEPINGWA KWAKUWA TU NIMWIISLAAM WAISLAAM ZINDUKENI NAWAOMBA MSISHIRIKI WAACHIENI WAKRISTO ALLY KIBAO HAKUJUA KATOLEWA KAFARA
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 4 күн бұрын
We nae acha ujinga hata magufuli alipingwa. Na hakuwa muislamu. Sema hivi vi chadema vinatamani nchi ivurugike.
@user-hy4zb3eg1z
@user-hy4zb3eg1z 5 күн бұрын
Nchi hii ni yetu sote.....msilete siasa kwenye usalama....eti kijana wenu....kwan mlimtuma achome picha......be fair... Be realistic
@user-rf5jg2xd6t
@user-rf5jg2xd6t 5 күн бұрын
Mbona magazeti Yana picha za RAIS tunafungia vitumbua na tuwashia moto, hio ni hoja ya kitoto
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 5 күн бұрын
Kuma nyamaza
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 4 күн бұрын
Udini ni dhambi.
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 4 күн бұрын
Mdini humtetea MTU mwovu kisa ni wa IMANI sawa na yeye!!! Mwana dini humpinga MTU mwovu hata kama ni wa IMANI sawa na yeye.
@tanzaniadealers
@tanzaniadealers 4 күн бұрын
kengeee ww
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 44 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 42 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 68 МЛН
Kimeumana: Acting IG Masengeli lands in big trouble
8:44
Rogers Kakasungura
Рет қаралды 7 М.
MWAMBIGIJA AMVAA PETER LIJUALIKALI SUMBAWANGA
20:33
Chadema Media TV
Рет қаралды 13 М.
MBOWE APIGILIA MSUMARI WA MWISHO ATUMA BARUA YA WAZI WANANCHI WAKUBALI
13:56
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 44 МЛН