MNYIKA APANGUA MASWALI YA WAANDISHI ''UCHAGUZI UTAKUWA WA HURU NA HAKI /KUHUSU TUHUMA NI KWELI ZIPO

  Рет қаралды 16,787

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Күн бұрын
Huyo yuko na Mbowe wote ni wa ridhiki mantashalla hongera sanaaaa mwandishi kwa kuhoji
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 Күн бұрын
Tunamtaka lisu tu msipo tuletea lisu basi mtakaa na chama chenu maana tutakuwa tumejua kuwa hicho chama ni cha mbowe na familia yao,haiwezekani mtu mmoja aongoze chama milele.tunaenda na mh lisu na makamu wake j,heche.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Күн бұрын
Swali lako nzuri sanaaaa kwa hao wala rushwa
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 Күн бұрын
Mnyika kichwa sana
@NuruNurudin
@NuruNurudin Күн бұрын
Hata kama!!! Lisu ndiye wanamtaka wanachadema!
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Күн бұрын
Lisuuuuuuuu
@erickchaula5084
@erickchaula5084 Күн бұрын
Msipo tenda haki mtakiua Chama nawambia kueni makini sana watanzania wanawategemea sana kua ni Chama haki na si vinginevyo
@EmanuelJohn-o3d
@EmanuelJohn-o3d Күн бұрын
asante katibu wetu chadema safy mungu akutanguly hiyo nafasi imekufaa wewe ndy wazir mkuu wa Tanganyika yetu
@MichaelKavavila
@MichaelKavavila 12 сағат бұрын
Kumchagua lissu ni ujasuri na ukomavu wa wanachama na itaonyesha kweli chadema ni demokrasia......ila kumchagua mbowe ni woga na uchanga wa wanachadema
@jescageorge-fv8yt
@jescageorge-fv8yt Күн бұрын
Lissuuuu
@rulebudodo2301
@rulebudodo2301 Күн бұрын
Mmeona mic holder ya ITV ilivyochoka😂😂😂😂😂
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Күн бұрын
Wekeni Mdahalo kwa Wagombea wote na haki itendeke kwa wizi wq kula usiwepo Mubgu toa jibu
@JibeMwaijibe-p1z
@JibeMwaijibe-p1z Күн бұрын
Lissu+Heche+Lema(mnyika)🔥🔥🔥🔥🔥 moto utawaka🔥🔥🔥🔥🔥
@UpendoKakata
@UpendoKakata Күн бұрын
Usisaau chama chamapinduzi ccm kuwepo man ndicho chama tawala chenye wafyasi wengi nchini
@JOSEPHATMwesigwa-vi7he
@JOSEPHATMwesigwa-vi7he Күн бұрын
Sawa mkuu
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 Күн бұрын
Mnyika upo kwenye Mtego
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 22 сағат бұрын
Lisu andika barua Kwa mapendekezo unachotaka yafanyike wakati wa kupiga kura/uchaguzi
@KanumaMussa
@KanumaMussa Күн бұрын
Tunakuunga mkono Kwa maelezo yako
@PhilipoNjalika
@PhilipoNjalika Күн бұрын
Free Election required
@KishiwaMaganga-g1r
@KishiwaMaganga-g1r Күн бұрын
Vicent bunzali kenge wewe ondoka halaka mbwa wewe umekisaidia nn chama matako wewe wAtu hatuna shklani kama mbowe amewasadia wng amewapa mpaka magali mf lisu wakifakiwa wanamtukana mbowe
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c Күн бұрын
Mwandishi chawa mbona hamjaonyesha maridhiano live
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Күн бұрын
Hicho Chama kinatakiwa kuisahihisha Ccm maana wizi umezidi na watu hawapati Ajira Ajira ni kwa familia zao tu
@zakayomjengi7146
@zakayomjengi7146 Күн бұрын
Akina Ntobi walisema kwamba Kati ya uchaguzi wa Lissu na Nyalandu,kwamba Nyalandu alishinda lakini alitangazwa Lissu je! kuna uhakika kwenye hili?
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 Күн бұрын
Muulize mamako
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c Күн бұрын
Aachen kusema uchaguzi ni huru na haki, waki kura feki wajumbe feki ndio mipango yao, mnabaki kuilalamikia setikali yetu, kumbe nyie ndio wezi wa kura feki
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l Күн бұрын
Acha uzezeta na ww kura feki zipo wapo to me i will never vote for CCM the entire of my life other watekaji na wauwaji wamepatikana
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 Күн бұрын
Lisu ni chizi mtapata taabu sana kwa sababu nimpenda vurugu
@ambitiousholyspirit395
@ambitiousholyspirit395 Күн бұрын
Vurugu za CCM kwenye uchaguzi hujaziona vurugu zitajibiwa Kwa vurugu.
@simonmwasile4377
@simonmwasile4377 Күн бұрын
Kuma la mamako, chizi ni babako ambaye alikupata kilabuni
@OscarKasalile
@OscarKasalile Күн бұрын
Chizi ndio tunamtaka kwa hapa tulipofikia
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 Күн бұрын
Chizi ni wewe na machizi wenzako machawa nyooooo!!!?
@stevenmpangalampangallah1520
@stevenmpangalampangallah1520 Күн бұрын
@@simonmwasile4377 jaribu kuheshimu wazazi wa wenzio, kwanini usimtukane yeye mwenyewe, sio busara kwenda maungoni mwa wazazi, je hili tusi angekutukania mama ako mzazi ungejiskiaje. Tuweni na hofu yamungu
@JibeMwaijibe-p1z
@JibeMwaijibe-p1z Күн бұрын
Ila mnyika na mbowe umechukua hela kw samia ili mbowe ashinde
@kaimukasimu7164
@kaimukasimu7164 Күн бұрын
Una ushahidi Futa hii kauli
@JibeMwaijibe-p1z
@JibeMwaijibe-p1z 21 сағат бұрын
@kaimukasimu7164 siufuti ukweli mtanifanya nini na ushahidi ninao.
@JOSEPHATMwesigwa-vi7he
@JOSEPHATMwesigwa-vi7he Күн бұрын
Sawa mkuu
‘ Lissu ambaye hafai kuwa mwenyekiti alikua anafaa kuwa rais’
28:12
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,5 М.
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
LISSU AKIRI KUWA NA HOFU CHADEMA KUGAWANYIKA BAADA YA UCHAGUZI
1:26
Star TV Habari
Рет қаралды 1,8 М.