MWENYEKITI WA CHADEMA ARUSHA ATOA YA MOYONI KUELEKEA UCHAGUZI AMTAJA LISSU

  Рет қаралды 6,341

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 206
@DavidBisse
@DavidBisse 3 сағат бұрын
Duah!!!!mbowe anaungwa mkono na machiziiiikabisa tena malofa kama huyu jamaaa 😅😅😅😅😅😅
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 19 сағат бұрын
Kugombea wenyekiti wa chadema na kushindana na Mbowe ni usaliti , nilkua sijui hili duuh! Kumbe chama cha mtu 1 sio democracy au !😅
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 5 сағат бұрын
Kwani kuna mtu kaambiwa asigombee?Tunachokikataa ni kumtukana mtu ambae alikupokea na kukupa fursa,Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 сағат бұрын
@yassinnabwera4273 Wanagombea wengi wako 4 wewe mbona una hofu na lissu na unamjadili lisu kasaidiwa jwani hao wengine. Siasa haiyendi ivyo tulia
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 20 сағат бұрын
Huyu ametoka wapi jamani😂😂😂😂😂😂 hebu toka hapa
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 сағат бұрын
Kheee eti mkee wakumliwaza😂😂😂 aende yeye akamliwazee
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 19 сағат бұрын
Huyu anakula sana kisamvu, kisamvu boy
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 19 сағат бұрын
Huyu jamaa senge sana balozi denmark lini .hata hajui silaa alikuwa balozi nji gani shile yalo ni darasa la.saba
@NgendandumweAlouise
@NgendandumweAlouise 21 сағат бұрын
Mbona abdul aliwahonga mbowe na wenje mbona hamujasema
@MajaliwaYusuph-qb1xp
@MajaliwaYusuph-qb1xp 17 сағат бұрын
Pumbavu ww
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 12 сағат бұрын
Mbona Lisu kahongwa na Makala 5000000 ambayo haitoshi kumhonga hata dada poa njaa ikiingia kichwani utapokea chochote unachopewa ni aibu kwa anaejiiita msomi
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 10 сағат бұрын
Kwa hiyo, wenye akili na shibe ni wale wanaohongwa mabilioni na Abduli! ​@@goodluckjohnuiso-gt1fg
@ALESIACHIJOKA
@ALESIACHIJOKA 20 сағат бұрын
Nasikia kichefuchefu hata kusikia sauti yako . Badirika wewe Bado mdogo njaa itakuuwa . Pole sana . Mpoli poli wewe.
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 5 сағат бұрын
Wewe ndie wa kutiliwa shaka,hapo huyo kijana wapi anapokosea?
@informationmwambela6065
@informationmwambela6065 20 сағат бұрын
Chama ni cha WANACHADEMA
@JaphetAndondile
@JaphetAndondile 20 сағат бұрын
Ukabira tu koma kumtaja JPM
@MosesNdabilla
@MosesNdabilla 21 сағат бұрын
Dishi wew
@amosjeremia
@amosjeremia 20 сағат бұрын
bro hujui unachokiongea punguza ukabira unashtua maaduii 😢
@leticialubala9721
@leticialubala9721 21 сағат бұрын
Umesema kweli tupu.🎉🎉
@pmfalila
@pmfalila 18 сағат бұрын
Akili ndogo imepewa jukwaa la kuongea.
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 19 сағат бұрын
Povu jingi la Nini?
@yustodonald9772
@yustodonald9772 20 сағат бұрын
Kàfie mbaliii wewe tunamtaka lisu
@EdwardJohn-xz5oi
@EdwardJohn-xz5oi 20 сағат бұрын
Ww bogasi kweli hapa main point syo maridhiano TU ni watu wamechoka wanataka mabadiliko soma alama za nyakati.
@AMOAM_49
@AMOAM_49 13 сағат бұрын
BADO HUJASEMA, NA MTASEMA.... TUNDU LISSU WAPELEKE "Mchaka Mchaka " 😂
@AntonyKawage
@AntonyKawage 21 сағат бұрын
We jamaa sio kawaida una laaana ya uko,
@BozaNassoro
@BozaNassoro 20 сағат бұрын
ACHENI UJINGA WENU WATANZANIA TUNAMTAKA LISSU MBOWE HANA JIPYA SSIV CHADEMA SIO CHAMA CHA WACHAGA TENA
@yusuphkitivo
@yusuphkitivo 18 сағат бұрын
Kweli nimeamini kwa sasa Mboye angestaafu tu maana hata wajenga hoja wake kama wamepagawa
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 21 сағат бұрын
Njaa inatoa ufahamu,mnauza utu wenu.mmestukiwa
@NestoryNyansagah
@NestoryNyansagah 20 сағат бұрын
Mtaelewa tu safari hii tunaenda na lisu
@actormkoma
@actormkoma 13 сағат бұрын
Bora chama kife tu
@NiazonBukoke
@NiazonBukoke 20 сағат бұрын
Huyu muongeaji hiv ni kiongoz kwel....mbona anaongea pumba hiv??
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 19 сағат бұрын
Daar hapa tumepigwa huyu ni mwehu+
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 7 сағат бұрын
Tena mwehu mara kumi
@AmanaHassan-cy4fi
@AmanaHassan-cy4fi 3 сағат бұрын
Anguko la Wachaga hiloo...!!! Yeeeleeuwiii...
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 16 сағат бұрын
Alipataje uongozi huyu kengele.
@geraldleger5793
@geraldleger5793 20 сағат бұрын
Acheni uoga leteni sera ....
@GasperKapungu
@GasperKapungu 18 сағат бұрын
Muda wa kampeni bado kaka.ukishafika SERA utaziona.lissu kawai kabla ya muda.amevunja katiba
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 19 сағат бұрын
Haka kajamaa kanarambaa viloba
@josephmarole5159
@josephmarole5159 21 сағат бұрын
Wew mpuuuz tuuu.
@ponsianomwakisunga899
@ponsianomwakisunga899 14 сағат бұрын
Matope matupu uyu katoka kuvuta bang😅😅😅
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 20 сағат бұрын
Zile pesa mwamba alizopewa huyu nae kazipata zile za maza abuu
@teddysanga1840
@teddysanga1840 20 сағат бұрын
Chaga development manifest
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 14 сағат бұрын
Ovyo kabisa wewe! Kwahiyo mtu akisema ukweli anaitwa msaliti? Nakuahidi akishinda mbowe hii sacos yake safari hii inakufa.
@ZubedaRamadhan-s9f
@ZubedaRamadhan-s9f 20 сағат бұрын
Mbege tupu
@abdullramadhanii626
@abdullramadhanii626 19 сағат бұрын
Ukabila watu wanajuaa wamejipangaa kuchukua chama1
@reubenmhagama8164
@reubenmhagama8164 21 сағат бұрын
Mpuuzi tu weweee Wala hueleweki! Watu wako na Lisu utopolo tupu
@yonagreen1605
@yonagreen1605 20 сағат бұрын
Ujitambui wewe
@awemaqway1201
@awemaqway1201 6 сағат бұрын
😂😂😂 sasa ndugu yangu mbona na wewe umeshavunja matiba ,maana umetoa siri ya chama😂😂😂
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 7 сағат бұрын
Peleka mambo yako ya kisengesenge mmekosa pakutokea ndiyo maana mnatafuta pakuchomokea hatoki mtu Lisu na Heche they are on the 🔥
@JuliusTluway
@JuliusTluway 13 сағат бұрын
Kugombea uenyekiti ni usaliti?
@RobertCollinskc
@RobertCollinskc 14 сағат бұрын
Je kiongozi, kabla ya kuita press ulifanya tathmini kwa wanachama katika mkoa wako?
@SowetoBanks
@SowetoBanks 21 сағат бұрын
PUMBA PRO MAX
@ErnestFurela
@ErnestFurela 21 сағат бұрын
Wewe unafikilia ukabira tu
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 10 сағат бұрын
Vijana wa Arusha! Ni bahati mabaya sana mnathubutu kumsema vibaya LISU. Mimi siwaelewi. MBOWE ni kiongozi mwenye BUSARA nyingi, lakini Samia kamsaliti MBOWE kwa hadaa za kauli za maridhiano kwa UONGO. Wewe kijana (Mwenyekiti wa wapi sijui); hebu nyamaza; hufai Kwa kauli. Unazungumza kwa jazba mno kumshutumu LISU isivyo kweli. Haiwezekani Nia yako kwa CHADEMA iwe njema kuliko ya LISU; haiwezekani. Acha hayo maneno mara Moja. Ungana na wajumbe wa mikoa yote ya kusini. Angalia, mwenzako mwenye CHUKI juu LISU, kule Shinyanga, kavuliwa Uenyekiti wa Mkoa; ni HATARI kwamba uko mbiyoni kuvuliwa. Maneno yako mengi ya harakaharaka hayatakosa kasoro. Unaweza kumpotezea MBOWE hata hiyo kura yake moja uliyonayo Kwa kuzuiliwa kupiga kura. MBOWE ni mazuri sana, lakini wengi wanamtaka LISU kwa sababu ya kiburi cha kiongozi wa upinzani. MBOWE ni mpole; CHADEMA wanamtaka kiongozi mwenye JEURI kama ya kiongozi wa upande wa pili.
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 21 сағат бұрын
Acha uongo mbowe ndo ccm
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 21 сағат бұрын
We mbuzi wa mchuzi wadanganye nyanya na vitunguu boga kabisa wewe hujanya
@mahirimahiri2643
@mahirimahiri2643 2 сағат бұрын
Acha polocho. Tunahitaji kiongozi mwenye msimamo ambaye hayumbishwi
@ayubuyohana679
@ayubuyohana679 20 сағат бұрын
Huyu hafai kuwa mwenyekiti wa mkoa CHADEMA, Arusha sijui mlikwama wapi..
@frbm1729
@frbm1729 21 сағат бұрын
Hili Kansas akili matopeee
@JuliusTluway
@JuliusTluway 13 сағат бұрын
Kusema rushwa cdm ni usalti?
@yusufkissena5436
@yusufkissena5436 9 сағат бұрын
Anatumiwa na kanisa😊
@OscarKasalile
@OscarKasalile 14 сағат бұрын
Wewe mwendawazimu hovyo kabisa ukabila umekujaa.
@SaneMwezi
@SaneMwezi 21 сағат бұрын
Nilivutiwa na ww mwanzo ila naona unaongea upuuzi tu
@clarencesichila9497
@clarencesichila9497 21 сағат бұрын
Huyu hana akil
@PeterIdd-d3c
@PeterIdd-d3c 14 сағат бұрын
We nchi nzima tunaenda na lisu mjinga wewe ndo hujielewii
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 10 сағат бұрын
"ww jiulize mtu wa ccm anatakaje mtu wa chadema ashinde..?" Huyu kumanyoko hajui kigwangala na Wana ccm wote wanataka mbowe ashinde
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 4 сағат бұрын
Huyu anakula kisavu kichungu sasa msigwa anahusika vipi eti Dr usalama wataifa 😂😂😂
@Leodimk-n5c
@Leodimk-n5c 20 сағат бұрын
Huyu nani alimchagua aise 😅😅
@JuliusTluway
@JuliusTluway 13 сағат бұрын
Wewe ni chawa unafki
@OnnesmoHhape-z1c
@OnnesmoHhape-z1c 21 сағат бұрын
Shogaa huyoo amee panikii
@daudimwaitebele420
@daudimwaitebele420 14 сағат бұрын
We kwenye sheria bora ufunge ilo domo lako yani mpewe rushwa afu lisu akae kimyaaa
@JuliusTluway
@JuliusTluway 13 сағат бұрын
Unaleta ukabila
@JooLusajo
@JooLusajo 21 сағат бұрын
Ww ni bumunda kama bumunda wengine😅
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 7 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@clauschaula2050
@clauschaula2050 4 сағат бұрын
Naiona Chadema kusambaratika vibaya sana mara tu baada ya uchaguzi.Kama suala la wenyeviti wa vyama kukaa muda mrefu mna lipi la kusema kuhusu UDP na John Momose Cheyo,vipi Profesa Lipumba na CUF?
@ThomasMwadia
@ThomasMwadia 9 сағат бұрын
Mbona na wewe unatoa siri za chama huko ubelgiji...uvuliwe uanachama tu...
@jumamchungu2326
@jumamchungu2326 21 сағат бұрын
Mbona yupo peke yake, imekuwaje mangi?
@ZubedaRamadhan-s9f
@ZubedaRamadhan-s9f 20 сағат бұрын
Hivi umesoma mpaka la mgapi
@isaacemily1889
@isaacemily1889 20 сағат бұрын
Wewe ni mkweli kabisa ,,Dr Slaa anaivuruga chadema
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 9 сағат бұрын
Siyo KWELI kabisa; huyu Mzee anatetea future yenu vijana; Wala so future yake.
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa 19 сағат бұрын
Ni kina nani aliye wasomea albadir mbona mna vurugana wenyewe kwa wenyewe.
@erickmsigala138
@erickmsigala138 13 сағат бұрын
Huyu tahira hajitambui
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 10 сағат бұрын
Huyu jamaa akili yake haipo sawa Kuna sehem ametoboka...kwenye maandamano hajui lissu alikamatwa mbowe hakulala nyumbani polis walikua wanamtafuta
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 7 сағат бұрын
Oyoooooo lisu kaliamsha dudu , pesa za mama Abduli zimewatokea puani
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 8 сағат бұрын
Uyu wa wapi tena njaa mbaya Sana kusoma ujui Ata picha uoni ni wakati wa mabadiliko ni lisu na heche ndo abali ya mjini
@ErastoMaridadi
@ErastoMaridadi 21 сағат бұрын
Ulitaka alambe asali?
@praygodkanyikarirayo
@praygodkanyikarirayo 5 сағат бұрын
Kuweni macho huyu jamaa ni lisaliti.
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 20 сағат бұрын
Point less
@informationmwambela6065
@informationmwambela6065 20 сағат бұрын
Muwemunaangalia na watu wa kuwahoji
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 4 сағат бұрын
nimekuelewa sana wasiokuelewa akili zao zina shida, akili yako iko juu sana sema watu wanakwenda na mihemko ya lissu. ukimfatilia lissu utagundua lissu ni kigeugeu
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 7 сағат бұрын
Kwenda zako boya wewee LISU KWANZA WACHAGA WOTE TUNAMPENDA KAKA YETU LAKINI KWASASA OVER 😂😂😂
@ponsianomwakisunga899
@ponsianomwakisunga899 14 сағат бұрын
Matope mtupu 😅
@augostinodaves5423
@augostinodaves5423 7 сағат бұрын
Basi wewe Mungule, hebu nyamaza, huelewi unachokisema
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 10 сағат бұрын
Bwana. Eee tunamtaka lisu mbona silaa alishiriki maandamano. Ya chadema hukumzuia
@geoffreynghumba1029
@geoffreynghumba1029 12 сағат бұрын
Wewe hujui kitu katika Siasa. CHADEMA kinapendwa nchi nzima. Na katika uchaguzi Mkuu kinapigiwa kura na Watanzania wote hata wasio wanachama. Ungelijua hilo hata povu lisingelikutoka.
@antonygibson464
@antonygibson464 7 сағат бұрын
Wtanzania wanataka kusikia kauli zinazopinga Rushwa na kupigania haki.Kwahiyo huyu mwenyekiti wa mkoa anamsimamo upi kuhusu Rushwa na utekaji na mauaji? Je Siri za chama ni kusema Rushwa mafichoni? Je upinzani ni uadui?Kwani ukiwa mpinzani ndiyo usiwe na marafiki kutoka chama tawala?Anaonekan hata waliomchagua hawakutumia busara.
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 12 сағат бұрын
We ni mwongo halafu huna haya kabisa,,,,ukabila na udini utawamaliza ,,mwenyekiti bogus kabisa.
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is 20 сағат бұрын
Mbege hizo
@Samoninyanda
@Samoninyanda 8 сағат бұрын
Lisu ndo kiongoz kwa sasa
@richardelias3952
@richardelias3952 12 сағат бұрын
katibu wa chama, akagombea uraisi at the same time hakuwa na kadi ya chama, hakuna kiongozi hapa
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 14 сағат бұрын
Kashiba makande huyu
@Peterchipemba
@Peterchipemba 12 сағат бұрын
Mbowe kwanza sasa nikama hajitambui ashauriwe kujitoa,,wooote nchi nzima wanasema lissu,,mbowe atoke kerere zimekuwa nyingi nje na ndani,,mbowe anashida,,
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 21 сағат бұрын
Ili chadema ife mbowe awe aibe kula
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 9 сағат бұрын
Silaa anapigania haki pamoja. Na kwamba alikemgeuka lakini alishiriki maandamabo. Ya chadema kudai katiba mpya mara kadhaa
@innocentlethisia416
@innocentlethisia416 10 сағат бұрын
Jaman chadema huyo ndo mw/kiti wa chadema arusha?kweli mmepigwaaa yaani Chama kimeshuka saana jaman huyu mlevi konyagi+sungura unapata nn hapo? Chengaaaaa Lisuuuu Lisuuuu Lisuuuu Lisuuuu
@UpendoEliya-i7l
@UpendoEliya-i7l 8 сағат бұрын
Vipi mbona hauko huru kuongea?? Au wamekukremisha ?? 😅
@johnsonsamwel7207
@johnsonsamwel7207 12 сағат бұрын
Huyu ni wawapi jamani Lema hii nini kweli huyu ni mnkti wa mkoa Arusha siamini
@BonifaceBonala-w9j
@BonifaceBonala-w9j 2 сағат бұрын
Mjinga wewe lissu umuwexi
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 8 сағат бұрын
Duuuu tutasikia mengi Alinyanganywa mke na wazungu kumbe wanawake ni wa ovyo hivi jamani Mimi ningeua mtu nikupeleke ulaya alafu unisaliti hapo nitapata kesi ya kujibu
@godfreymjuni3420
@godfreymjuni3420 9 сағат бұрын
Alichaguliwaje huyu jamaa , Loh ndiyo maana Lema ameondoka hawa jamaa ni maji
@godfreymjuni3420
@godfreymjuni3420 9 сағат бұрын
Haelewi kabisa
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 12 сағат бұрын
Wewe ni chawa wa MBOWE MPUUZI tu Sasa akiwa usalama TATIZO
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 12 сағат бұрын
Achana na ccm chama kubwa hujazaliwa babako ni ccm hujui kitu mtahangaika sana
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН