BALOZI MPUNGWE AFICHUA YA TUHUMA ZA BASHE SAKATA LA SUKARI, MPINA AONA MWANGA KISA.....

  Рет қаралды 12,123

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 29
@nestor384
@nestor384 3 ай бұрын
Mpina Jelson Luhaga nakuombea uishi na mwenyezi mungu akushindie Waziri wa kilimo alipaswa kuwa jela mpaka muda huu!
@husseinjosephitocho6754
@husseinjosephitocho6754 3 ай бұрын
waziri kilimo na wafedha ni majizi makubwa kwa kutumia gep sugar wamepiga bilioni tatu kwa kuagiza sukari nyingi kuliko inavyotakiwa na uwo ni mpango mkakati wa mama kupitia ccm ili wakiuza sukari wapate faida kubwa kama iyo niliyoitaja ili wapate pesa ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa hiyo wenye uelewa tunajua nyinyi viwanda amna shida mpo sawa kabisa
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 3 ай бұрын
Ee mungu tuhumie baba tumekuwa kondoo wasio na mchungaji. Mungu tuhurumie. Siku zote aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Mumgu wangu.
@hassanmitayo1875
@hassanmitayo1875 3 ай бұрын
Msumari umekita sehemu husika, tangu waziri Tizeba na Kaijage mlikuwa wapi kujitokeza?, Sheria imeshapita mzee wangu zalisha sukari uuze bei ikipanda store inafunguliwa.
@mariammalale3729
@mariammalale3729 3 ай бұрын
Hayasemeki wallahiii
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 3 ай бұрын
Kwa maelezo haya ya Balozi Mpungwe, Bashe anasemaje? Ni aibu aibu kwa Serikali. PCCB mko wapi?
@jumakizija829
@jumakizija829 3 ай бұрын
Balozi naye ashindilia, bila kupepesa macho asema kuambiwa kuwa hawakuagiza sukari kuwa ni 'Uongo'. Sasa sijui ni nani atakuwa alisema uongo
@masterhptv4065
@masterhptv4065 3 ай бұрын
Cha ajabu vyombo vya habari havitasambaza hii clip watanaki kutangaza udaku na uchawa. Sikihz waandishi hawasumbuki na uchunguzi wa taarifa wanazozitoa ukiwa na hela na cheo report inatoka tu hata kama ukiwa mwongo.
@gasparyephraimmwakatuma9542
@gasparyephraimmwakatuma9542 3 ай бұрын
Kwa maelezo haya Mpina alikuwa sahihi na Waziri kadanganya! Waziri na Spika wajibu haya maelezo
@abdallahomary515
@abdallahomary515 3 ай бұрын
Kuna wakat au Kuna mambo ambayoi bunge linapaswa kuisimamia serikali. Ipasavyo kama katiba ya nchi inavyo wataka, pale bingeni wapo kwa niaba ya wananchi kila mbunge yuku pale kuwakiliaha wananchi wake na watanzania kwa ujumla, sasa mbunge akipeleka hoja ambayo inaibana serikali au kiongozi pale bingeni basi ajibiwe kwa hoja na serikali imjibu Kwa hoja sahihi, sasa kama mpina walimjibu Kwa mipasho na kumsimasha asihuzurie vikao kadhaa, kumbe bado kuna shida, hawa jamaa wasukari unaona kabisa kama walikua na matumaini na mpina alikua anahoja ya msingi kuhusu kulinda viwanda,, na kama mpina pia angewakosea pia hao jamaa wa sukari wangesema mpina alichosema sio kweli, mpina wamemtoa lakini hili jambo bado linawatafuna na sasa Kwa namna walivyo muajibisha mpina na inawezekana hoja yake ilikua na ukweli, sasa Kwa namna walivyo mfanya mpina inawza ikawaogopesha wabunge wengine kuibua madudu,
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 3 ай бұрын
Bashe bashe mwigulu mwigulu.
@EvalineJonathan
@EvalineJonathan 3 ай бұрын
Jamn media please crip hiz ziende viral
@EvalineJonathan
@EvalineJonathan 3 ай бұрын
Mpina oyeee
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 3 ай бұрын
Mpumpugwe mwenyewe alihujimu migodi ya mererani tunakujuwa
@EvalineJonathan
@EvalineJonathan 3 ай бұрын
Jamn media please crip hiz ziende viral watu waffaham ukweli juu ya swala hili ....mpinaa oyeee
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 3 ай бұрын
Ukiona watoto wa simba ujue mama na baba hawako mbali. Sa waziri wa kilimo na wa fedha???.
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 3 ай бұрын
Dah-sasa mpina kwa nini anafukuzwa bungeni
@listerkongola6872
@listerkongola6872 3 ай бұрын
Huwezi kuwa mzalishaji na wakati huohuo muagizaji wa sukari ya bei chini. Kwa conflict of interest, mzalishaji hawezi zalisha sukari kukidhi mahitaji ya sukari Tanzania!!
@PaulMsema
@PaulMsema 3 ай бұрын
Sukari ni bidhaa nyeti ukifanya Kila mtu aingize utauwa wananchi wako pia hata Kodi hitapata kama nchi maana viongozi wakubwa watajipenyeza kwenye uagizaji ni utaratibu mzuri tuu ambao uliwekwa na serkali ya awamu ya 5
@mountketumbeine5079
@mountketumbeine5079 3 ай бұрын
Hamkuwahi kueleza haya kabla mlivyoona kitumbua kinaingia mchanga mnaanza kupiga kelele, watanzania wanaogopa sana ushindani fanyeni kazi muda wa kubebwa umeisha
@raphaelondego7703
@raphaelondego7703 3 ай бұрын
Gen-z in the making 😊
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 3 ай бұрын
Acha wale nchi si wanatuona mazuzu😅😅😅
@shabanihalfani9718
@shabanihalfani9718 3 ай бұрын
Hakuna usahihi. Kila mtu anafahamu sukari ilifikia zaidi ya 5000 kwa kilo. Mlifanya nini kutoagiza ili mtengeneze gap then bei izidi kuumiza raia
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 3 ай бұрын
Nyinyi mnashindwa nini
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy 3 ай бұрын
Vyombo vya usalama isaidieni nchi mshaurini mhe rais ili twende vizuri
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 3 ай бұрын
HUYU MZEE APEWE ULINZI,,,,,,,au ATATEKWA
@henryndosi2002
@henryndosi2002 3 ай бұрын
Mzee mwizi
@PaulMsema
@PaulMsema 3 ай бұрын
Sio mwizi anaelezea vzr tuu
@EvalineJonathan
@EvalineJonathan 3 ай бұрын
Inaonekana ww hufikirii mbali ...unawaza wizi tyuu Kam Bashe
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
ALIYEMPIGA RISASI TUNDU LISSU ABAINIKA
37:08
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 12 М.
SALIM KIKEKE USO KWA USO NA N/WAZIRI MKUU DOTTO BITEKO
28:56
Crown Media
Рет қаралды 53 М.