Lyenda anajua sana kujenga hoja na kuzifafanua, hongera sana
@MuhojaMalichoСағат бұрын
❤❤❤❤. Asante lienda
@marieconnect63893 сағат бұрын
Kumbe vipaumbele team mbowe hakuna? Eh haya makubwa tena. Kumbe hawajajiandaa
@Jackob-k1j6 сағат бұрын
Ohooo kwerii
@PatrickMchele2 сағат бұрын
Team Lisu wamejipanga kwenye vyomo vya habari. Mbowe hakukujua mapema. Chadema ya lisu haitatoboa.
@aloycemisigalo39832 сағат бұрын
Timu Lisu wanajua sana kufafanua hoja aisee!! mimi ninamuamini mh. Lisu anaweza kuongoza chama, hawa genge la Mbowe mbona wanajazba sana, ngoja tuone kitakacho tokea baada ya uchaguzi.
@mathiaszakaria70525 сағат бұрын
Tunaenda na Lissu
@dennisungonella2056 сағат бұрын
Team lissu wamejipanga ..
@marieconnect63893 сағат бұрын
Ila kusema kweli lissu ana visasi sana na.hasira japo kwa SASA hivi anafaa kuongoza chadema kukivusha hapa kilipo kwa sasa. Kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa ili kufikia malengo
@joscamwoshezi29862 сағат бұрын
Lisu alipewa kuhombania Urais kama heresha walijua hawezi kushinda
@richierobert71825 сағат бұрын
kiukweli team lisu ni makini sana
@VicentLookenСағат бұрын
Hoja zenye busara hizi
@Mdee-TvСағат бұрын
Yupo aliyeamua kugombea baada ya masaa 48 na mwingine baada ya mwezi 1
@nicholouswaryoba14745 сағат бұрын
Magoli ya kutosha lakini sio ya kushinda changamoto za ushindi😊
@richierobert71825 сағат бұрын
ccm imeongoza miaka 60+ bado wanataka lidhaa na bado shida za maji + umeme + barabara ni changamoto katika taifa mbowe aondoke tuone utendaji wa lisu
@ulimbagakipole39716 сағат бұрын
Mnapenda kuwa wapinzani milele. Miaka 21 mnataka kuchukua dola sasa kwa Mbowe yule yule wa miaka 21. Mnakwama wapi kumpa mwingine?.
@abdallahamin49976 сағат бұрын
Hapa umebalance mizani mkuu
@dennisungonella2052 сағат бұрын
Mbowe hakujiandaa kugombea tena uwenyekiti, ndo maana han sera
@omarinyahegs45395 сағат бұрын
Mbwashe Kinabo Tunaijibu Ccm kwa hoja ya Saccos ya Mbowe, Chama cha Kaskazini,Posho za mama ,Udikiiteta.
@MjuniLaulian2 сағат бұрын
Ukitaka ya Nyerere na tanu na ccm utakuwa ufikilii vizuri kwani Enzi izo ziliongozwa na wakati uliokuwe Kuna nchi rais alikaa madalakani ?iezi 6 au mwaka wengine wiki lakini wakati ni ukuta
@CalistusTitus-s5o2 сағат бұрын
naunga mkono kama lissu atakuwa mwenyekiti wa chadema chama kitakwenda kupoteza mwelekeo, lissu hana sifa ya kuwa kiongozi mkuu wa chama, lissu ni mihemko tu hana ushaidi ni njia tu ya kutaka kumchafua mbowe
@RobertChacha-si1js2 сағат бұрын
Hapa Kuna mtego mkubwa wa CCM, mkimkunbatia leo Mbowe na CCM wanawaunga mkono kesho itakuwa fimbo ya kuwachapia mtakapokuwa mnadai mabadiliko ya mifumo ya Nchi wakati nyie ndani ya tasisi yenu mabadiliko mmeyagomea, amueni kwa makini na mustakabali Mpana wa Chama chenu, leteni mtu mwenye mvuto na ushawishi kwa Umma ili aongoze mapambano ya kudai mabadiliko
@marieconnect63893 сағат бұрын
Chadema siwaamini tena. Walitulete mgombea urais ambaye hata wao hawamwamini kama anaweza kuongoza chama chao. Siasa kweli michezo michafu.
@JoelKilemile4 сағат бұрын
Hapa hamna hoja,kuna wakati Baba inabidi uwaachie watoto chakula ili wakuheshimu kuwa tuna Baba mwenye akili na huruma.
@MahanjiSanga6 сағат бұрын
Mbowe ameongozha miaka 20 .hawezi tena tuongozha tunataka mabaliko kwenye chama .Kwa sasa apokee lisu
Yaani uboya ni shida tunahiyaji yajayo atafanya nini si kutupa yaliyopita na hao aliowatengeza, aliwatengeneza ili iweje? Nafikiri ili wamsaidie uongozi!!! Sasa iweje wakitaka kumsaidia awaone hawana shukrani!!! Au kusaidiwa ni kupigwa stop usiende mbele?
@marieconnect63893 сағат бұрын
Mbowe alituleteaje mgombea urais ambaye hanwamini kumwambia chama tu? Alikuwa anatuchuuza. Maamuzi hayo hayamfanyi awe mtu wa bisara kama wanavyosema
@FranceKomba-sn3ui4 сағат бұрын
Ila lyenda kwenye hoja tu kaka upewe maua yako kabisa ...
@rebekakulwa61595 сағат бұрын
Tunamtaka lisu mbowe angekuwa mtendaji fisiemu wasingaliiba uchaguzi mara zote umshauri apumuzike
@robertphilip3855 сағат бұрын
Lisu anatosha mboe kapumzike
@ulimbagakipole39715 сағат бұрын
Mbowe aliandaliwa kwa muda gani.
@FrpFlaxhing3 сағат бұрын
Nilipo sikia jina tuu kinabo sikushanga majinatu inaonyesha wazazi walijua
@nasramusaro4 сағат бұрын
Kwa hiyo Mbowe alivyokuwa gerezani chama kilikufa? Alivyotoka ndo kakifufua? He huyo huyo Lissu alikuwa ubelgiji hakuweza kusimamia majukumu ya chama?
@marieconnect63893 сағат бұрын
Wanalileta kwetu ili tuelewe kinachoendelea.
@marieconnect63893 сағат бұрын
Tatizo mheshimiwa mbowe hana vipaumbele vya miaka mitano. Anachaguliwaje?
@prnkrtq4 сағат бұрын
At last sanity has prevailed in this channel. The host got his senses and balance back on track! It was disappointing watching you self-destructing Ngurumo!
@ClarenceHilaly6 сағат бұрын
Mwambieni yeriko & Jerusalem na kauri zake
@DonMooFILMES_Express6 сағат бұрын
Ngurumo ni tim Mbowe hawezi kuwasema wapambe wa Mbowe. Wangeongea wafasi wa Lissu 😂
@brycesonmathias61126 сағат бұрын
Mwulize Lyenda atagombea ubunge mvomero au ameacha? Na Je atakuwa TAL? Ikiwa Luna wazee wamefeli maana yake nini?
@albertinamichael61234 сағат бұрын
MBOWE ndio ameifanya CCM indelee kutawala ameuza chama kwa vipande vya fedha.
@johnvedastus30794 сағат бұрын
Hivi mnaamini kabisa Kabisa kuwa Tundu anaweza kuitoa CCM madarakani? Kwa kutumia kigezo gani? CCM haiwezi kutolewa madarakani kwa brabra tu leteni sera na mipango thabiti na sivinginevyo. Mmewezaje kumweka mbowe miaka 20 leo hii mnalalamika aondoke kwani yeye ndiye alikuwa anaongoza peke yake? Akili ya kuambiwa ongeza na za kwako, mtoeni mbowe kwa utaratibu na siyo kwa kashifa mnazompa, kumbukeni hamtakuwa wapinzani ambao hamtaweza kuongea na serikali iliyopo madarakani, bora mbowe ameweza kuongea nao lakini nyie wengine sidhani kama kuna mtu yoyote atawakaribisha kuingia lango la ikulu maana mnataka shari tu. Subirini muda utasema wenyewe
@lameckmadihani4999Сағат бұрын
gurumo wewe nimpambe wa lisu
@PhilipoMwita-b2x2 сағат бұрын
Madaraka madaraka una nn madaraka duh ndiomaana museven hawataki kutoka madarakan
@samwelkavwanga44916 сағат бұрын
Sasaiv akili yako imerudi..acha watu wachambue..mwandishi bora kama wew ulitaka kukosea sana kuonesha upande😢. Acha watu watoe maoni wew kuwa neutral tu ili ulinde heshima yako..ni wakati wa lisu huu. Ngulumo umenielewa nadhani
@DonMooFILMES_Express6 сағат бұрын
Umeona ee 🤝
@SylvesterKameo6 сағат бұрын
Hutaki Ngurumo awe biased, lakini wewe uko biased. Unataka neutrality kwa Ngurumo, lakini wewe unaonesha partiality. This is so ridiculous! Usichukie mtu unayekizana naye kimtazamo, kuvumiliana ndiyo demokrasia.
@asacconlinemedia53435 сағат бұрын
Upo sahihi kabisa
@FranceKomba-sn3ui4 сағат бұрын
He host elewa hilo out of news sawa kuwa upande wako sio ktk kipindi
@prnkrtq4 сағат бұрын
@@SylvesterKameo Ngurumo ni mwandishi wa habari . Hiyo ni respectable profession na ina ethics zake kama hukujua hilo. Labda tu ujiongeze na kujua zipi ni ethics zao before you start lambasting others on here please.
@marieconnect63893 сағат бұрын
YAANI MBOWE ALITULETEA MGOMBEA URAIS FAKE? KUMBE HATA CHAMA HAFAI KUONGOZA? MBONA MNATUFANYA WENDAWAZIMU?
@enockmwanyonga94035 сағат бұрын
J . Nyerere aliongoza TANU (CCM) tangu 1954 mwaka 1989 ni miaka 34
@marieconnect63893 сағат бұрын
Huyo ni nyerere na miaka ni tofauti, nyakati ni tofauti, kigezo tofauti, uamsho tofauti, vizazi tofauti, kila kitu tofauti.