NTOBI AVULIWA UENYEKITI WA CHADEMA SHINYANGA, MATUSI DHIDI YA LISSU YAMPONZA

  Рет қаралды 21,675

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 85
@PhilipoNjalika
@PhilipoNjalika 11 сағат бұрын
Neno la Mungu lazima litatimia🙏
@godfreymjuni3420
@godfreymjuni3420 10 сағат бұрын
Safi sana .
@barryrioba3934
@barryrioba3934 7 сағат бұрын
Asante Sana Kwa Kumuondoa Huyu NTOBI. Huyu Alikua CHAWA WA MBOWE Aliepitiliza. MBOWE Ajitahidi Kutafuta CHAWA Wazuri Kama Yericko Nyerere nk.
@kakuruchiganga507
@kakuruchiganga507 6 сағат бұрын
Yerico Nyerere mwenyewe si mzuri, msikilize vizuri KZbin
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 11 сағат бұрын
Mungu yupo kazini ili itimie
@TallTallmysha-v3u
@TallTallmysha-v3u 10 сағат бұрын
Safi sana
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 9 сағат бұрын
Hii si nzuri sana ntobi ni mwehu kweli na alikosa kweli nachelea isijekuwa katolewa kafala ili mh Lisu akitaka kuenguliwa Ntobi achukuliwe kama mfano kutoka kambi ya Mh Mbowe then adhabu ichukuliwe kwa mwamvuli wa kutotetea kambi yoyote izo ni fikra2 tusubili tar 21 nakuendelea
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Lisu must out
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Akagombee uberigiji hatuwezi kuwa na kiongozi mwenye uraia pacha ,where is Lisu's Family?
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 8 сағат бұрын
Siasa mchezo mchafu sanaaa
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 8 сағат бұрын
Kwani LISSU ana kosa gani?
@andreamandari7089
@andreamandari7089 4 сағат бұрын
Umewaza kama mm Hilo ndo naliona
@CareerPathWorldwide
@CareerPathWorldwide 11 сағат бұрын
Political maturity kwa ntobi ilikuwa ndogo, Hii ni dalili nzuri kwa Tundulisu. Go TAL GO
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 10 сағат бұрын
Sio vizuli sana binadamu mwenzako kufurahi yale anayo yapitia au kwa sababu ya kuvuliwa nafasi yake ya uwongozi ila kwa huyo mwehu Mtobi niseme hongeara sana kwa kamati ya maamuzi kwa kuliona hilo Allah awatungilie katika khaki na isiishie hapo tu pia Yeriko Nyerere nae awekwe kwenye kamati ya uchunguzi na maadili ya uwongozi kama kwa kauli zake anastahili kuwepo kwenye nafasi yake mpaka hapo alipo 🙌🏾
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 8 сағат бұрын
Kwani Yeriko Nyerere ana nafasi gani CHADEMA?
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 11 сағат бұрын
Mpuuzi huyu alimuita The next Chair Man CHIBA
@fredymapunda1768
@fredymapunda1768 11 сағат бұрын
Tuko na lisu kila oparation ntachanga
@masellemaziku1096
@masellemaziku1096 Сағат бұрын
Oooh ! Leo Ntobi. Kesho Lissu mwenyewe wanamtosa maana Kuna hizo Dalili ukisikiliza maelezo ya Katibu Mkuu wa Chama. Siasa zetu bado sana.
@RobertChacha-si1js
@RobertChacha-si1js 9 сағат бұрын
Habari njema Sana, kabaki yule muumini wa mizimu utadhani aliumbwa na mizumu ya Bibi na Babu zake
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Hata lisu bado mda wake, he must go out ndani ya vikao vinavyo ametukana mamba kabla hajavuka mto
@paulojohn9608
@paulojohn9608 4 минут бұрын
safi sana tobi pita pita hivi chawa mkubwa kabisa kiherehehe kimemumpoza
@abasiachimika541
@abasiachimika541 7 сағат бұрын
Hongereni wajumbe mnajitambua
@kamangutv5828
@kamangutv5828 8 сағат бұрын
Bwana ntobi Amebet😂, mkeka ukitik atalamba asali sana
@bahatjuma7458
@bahatjuma7458 7 сағат бұрын
Sahihi, wiki iliyopita alisema mbovu Sana star ⭐ tv
@MagakaManyanya
@MagakaManyanya 10 сағат бұрын
Ntobi alikuwa anafanya kazi ya ccm
@simonmushi7468
@simonmushi7468 10 сағат бұрын
Bado Rafiki yake wa kigamboni, kuleni na hiyo kura yake anayoturingishia kila siku😂😂
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 11 сағат бұрын
Chama kipo kazini
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn 10 сағат бұрын
Nisahihi.
@jetymagereja4058
@jetymagereja4058 11 сағат бұрын
Mwana kulitafuta mwana kulipata😂
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 2 сағат бұрын
Mwana kuli "look for " mwana kuli"get"..............mamae!! Hiyo ni " Bisheni hodo , nanyi mtafunguliwa!!!
@songombingo108
@songombingo108 10 сағат бұрын
Ntombi anapenda sana kumuita Lissu ati WILL FIX IT.
@JibeMwaijibe-p1z
@JibeMwaijibe-p1z 9 сағат бұрын
Hizo ni njama mandalizi ya kumng'oa Lissu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Lisu must go akagombee uberigiji
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 7 сағат бұрын
Kusudi la Mungu litatimia ​@@EmmanuelMlowe-u1v
@JibeMwaijibe-p1z
@JibeMwaijibe-p1z 7 сағат бұрын
@EmmanuelMlowe-u1v inzi mmjao katika inzi mia
@JosephChrisant
@JosephChrisant 9 сағат бұрын
Haya sasa kimeumana 😂😂😂
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 9 сағат бұрын
Sahii kabisa ana heshima uyo
@richarddavidmk
@richarddavidmk 8 сағат бұрын
Tal ndiye kilakitu kwa sasa
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 9 сағат бұрын
Mkuki umempata😅😅😅😅😅
@ValeriJummane
@ValeriJummane 9 сағат бұрын
Tunaenda na Lissu popote pale
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Lisu nimwongo labda akagombee uberigiji
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 8 сағат бұрын
Mlowe acha uchaga Mbowe hata akishindwa ni mjumbe wa kudumu wa Baraza na kamati kuu usihofu​@@EmmanuelMlowe-u1v
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 7 сағат бұрын
​@@EmmanuelMlowe-u1vwewe mbona mpumbavu huwezi pingana na kusudi la Mungu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 7 сағат бұрын
@davidkawesa3594 mungu anapingana Sana naishoga au mwizi na mwongo yote hayo yanamhusu
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 7 сағат бұрын
@davidkawesa3594 msaliti
@ChristerKok
@ChristerKok 10 сағат бұрын
Bado wengine matusi na uzushi.matusi ni chukizo
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 9 сағат бұрын
Asante
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 10 сағат бұрын
Kumeanza kutokota
@binbuhakhamis4336
@binbuhakhamis4336 8 сағат бұрын
Chama kinaanza kuanguka mdogo mdgo
@ElinaMbura-h7w
@ElinaMbura-h7w 5 сағат бұрын
Lazima uwe na heshima,hakuna aliye juu ya sheria
@dillonfoya
@dillonfoya 3 сағат бұрын
Hivi bila matusi kwa binadamu wengi wanaona ujumbe haueleweki au sio tabia ya WaTanganyika tujifunze kujenga hoja bila kauli za kuudhi au bila matusi ujumbe utafika na tutakuelewa tu
@sebastiankakobeahsantsana4440
@sebastiankakobeahsantsana4440 9 сағат бұрын
Ni kweli au uvumi
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c 7 сағат бұрын
Vp Yeriko na Yai
@simonfredrick7789
@simonfredrick7789 3 сағат бұрын
Iseee
@ClarenceHilaly
@ClarenceHilaly 9 сағат бұрын
Yeriko au Jerusalem nyerer kwenye chama nini nani vueni na yeye
@edwindavid7037
@edwindavid7037 10 сағат бұрын
Haa, huyu kumbe alikuwa mwenyekiti wa Kanda? Kwa fujo zile alizofanya Arusha? Basi nimeshajua kwanini Lema alijiuzulu
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 2 сағат бұрын
Ntobi hajawahi kuwa mwenyekiti wa Kanda na hahuski na arusha
@edwindavid7037
@edwindavid7037 2 сағат бұрын
@tobiaspaul9203 Hahusiki na Arusha, huyu si alienda kusimamia uchguzi kule? Na si ndie aliefanya fujo pale Arusha au nimechanganya?
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani 2 сағат бұрын
Hivi watanzania hawajajua kwanini lisu alinusurika na risasi 16! Hatakama huendagi kanisani kusikiliza neno la Mungu akili zako tu zikutafsirie
@dorahy1579
@dorahy1579 4 сағат бұрын
Kafilwe mwenye kwenye kunifu lako na mdomo. Hako I Tundu Lissu kanatukia na watu walikuja nchini kukuza ushoga kumbe wewe pia mteja, aibu kwako na familia yako.
@gadielmungure9711
@gadielmungure9711 2 сағат бұрын
Lisu na Heche wameanza kufukuza viongozi kisa ni uchaguzi Je kwanini lisu na kundi lake hawajafukuzwa kwa utovu wa nidhamu?
@kwisa4899
@kwisa4899 11 сағат бұрын
Lissu nikama puttin
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 11 сағат бұрын
Ahhhhh😂
@ValeriJummane
@ValeriJummane 9 сағат бұрын
Nilikua silipendi hili jamaa
@dorahy1579
@dorahy1579 7 сағат бұрын
Mtumwa wa Tundu Lissu. Hii ni freedom of speeches. Kwa mtu asiseme anavhotaka kusema, mnaogopa nini? Watumwa nyinyi nyote wa Tundu Lissu ambaye hafai kuwa hata Mwenye Kiti wa Kata.
@emmapaul1766
@emmapaul1766 6 сағат бұрын
Kafilwe ccm choko wewe
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 3 сағат бұрын
Endelea kuwatukana wazazi&walezi wako ndo utaona uzuri wa freedom of speeches
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn 3 сағат бұрын
Endelea kuwatukana wazazi&walezi wako ndo utaona uzuri wa freedom of speeches
@tripedSaigarai
@tripedSaigarai 10 сағат бұрын
Du
@bravebrain642
@bravebrain642 11 сағат бұрын
Hii ni dalili mbaya sana kwa chadema...endeleeeni tu yetu macho.... Hao wanaomsapoti Mbowe nao wakianza kuwavua wanaomtukana Mbowe itakuwaje ...
@kwisa4899
@kwisa4899 11 сағат бұрын
Ntobi anafaida gani kwa chadema 😂😂😂🎉
@sebastianmwantuge5597
@sebastianmwantuge5597 10 сағат бұрын
Ukifuatilia hakuna aliyemtukana Mbowe. Mbowe anapewa heshima yake kwenye chama,maoni ya watu ni kwamba APUMZIKE.
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Lißu kwanza must go akagombee uberigiji
@AlphonceTemba-g4f
@AlphonceTemba-g4f 11 сағат бұрын
nani ameshitaki kwa hiyo kamati
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 10 сағат бұрын
Mjomba wa kwqko ndiyo kaenda kushitaki au?
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 9 сағат бұрын
Kwani huyo Ntombi alikuwa anatukania chini ya kitanda ?? Viongozi wake huko Mkoani wameona , wamefata taratibu wamemvua uongozi . .
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 9 сағат бұрын
Ni wewe..!😅😅😅😅😅
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 11 сағат бұрын
Mnaanza kupunguza kura za wapiga kura na wanao msapoti lisu wakivuliwa mtafika kweli? Mkianza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 10 сағат бұрын
Kwahiyo mtu akiwa na dalili za uvunjifu wa amani ndani ya chama wamuache kwa kuwa ni wenyewe kwa wenyewe?
@VictorMgodomi-xj1ey
@VictorMgodomi-xj1ey 5 сағат бұрын
Huzuria kwenye vikao huyu anamsapoti mbowe sio Lisu
@gastomushi-v4m
@gastomushi-v4m 9 сағат бұрын
Bado Yerico Nyerere chawa wa mbowe
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 8 сағат бұрын
Lisu hatoruhusiwa kugombea ujue
@binbuhakhamis4336
@binbuhakhamis4336 8 сағат бұрын
Chama kinaanza kuanguka mdogo mdgo
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
🔴HABARI YA SAA MBILI KAMILI USIKU,  JANUARI 09,  2025
58:44
ITV Tanzania
Рет қаралды 8 М.
JULIUS NYERERE 2,115 MW HYDROPOWER PROJECT, TANZANIA Progress Video July 2024
4:59