JANGWANI BAADA YA MVUA TABU NI ILEILE, HAPAPITIKI

  Рет қаралды 24,602

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@mikaelchazi4616
@mikaelchazi4616 11 ай бұрын
Mungu awasaidie mpone na mafuliko
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 11 ай бұрын
Jangwani nani alaumiwe 1) engineer wa mwendo kasi kimara gerezani pamoja na watendaji wake 2) waziri wa ujenzi wa kipndi hicho 3) meneja tanrodi wa kipndi hicho 4 mfugale 5 kikwete Hao ndio waliofanya jangwani iwe hivi mpaka leo Mungu anawaona Ila 6 nyie mliobuni mradi wakuweka skaveta12 zikae hapohapo nanyi Mungu Anawaona
@mohamedsalum9465
@mohamedsalum9465 11 ай бұрын
Mabonge baka kujieleza shidaaa
@MNHAMAOFICIAL
@MNHAMAOFICIAL 11 ай бұрын
inshallah allah akumbukwe
@AsiaSaleh-yf9cr
@AsiaSaleh-yf9cr 11 ай бұрын
Ningekuwa naweza kusikika hapa ndipo ilitakiwa fly over ianze kujengwa kuna wanafunzi wafanya kazi eote wanapoteza umuhumu wao mama liangalie tunakuamini
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 11 ай бұрын
Ccm oyeeeee
@ZahirAlly-p2u
@ZahirAlly-p2u 11 ай бұрын
Serekali iweke daraja kutoka mapipa mpaka faya tofauti na hivo hiyo hali haitoisha
@HRCopexcontractors
@HRCopexcontractors 11 ай бұрын
Kaeni kwa kutulia
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 11 ай бұрын
Maana hata balozi tu wa nyumba 10 asinge weza kukubali kujenga hitendi la mwendo kasi jangwani afu Aache kujenga daraja hapo naamini hata teja wakipindi kile angeulizwa chakufanya asingekubali kilicho fanyika so Tujengeeni daraja
@Jayhood28
@Jayhood28 11 ай бұрын
Lijengwe Daraja la Chuma la Kijeshi hapo ndio Sululisho!
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 11 ай бұрын
Hii ndo serikali sikivu miaka nenda rud jangwan Ni tatzo,na wako dar miaka yote,
@BagramenshZuma
@BagramenshZuma 11 ай бұрын
Serialism acheni siasa pajengwe jangwani ukarabati sio sulihisho mmeahidi kila kukicha ila watanzania hatuoni utekelezaji acheni kuwafanganya watanzania msiwafanye kama hawana akili
@goodramamwanyombo6756
@goodramamwanyombo6756 11 ай бұрын
flyover ni muhimu sana , ili kutatua tatizo !
@christopherjoseph8330
@christopherjoseph8330 11 ай бұрын
Maandamano ya chadema yaanzie hapa, hii hatari kila mwaka tatizo ile ile?😢
@mjemamjema9695
@mjemamjema9695 11 ай бұрын
WATU WAMEONGEA SANA MAMBO YA JANGWANI. CCM SHINGO NGUMU
@NeemaKayinga
@NeemaKayinga 11 ай бұрын
wanawaambia kila siku wahame hawasikiii
@kwisa4899
@kwisa4899 11 ай бұрын
unamanisha kuhamisha Bara bara
@KulwaGuga
@KulwaGuga 11 ай бұрын
​@@kwisa4899amekulupuka huyo😂
@daniellagianna-ll3dc
@daniellagianna-ll3dc 11 ай бұрын
Mnavyoongea watu wahame,huwa mnajua na kipato cha Maisha cha hao watu au swala la kuhama mnalizungumziaje?Alafu serikal isiruke majukumu ake. Watu wanaenda wanajenga sehemu hatarisha hawasemi wala kuzuia mwisho wa siku wanapeleka umeme,Maji n.k lakin Mafuriko yakitokea ndio wanakuja na sera za kusema watu wahame wanakaa mabondeni.
MTANGAZAJI WA TV3 ALIYEPOTEA AKUTWA KWA SHANGAZI YAKE
7:58
Wasafi Media
Рет қаралды 1,7 М.
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
MASHUHUDA WASIMULIA MUTAJURA ‘ALIVYOTEKWA’ DAR ES SALAAM
6:58
Wasafi Media
Рет қаралды 2,5 М.
LISSU AMLIPUA VIBAYA MBOWE "NI MUONGO"
14:56
JAMBO TV
Рет қаралды 4,5 М.