Japhet I love your work,napenda Sana kukufuatilia ubarikikiwe sana from Kenya
@happinessnyanchokaonunda7576Ай бұрын
Nakupenda sana brother Japheth kazi yako nzuri sana from Kenya
@HachinaHachina-je5esАй бұрын
Nakuomba tu uangalie sana watoto wa Marko mungu akuwezeshe kwenye hili
@sheilamrogoro8641Ай бұрын
Wewe ni mnyenyekevu sana .Yesu akuinue Kwa viwango vya juu
@monicacheruiyot8664Ай бұрын
You are always a blessing to me and millions of people, God bless you and expand your territories , azidi kukuinua kutoka kiwango hiki Hadi kingine kubwa zaidi❤❤
@sarahkadugu4367Ай бұрын
Hongera sanaas kwa Hekima zako! Chapa kazi wewe endelea kusimama na Mungu! Haleluyaaaaa ❤
@chumba712Ай бұрын
Tunakupenda,tunawapenda sanaaa. We always pray for you and let's continue uplifting the amazing Grace of God.❤
@Stellastella-yi5vuАй бұрын
Napenda sana nyimbo zenu, usiyakumbuke mambo ya kwanza Wala usitafakar mambo ya zamani Japheth songa mbele acha kuwaza vya watu wanasemaje kuhusu Jamila Cha msingi utubu tu na kuwa karibu na Mungu.
@sisterslove1651Ай бұрын
Japhet anacho kipaji but aache kuchanganya wanawake ,changanya chaganya Yesu hapendi Changanya
@MashakaMagesaАй бұрын
Safi point
@HappinesIssango-h8yАй бұрын
Una uhakika huo?
@HappyShirima-k9tАй бұрын
Japhety uko na akili kubwa sana na busara brooh❤
@gracesimiyu7992Ай бұрын
I like the family of Zebulon singer's so much may Marco's soul rest in 🕊️ we still love you brother for the work of God
@AnneNekesa-x9e15 күн бұрын
@highlite naomba nijiunge na zablon singers
@happykebire2569Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtu wa mungu maana hata kimya ni jibu Kwa mpumbavu,maana huwezi kuishi Kwa kumfatilia mtu usiemfahamu ,kaa kimya wache wajadili yasiyowahusu badala wajadili yanayowahusu.
@BeatriceMushi-n4iАй бұрын
Japĥert pole na na ndugu yako Marco. Ila hongera sana kwa utunzi wako .sijawai kuwaona ila storry zenu kama zalbon inatisha.mungu Awazidishieni karama zaidi na zaidi msikate tamaa.
@Jane-q3jАй бұрын
Jipeni Mioyo MUNGU awepe nguvu muendelee ata zaidi
Mbengo tv naomba utuletee Zujat wa Baba Joan tafadhali❤❤❤❤❤❤
@Mutabazi-kf9umАй бұрын
Japhet nimtu mwema hakika mungu akubariki sana haupopekeyako upo na mungu asante🎉
@NyamariFaith-qu1jmАй бұрын
Mungu azidi kuwapeleka kiwango kingine nawapenda saana zabron.kenya we have much lo❤
@EdwinMtatina15 күн бұрын
Nyimbo zn nazipenda sana tna sana
@MariamRobi-ef9wjАй бұрын
God bless you Japheth and also zabron singers in advance, sijui kama wewe ni mtoto wa pastor girimbe wa nyabikae SDA church
@JescahAyumaIngutiaАй бұрын
Mm kibinafsi nakupenda 🥰🥰 mungu akubariki🙏🙏
@kandidarogath8886Ай бұрын
God bless u, kaz yako izd kudumu na utukufu wa bwana ukue kupitia nyimbo zako
@albertcyiza3908Ай бұрын
Nafurahia interview hii. Tunashukuru Japhet kwa kutupa habari.
@TeresaNunda-z6tАй бұрын
Love ❤️ you Japhet kwa kazi zuri unayoifanya kwa Mungu
@marykainyu4191Ай бұрын
Tunawapenda Sana mungu awaongezee hekima toka mbinguni ❤
@AnnaMundia-d3oАй бұрын
Hongera Japheth .Mungu awabariki sana kikundi kizima kwa jumla..
@viviankemunto4435Ай бұрын
Muweke mtoto wa marco kwenye kundi la zabronsingers ajikuze akiwa hapo
@lulumarthandumbaro1539Ай бұрын
Yupo zabron singers junior
@viviankemunto4435Ай бұрын
@@lulumarthandumbaro1539 ooooh sawa ,I will be happy seeing marco juniors
@maigaboniphace6309Ай бұрын
Umewaza kama mie
@AnneNgina-e4kАй бұрын
Hongera Japhet...nyimbo zako Ni za Baraka Sana kwetu. Usikubali shetani aingililie kipawa Chako.
@FreeGod368Ай бұрын
Huyu jamaa ni mnyenyekevu sana
@FloraMutheuАй бұрын
Japheth nakupenda bure, uliumia Sana Kwa kifo cha Marco, pole Sana ndugu jitie moyo
@HachinaHachina-je5esАй бұрын
Kaka mungu akubariki sana unaonekana una hekima sana
@angelinashirima5299Ай бұрын
Mungu akubariki sana Japhet we love you Mungu akutetee sana❤❤❤
@flaviesmile3741Ай бұрын
Nyemba Mathias my classmate ❤
@JeniphaJohanes23 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@LilianiMeenaАй бұрын
Kuna dada anaitwa irene na yeye anasauti nzuri tu i wish angeingia zabron singers nayeye asikike anakipaji
@maigaboniphace6309Ай бұрын
Mwombeee ili aingieeee maan keshasema mtu akiomba anasajiriwa
@anthoniaanthony4573Ай бұрын
Nawapenda Zabron Singers from the bottom of my heart 💞
@PhilemonNdayambaje-mv6ty28 күн бұрын
Ana fahamu'kazi aliyo itiwa mwalimu 🎉
@samwelmgallah6728 күн бұрын
Huyo dada kaimba vizuri sana
@agneswanjiru27611 күн бұрын
😂😂😂 brand ukainjenga baba,vibe kutoshaa🎉🎉🎉🎉🎉
@Kimlifeofficial19 күн бұрын
Much love from kenya
@NiccaSauaАй бұрын
Twakupenda piaaaa mungu akuinue kwa kiwango cha juu
@ElizabethMathias-g9t28 күн бұрын
Waoo umejibu vizur
@NancyOkeyo-fc2yfАй бұрын
Mungu Na azidi kubariki Japhet Na zabron singers wote. Tunawapenda sana hapa Kenya
@TabithaSelemaniАй бұрын
Chapa Kaz kaka Ang MUNGU yupo pamoja nawe🙏
@JoyceMwita-e3wАй бұрын
Mungu asiwapungukie awabariki had shetani ashangae🎉🎉🎉
@IssaihIBRAHIM29 күн бұрын
Mungu awatangulie katika kazi zenu🎉🎉
@happynghulunge8211Ай бұрын
Ukiwa na Mungu inatosha kaka, mengine yafunike yapite ,barikiwa sana
@Belinda-p7oАй бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nimependa majibu Yako japhet eniwei gotea mke na watoi wa Marko.
@PriscaJaphet-z1w17 күн бұрын
Mungu azidi kukuinua
@johson6963Ай бұрын
Mungu awabariki kwa yote mnayoyafanya. Mumetubariki sana na nyimbo zenu.
@AlecySinkondeАй бұрын
Kaka japhet tunaomba video nzuri ya akida
@AnithaPaul-p4uАй бұрын
Kaka ngu ukisikiliza yawatu watakufuja mwoyo kikubwa nikaangali mungu alikutumann simwanadam atukosi yakuogea Kama maneno tugekuwatunalipia basitungepunguza Kama mtu anaaibu anamuogelea malehem sembusewew mwache bwanahakupiganie amina
@alimasha7017Ай бұрын
Mungu akubariti japhet❤
@rosekamau4543Ай бұрын
Japhet God bless you na God is on yr side
@Vellanda257Ай бұрын
MUNGU akubarik Japhet
@PhilemonNdayambaje-mv6ty28 күн бұрын
Muweke mtoto wa Marco kwenye lundi la zabron
@NayKuji-i4f29 күн бұрын
MUNGU akubariki mtumishi
@BeatriceSoka-c7cАй бұрын
Bora umeongea japhet coz kuna watu wanawasemea vibaya sana
@spesiozabisansaba6424Ай бұрын
Lakini kale katoto ka Jamila kanafanana sana na Japhet buanaaaa😊😊😊
@barbiepixie92Ай бұрын
@@spesiozabisansaba6424 😂😂😂😂😂😂tenaaa
@meryamabdullah2081Ай бұрын
Yn watu walishaanza kumchafua ..
@KyllianMaigeАй бұрын
Chapa kazi mdg wangu,ubarikiwe na bwana
@miriamchirwa7659Ай бұрын
Uncle japhet. Nakutakia. Baraka. Tele na. Mafanikio tele.
@SimonTabu13 күн бұрын
Respect Broo!!!
@beatricemaimouna5415Ай бұрын
God bless you my brother ❤❤
@yeyijikabembaАй бұрын
Japhet Mungu awabariki kwakazi hiyo
@MarycianaPetroАй бұрын
Mungu awape nguvu ya kuendlea kumtumikia bwana zabron singles binafsi napendezwa na huduma yenu ya uimbaji
@bmwinuka24 күн бұрын
Japhet ongea ikweli bana’ sema jamila ulinoenda ukamuingiza kwenye kwaya’ ukamtowa kwenye kwaya mapenzi motomoto’ ukamsaidia nyimbo zake za kwanza’ ukampa mimba ukasepa 😢.. Ila japhet accent ya kisukuma kabisa hata swagga zake ni za wananzengo
@linnerphilip4260Ай бұрын
Kahun hakaa wew ushajifunga kuwa ulimchukuua mahaba to yaliisha ukamuacha mtoto wa watu 😂😂😂😂 wemye D 2 tushaelewa
@princessliones2166Ай бұрын
Hekima uliyo nayo ni mungu. Keep it up.
@UkweliKashomwaАй бұрын
Nakuelewa mtu wangu,,Bado Mimi
@GloryTemba-d5t29 күн бұрын
Sisi pia tunawapenda msichoke
@HolloBudoyaАй бұрын
Ukamzalisha .Acha uzinzi Japhet.
@neemajackson7756Ай бұрын
Sema mtangazaj point yako ilkua kwa Jamila et amekukumbusha Ila ahsante kwa mahojiano tmejifunza kupitia kipind chako
@MisungwiMussamwisagilwa-xo6lfАй бұрын
Mungu akubariki sana tupo pamoja kwa Maombi
@bizimanamusa1639Ай бұрын
Kwasababu hata mambo munayo yafanyiya kanisa yakumu Aibisha Mungu hamupewi karipiyo na kanisa na haowo wa chungaji wataulizwa na tujifunze vizuri natunyenye keye natujutiye zambi Hizi mbaya tunazo zifanya kiharazani zakumu aibisha Mungu wetu aliye hai
@RehemaPeter-c5kАй бұрын
Unabusara sana broo😍
@isackmachiyanshoka6754Ай бұрын
Upo vizuri Jeff
@joycekisonga7121Ай бұрын
Japheth wakumbatie watoto wa marco wasiteseke kisa wamefiwa na baba
@marthaabel9963Ай бұрын
Japhet you are a very talented singer.ila acha uzinzi YESU hawezi kukaa ndani yako kaka bado Unaendelea na uzinzi.michanganyo MUNGU hapendi..umezaa naye pia na bado ukaenda kumpa mimba msichana mwingine.ni mfano gani unaleta kWa watu wasio okoka
@JedyIsack-ec1kxАй бұрын
Mhhhhhhh! We dada una uhakika na unachozungumza? Kumbuka MUNGU hapendi uongo, zungumza ukweli pasipo kusikiliza maneno ya watu, kumbuka wapo watu wanampenda Japhet lakini wengine hawampendi kwahyo take care
@drmathsstepbystep7080Ай бұрын
Can you verify that in a court of law because I want to reach you for that case
@MatridaLinusАй бұрын
Mungu awalinde sana zabron
@FandoriKaseseroAime-ht5grАй бұрын
Kwanini Jamila atoke kwenye kwaya jamani ? Ule Dada anaimba vizuri sana nduguzangu.
@gladyNyasaniАй бұрын
Mungu awabariki sana ndugu zangu
@EgbertRutatinaАй бұрын
Nampenda sana mtoto wa Marco awekwe kwenye kundi
@BeatriceSoka-c7cАй бұрын
Japhet umejb kiutu uzima broo hahaha
@esaievoltamtn8500Ай бұрын
Hey Japhet, tuna endelea Ku subiri record ya wimbo " Akida" Kazi kwenu
@wemaMichael-fr4thАй бұрын
Umezaa nae bhana na Yule motto ni wako
@FfGg-bf6mfАй бұрын
GOD bless you bro🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@joyceatupele8848Ай бұрын
Asante tumekuelewa vizuri
@AdelinaIsaya-p6bАй бұрын
MUNGU azidi kukuinua kaka yangu pamoja na Zabron singers mzidi kubarikiwa 🙏🙏
@mercyvililiАй бұрын
Je na mm natamani Sana niimbe toka kenya je nawesa sajiliwa na mm nitaendelea nao
@robertmuriungi4029Ай бұрын
Kazi maridhawa ndugu
@bizimanamusa1639Ай бұрын
Poleni laki hii kazi ya Mungu mumeigeuza uchuruzi wakuwa matajiri kwasababu hatakanisa la Mungu muna lizalisha kwasababu wewe kijana ukomuzinifu sana ndiyo maana haujutiyi nakuuminzwa nausharati unao ufanya labuna uyo Mungu unaye siyo Mungu waerufi kubwa bali frimasoni nandiye anaye wapa utajiri
@yeyijikabembaАй бұрын
Wamewachafuwa sana kabisa
@svt3Ай бұрын
Kuwachafuwa vipi, Japheth alimzalisha Jamila bila ndoa walikuwa wana zini mpaka mtoto bila ndoa kapatikana
@JudithNicodemusJudithNicodemusАй бұрын
Mungu akubariki
@JenniphpauloMachumuАй бұрын
Ubalikiwe kaka mungu akubaliki
@EgraWilliam-oo8thАй бұрын
Hekima uliyonayo ni kubwa mno,nimependa
@ROSENICODEMUS-y4wАй бұрын
Mbn hajazungumzia kumpa mimba na kumuacha kwenda kumuoa lulu😢
@faithjelagat176Ай бұрын
😂😂😂😂nkt
@Mboga_sabaaАй бұрын
Duh 😂😂
@pendolazaro7436Ай бұрын
Ila mm huyu kaka nilikuwa namkubali lkn anavyooacha wanawake hakii kanitoka. Hata huyo Jamila alisababisha mke wa Japheth wa kwanza kuachwa nayeye kaja kunyolewa na Lulu😁😁😁🥹
@GloriaWanjiru-v5tАй бұрын
@@pendolazaro7436weeeeeeh alikua ameoa 😂😂😂😂 Mambo ni mengi 😢😢😢😢