Mi mkenya lakini upendo yenye niko nayo kwa zabroni singers, weeeeeee! Madharau muache kwa.watu wa Mungu,,,,,"sisi ni wale watoto wa Mungu, ",,,,,,,,every word has a meaning and ilove it❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@GeorginaMkumbwa2 ай бұрын
Huyu dada yupo vyema hajakosea.Tatizo sisi watanzania tunapenda sana kuajiriwa.Huyo kashaiva jamani mwachen ajiajiri .wewe dada usijari hao ni wanadamu watasema tu.Wewe songs mbele Mungu akutangulie
@anithawidambe754312 күн бұрын
Jamani acheni kuwachafuwa hawa waimbaji mnawakatisha tamaa. Tuache wamtumikie MUNGU
@PeterStevennewsong2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉nakupenda sana jamira nakukubari pia mungu awe nanyi
@SuleAmber-lw2tx2 ай бұрын
Aiseeh inamaana ni kweli Jamila kaondoka Zabron singers, nmeumia sana jmn
@abelpaul52352 ай бұрын
Mbona kashaondoka kitambo ana mwaka hayupo kwenye kundi
@cristinaruka92932 ай бұрын
Na mtoto umempataje na huku ujaolew ww na hao wenzako mnacheza na jina la yesu au
@anthoniaanthony45732 ай бұрын
Kwani yeye ndiye wa kwanza kuzaa wakati hajaolewa
@TeshNganyi2 ай бұрын
Amekuja kufunikia maneno
@LydiaLydia-iw6qt2 ай бұрын
@@anthoniaanthony4573thenkyou,alafu tena jamilla sio malaika,,,,,,, uyu sijui uchungu ni wa nini?
@@LydiaLydia-iw6qt 🤣🤣🤣 kama mtu ni kitombi kitembezi semeni tu hakuna haja ya kuficha unapo kutumikia Mungu ni vyema hata mienendo iambatane haswa wanasabato hujiona wao ndio wakamilifu hufwata dini vilivyo kabisa kushinda dini zingine wacha Mungu akawaanike bila pegi ndio waache madharau pia 🤣🤣
@nehemiakipchumba2542 ай бұрын
As a Zabron top fan from Kenya,I feel like Jamila made a misstep,she rushed her exit without minding its possible repercussions,she could have just sang her songs alongside working with Zabron verbatim to what Japhet and the late Marco have been doing.
@AnnaPaul-l4e2 ай бұрын
Jamila me nakupenda sana kua na amani maneno sio ugonjwa
@KelvinKiplimo-vc2ne2 ай бұрын
Msiwachafulie watu wa mungu jina
@saimongilala89382 ай бұрын
Hongela sana dada tupo pamoja
@roserenatus2 ай бұрын
Hongera sana
@ابوحسين2-ح4ت2 ай бұрын
Mbona atukuelewi mala kunasababu ya wewe kuondoka zabron singers mala uliondoka kwa wema sasa tushikelipi dada wewe nimtu wa mungu naunaimba nyimbo zainjili
@nancyg86642 ай бұрын
uwezi kuondoka bila sababu, sababu ndo imemfanya aondoke lakini hapo hapo kwenye iyo sababu kaondoka kwa wema. mfano wewe ukiondoka kwenu na kujitegemea, je inakua umeondoka kwa ubaya au kwa wema?
@Mesave2342 ай бұрын
Amen Dada,
@StephenMuriuki-xs9dz2 ай бұрын
Acheni kusumbua watumishi wa mungu
@SarahJicholamungu-q5h2 ай бұрын
Wanadam MNA shidaa gan so kila kitu mjue mengine waachien wenyew na mungu wao na mjal yenu
@SarahJicholamungu-q5h2 ай бұрын
Hamna hat huruma kumbuken wameondokewa na ndugu yao mda so mrefu hebu wafarijn na msiwafanye wakumbuke nyuma
@sarahndungu20232 ай бұрын
Imagine hata hawajapona they are still mourning 😢. Swali langu ni je walikuwa wapi kabla mziba kutokea? Bona hawakuongea wakati huo?
@LydiaLydia-iw6qt2 ай бұрын
@@sarahndungu2023 nkt
@EdisaLaul2 ай бұрын
Wewe mungu anakuona mjinga wewe
@PatienceKambale2 ай бұрын
Kabisa
@AnnastaziaJames-d6c2 ай бұрын
Of coz bhanaa
@Norah-s9f2 ай бұрын
Umefanya vyema kusema, maana watadzania wanapenda vijimambo ,watadzania acheni ubea😂😂😂
@KarungiFlorence-p1m2 ай бұрын
Traslet for us in English language
@sallyeliya52132 ай бұрын
Naona umefurahiiiii,kwakuwa haya yanayoendlea yanakufurahisha,umekuwa maarufa dk 0,kesho sii ajabu ukawa mkali wa bongo flavour, maana hayo mnayo yafanya ni bora wasanii wa bongo flavours maana wao wamejipambanua,shame to you
@arafaally28952 ай бұрын
Alipita zabron ili wamzalishe
@Giresi-p2u2 ай бұрын
Kiki
@PeterStevennewsong2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉nakupenda sana jamira nakukubari pia mungu awe nanyi