Nikisikiliza nyimbo zako ni zaidi ya nyimbo ni Ibada ,Ukiabudu pepo wanakimbia ,mbingu zinatikisika wewe ni chombo ,Mungu akakutumie milele kwaajili wa watu wake 🙏🏽,Ukiabudu nguvu za Mungu zinashuka
@Vinnyjr-u8q2 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza nimekuangalia leo ukiimba but nilipokuona niliona kama umefanana na MOSES BLISS.....You have really blessed me brother....May GOD raise you and use you more just like MOSES BLISS
@lilianabedson11822 жыл бұрын
MUNGU UNATISHA KAMA NINI😭😭😭👐 UTUNZWE NA MUNGU KWA AJILI YA KAZI HII😭😭
@EmilioMwai-ol4qd8 күн бұрын
This Man of God is a no Joke in worship
@elishakwayu5158 Жыл бұрын
Alilipaa deni zangu
@edwinelias85542 жыл бұрын
Wew ni Mungu akuna wa kufanana nawe hakuna Ninaisikia sauti makerubii wanaimba hakuna wa kufana na wewe Majeshi majeshi hii ndio Ufufuo na Uzima🙏🙏🙏
@dorcasmutindi30712 жыл бұрын
May this grace grow more and more and more.....I can't have. Enough of this....
@nuhumhagama81872 жыл бұрын
Barikiwa sana sauti yako yanibariki
@deogratiusmatogoro41652 жыл бұрын
Wew nindugu yke na Padre Anelius Asifiwe wa rulenge ngara
@JoshuaJoseph-oo8mq10 ай бұрын
Mungu akubariki Sana JASTINE
@matrixhaoscar998711 ай бұрын
Mungu aendelee kukuinua juu
@juliusschimata5037 Жыл бұрын
My Bro Justine so marvelous and resplendent may God makes u shining all the time
@margen8472 Жыл бұрын
Libarikiwe tumbo lilokuzaa wewe justin
@rehemajackson292 жыл бұрын
Mungu unatisha kama nn 🙌🙌
@yuaja24tv542 жыл бұрын
Namuona mama machim
@ChristinaEmmanuel-x8w11 ай бұрын
God bless u brother justine
@pintymelodytz9132 жыл бұрын
Ndugu yangu Barikiwa Sana
@nasrimaya89972 жыл бұрын
Barikiwa Sana Mdogo wangu ,,,,,
@vanessachriss59103 ай бұрын
Glory to God 🙏
@Mwaikonyole2 жыл бұрын
Ameeeen nilikua nasubilia sanaaa
@faithmaganga64322 жыл бұрын
Well done Justin keep the fire burning.. Naipenda kazi yako👏🏼
@lukwalomsuya94602 жыл бұрын
😭😭🙌 Glory to the most high GOD .. powerful session
@aureliabaltazari50102 жыл бұрын
Wakufanana nawewe MUNGU Hakuna🙌🙌🙌
@jacquelinefrank53992 жыл бұрын
Mungu akutunze kaka angu unatubariki mno
@WanawaAsaf2 жыл бұрын
Kazi Njema sana
@saumungweta79302 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@monicafaraji83302 жыл бұрын
Hongera br, a worship from within
@bensonmtabazi70782 жыл бұрын
My God🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇 utulufu kwa Yesu woooooooouuuuh🙏🙏🙏
@peasantfarms46162 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@moryn0412 жыл бұрын
Eish! Another level🙌
@blessingibrahimkomba60782 жыл бұрын
Nakuelewa sanaa kaka
@heppygwamwaj262 жыл бұрын
Nice xanaaaaa
@joshuanziku57362 жыл бұрын
Mafuta ya heaven 😭😭
@noahromio102 жыл бұрын
Barikiwa mkuu
@hillarytheworshipper Жыл бұрын
This man of God❤❤
@ministerebbyans732 жыл бұрын
Hallelujah glory to GOD
@giftmollel77882 жыл бұрын
Justin Asifiwe Glory to Jesus
@milerschoice18662 жыл бұрын
Mungu ni mwemaa🙏
@joshuanziku57362 жыл бұрын
Siri ya Kunena kwa Lugha, direct communication with God, Zaburi 91:1 [1]Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. He that dwelleth in the secret place of the most High shall abide under the shadow of the Almighty.
@joycebosco98802 жыл бұрын
Kerubi 🔥🔥
@esthererasmi80572 жыл бұрын
Amen,God bless you
@wambulawoship4292 жыл бұрын
Unawezaje kufanya mambo makubwa kiasi hicho
@nelsonmaganya5391 Жыл бұрын
Kuwaa na hi neema ni raisi ira sio raisi wambula
@ellenshimwela37302 жыл бұрын
Rekepayasataaaaaa
@stevenmkasimongwa40612 жыл бұрын
Haleluya haleluya
@Estherdamian-h4q10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
@estherfrancis63912 жыл бұрын
🙏🙏😭grory be to the lord our GOD who is in heaven
@pnsog16122 жыл бұрын
JASTIN MUNGU AKUFUNGULIE MILANGO YA KITAIFA NA KIMATAIFA ARISE AND SHINE NO ONE CAN STOP U THE DOOR IS OPEN B4U POWERFUL
@evainnocent95202 жыл бұрын
Ameen
@lautimbugi45162 жыл бұрын
Glory to God 🥰😍
@pamelasilvester44292 жыл бұрын
Ameni balikiwa Sana 🤦🙆
@Witnessmasaru-h2k Жыл бұрын
Amen
@pilehkumpaul30342 жыл бұрын
Amen amen
@jwtechanddesigner2 жыл бұрын
Ameeeeeeeeen
@wilbertmsuva7442 Жыл бұрын
I like your punch
@Rebecaraphael-u7h8 ай бұрын
🙏🙏
@sechesimba53412 жыл бұрын
🙌🙌😭😭
@ferdinandandrew9462 жыл бұрын
Yes! Waabudio halisi,watamwabudu BWANA katika Roho na kweli,Minister Justin.