Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Alipofika Karibu Aliuona Mji

  Рет қаралды 155,163

Siro Jack

Siro Jack

Күн бұрын

Yesu Alipofika Karibu Aliuona Mji

Пікірлер: 39
@richardkubanda6627
@richardkubanda6627 8 ай бұрын
Najikuta machozi yananibubujika Kila nikisikiliza nyimbo hizi, inanifanya nimkumbuke mama yangu kipenzi, Shelida, Rebeka, na Rahel walipenda sana hizi nyimbo hawa watu Wa Mungu, Pumzikeni Kwa Amani mama zangu 🥰🥰😭😭💔💔
@jameswachira6380
@jameswachira6380 17 күн бұрын
Wenye kutengeneza na kuandaa hizi kanda miaka hiyo waliziweka kwa kiwango,na kumbukumbu za radio ya BIBILIA HUSEMA KIJABE.
@ruthjohn4317
@ruthjohn4317 3 жыл бұрын
Wanaimba moja kwa moja kutoka katika mistari ya kweny Bilblia.
@raymondkipipi516
@raymondkipipi516 4 жыл бұрын
Mungu Awabariki waimbaji hawa nakumbuka miaka y 1990-1995 ilikuwa ikipigwa hata kama hujaokoka unasisimuka ila mpaka sasa zipo vizur Sana Mungu azid kuwabariki
@franciskimuyu-k5y
@franciskimuyu-k5y 29 күн бұрын
Love it!!this was when gospel was real
@deogratiusmgute5983
@deogratiusmgute5983 Жыл бұрын
Those days when gospel was real , all songs from Bible verses 🍎♥️. Iam listening 31-01-2023🍎♥️ . GOD GIVE ME STRENGTH
@edwardbakana1288
@edwardbakana1288 4 жыл бұрын
Waiimabji wa sasa jitahidini kuomba sana kabla ya kurekodi ili nyimbo zenu zisichuje ziwe kama hizi
@emmanuelraymondsalema3110
@emmanuelraymondsalema3110 8 жыл бұрын
pia zinanikumbusha mbali na inaonyesha mazingira ya arusha mjini na viunga vyake inakumbusha Bali sana kipindi icho uamsho ukiingia Tanzania
@wilsondaudjackson7996
@wilsondaudjackson7996 Жыл бұрын
Hiyo ni Tabora mjini
@eteekisanga2102
@eteekisanga2102 8 жыл бұрын
Nazipenda sana hizi nyimbo za ulyankulu ni nzuri vyombo standadi yake na hukundiko kumwimbia mungu tofauti na sasa biashara
@mayilawisal6265
@mayilawisal6265 3 жыл бұрын
daaaaa safi sana,mungu aawabariki popote mlipo,hakika huchoki kzisikiliza,
@neemaadamu3698
@neemaadamu3698 Жыл бұрын
Huyo mpiga solo ni nani alyosha sana
@gideontebuye5329
@gideontebuye5329 2 жыл бұрын
Mwanikumbusha mbali sana. Miaka ya 80,90 mbarikiwe sana nyimbo zinaishi
@hamisseregenyi7220
@hamisseregenyi7220 7 жыл бұрын
napata nguvu ya kulitafuta neno la bwana pindi niskilizapo nyimbo hizi.
@emmanuelraymondsalema3110
@emmanuelraymondsalema3110 8 жыл бұрын
Kweli nyimbo nzri sana zinamweka MTU kutafakari
@williamkirway4620
@williamkirway4620 3 жыл бұрын
Waimbaji mbarikiwe,sana.8-12-2020 tutawakumbuka sana,toka Haydom- manyara.
@robertmutua8329
@robertmutua8329 2 жыл бұрын
I like Tanzanians for their humility. Through this they can go far in advancing the gospel of Christ. God bless you Tzs.
@user-hb1ye3gr7r
@user-hb1ye3gr7r Жыл бұрын
Amen amen
@rogersasilia9263
@rogersasilia9263 3 жыл бұрын
Hafarijika na wimbo huu enzi hizo 1998
@MiragorethLaswai
@MiragorethLaswai 8 ай бұрын
Daa nakumbuka mbali nilikuwa mdogo ila kupitia marehemu mama alinifunza na kuzipenda hizi nyimbo za fpct ulyankuru Tabora
@skhamadi
@skhamadi Жыл бұрын
Beautiful
@yusuphalon7012
@yusuphalon7012 3 жыл бұрын
Vyombo vinapigwa mpaka mungu anashuka gitaa unasikia kinanda unasikia Hadi raha 1990 si mchezo
@yusuphalon7012
@yusuphalon7012 3 жыл бұрын
Hakika nimebalikiwa Sana
@reginaldmlingi8603
@reginaldmlingi8603 8 жыл бұрын
nafarijika sana nikisikiliza nyimbo hizi
@florencealchard4586
@florencealchard4586 4 жыл бұрын
Nabarikiwa na nyimbo hii April 2020
@marthaedwin7118
@marthaedwin7118 8 жыл бұрын
nazipenda sana hizi nyimbo huwa zinanikumbusha
@dominicmoruri5861
@dominicmoruri5861 7 жыл бұрын
nini?.
@gwamakamwakyambiki3963
@gwamakamwakyambiki3963 10 жыл бұрын
HIVI NDIVYO INAVYO TAKIWA KUWA WAIMBAJI!
@sikojuma7882
@sikojuma7882 4 жыл бұрын
Tuirejee injili kale
@Christiano_Ronaldo777
@Christiano_Ronaldo777 8 ай бұрын
I promise you, that cannot be Tanzanian. That is Kenya. First idk why we are talking about Tanzania
@richardcastro2386
@richardcastro2386 8 жыл бұрын
Namkumbuka mbali jamani
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 4 жыл бұрын
Nyimbo zinaishi sana hizi 2020
@ellyamos
@ellyamos 7 жыл бұрын
nyimbo nzuri sana
@reginaldgervas5697
@reginaldgervas5697 9 жыл бұрын
1990s the best
@Godisgreat20243
@Godisgreat20243 Жыл бұрын
Amen...
@valleyviewsdachurch-lakevictor
@valleyviewsdachurch-lakevictor Жыл бұрын
Mubarikiwe sana wanakwaya
@kennethnduri4643
@kennethnduri4643 10 жыл бұрын
I love this blessed songs that bless and speak to our hearts.
@leticiafidelis7065
@leticiafidelis7065 4 жыл бұрын
Mbarikiwe
@cavoo4get649
@cavoo4get649 8 жыл бұрын
amina.
Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Yesu Alipokuwa Ameketi
6:37
Siro Jack
Рет қаралды 193 М.
Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Wakati Ule wa Nuhu
6:26
Siro Jack
Рет қаралды 473 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 15 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 19 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
Kwa Viumbe Vyote   Barabara 13  Ulyankulu   Alipofika karibu aliuona Mji
6:39
KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU
Рет қаралды 127 М.
KUTESA KWA ZAMU By PASTOR MWANSASU
14:36
Prosper Phissoo
Рет қаралды 109 М.
Usifurahi Juu Yangu
6:00
dadacynthia
Рет қаралды 10 МЛН
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 26 МЛН
Katika Viumbe Vyote, Barabara 13 - Palikuwa na Mtu
7:07
Siro Jack
Рет қаралды 573 М.
AIC MAKONGORO   KEKUNDU
7:44
Mboya120
Рет қаралды 3,6 МЛН
Heri Mtu Yule Asiyekwenda
4:56
Barabara 13 Ulyankulu - Topic
Рет қаралды 121 М.
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 15 МЛН