Oh Alléluia! Nimebarikiwa saaaaana. Tangu zamani hadi sasa, hata na kuendelea, nyimbo hizi zote zinajaa upako wa Roho Mtakatifu.
@MiragorethLaswai9 ай бұрын
Mimi nikisikia tuu vyombo napata kupona kweli waliimba kwa ustadi huku roho mtakatifu akiwatumia ameen
@derickkebabe44432 ай бұрын
My Mom's Gospel Jams Back Then❤️As A Millennial, I Had To Rewind These Nostalgic Memories 🔥
@ambrosewalimbwa37963 жыл бұрын
Nyimbo hizi zina ujumbe wa kubariki na mafunzo ajabu ya Roho. Sifa ni kwa Mungu aliyewapa hawa ndugu na dada kipawa mashuhuri cha uwimbaji. Mbarikiwe sana. Mungu azidi kuwatumia.
@lamecklameck89214 жыл бұрын
Hakka mungu aliwatumia ktk hak yote ujumbe mwema mavaz yaliyo tukuka wala akuna kuluka luka km ngwasuma za leo. Amen
@InnocentKisangaTZ7 жыл бұрын
Those days I was doing my Sunday School. I really miss this kind of Gospel ministry. Bless and Love.
@tonnyford57822 жыл бұрын
Nawapenda had naumwa,kwel mungu aliwapa kibar Cha kumwimbia
@francisfelician35278 жыл бұрын
jamani hadi raha old is GOLD aisee h izo nyimbo ujumbe twaupata sana mbarikiwe sana popote mlipo jamani hizo sauti zimenyooka tofauti na sasa watu wapata ujumbe wa dancing too
@boymosiagi40716 жыл бұрын
Nice songs from our brothers TZ keep it up and have a blessed time.
@hellendaniel38092 жыл бұрын
2022 still on 🔥🔥🔥🔥
@petergatuna13166 жыл бұрын
huu wimbo uko na ujumbe wa kipekee na wanikumbusha nikiwa mdogo jumapili asubuhi nikijitayarisha kwenda kanisani.
@medionindagijimana90206 жыл бұрын
Hakika MUNGU Awabariki sana waimbaji nyimbo zenu nifundisho kwawatu wote wenye mwili
@daimonyohana19064 жыл бұрын
Ila kwakwel zamani kulikuwa na vpaji halisi kutoka kwa mungu ebu sikiliza ujumbe pia kasome biblia ndipo utagundua hawa walimu walikuwa wanaongozwa na mungu mbarikiwe sana watumishi wa mungu
@birorialex8 жыл бұрын
aksante kabisa MUNGU awajaliye ninyi na uzao wenu wote huku rwanda nasi twamusifu mungu
@simonkabuchojudiciary11 ай бұрын
My Favorite till now. Ulyankulu Choir. Mungu awapende zaidi na awape Maisha marefu
@bonifacembilinyi55765 жыл бұрын
Wimbo mzuri ulyankulu nawapenda sana na albamu zao zote , Wapiga gitaa mko vizuri sana . Mungu awabariki Sana.
@apolinarymdimi98403 ай бұрын
Hakikisheni msizimie mioyo nyimbo zimetufikisha mahali kabisa
@crispaseve4 жыл бұрын
Wakati huo injili ilikuwa inaimbwa kwa heshima ya hali ya juu, kiasi cha kufanya hata wale wasiosoma biblia wanaweza kupata neno kupitia kwaya lakini sikuhizi waganga njaa wameharibu kilakitu kwaajili ya pesa.
@PETERMALUSI-f4t9 ай бұрын
Mungu awakum uke. Na awabariki pamoja na kizazi chao. Jameni.
@deomwanicheta5533 жыл бұрын
Nani nipo nae 2021
@rehemaa5974 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo za dini sio za sasa stail zimechanganyikana na nyimbo za kidunia
@JosephatKisimbi6 ай бұрын
Imagine for those many years lakini zabariki ajabu.Mungu awabariki walipo
@franklinathuman13634 жыл бұрын
Viva saaaaaaana Kwa Viumbe Choir
@crispaseve4 жыл бұрын
It reminds me of those good old days when god was worshiped with high respect and reverence. Tunabarikiwa tena 2020!
@pamelaowino33172 жыл бұрын
This Great Team is really Blessed by Its Great God... Glory be to God.
@Jean-ki6gl8 ай бұрын
Hawa waimbaji mungu aliwajalia kilakitu..kwaajili ya kuwafikishia watu ujumbe.
@danadon678211 ай бұрын
Wakamkamataaaaaa na kumtupaaaa ❤❤ jan 2024
@JustInnocentBoy8 жыл бұрын
God bless our singers and give them a long time to life in the live to them. [AMEN]
@moseskapyuku1143 жыл бұрын
Mungu anawaona ninyi wajumbe wa shetan mnaodislike nyimbo hizii
@simonshija24763 жыл бұрын
ukiweza pata album ya Nzega town choir (amka usinziae) na Maluamo ( Enyi mataifa yote) tafadhali ziweke nazo!!
@angelinemutua3634 Жыл бұрын
nyimbo Zuri xana.....❤ so inspiring ..nazipenda
@meshackkwigize98484 жыл бұрын
INJILI KWA NJIA YA UIMBAJI ULIISHIA HAPO, CKU HIZI NI ndombolo
@rehemaa5974 жыл бұрын
Nyimbo za dini za cku hizi majanga ukisema hutaki kumckia daimond ikienda kanisanini unakuta kwaya inadanc kama mond
@khadijajacobo627 Жыл бұрын
Wamama walkua wakiimba wamejistiri sana
@philesnyimbozaozikonaupako36208 жыл бұрын
ziko na upakp ameni kutoka kenya
@mamanbella54603 жыл бұрын
Nawapenda sana m'nanibatiki m'no,namungu azidi kuwabariki popote m'lipo,sio nyimbo zaleo watu wanakata miuno utafikiri wapo sokoni kujiuza
@godfreysanziki14617 ай бұрын
Mungu awatunze🙏
@ombatiSarah8 ай бұрын
Hats sauti zao pia zinapendeza
@alexandranduwayo43052 жыл бұрын
These songs no number one.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mie hata sichoki hata kama sioni wanavyoimba
@RisperBosibori-uf2uw Жыл бұрын
Nice song indeed ❤
@lydiahomandi3546 жыл бұрын
Wow watching this in 2018
@emmanuelraymondsalema31109 жыл бұрын
kumsikiliza Mungu ni muhimu sana
@Focus_Mengi7 жыл бұрын
Zama hizo za injili tulikuwa tukiziimba kwa nidhamu siyo leo
@eliewahanoah2044 жыл бұрын
Namuomba sana Mungu azidi kunipa uzima siku moja nitawatembelea waimbaji hawa , Mungu awaweke hai pia ili hata niweze kuwaona baadhi yao kama itakavyompendeza Mungu wa Mbinguni.. Wabarikiwe sana na Mungu kwa injili yao inavyonigusa na kuwagusa wengine. Aaaammmmeeeeennnn
@frankkinyaiya.8217 Жыл бұрын
Ameeen itakuwa hvyo kwa JINA LA YESU
@ezraaldin60619 жыл бұрын
Big up,nice songs
@daudipaulghuliku24133 жыл бұрын
It was when I am studying at ifunda school
@mercyetago4020 Жыл бұрын
Beautiful servants of God
@daudimollel57858 жыл бұрын
Tanzanian
@fredozz67603 жыл бұрын
They actually burundians refuges
@khadijajacobo627 Жыл бұрын
Nyimbo zenye uvuvio wa roho mtakatifu
@MiragorethLaswai9 ай бұрын
Kabisaw
@annahayoyi40128 жыл бұрын
ujumbe naupokea...napenda sauti nyororo, pia mavazi,sio kama ya wenye kujiita eti digital
@johnbuya9653 жыл бұрын
Safi sana kwa nyimbo nzuri
@hfufghvbvbv79058 жыл бұрын
Tamu sana na mafunzo
@zacharysegera83432 ай бұрын
2024 still powerful.
@otienoowino38303 жыл бұрын
Amen
@linanoella46414 жыл бұрын
These are beautiful memories
@tricycharly5 жыл бұрын
2019 ❤️❤️❤️
@TonneyAbiero9 ай бұрын
Injili kwenye Ubora wake
@nicholauscharles66743 жыл бұрын
September 2021 still watching mbarikiwe sasa
@samsonstephano67476 жыл бұрын
mungu awabariki kwaujumbe wenu
@fanuelopisa79884 жыл бұрын
Sijui Kama waimbaji wa Leo wanaziona na kuskia nyimbo izi.
@mimimanirakiza64784 жыл бұрын
Safi Sana naomba hata namba za simu za moja wao kamazipo
@CarrenCheptoo-jk1xp Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@emmanuelraymondsalema909 Жыл бұрын
Remind me years ago
@stevenivan44025 ай бұрын
2024 still here
@bernardjosephmulokozi39012 жыл бұрын
Sikiliza namna hadi vyombo vilivyokuwa vikimtukuza Mungu 4:00
@jameschengwali1051 Жыл бұрын
Wakati ambao injili ilikuwa injili
@jobsila83564 жыл бұрын
In God we trust fully
@Acts17.2Apologetics11 жыл бұрын
love it
@furahabahati41936 жыл бұрын
Wow nakumbuka mbali sana
@fatumadarabu73796 жыл бұрын
amina
@kingherry3514 жыл бұрын
2020 whos here
@gwamakamwakyambiki396310 жыл бұрын
ndio!
@pedrocupeliua81668 жыл бұрын
GWAMAKA MWAKYAMBIKI
@PETERMALUSI-f4t9 ай бұрын
Tutapata wapi waimbi Kama Hawa wapi jameni Na wacheza vyombo waocheza kwa usitadi hivi ?