Jay Moe - Bosskazi (Official Music Video)

  Рет қаралды 64,219

JayMoeFamous

JayMoeFamous

Күн бұрын

Пікірлер: 566
@chagudaniel8037
@chagudaniel8037 7 ай бұрын
Mwenye mziki wake gonga like hapa kama unamkumbali jay mo
@Lilmoo243
@Lilmoo243 7 ай бұрын
Wakwanza toka Congo naomba like zangu
@ibrazaratus
@ibrazaratus 5 ай бұрын
Eti boss Nani? Haijalishi Kama ni mishenitown au Mjini anapiga mitkasi gani 💯📌✈️‼️
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 7 ай бұрын
Nikionaga wimbo mpya wa JayMoe kwenye feed, huwa na-click fasta utafikiri nimeambiwa KZbin wanataka kuushusha... Sijui kwa nini aisee? 😁😁😁😁
@dinahaule1607
@dinahaule1607 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tupo wengi kumbe
@Msuki_icon95
@Msuki_icon95 6 ай бұрын
Nouma sana so famous much respect bonge ya ngoma 🙏🙏🙏
@ferdinandimani1517
@ferdinandimani1517 7 ай бұрын
Wow this mkongwe is killin it.ana uwa,wewe boss Mzee
@hassanjuma01
@hassanjuma01 7 ай бұрын
Saivi NAKULA BATA Ki-BOSS na PESA za MADAFU nilizomeki huku nikiwa nimepiga SUTI na MOCCASIN . I'm a BOSSKAZI like JAYMOE
@CountryWizzy
@CountryWizzy 7 ай бұрын
Bosskazi 🔥🚀
@AziziAlly-xc6nm
@AziziAlly-xc6nm 7 ай бұрын
Daah uyu jamaa anajua sana hakuna anaemzidi uyu labda darassa kidogo
@P4Principle
@P4Principle 7 ай бұрын
kuna mengi kizazi kipya wajifunze apa. Sasa tuseme, Moe best rapper of all time.🔥🔥
@bemmicrocredit5554
@bemmicrocredit5554 7 ай бұрын
Huyu jamaa mnyamwezi sana
@shwariahmad9249
@shwariahmad9249 7 ай бұрын
Sahihi kabisa best rapper af alltime
@yusuphkayoka5452
@yusuphkayoka5452 7 ай бұрын
Daaaaaah I'm speeless Mwamba amejua kutunza heshima, Mzee mwenzangu inspecter Halone huko ulipo nakusalimia njoo huku tunataka mrudi mnatuachaje tunazeeka na hawa watoto, tuzeeke pamoja na vitu kama hivi, sijui mnanielewa above 40 wenzangu, real hiphop juu. Like zenu above 40.
@buccib418
@buccib418 7 ай бұрын
Jay moh nakubali since day Moko👣👣💥
@simas.a1003
@simas.a1003 7 ай бұрын
👏😂 Kazi za wakubwa a.k.a malejendii. Asante😂😂, Hujawahi kuaribu mchopanga. Namanisha hii ni Nuclear💣👏👏👏😂😂😂
@brilliantanimator
@brilliantanimator 7 ай бұрын
Kwenye Chorus angesimama jamaa yetu TID ngoma ingekuwa fire mara 200%
@WulunduLwando
@WulunduLwando 7 ай бұрын
Moe Kama more Boss karudi tena let's popping now tujaze pochi Boss sio botion Kwan boss Nani Kama sio Mimi na moe 🔝🔝🔝🔝💯💯💯🚭🔞📵💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥
@amriseleman9395
@amriseleman9395 7 ай бұрын
Daz knowledge anakufaa sana kwa ngoma zako hata kwenda International brother
@a9mission439
@a9mission439 7 ай бұрын
Daz you Crazy on the beat.💯🔥🔥🎯
@laxmajor
@laxmajor 7 ай бұрын
Boss nani😍
@mickymbano390
@mickymbano390 7 ай бұрын
sema ilibidi verse ya pili abadili nguo huyu mwamba angekula pensi white yupo golf ground with kofia pama like c'mooon dah
@malisaemmanuel1373
@malisaemmanuel1373 7 ай бұрын
We jamaa unajua
@amaniagato
@amaniagato 7 ай бұрын
Unafaa kua director mkuu Idea💡🔥🫱🏾‍🫲🏽
@AbdulRazzaq-m8i
@AbdulRazzaq-m8i 7 ай бұрын
Big idea 💡 big iq
@santanahmc8784
@santanahmc8784 7 ай бұрын
Inshu ni suti na mocasin bado ipo on fire so was just like 💥 to show it how is this real masuti like jongwe..!! But also yur idea is good.
@geofreymanyologa9489
@geofreymanyologa9489 7 ай бұрын
Good idea,nafikiri hiyo ataifanya kwny part two cs hii ngoma ni part one
@lugalovemg1254
@lugalovemg1254 7 ай бұрын
Noumaaaaa Sana bro ayayayayayayayayaya 🔥🔥🔥🔥🔥😊
@dinahaule1607
@dinahaule1607 5 ай бұрын
Aiseeee hii ngoma ni kali sana,unyama ni mwingi sanaaa
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 7 ай бұрын
Haya ndo mambo sasa moe,tulichoka kusikiliza kelele za watoto,wanapayuka payuka tu,hebu rudini kazini,msiwaachie game mlilolipigania toka mkiwa wadogo mpaka sasa lipo hapa,hebu wastueni na ma legendary wengine watoe mawe
@abdulsintoro5797
@abdulsintoro5797 7 ай бұрын
Nimetoka kusikiliza ngoma ya mvua na jua … ya uyu jamaa afu nime sikiliza na hii ngoma daaah!!! Kuna utofauti mkubwa sana… j
@ramadhanidyamwale4302
@ramadhanidyamwale4302 7 ай бұрын
Kama Ngoma kali mpka umekosa Cha Cha kusema kama Mimi sema tu "Mooe" kwa Sauti yake.
@charlessenka8678
@charlessenka8678 7 ай бұрын
ugat pay the cost to be the boss naongezea hii stanza kwa hii ngoma au wana mnakaza
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 7 ай бұрын
Sawa mzee wa mokasini. Nimeona series zako kwa kuvifacts nikaisubiri kazi yako. The flow is so sick even chemo therapy cant slow it down.
@johnmsogoti8552
@johnmsogoti8552 7 ай бұрын
Uyu jamaa ajawahi kufeli anajua sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@simodash
@simodash 7 ай бұрын
Lecture 🙌🙌
@badenneyz9056
@badenneyz9056 7 ай бұрын
kama umekubali ayo madini sambaza upendo apa
@DrNassor
@DrNassor 7 ай бұрын
Naona wazee wa kazi wameamua kurudi tena jaymore , TID and Q Chila
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 7 ай бұрын
Noma saana! Mwamba karudi freshi kinyama,tunataka na Marlow & Z anton,warudi bila kubadisha music wao.
@allclassicWorldwide
@allclassicWorldwide 7 ай бұрын
doooooooope, ngoma ya kiboss sana
@akidaali9828
@akidaali9828 7 ай бұрын
Oyaaa huu ndio mziki sasa wakusikiliza🎉🎉🎉
@bigboyben6932
@bigboyben6932 7 ай бұрын
Moooo technic🙌🏾 topic 🔥 michano 🔥 beat 🔥
@HamiskMatunguli
@HamiskMatunguli 7 ай бұрын
Hatar bosskazi 🔥🔥🔥🔥🔥
@frankahhm
@frankahhm 7 ай бұрын
Mkubwa 🙌🏽🙌🏽🙌🏽⚡🚀
@NakembetwaKitundu-tn7xx
@NakembetwaKitundu-tn7xx 7 ай бұрын
Jay 2 the Moe💪🔥 boss ni kazi sio hahahahaa
@yeyemkulu8743
@yeyemkulu8743 7 ай бұрын
Bosskazi sio mchezo it's 🔥🔥🔥🔥🔥💯
@royalmbwana
@royalmbwana 7 ай бұрын
🔥 💣 Ni Balaa Nani Alimuamsha Veteran 💯
@PaulDamian-kt6jj
@PaulDamian-kt6jj 3 ай бұрын
Wazee msilale km vp tuwape mistari mnachangamsha sana game Ila Roma respect kwa kusingilizisha nchi
@THEEaglz
@THEEaglz 7 ай бұрын
Nakubalii maniga funiko
@chrissrapper4851
@chrissrapper4851 7 ай бұрын
Mwambie lunya aje asikilize miziki huku
@amriseleman9395
@amriseleman9395 7 ай бұрын
Lunya anapiga makelele tu
@cossmafunzo7822
@cossmafunzo7822 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umetisha
@chagudaniel8037
@chagudaniel8037 7 ай бұрын
Lunya anapiga Sana kelele
@nyunyaboy9523
@nyunyaboy9523 7 ай бұрын
Achen miyeyusho .. lunya ana flow Kali Alf yule n modern rapa
@tadaylaka
@tadaylaka 7 ай бұрын
Ajifunz na kuandik sio kujisif 2 kil nyimbo
@pascalgodfrey686
@pascalgodfrey686 7 ай бұрын
KmmmmmmK watoto wadogo sana....wenye muziki wao ndio hawa sasa KmmmmmmK
@bladechiko3512
@bladechiko3512 7 ай бұрын
Pesa ya madafu💯💯💯 way back💯💯💯 boss kazi💯💯💯.....legend Ni legend.....nice moves moe.
@MustafaChinanda
@MustafaChinanda 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 huyu mwamba ni noma
@gazbrax2337
@gazbrax2337 7 ай бұрын
Akilud unaeza fikiri kama ndio anaanza vile hey People jay More another level 🫡🫡🫡🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫶🏻🫶🏻
@kakore_jr
@kakore_jr 7 ай бұрын
Mooooooooo💥💥💥💥💥fireeeeeeeeeeee... BEATS IKO poa sana
@hundredcopies2719
@hundredcopies2719 7 ай бұрын
No 1 fun 🔥🔥🔥 Since Ulimwengu ndio mama
@mickymbano390
@mickymbano390 7 ай бұрын
Jua mvua is back with the baaaaaaang...Lengend is back lyk wwwwhhhuuuuzzzzz
@BakarBakar-md1rp
@BakarBakar-md1rp 7 ай бұрын
more taknik, we got now boss... woooooow chuma chamoto sana
@Dkg_environmental_001
@Dkg_environmental_001 7 ай бұрын
Jmoe fundi san🎉
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 7 ай бұрын
Daaah! Watu waliamua kupiga kimya tu Ila baada ya kuona rap imejaa kelele bila misingi yoyote wameamua kuwakumbusha Hawa vijana wanaojiita Ni Bora kuwa rap sio kupiga kelele! Jay moe umeonesha ukomavu wako as usual! Wape somo Hawa vijana wasiojua hata kuandika!
@PaulHondi-hl8sz
@PaulHondi-hl8sz 7 ай бұрын
Kazi kubwa kama meenye nayo Jay Moe noma sana🎉🎉🎉
@LEERAACADEMICSECONDARY
@LEERAACADEMICSECONDARY 7 ай бұрын
Daah ama kweli ng'ombe hazeeki maini..UMEEUWA BRO
@bennylove6021
@bennylove6021 7 ай бұрын
Uyu mwamba hatar🎉
@twahangamba3082
@twahangamba3082 7 ай бұрын
The return of the superman 💪
@tysongeorgee9621
@tysongeorgee9621 7 ай бұрын
✌️mkomboz wa Hip Hop kaja sasa
@Adinaci
@Adinaci 7 ай бұрын
Home boii umeamua kujq upyaqqqq❤❤❤
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk 6 ай бұрын
Unajuaaa knoma bro najivunia uwepo wako TANZANIA🙌🙌
@Mtamaduni14
@Mtamaduni14 7 ай бұрын
Motech noma sana
@MAWE_70
@MAWE_70 6 ай бұрын
Superman hatariiii asee 🔥🔥🔥🔥
@emmanueljudas4522
@emmanueljudas4522 7 ай бұрын
oyaa🔥🔥🔥 the legend is back
@bobAbdul-e2g
@bobAbdul-e2g Ай бұрын
Big time
@FreshFizzo
@FreshFizzo 7 ай бұрын
Juma wafundishe hawa watoto 🔥
@aligomatumla2930
@aligomatumla2930 7 ай бұрын
Amin nakubali bro xema naomba bro wachek wanao waliosota kama ww wapate life noma bro 👊
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 7 ай бұрын
We mzee kweli umeamua
@Yohbad
@Yohbad 6 ай бұрын
Ni ngori❤❤Sheng to the wrld
@bockerNyarusahi
@bockerNyarusahi 7 ай бұрын
Sababu ni Legend huwa nyimbo yoyote ya Legend naikubali,nafurahi Malegend kurudi kwa hewa.
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 7 ай бұрын
Msanii Bora kwangu kwa muda wote anajua sana kwenda na nyakati
@STRIKEKIBUTI
@STRIKEKIBUTI 7 ай бұрын
Famous ajawahi kukosea atiiii❤
@wallacendawongamtawali9887
@wallacendawongamtawali9887 7 ай бұрын
Watoto wadogo bado hawajaamka waje kusikiliza mziki huku?? True and real talent. REAL HIPHOP
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 7 ай бұрын
Salute Mo Technique..🚴🏽🚴🏽🚴🏽
@zotto_boy
@zotto_boy 7 ай бұрын
🥂💥💥 legend
@HansonShaaban
@HansonShaaban 6 ай бұрын
Bila boss Kazi midengoni watoto hawang'oleki 😅.. salute Jay 2 tha Moe..mo technique Mo flavor 🇨🇦✊
@Mtamaduni14
@Mtamaduni14 7 ай бұрын
Success Delayed is not Success denied Jaymo mda wako ndo huu sasa
@sweetberttresphory2785
@sweetberttresphory2785 7 ай бұрын
Genious🙌🏽
@Presenter_bear
@Presenter_bear 7 ай бұрын
We mzee utawaua hawa vijana wanao jiita new generation😂😂
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 7 ай бұрын
The return of so famous ❤😊🎉
@PhillyAmbilikile
@PhillyAmbilikile 7 ай бұрын
Anajua kubadilika sanaaaaa
@Colomimuzik94
@Colomimuzik94 7 ай бұрын
Mzee mzima moto ni ule ule ❤❤👑
@michaelmsemo-nf9pk
@michaelmsemo-nf9pk 7 ай бұрын
Daz knowledge is one of the most underrated producer.he deserve more.big up broda.
@DurahRich
@DurahRich 7 ай бұрын
So famous🙌🙌🙌🙌
@isayangwahi9251
@isayangwahi9251 7 ай бұрын
Next level shit! So Famous 🔥
@ConsciousBNB
@ConsciousBNB 7 ай бұрын
Bosskazi 🙌🙌🙌 Baba La Baba Umelejea 🎉🎉
@bavonichristopha1693
@bavonichristopha1693 7 ай бұрын
Ngoma kaaaaliiiiiii sana mr Jay Moe
@kingmalulu6858
@kingmalulu6858 7 ай бұрын
Nakukubari sana Mchopangaaaa
@Janjaro254
@Janjaro254 7 ай бұрын
Loving this from big bro....tuzidi sana champ.
@yvesyveldinhomzee.5682
@yvesyveldinhomzee.5682 7 ай бұрын
Legend Jay moe
@GSTON7_OG
@GSTON7_OG 7 ай бұрын
Goat 🔥🔥
@stevextrader
@stevextrader 7 ай бұрын
BOSSKAZIIII TO THE WORLD🌎
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h 7 ай бұрын
Legend kazini🎉🎉🎉🎉
@athumaniomary1245
@athumaniomary1245 7 ай бұрын
Nasikia mziki mzuri❤❤❤❤❤❤
@Pauljulius7120
@Pauljulius7120 7 ай бұрын
Jay moe the living legend 🔥🔥
@ivansixbert3602
@ivansixbert3602 7 ай бұрын
🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Yaani we love you bro 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌🙌🙌
@aiokenya
@aiokenya 7 ай бұрын
Kenyan fans gather here and show love to the BOSS #JayMoe 🇰🇪
@MussaAbel-t9b
@MussaAbel-t9b 7 ай бұрын
Ana pigo za kinyamwez sana huyu jamaa 🔥🔥
@mshambaaaboy390
@mshambaaaboy390 7 ай бұрын
My bruh nakuzingatia mpaka nukta💥 #bosskaz
@nextpagemzimu5953
@nextpagemzimu5953 7 ай бұрын
Daz knowledge 🔥
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 7 ай бұрын
Nishapitia mengi maseke acha ndigi niwanyoosheeee.noma huyo jamaa ni shule tosha
@davisndimila1559
@davisndimila1559 7 ай бұрын
Daaaaaaaaaaaaaaah chuma cha🔥🔥🔥🔥🔥
Harmonize Feat. Marioo - Disconnect (Dance Video)
3:23
Harmonize
Рет қаралды 8 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Jay Moe Feat. Country Wizzy - Moccasin (Official Music Video)
3:44
Miaka 20 Kwenye Game na Bado Anakimbiza
1:20:39
MSASA PODCAST
Рет қаралды 6 М.
Country Wizzy Feat. Jay Moe - Way Back (Official Music Video)
3:38
Country Wizzy
Рет қаралды 94 М.
Nikki Mbishi - Da Vinci Codes Pt.2 [ROMAnza] Official Video
3:19
Nikki Mbishi[Unju]
Рет қаралды 65 М.
Kontawa Ft Harmonize  - Binadamu [Official Music Video]
3:59
kontawa
Рет қаралды 1,9 МЛН
Jay Moe - Pesa Ya Madafu (Official Music Video)
3:44
JayMoeFamous
Рет қаралды 455 М.
Dizasta Vina - Nobody is safe 5
6:07
Dizasta Vina
Рет қаралды 139 М.
Conboi Cannabino ft. ​⁠Country Wizzy - Heat (Official Music Video)
3:34