JE MAWAHABI NDIO WALIOWAGAWA? - Sheikh Muhammad Is'haqa

  Рет қаралды 9,036

IHSAAN TV

IHSAAN TV

Күн бұрын

Full video on KZbin
Channel : Ihsaan Tv
• LIVE - NASAHA KWA MARA...
#bidaa #ukumbusho #taarifa #mawaidha #video #umuhimu #dini #islam #sunni #sunnah #jumuiya #swahili #mafunzo #ujumbe #nasiha #maarifa #utafutaji #elimu #uislamu #maombi #ujumbe #ufahamu #mihadhara #imani #tawhid #fadhila #Mazingira #MUHIMU #sunnah #fıkra

Пікірлер: 34
@gift-AA
@gift-AA 7 ай бұрын
ALLAH AKUHIFADH
@saidabdurahman9631
@saidabdurahman9631 8 ай бұрын
MaashaAllah shekh unaongea kwa utulivu Watu wanakaririshwa kuwa mawahabi ndio wanaugawa uislam jambo ambalo sio sqhihi
@HusseinKarumna
@HusseinKarumna 8 ай бұрын
Allaaah atuongoze ktk njia Sahihi Shekhe mazungumzo yako yote ni hali mbaya ya Wasomi wetu ktk kufikisha Daawa lkn kuna jambo moja Ambalo sijalielewa nalo ni Kwanini ukiwataja hao Mashekhe walio Fariki Huwarehemu km ilivyo Kawaida ya Uislamu naomba kujua
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 7 ай бұрын
Shekhe mimi nakuwerewa Sana Allah akujaliee kheri kubwa
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa nyinyi ndio mnaowagawa waislam
@husseinbhatia434
@husseinbhatia434 7 ай бұрын
Ukitoa hicho unacho moyoni utaona Kila kitu vizuri.mi nakuambia unachuki unakitu moyoni kitoe ndugu yangu
@hajjiramso1937
@hajjiramso1937 6 ай бұрын
Shekh wang wa monga vyuru kichelekan allah akuhifadh
@jumaamohamed4203
@jumaamohamed4203 7 ай бұрын
Acha ufedhuli we mzee mungu anakuona
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 7 ай бұрын
Ukimaliza utuambie na ugomvi wa mwezi walileta nani?
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 7 ай бұрын
Kuwagawa Alikokusudia Shekh Muhammad Idi nikule nyumba moja Baba anafunga kesho mtoto anafunga Leo sio kugawanyika kwa khitlafu zao zakibinafsi
@omarsaid673
@omarsaid673 7 ай бұрын
HAYA MADAI
@GharibAli-po6fp
@GharibAli-po6fp 7 ай бұрын
Sheikh, bila.ya.kuangalia nani sahihi, mungetufundisha mengine, elimu ni amana, tutaulizwa
@user-gh2su5fb1k
@user-gh2su5fb1k 7 ай бұрын
Ana sauti nzuri maashallah tutakualika maulidin 😂😂
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 8 ай бұрын
Usiangalie Tanga angalia Tanzania au ulimwengu ila zaidi angalia Tanzania sio Tanga pekee
@omarsaid673
@omarsaid673 7 ай бұрын
.
@swahibually8349
@swahibually8349 7 ай бұрын
Hilo lijizee lina laana ya Sheikh wake kama walivyo na laana Mawahabi wote,ndio maana badala ya kusomesha Dini,ana KAZI ya kuponda chuo alichosmea pamoja na kuwaponda Wanawachuoni.Muone alovyopauka unafikiri ni Mwali wa GAO
@karimambosanga4290
@karimambosanga4290 7 ай бұрын
Basi yatosha shekh kaeni myamalize kwa faida ya uislam. Mtume saw a sema shikamananeni ktk kamba nayo ni uislam
@user-ep9ot1pe7x
@user-ep9ot1pe7x 8 ай бұрын
Yeye aweza kukaa boraska?
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y 7 ай бұрын
Mawahabi ndio wanaoleta fitna katika jamii
@user-nl1ou9ow2l
@user-nl1ou9ow2l 4 ай бұрын
Hata rasuli aliwagawa baina ya mama na mwanae, mtoto anapenda haki aliyoisikia kwa Mtume na Mama apenda ushirikina.tukaeni darasani na tuielewe dini ya kiislam kama vile maswahaba Allaah awarizie kama.na kuifahamu kama vile wao walivyoifaham.haya marumbano yatapungua ama kuisha kabisa biidhinillaah.
@user-pu2uw2ib5y
@user-pu2uw2ib5y 4 ай бұрын
@@user-nl1ou9ow2l... Waambie mawahabi waloleta itikadi za kikristo ndani ya uislamu
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy 8 ай бұрын
Sheikh huna nada za kuongea masheikh Kila mnachosema kinadhibitiwa na mtaulizwa
@nasoros.mgungo5502
@nasoros.mgungo5502 8 ай бұрын
😂😂😂😂 Watu wanazungumzia KiNchi, Watu walikuwa wanafunga na kufungua pamoja leo nchi moja kuna Eid Tatu.😢
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 8 ай бұрын
Huko kwenu kuna misikit mipya mingap iliyojengwa na Yote wanasimamisha Sala ya ijumaa na khutba kama kawaida!?Je,Vip hukmu ya hyo miskit mipya iliyojengwa Je,imekuja kuwagawa waislam !?????Kaa usome basi usipige kelele huku youtube
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 7 ай бұрын
Wataelewa wazushi ijapokua ni vichwa ngumu😂😂😂
@user-br6er7zf5z
@user-br6er7zf5z 7 ай бұрын
Ni kweli mawahabi Muna ugawa uislamu matusi mu nayo
@user-mr4vd5lf6y
@user-mr4vd5lf6y 7 ай бұрын
Ww huna hata moja unalo likua kuhusu mtengano wa tamta ulio jaa kwako ni ufitina ndio maana ukamkama shekh WAKO
@abdulazeizkhameiss9692
@abdulazeizkhameiss9692 25 күн бұрын
Mawahabi bwana 😂😂😂 Rudi kwenye Maulidi Sheikh Sauti yako ni nzuri sana katika Qasida
@aminaosman3315
@aminaosman3315 4 ай бұрын
,shekh wewe pia humjui janjira
@allymwinyi970
@allymwinyi970 7 ай бұрын
Sheikh mimi nakuheshiimu kama miongoni mwa Masheikh zetu Tanga na Tanzania. Ila kwanini huzungumzi kujenga dini, siku zote unatumia nguvu na elimu yako kufarakanisha, kuzungumza ikhtikaf? Sheikh acha hayo. Zungumza Dini, lingania watu. Acha mambo ya fitna sheikh.
@hamzaqaacm1869
@hamzaqaacm1869 7 ай бұрын
Muhabi huyo
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 7 ай бұрын
Ukiwa mtu mzima uwe na busara
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 7 ай бұрын
Duuh jamaa ananikosha kwenye kaswida tu anazipatia sana
@jumasemgaza6298
@jumasemgaza6298 7 ай бұрын
😂 inaonekana alikuwa bingwa wa qasda mzee
MAWAHABI WAFUNDISHWA TAFSIRI YA NENO BIDA'A SHEIKH SAMEER SIDIK
31:45
16 | Banuu israaila na mayahudi katika Qur’an | Shakhsiya ya mayahudi kisaikolojia | Part 2
50:03
Sayyid Aidarus Shariff Alwy - Mzee Mwenye
Рет қаралды 2,9 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 34 МЛН
Alat yang Membersihkan Kaki dalam Hitungan Detik 🦶🫧
00:24
Poly Holy Yow Indonesia
Рет қаралды 11 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 45 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 45 МЛН
Short Story (2): Where is "THE MORALITY"?
52:12
Imam Agba Ogbomoso
Рет қаралды 3,4 М.
TAMTA DAY 1992 TANGA
14:50
Gulam Omar
Рет қаралды 4,9 М.
Hii ndio khutba ya mwisho ya sheikh Muhammad bn sheikh Ayyoub TAMTA day 1997.
26:14
SEHEMU YA 4: SHEIKH MUHAMMAD IDDI NA MAJIBU YA MAWAHABI
35:07
BABDEO MILADU
Рет қаралды 7 М.
KUMUADHIMISHA MTUMEﷺ Na SHEIKH MUHAMMAD BIN ABIIBAKAR
36:50
Ahbaab Rasuulitz
Рет қаралды 3,5 М.
VITA KALI~SHEKHE MUHAMMAD BAKARI ~SHEKHE SALIMU BARAHIYANI 1994
18:10
NEEMA YA UISLAMU TV
Рет қаралды 11 М.
SH MUHAMMAD IDDI AITWA MAHAKAMA YA TANGAMANO TANGA
15:18
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 11 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 34 МЛН