Stand on the side of truths forever and forever mwl Ndacha and God bless you
@AgnesKasayaMigiro4 ай бұрын
Mwalimu Ndacha Mungu ,aendelee kulinda. namtumishi Paul Hasan🙏🙏Mwankemwa ,mada kamlemea,ooiyee
@gabrielsaelie80912 ай бұрын
Mwakemwa anatetea imani ya Utatu na ukatolic wake bila kuwa a ujuzi wa kutosha wa kutetea imani hiyo ya uwongo aliyoasisiwa na lusfer (shetani). Imani ya utatu ni upagani wa Kirumi ulioingizwa kanisani kupitia kanisa katoliki la Roma mwaka 325 AD. Uwongo huo ni wa kuogofya sana wa fundisho la Mungu mmoja katika utatu wa mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatifu. UWONGO huu umebadilisha UKWELI kuwa Mungu ni Mmoja ambaye ni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. "MAKANISA" ya kibabeli yanayoendesha IBADA kwa Mungu katika imani ya Utatu wa Mungu mmoja wa Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu ni ibada bandia na ni chukizo kuu la ukweli wa Mungu. Kupitia nabii Ezekiel alituambia ibada hizi za kiwazimu zimeshamfanya Mungu wa Mbinguni kuyakimbia makanisa yao. Soma Ezekiel 8: 4-16
@ChristianEinstein-t2j4 ай бұрын
Mwankemwa haeleweki ,ahsante ndacha mim nilikuwa mwana utatu lakini hivi leo hii nimebadilisha mtazamo wangu potofu wa kuamini utatu
@gabrielsaelie80912 ай бұрын
Mwakemwa anatetea imani ya Utatu na ukatolic wake bila kuwa a ujuzi wa kutosha wa kutetea imani hiyo ya uwongo aliyoasisiwa na lusfer (shetani). Imani ya utatu ni upagani wa Kirumi ulioingizwa kanisani kupitia kanisa katoliki la Roma mwaka 325 AD. Uwongo huo ni wa kuogofya sana wa fundisho la Mungu mmoja katika utatu wa mungu baba, mungu mwana mungu roho mtakatifu umebadilisha UKWELI kuwa Mungu ni Mmoja ambaye ni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. " "MAKANISA" yanayoendesha ibada katika imani ya Utatu wa Mungu mmoja wa Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu ni ibada bandia na ni chukizo kuu la ukweli wa Mungu. Soma Ezekiel 8: 4-16
@MeshackTanui-w2jАй бұрын
Asantii ndacha endelea kufunua ukweli♥️♥️♥️♥️
@omariSaidmoon9 күн бұрын
Yesu ana sema usiongeze Wala usiounguze neno mungu atakuongezea mapigo
@McharoMshana-x6p3 ай бұрын
Asante ndacha mm Niko Kilimanjaro nakuomba uje huku kwetu mm ni mkiristo
@husseinkiruta17124 ай бұрын
Mnachekesha Sana Mungu Ni mmoja tu na yesu syo Mungu katumwa tu
@fredykiluka66064 ай бұрын
Ndacha mungu akubaliki kwanza umetufunguwa macho ...tumekuelewa❤❤❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤
@herimwinge-et9ei2 ай бұрын
Kumbe tukiwa mbele ya ufalme wa mbinguni Yesu anakua bro wetu mkumbwa nimeipenda iyo Mchungaji Ndacha ubalikiwe sana Im Muslim Tz.
@mwoso4 ай бұрын
Barikiwa sana mwalimu ndacha.
@gabrielsaelie809112 күн бұрын
Yupo sahihi kwa lipi. Daniel Mwakemwa ni potoshaji mkubwa na ana ufahamu mdogo sana katika uelewa wa neno la Mungu yaani Bibilia.
@benardmwamboneke96123 ай бұрын
Nawapenda watumishi wa mungu na mungu awabariki ujumbe maada hii mwankemwa amenyosha
@gabrielsaelie8091Ай бұрын
Amenjosha wapi. Si kwamba imechanganyikiwa?
@gabrielsaelie809124 күн бұрын
Mwakemwa anatetea imani ya Utatu na ukatolic wake bila kuwa na ujuzi wa kutosha wa kutetea imani hiyo ya uwongo aliyoasisiwa na lusfer (shetani). Imani ya utatu ni upagani wa Kirumi ulioingizwa kanisani kupitia kanisa katoliki la Roma mwaka 325 AD. Uwongo huo ni wa kuogofya sana wa fundisho la Mungu mmoja katika utatu wa mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatifu. UWONGO huu umebadilisha UKWELI kuwa Mungu ni Mmoja ambaye ni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. "MAKANISA" ya kibabeli yanayoendesha IBADA kwa Mungu katika imani ya Utatu wa Mungu mmoja wa Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu ni ibada bandia na ni chukizo kuu la ukweli wa Mungu. Kupitia nabii Ezekiel alituambia ibada hizi za kikuzimu zimeshamfanya Mungu wa Mbinguni kuyakimbia makanisa yao. Soma Ezekiel 8: 4-16
@EmileClaverАй бұрын
Mwalimu Daniel yukosahihi
@mwoso4 ай бұрын
Mwankemwa analinganisha mungu, mwana na roho mtakatifu na jinsi yai lilivyo.
@NoahSeludao2 ай бұрын
Mwamkwema uko sawa barikiwa sana
@gabrielsaelie8091Ай бұрын
😊Hayuko sawa na ufahamu wake kwenye ukweli wa Mungu ni mdogo sana. Au ni mpotoshaji kwa makusudi. Mwakemwa unajiita mluteri/protestant, sasa wakuu wake waprotestant akina Martin Luther walipinga nini juu ya mafundisho ya uongo ya wakatoliki?
@DavlenDavid-m4fАй бұрын
Amen
@Elias-ne8sw4 ай бұрын
Kitu Cha kwanza hakuna kitu kama utatu mtakativu kitu Cha pili Yesu ni mungu alie kikalia kiti cha Enzi.. Roho mtakativu ni Yesu Mungu baba bado ni Yesu Mwana wa mungu bado ni Yesu(fungeni kifungo mumulize mungu)
@JamesMoses-jd1yq4 ай бұрын
Sasa wew ndio huelewi
@aliabdallah84564 ай бұрын
Hadi leo hii Mungu wa kweli hamjamjua waulizeni waislamu watawaambia Mungu wa kweli ni nani Mungu wa kweli ni yule aliyeumba kila kiumbe na ndiye aliyeumba mbingu na ardhi nayeye Mungu wa kweli hajazaliwa wala hajazaa na uwezi kumfananisha na kitu chochote kile huyo ndiye Mungu wa kweli wakristo hacheni kudanganyana
@alfredwangondu8712Ай бұрын
WACHA KUPOTEZA WATU. WAISLAMU HAWAJUI CHOCHOTE, NI KIARABU TU WAO HUROPOKWA
@christophersimwinga66894 ай бұрын
Ndacha hajui maana ya neno MUNGU ndo mana anaona kwamba yesu akiitwa Mungu nisawa kwa sababu ni mwana wa mungu . Anafikiria kibin🎉adamu na ndio mana hakubali tatu kuwa moja Kwahiyo NDACHA Pia hakubali kuwa ndoa ina mwili mmoja kama Mungu anavyosema kutokana na akili ya kibinadamu . Ni akili hi hii ya kibinadamu inayosababisha kuona kwamba tatu haiwezi kuwa moja . Lakini kiukweli maandiko yanathibitisha kuwa Yesu ni Mungu Isaya na Tito Yesu ni Mungu Mkuu na inasema yesu ni Mungu baba wa Milele tena inasema niMfalme wa wafalme pia yanathibitisha kuwa Mungu ni Roho . Shida ipo kwenye akili ya kibinadamu ambayo haikubali kwamba tatu inaweza kuwa sawa na moja au mbili kuwa sawa na moja jambo ambalo kwa Mungu inawezekana kabisa na mfano mzuri ni ndoa ambayo ina miili miwili ambayo ni mmoja..
@davidochiengbuoga71654 ай бұрын
Yesu anauungu wa BABAYE
@mwoso4 ай бұрын
Mimi nakubaliana na mwalimu Ndacha. Sioni haja ya kusumbuana na akili bure!
@McharoMshana-x6p3 ай бұрын
Asanten waalimu
@AziziPonera2 ай бұрын
Mungu ni mmoja Haku zaa Wala hakuzaliwa Wala hana wa kufanana nae.
@jamesombaso949319 күн бұрын
We toa elimu ya majini hapa
@davidochiengbuoga71654 ай бұрын
Mungu pia ni Roho (Yohana 4:24). Roho Mtakatifu ni Sehemu ya Mungu na ni Mungu
@herimwinge-et9ei2 ай бұрын
Kama unaijua vzr biblia karibu mdahalo sio umejua kakifungu kamoja unasumbua kwenye comments.
@davidochiengbuoga71652 ай бұрын
@@herimwinge-et9ei Wewe lete hiyo yako na Mimi nilete yangu hapa kwenye comment section.
@gabrielsaelie809120 күн бұрын
Kuna Roho wa Mungu ila kamwe hakuna Mungu Roho.
@davidochiengbuoga71658 күн бұрын
@gabrielsaelie8091 Roho wa Mungu ni Mungu
@gabrielsaelie8091Ай бұрын
Mwakemwa anatetea imani ya Utatu na ukatolic wake bila kuwa na ujuzi wa kutosha wa kutetea imani hiyo ya uwongo aliyoasisiwa na lusfer (shetani). Imani ya utatu ni upagani wa Kirumi ulioingizwa kanisani kupitia kanisa katoliki la Roma mwaka 325 AD. Uwongo huo ni wa kuogofya sana wa fundisho la Mungu mmoja katika utatu wa mungu baba, mungu mwana na mungu roho mtakatifu. UWONGO huu umebadilisha UKWELI kuwa Mungu ni Mmoja ambaye ni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. "MAKANISA" ya kibabeli yanayoendesha IBADA kwa Mungu katika imani ya Utatu wa Mungu mmoja wa Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu ni ibada bandia na ni chukizo kuu la ukweli wa Mungu. Kupitia nabii Ezekiel alituambia ibada hizi za kikuzimu zimeshamfanya Mungu wa Mbinguni kuyakimbia makanisa yao. Soma Ezekiel 8: 4-16
@christophersimwinga66894 ай бұрын
Ndacha anasema yesu kuitwa Yehova ni sawa kwa hiyo yesu ni yehova ikiwa Ndacha unakubali yesu kuitwa yehova basi yesu ni mungu kwa vile jina Jehova ni jina la Mungu Muumbaji
@mush3374 ай бұрын
Watu hudhani yesu ni mungu mwingine ambaye ni mdogo naye baba ni mungu mwingine ambaye ni mkuu,ila hapo mwanzo palikuwa na neno,naye neno alikuwa mungu,neno akafanyika mwili,wakati anafanyika na kuwa mwili sio eti alikuwa mwili tangu zamani ila mungu amevaa mwili wa binadamu. Mungu wa wakristo ni mungu ambaye Yuko na uwezo wa kuwa baba,mwana na roho mtakatifu kwa wakati mmoja. Haimaanishi Kuna Mungu Mkubwa ati baba na huyo mungu wa pili anategemea baba kuwa mungu. Hakuna mtu yeyote anayeweza kuwa mungu eti sababu amezaliwa na Mungu,hamna kabisaa,mungu ni mmoja na hakuna anayeweza kuitwa mungu Sababu ya kuzaliwa na Mungu,yesu anapoitwa mungu ni mungu Kweli,hajazaliwa na yeyote,mungu kuvaa mwili wa binadamu ndikwo kuzaliwa Sasa ila hao Sio mungu wawili,eti Mungu mkuu na Mungu mtegemea kuzaliwa,hio ni injili potovu. Mungu kuzaliwa na kuvaa mwili wa binadamu kwa ajili ya wokovu haimunyanganyi mamlaka, muislamu tu pekeake ndiye anafaa kuuliza,wakati mungu alifanyika mwili ni nani alibaki mbinguni,ila wewe mwanadamu kujibu eti mungu mkuu alibaki mbinguni na Mungu anayeitwa mungu kwa kuzaliwa ndiye alikuja. Ukiweza tofautisha mungu bila mwili ni nani na Mungu akivaa mwili ni nani hutachanganyikiwa ila utaelewa tu ni mungu katika mpango wa wokovu. Jiulize hili swali,iwapo mwanadamu hangeanguka dhambini,je mungu angefanyika mwili ili kumuokoa na je kama hangefanyika mwili je jina yesu lililotabiriwa na manabii lingekuwepo?
@user-ee8dr9iw4k4 ай бұрын
Nimekua nikimsikisa uyu ndacha anakampeni ya kumpinga kristo akiwa na diet na waislam akiri kabisa yesu ni mungu sai anapinga Kuna mwana Kuna baba
@KiddoBeo4 ай бұрын
soma bibilia kataa au ukubali kwa andiko siyo kwa uelewa wako Mungu anajieleza mwenyewe haelezewi na watu
@mush3374 ай бұрын
@@KiddoBeo mungu ni mmoja,na ukijua mungu ni mmoja ni rahisi sana kujua yesu roho mtakatifu ni nani
@JamesMoses-jd1yq4 ай бұрын
Bibilia inasema hamna mtu yeyote amewai muona mungu kwa hiyo mbona unachanganyikiwa
@nassoroyahaya8214 ай бұрын
Jamaani nyoote mmechanganyikiwa hamuoni pa kwenda njooni kwenye Uislam hii confision haipo kabisa Mungu amejieleza na mitume nao wameelezwa vizuri
@intelligencyeducationАй бұрын
Kutoka 24,9-11 inazungumzia juu ya walimwona Mungu. Kutoka 33,20
@NoahSeludao2 ай бұрын
Ndacha huna maana
@mush3374 ай бұрын
Mungu baba ndiye tu yesu,kama mwanadamu hangeanguka dhambini,hakungekuwa na haja ya mungu kufanyika mwili,mpango wa wokovu ndio unachanganya wakristo. Baba,mwana na roho mtakatifu ni mungu mmoja tu ila mpango wa wokovu ndio unafanya Wanadamu wasieleme kwamba inakuaje mungu tena awe mwanadamu,inakuaje mungu kuja kwetu kama roho mtakatifu badala ya kukuja yeye mwenyewe moja kwa moja,ila ni dhambi iliyoleta mpango wa wokovu, kama mwanadamu hangetenda dhambi hakungewai kuwa na Mungu katika mwili wa binadamu (yesu),maana kilichomlazimu mungu awe katika mwili ni mpango wa wokovu wa mwanadamu aliyeanguka dhambini
@YOMYSTUDIOS4 ай бұрын
Wajenga hoja wanatoa nukuu wewe unaandika mawazo yako pekee
@mush3374 ай бұрын
@@YOMYSTUDIOS Mawazo gani yangu inihali Bibilia inasema mungu ni mmoja aliye baba,Sasa wewe ukisema mwanawe ni mungu Sababu amezaliwa na Mungu ni kuwafanya mungu wawe wawili,baba na mtoto,hio ndio hoja nakataa, Bibilia haiezi jipinga,Heri mtu aseme mwana ni sehemu ya mungu ila kusema yesu ni mungu kwa kuzaliwa na Mungu haiko kwa Bibilia
@mush3374 ай бұрын
@@YOMYSTUDIOSkwa mjibu wa hii verse je kuna mungu mmoja hapa ama wawili? Yohana 1:1-5 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
@Shomariamuri1Ай бұрын
@@mush337 Soma Waebrania 1 mpaka 9. Yesu ni Mungu kwa asili. Ndiyvo Biblia inavyofundisho. Na sio hayo mafundisho yenu ambayo Biblia inakaraa.
@ZachariahZablon-j9f2 ай бұрын
Roho ni shaidi kwamba yesu amebatizwa
@chenzhenlee76334 ай бұрын
Mwalimu Daniel Mwankemwa anajua kufyndishs lakini Somo halielewi yeye anaongelea Uungu wa Yesu
@copylababa4 ай бұрын
Wendo hujamuelew
@NoahSeludao2 ай бұрын
Bibilia inasema watu wangu wanaangamia kwskukosa maarifa nakutokujua maandiko
@intelligencyeducationАй бұрын
Kutoka 24:9 Ndipo akakwea juu, Musa, na haruni, na Nadabu, na Abihu, na watu sabini miongoni mwa wazee wa Israeli; 10. wakamwona Mungu wa Israeli; chini ya miguu yake palikuwa na kama sakafu iliyofanyizwa kwa yakuti samawi, kama zile mbingu zenyewe kwa usafi wake. 11. Naye hakuweka mkono wake juu ya hao wakuu wa wana wa Israeli; nao wakamwona Mungu, wakala na kunywa.
@benardmwamboneke96123 ай бұрын
Ndacha na mwankemwa nawaombeya roho awape wepesi maada hii msiwachanye wakristo wachanga mtawapoteza ila mwankemwa yuko sahihi ndo mana yesu nae alificha ukweli ili asiuwawe
@abasingaruka18724 ай бұрын
Mwakemwa muelewe Ndacha, unayosema hayakatai wewe unabadilisha kutafuta u ishi
@christophersimwinga66894 ай бұрын
DACHA Unasema hakuna andiko lililosema Mungu Roho wakat andiko hilo lipo MUNGU NI ROHO NAO WAMWABUDUYE WAMWABUDU KATIKA ROHO
@AareMjungu2 ай бұрын
Kusema Mungu ni roho na kusema Mungu roho hapo ni sentence 2 zenye maana 2 tofauti.
@NoahSeludao2 ай бұрын
Ww ndacha soma maandiko vema yohana 3;16
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon2 ай бұрын
28:19Matayo Kwajina lababa na lamwa na Roho mtakafu imeunganishwa
Aaah Ndacha Yesu ni sawa na Mungu lakini sio Mungu hii kauli yako unajichanganya kwa vile Neno Sawa linaonesha ulinganifu wa pande mbili zinazolingana na ikiwa pande mbili hazilingani Neno SAWA Haliwezi kutumika unaposema YESU NI SAWA NA MUNGU huwezi tena kusema mmoja anamzidi mwenzie kwahiyo Unapo sema yesu ni sawa na Mungu unamaanisha yesu ni Mungu
@davidochiengbuoga71654 ай бұрын
Yesu alipokuja duniani alikuja kudhihirisha Baba na aka vaa uunge wa BABAYE ndiposa akawa Mungu lakini katika Mwana.Kwa hivyo Yesu ni Mungu kwa utukufu wa BABAYE (Isaya 9:6)
@nassoroyahaya8214 ай бұрын
Upo vizuri shida hapo kwako ni Yesu naye kuwa sawa na Mungu wakati Mungu katika Isaya Mungu anauliza je nipo sawa na nani ?
@TestimonyTvshuhuda4 ай бұрын
Isaya ngapi mtu wa Mungu?
@ChristianEinstein-t2j4 ай бұрын
@@TestimonyTvshuhudaisaya 46:5
@AdamusonKomba3 ай бұрын
Mungu nimamulaka yautendaji kazii na baba nimumiliki wa nafusi tatu hai mwana nimamulaka naloho nimamulaka yautekelezaji haionekani hatambinguni ila inatendaaa
@christophersimwinga66894 ай бұрын
NDACHA tafuta jina la Mungu . Jina baba sio jina la Mungu utapata kufahamu vizuri mahusiano ya mwana na baba . Je aliye baba jina lake ni nani
@NoahSeludao2 ай бұрын
Wote wanaomuunga ndacha wamepotea mwisho wake nikupotea hiyo ndacha hana roho mtakatifu
@davidochiengbuoga71654 ай бұрын
Ndacha na mwalimu wote wako sawa hapa
@MohamedMohamed-u3t1n4 ай бұрын
Huyu nae anasema yesu ndio yeye huyo baba kwa hiyo kajizaa mwenyewe hii imani kama huna moyo wa upofu ndani yako huwezi kuifuata abadan
@nassoroyahaya8214 ай бұрын
Hapo ndipo Quran inpokuwa Master formular ya dunia kuwafundisha watu wote mbele ya wakati wote ya kuwa Quran 112:1-6 Sema yeye mwenezi Mungu ni mmoja tu ,anaekusudiwa kwa kila jambo na viumbe vyake,hakuzaa wala hakuzaliwa ,wala hana anaefanana naye hata mmoja
@ishmaelsimon66174 ай бұрын
Kwanza Poleni kwa mjadala. Ni ivi, huwezi kuwa mwanadamu kama huna mwili na roho. Kikitoka hata kimoja maana yake wewe sio mwanadamu. The same to MUNGU, MUNGU yupo, toka mwanzo na yupo katika ukamilifu wake, yupo katika BABA kwa maana ya yeye MUNGU, ndani yake NENO lake ndio MWANA, anasema anatoka katika kifua cha BABA na yupo ROHO wake akaae ndani yake na huyo ndio alikuja baada ya MWANA kutukuzwa. So unaweza mwenye uite nafsi tatu, uite MUNGU mmoja uite BABA, MWANA NA ROHO but all ni zipo kwa MUNGU. Na ili ukamilifu wa MUNGU uwepo ndio sharti awe yeye MUNGU akiwa na NENO lake ambaye ni YESU KRISTO na ROHO YAKE ambaye ndio ROHO MTAKATIFU.
@sophiaesmarcharo97753 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤝
@christophersimwinga66894 ай бұрын
Hapana ni hiv ww jina lako ni NDACHA Lakini katiba ni jina la baba yako . NDACHA HILO LA GATIBA SIYO JINA LAKO
@imanikilongo15584 ай бұрын
Mwalimu Dani kwenye maada hii uko vizuri sana Mimi ni msabato ila umefundisha vizuri ndacha kuna mambo haelewi
Ndacha hajui kulinganisha maandiko angalia anavyosoma king James peke yake halafu anakosolewa biblia nyingine
@user-ee8dr9iw4k4 ай бұрын
Wewe ndo unafanya wakristo wana slimu ju ukisema mungu ni mmja inamanisa yesu nikama manabi sigine filipo anaomba kumjua mungu kama wewe sasa yesu anamwambia alie niona mimi amemuona mungu . Ju akuna mungu mwengine . Yohana 14-8 yeye yu ndani ya baba na baba ndani yake . Yesu kimwili si mungu kiroo ni mungu baba ni roo mtakatifu ndiyo utukufu ulio biguni.
@Shomariamuri14 ай бұрын
Fundisho unalolisapoti ndo mbaya kabisa na waislam wana wacharaza na iyo miungu yenu mitatu ambayo hakuna andiko hata moja ndani ya Biblia 😮😊
@ChristianEinstein-t2j4 ай бұрын
Yohana 15:4 kaeni ndani yangu NAMI ndani yenu, swali je tukikaa ndani ya yesu je sisi ndo tutakuwa yesu??? Usichanganye watu kaka
@MITEIJULIUS2 ай бұрын
Let's the world new the truth?
@mwoso4 ай бұрын
Bibilia inadhibitisha uungu wa mwana kwa baba yake. Lakini haijadhibitisha kwamba huyo mwana ndiye mungu baba. Wala huwezi kuwafanya kua nafsi moja. Kwa ufupi baba ni baba na mwana anabaki kuwa mwana.
@christophersimwinga66894 ай бұрын
Ndacha neno Mungu si jina ufahamu hivyo kwanza . Mungu maana yake ni muumba wa mbingu na nchi vyote vilivyomo. Jina la Mungu baba ni BWANA kwa lugha ingine ni Yehova je hujasoma sehemu yesu anaitwa BWANA? NDACHA pia uliwahi sema kuwa hakuna neno MUNGU MWANA hili andiko Mungu mwana nalo lipo . NDACHA anasema yesu ni mungu kwa asili maana yake nini sasa ni hii Muumbaji kwa asii maandiko machache brother
@user-ee8dr9iw4k4 ай бұрын
Wewe ndacha tuambiye uyo baba ni nani
@omariSaidmoon9 күн бұрын
Ndacha yesu ni mtume yohana 17 1 3 Achamaneno ndacha kasema yesu mwenyewe ndoasema mbona una soma mambo ya Paulo kuweni makini wakristo na walimu wenu
@MichaelDonaldnchingaMichaelDon2 ай бұрын
Sikiliza kichwa cha kirsto kikifunguka achana na msasfu
@NoahSeludao2 ай бұрын
We'we ndacha acha kupotosha watu utalaaniwa mwalimu Daniel I alko sawa
@gabrielsaelie809120 күн бұрын
Mwakemwa ndio unapotosha hakuna Mungu watatu. Mwakemwa naye ni mtupu kichwani juu ya ukweli wa mungu. Mimi naweka kwenye kundi la wajinga na wapumbavu.
@MohamedMohamed-u3t1n4 ай бұрын
Nyie watu mungu hamna maelezo mpaka leo hii huyu ndacha ana miungu wawili lakini anaficha kuna kitu anakwepa huyu yesu anaesema sio mungu leo anamtetea huyo kusema ndio mungu 😅
@KasiteDominic-bz7rn4 ай бұрын
Munaanza Ku geuza mambo. Nyinyi muta potosha vipofu
@KasiteDominic-bz7rn4 ай бұрын
Jamani ivi munafunza watu nini?
@salimchimwaga83843 ай бұрын
Kikiwa na Mungu baba lazima kuwa na mungu mwana na mung mama. wakristo funguen akili zenu acha kjitia vipofu waa akili.
@AmuaTV-nt3kp4 ай бұрын
nahitaji kujifunza zaidi kuhu mada hii
@ishmaelsimon66174 ай бұрын
Kwani YESU akiwa MUNGU kwa sababu ni Mwana wa Mungu, kuna shida ukumwita MUNGU MWANA?
@TestimonyTvshuhuda4 ай бұрын
shida ipo kwenye lugha. lakini kwa nini useme MUNGU MWANA ilihali imeandikwa MWANA WA MUNGU?
@davidochiengbuoga71654 ай бұрын
@@TestimonyTvshuhudaNi Kwa sababu Mwana ni Mungu
@TestimonyTvshuhuda4 ай бұрын
@@davidochiengbuoga7165 Au shida ni kiswahili?
@JamesMoses-jd1yq4 ай бұрын
Rudi darasani@@TestimonyTvshuhuda
@JamesMoses-jd1yq4 ай бұрын
Mungu ni mmoja ila yesu ni mwanae mmoja tu
@christophersimwinga66894 ай бұрын
Kama Mungu ni baba .mbona andiko la lamtaja Yesu ni baba andiko lipo ndacha Soma Isaya inasema hiv atatakayezaliwa ni MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE Nabii Isaya anamtaja yesu kuwa ndiye Mungu baba. Andiko lipo kwenye biblia huwezi kukataa kuwa yesu si Mungu maandiko zaidi mia moja yanamtaja yesu kuwa ni Mungu baba . Hiv Ndacha unafahamu kuwa lipo andiko linaloonesha yesu yupo katikati ya kiti cha enzi mbinguni. ww una maandiko machache
@AareMjungu2 ай бұрын
dah!! wewe unashida ya uelewa
@JamesMoses-jd1yq4 ай бұрын
Siwezi mpinga ndacha maanake hana mpinzani
@user-ee8dr9iw4k4 ай бұрын
Ningependa iyo timotheo wa 1 -6 muanze kuisoma 13 -adi 16 ndo mujuwe uyo ambaye ajawai mwanadamu kumuona ni , nani, ni kristo yesu . Ndacha usichanganye watu . Ikiwa na dibet na waislam unamtambua yesu kua ni mungu. Sai unakata Kuna ukisema Kuna baba,
@TestimonyTvshuhuda4 ай бұрын
@biblia nuru ya dunia
@AareMjungu2 ай бұрын
unashida ya uelewa
@abelmoturi524 ай бұрын
Hamna jina trinity ndani ya bibilia
@MohamedMohamed-u3t1n4 ай бұрын
Je jina Christianity lipo?
@andrewnjuguna6883 ай бұрын
Can we get tawheed in quran?
@MohamedMohamed-u3t1n3 ай бұрын
@@andrewnjuguna688 quran surah 112
@gabrielkazungu-gl2vv14 күн бұрын
Kweli mwalimu ni Mungu tu, hapa hakuna mwalimu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 porojo tu
@clewis5204 ай бұрын
… Leo nimedhibitisha hakuna miungu mitatu bali miungu ni mikumi.
@JescaEdward-k5kАй бұрын
Daniel kwanini unajadiliana na mtu asiye mkristo?hamtaelewana,huyo anadini yake
@jameskilasa7594 ай бұрын
Jina la baba ni nani
@imanikilongo15584 ай бұрын
Hakuna aliye kataa yesu si mwana wa Mungu ila ww ndo unatengeneza mambo yako na kutusemea sisi tunasema
@MohamedMohamed-u3t1n4 ай бұрын
Sasa huyu ndacha jamani anafundisha nini yesu sio sio mungu lakini yesu yuko sawa na mungu yesu ana mwili wake na yesu ana mwili wake sasa hao si wanakua mungu wawili anabaki vipi mungu mmoja kwa imani yenu hivi hii inahitaji nini ili ieleweke ?
@mozesdaniel74844 ай бұрын
Sasa ndacha mbona uko palepale hajaelewa Mwankema ameelezea vzr sana. Fundisho halina utofauti na unacho kisema hapo ulicho kuelewa ni tofauti na maelezo yakina.huo utatu haupo kwnye bibilia lakini kuielewa utajua jinsi inavyofanya kazi😅
@NoahSeludao2 ай бұрын
Ww kikuyu mbona unakuwa kama wale wakenya wanasema sfa ya mlima kenya?
@NoahSeludao2 ай бұрын
Ndacha huna jipya soma maandiko vzr unadanganya watu subr hukum
@NoahSeludao2 ай бұрын
Ndacha anajitafutia umaarifu wakishetan
@NoahSeludao2 ай бұрын
Mwamkwema uko saws achana nahuyo kipofu wamaandiko
@AareMjungu2 ай бұрын
Yesu ni mungu kwasababu ni mwana wa mungu, ila yesu si mungu NAFSI.
@mwoso4 ай бұрын
Mwankemwa wacha kuchanganya watu akili! Mbona kuchezacheza na maandiko yalio dhahiri.? Baba amezungumzia mwana wake na mwana amezungumzia baba yake. Mbona mnateseka kuwafanya kua nafsi moja? Bibllia yenyewe haija taja utatu ila tu kwa akili ya binadamu pasipo andiko.
@gabrielsaelie80912 ай бұрын
Mwakemwa anatetea imani ya Utatu na ukatolic wake bila kuwa a ujuzi wa kutosha wa kutetea imani hiyo ya uwongo aliyoasisiwa na lusfer (shetani). Imani ya utatu ni upagani wa Kirumi ulioingizwa kanisani kupitia kanisa katoliki la Roma mwaka 325 AD. Uwongo huo wa kuogofya sana wa fundisho la Mungu mmoja katika utatu wa mungu baba, mungu mwana mungu roho mtakatifu umebadilisha UKWELI kuwa Mungu ni Mmoja ambaye ni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. " "MAKANISA" yanayoendesha ibada katika imani ya Utatu wa Mungu mmoja wa Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu ni ibada bandia na ni chukizo kuu la ukweli wa Mungu. Soma Ezekiel 8: 4-16
Mwakemwa wewe unajiita wewe ni mluteri/protestant, sasa wakuu wako waprotestant akina Martin Luther walipinga nini juu ya mafundisho ya uongo ya wakatoliki?
@OscarSifuna-x8k2 ай бұрын
Mwankemwa ako Sawa anatafsiri biblia kiroho lakini ndacha anafsiri kimwili
@gabrielsaelie80912 ай бұрын
Mwakemwa anatetea imani ya Utatu na ukatolic wake bila kuwa a ujuzi wa kutosha wa kutetea imani hiyo ya uwongo aliyoasisiwa na lusfer (shetani). Imani ya utatu ni upagani wa Kirumi ulioingizwa kanisani kupitia kanisa katoliki la Roma mwaka 325 AD. Uwongo huo wa kuogofya sana wa fundisho la Mungu mmoja katika utatu wa mungu baba, mungu mwana mungu roho mtakatifu umebadilisha UKWELI kuwa Mungu ni Mmoja ambaye ni Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo. " "MAKANISA" yanayoendesha ibada katika imani ya Utatu wa Mungu mmoja wa Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu ni ibada bandia na ni chukizo kuu la ukweli wa Mungu. Soma Ezekiel 8: 4-16
@MohamedMohamed-u3t1n4 ай бұрын
A LOT OF CONTRADICTION IN THE BIBLE😢
@AareMjungu2 ай бұрын
there's no contradictions in the Bible unless you choose to believe so.
@imanikilongo15584 ай бұрын
Nahapo umesoma yohana mbona imesema ameshikana na baba
@MohamedMohamed-u3t1n4 ай бұрын
Uzima wa milele ndio huu wakujue wewe MUNGU WA PEKEE NA WAKWELI pekee maana yake hakuna mungu mwengine sasa yesu anakuaje mungu wewe ndacha?? hivi inaingia akilini kweli
@ChristianEinstein-t2j4 ай бұрын
Hivi unajua ndacha anatetea kitu gan?? Acha kukurupuka bro ndacha hajasema kuwa yesu ni Mungu Wala kuukubali utatu
@MohamedMohamed-u3t1n4 ай бұрын
@@ChristianEinstein-t2j wewe ndio umekurupuka ndacha ana mdahalo mzima kafanya na sule anasema yesu mungu leo unasema hajasema yesu mungu yaani jitafakarini na jifunzeni bila jazba maandiko
@SamsonKihika2 ай бұрын
1:12:29
@SamsonKihika2 ай бұрын
We love you mwalimu dacha, Mungu akulinde
@SamsonKihika2 ай бұрын
Kwa kweli tumepata nuru kubwa kupitia mafundisho yako
@intelligencyeducationАй бұрын
Kutoka 24:9 Ndipo akakwea juu, Musa, na haruni, na Nadabu, na Abihu, na watu sabini miongoni mwa wazee wa Israeli; 10. wakamwona Mungu wa Israeli; chini ya miguu yake palikuwa na kama sakafu iliyofanyizwa kwa yakuti samawi, kama zile mbingu zenyewe kwa usafi wake. 11. Naye hakuweka mkono wake juu ya hao wakuu wa wana wa Israeli; nao wakamwona Mungu, wakala na kunywa.