'Mashaallah kipindi ni kizuri sana mno mufiydu kwa wajuao faidayke.. na kuchanganua yasemwayo Allah ajalie tawfiyq muendelee kutuelimisha pmja na kizazi chetu kwa ujumla wke.. ahsanten kwa ujumla wenu Khususan sk. Ust. Dr. Omar mama Fatma pmja na ndugu mtangazaji.. shukran sana'
@RashidiAlly-cl7fo17 күн бұрын
Na hawa wafanya biashara wanaoleta nguo za ovyo zisizoendana na maadili yetu,jambo hili munaliangaliaje?
@RashidiAlly-cl7fo17 күн бұрын
Hawa vijana wa kiume wanaosokota nywele na kuvaa suruali zilizochanwa kwa makusudi kwenye mapaja,haya munayaona?,na jee! ni hatua gani zimechukuliwa hadi sasa?