Tumeelewa,mashallah ilaa tatizo la zanzibar unalijuwa shekhe wetu kuwa,nchi yetu ina viongozi majambazi mpaka wauwe ndiyo watawale,kwaiyo nasisi wananchi hii hali tumeichoka kama mbwai naiwe mbwai lakini huu mwaka tutajuwa mmoja kuwa mkowa au mamlaka kamili
@hafia.05612 күн бұрын
Asalam alaikum wrhmtllah wbrkth. It's very very true Dawar eeeee. Peoples needs true Dawar always. Please please 🙏 give us Dawar understanding for all. Thank you very much sheikh.
@nailamohd-wn6sb12 күн бұрын
Mbona tunaipenda nchi yetu saana tuu na hatupendi tupate matatizo kwenye nchi yetu. Tatizo linakuja hapa kwenye uchaguzi wananchi hawana matatizo hata njukuti ya kupiga kunguni hana ni viongozi ndio wenye matatizo hawataki kushindwa uchaguzi wakiona mambo yashakua magumu kwao wanakamata watu kuwapiga kuwauwa kuwafanya vilema ili tuu aendelee kutawala. Waambieni viongozi wananchi hawana matatizo.
@thuwenmbarouk269412 күн бұрын
W.msalam Kwa kweli Elimu sana nathani Wanao simamia mamlaka wakihubiri kama unavyo toa maneno mazuri kama haya Nathani hada Damu ya kunguni hatuta iona mda wa uchaguzi na vile vile Tujiulize kwa nini? Tunahubiri lakini kama kuna chembe ya Mwega fulani tutafsiri kwamba mfalme Balkissi Alinusuru dola na nchi yake kwa kujua samani ya Raia wake bila kujali tunatakiwa tu jali Raia wetu