JE SHEKH BIN BAZ ALIKIMBIA MJADALA ? | MAJIBU KWA MASHIA GOLO SHAFII BASALIM | TOKOMEZA USHIA

  Рет қаралды 2,210

abuu all maan lushoto mlalo

abuu all maan lushoto mlalo

Күн бұрын

Пікірлер: 78
@khalidabas252
@khalidabas252 2 ай бұрын
Allah Akbar TOKOMEZA USHIA
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
Ahsante shekh abu all man allah akuhifadhi kwa kuwa rudi hawa ahlu bidaah maibadhi na mfano wake
@SalehLoffy-kn6oh
@SalehLoffy-kn6oh 3 күн бұрын
Kwani watu hawana akili nyinyi mnaanza kuchokoza watu watu wakitaka kujibu mnakimbia duh kweli mmepnda kwani wao Mawahabi wanashushiwa wahy ili kuijua Haki lazima ukapambane na watu wabatwil ikiwa mnaogopa mtaondosha vipi?
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 2 ай бұрын
Hizi hoja zenu zinawaumbua wenyewe, sasa unataka kubainisha hakki na una ubakika unakimbia nn eti kisa elimu ndogo sasa huyo siwakutwanga tu? Khofu juu yakubainishwa hakki imemjia Rahimahu llahu
@AhmedAlharithiy-sg5cq
@AhmedAlharithiy-sg5cq 2 ай бұрын
Sema ukweli shekhe japokuwa ni uchungu kwako Hayo unayo sema sio ya kweli soma manene yako ulio sema ya ongo Mwanzo umekiri kama shekhe ibnu bazi kamwambia shekhe alkhalily kama nimtu mwenye elimu nyingi na maarifa makubwa
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 2 ай бұрын
Ila Mawahabi kwenye itikadi ndio siwakubali...Mungu wa Mawahabi ana Sura, ana mikono, ana miguu, ana masikio, ana macho, ana nywele, Kwa iyo Allah akisema jinsia yake ya kiume, mutasema ana nini? Eti wanatwambia ana mikono lakini mikono yake anaijua mwenyewe jinsi ilivo...Astaghfirullah wanasema kakaa katika Arshi kwa atakua ana makalio?... Itikadi mbovu ya shirki...Kila cku mnasoma kwenye lugha lakini hamuelewi.... Kweli ufahamu nao ni rizki...Ukiambiwa serekali ina mkono mrefu, kwa iyo apa mtafahamu serekali ina mkono?
@ramadhanramadhan4948
@ramadhanramadhan4948 Ай бұрын
Kwa hio zile Aya zinazosema ALLAH ana mkono ww unazitafsiri vp? Mm naomba hio mkono ww una tafsir vp?
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 2 ай бұрын
Uzur hadi sasa huenda yupo hai Sheikh Alkhalily Kusanyikeni mutafute size yke sasa mukahojiane nae
@abdukhan4718
@abdukhan4718 2 ай бұрын
Muogope Allah Masheh Wote wana Elimu...kuwa na Usawa
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 2 ай бұрын
Watu wa bidaa Hawana Elimu
@SalehLofy
@SalehLofy 2 ай бұрын
Ama kweli Haki ni ngumu Mufti wenu anaogopa kudhihirisha itikadi kwa dalili mbele ya watu wenye elimu wewe mwanafunzi utasema Nini? Mtawadanganya baadhi lakn hamuwezi kuwadanga wote halali iko wazi na haramu iko wazi
@SalehLofy
@SalehLofy 2 ай бұрын
Mawahabi ni watu wa siasa hoja sio kusema je anaushahidi na itikadi yake katka Quran na Sunna
@AjatAJAT-ef8tm
@AjatAJAT-ef8tm 2 ай бұрын
Iko katika Qurani na Sunnah
@SoudSanawari
@SoudSanawari 2 ай бұрын
Kipimo gani cha elimu acha ujinga we mwenyewe zwazwa
@SoudSanawari
@SoudSanawari 2 ай бұрын
Alkhalil yuko hai mleteni yoyote mnaemtaka kwa sasa
@KassimIsmail-q1j
@KassimIsmail-q1j 2 ай бұрын
Shekhe ingekuw vzur ukalifuatilia hilo tukio tokea chanzo chake halfu ndio ukawambia watu kuwa alikuwa kuf-u au laa Na unasema alitak kumpa umaarufu wakat sheikh ahmad alikuw maarufu pia sababu ndio alokuwa karibu san na mfalme wa Oman km ambavo alikuw sheikh ibnu baaz, wacheni kubabaisha watu.
@AjatAJAT-ef8tm
@AjatAJAT-ef8tm 2 ай бұрын
Mukipewa dalili mwasema mwa babaishwa mwataka story za paka na panya
@KassimIsmail-q1j
@KassimIsmail-q1j 2 ай бұрын
@@AjatAJAT-ef8tm mm simtetei wala kumkandamiza mmoja wao ila ni mambo ambayo yanafahamik na pande zot mbili ukickiliz bc unajua ukweli upo wapi,, muhimu ni haki sio ushabiki
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 2 ай бұрын
Wamezoea kudanganya tu hawa Hata maelezo yke haya anajichaganya tu mara anakataa mara anakubali
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 2 ай бұрын
Mawahabi ndo watu gani ewe mshia katika ubora wako?
@SoudSanawari
@SoudSanawari 2 ай бұрын
Kumpa umashuhuri kwa hiyo bin baaz alikuwa HAASID
@Irfaan-k1j
@Irfaan-k1j 2 ай бұрын
Sifa nyingi kwa ibnu baaz pia pumba nyingi kwa msemaji na hizo sababu za kukataa hazina mashiko.
@MohammedSleyyum-g9r
@MohammedSleyyum-g9r 2 ай бұрын
Tafuteni elimu Kwanza ndio murushe comments
@Kassimwere-r5l
@Kassimwere-r5l 2 ай бұрын
Sure
@abumuhammadmbwana3964
@abumuhammadmbwana3964 2 ай бұрын
Sheikh unaongea ushabiki tu hakuna cha maana unachokiongea kwani Sheikh Ahmad umehudhuria darsa zake ukamuona kua hana ilmu
@SalehRashid-f9r
@SalehRashid-f9r 2 ай бұрын
Kama sheik alkhalili hakuwa na elimu vipi ibinbazi amualike mtu Ambae Hana elimu?
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 2 ай бұрын
Suali amekimbia au Hajakimbia!? Mengine ni Kutetea wafu tu.
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 2 ай бұрын
mara nying watu wa bidaa hiyo ndio tabia yao.Kutumia hisia za watu. Mijadala yakataliwa ktk uislam kwa sbb mingine haina faida. alipaswa Aseme Kuwe na Majibizano kisha Iwekwe mitandaoni Hizo ruduudi tu basi.
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 2 ай бұрын
GOLO VIPI BASALIM amepata wapi jina la kiarabu
@adamcity9441
@adamcity9441 2 ай бұрын
Mjadala ulikuwa uwe baina ya Mufti wa Oman na Mufti wa Saudia sasa kama Mufti wa Saudi kakimbia kwa nini alikubali kuwa Mufti wa Saudia.
@zahranlofymbarouk7407
@zahranlofymbarouk7407 Ай бұрын
Sasa utakimbiaje na mtu mwenye elimu NDOGO mafala wakubwa
@nassorseif2799
@nassorseif2799 2 ай бұрын
Sasa saizi yake ilikua ni ipi na hali ya kua bin baaz alikua mufti wa saudia na khalili alikua mufti wa oman vip khalili asiwe mashuhuri na hali ya kuwa ni mufti bado hujaleta hoja zenye mashiko
@SalehLofy
@SalehLofy 2 ай бұрын
Jamani mwenye akili haitaji maelezo huyu sh khalily ni Mufti wa maibadh kwaio maibadh wanamuona anaelimu na sh Ibnu Baaz n Mufti wa Mawahabi kwaio Mawahabi wanaamini Sh Ibnu Baaz ana elimu iko wazi hoja ni Quran na Sunna
@AhmedAlharithiy-sg5cq
@AhmedAlharithiy-sg5cq 2 ай бұрын
Sema katika hostoria ya mashekhe wa kiwahabi huwa wanakataa mijadala wanapo kutana na mashekhe wakubwa wenye hoja Kama shekhe ibnu bazi na huo ulio wataja
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 2 ай бұрын
Ange vaa gunia
@HemedAbdullaSuleiman
@HemedAbdullaSuleiman 2 ай бұрын
Sio Ibnu Bazi tu hakuna sheikh wowote wa Kiwahabi anaeweza kufanya mjadala wa wazi... Wanachoweza wao ni kutukana watu mitandaoni tu...Mawahabi hawana Inswaaf katika dini. Wanachoweza wao ni kuongea pekeyao tu
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 2 ай бұрын
Kukimbia Si Aibu kubwa,ni Moja ya kwenda kujipanga UPYA
@GhalibLindi
@GhalibLindi 2 ай бұрын
Jee ibn baaz, alikubali mjadala au alikataa, ndio hoja ya kujadili
@salimobeid1470
@salimobeid1470 2 ай бұрын
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bin Baz kachemka sana mjadala na kaonesha ni jinsi gani alivokua hana elimu wallah poleni sana wahab kwa imamu wenu huyo
@adamcity9441
@adamcity9441 2 ай бұрын
Bin Baaz alikuwa bwege tu mbele ya Shaikh Ahmed Al khalili
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 2 ай бұрын
Hapana haifai kumtaja Kwa sifa hizo ingawa hapo alichemka Kwa Shekh Alkhalily Hafidhahullahu Alaihi
@SoudSanawari
@SoudSanawari 2 ай бұрын
Bin alikuwa hana hoja
@abumuhammadmbwana3964
@abumuhammadmbwana3964 2 ай бұрын
Sheikh Alkhalil ni bahri wacha kuongea vitu visivyo na maana
@KikwaleRashid
@KikwaleRashid 2 ай бұрын
Kama alikimbia simkubali tu
@awadhsaleh3929
@awadhsaleh3929 2 ай бұрын
GOLO si kama pesaza mashia hata underware hawezi kuvaa
@medinaser9712
@medinaser9712 2 ай бұрын
Shekhe sababu zote hazina mashikiko khalil ulimwengu mzina mamuft wanauliza maswali kwa khalil .kwa swali alio ulizwa khalil ni wewe kutofahamu 0 na o ibin zai alimwitwa khalil kwa kuwa alijuwa ni mtu alim ....je wewe tukuweke wapi ikiwa ibin bazi alikatata idaa isisambae vipi wewe wazisambaza ...
@minaziparasu9074
@minaziparasu9074 2 ай бұрын
Usipige kelelee saana Alkhalily yupohai jiandae nakulipia gharama za safari zote mpaka utakaporejea uende Omani ukampe hio Akiida yahaki aliioshindwa kuitdhihirisha ibnibaazi ili mufti wa Omani nafuasi wake wapate kuijua haki nakuslimu. We MLA makande KUA naAdabu MBELE ya Alkhalily Na Maibadh
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 2 ай бұрын
Wanavyo muogopa sasa huyo
@ramadhanramadhan4948
@ramadhanramadhan4948 Ай бұрын
​@@allymbarouk5362anaogopwa na nani? Shekh fauzaan yupo na Ako na itikadi kama za ibn baaz bas na Khalil amfate saudia
@ramadhanramadhan4948
@ramadhanramadhan4948 Ай бұрын
Tizameni pande zote msibeze upande mmoja
@JumaKibure
@JumaKibure 2 ай бұрын
Una uhakika ndio majibu ya ibun bazi?kwa huyo ibadhwi
@medinaser9712
@medinaser9712 2 ай бұрын
Yaelekea wewe uwezo wako mdogo usijibu utagizolea majukumu kwa allah
@AhmedAlharithiy-sg5cq
@AhmedAlharithiy-sg5cq 2 ай бұрын
Jifunze shekhe hivi mbona mashekhe kila mara wafanya mijada na wasio kuwa waisilimu kuhusu uislamu
@matendupiterngoge8707
@matendupiterngoge8707 2 ай бұрын
Hao ship masheikh Sasa sule nisheikh?
@IvetaSteven-b9z
@IvetaSteven-b9z 2 ай бұрын
BAADA YA IBNU BAZI KUKIMBIA AMEKUJA MTETEZI WAKE
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 2 ай бұрын
Bado hujataka kutubu? Manake ushafanya fitna nyingi, umetukana Maswahaba( Radhwiya LLAHU a'nhum ).
@FarahJey
@FarahJey 2 ай бұрын
Maauabu wanao msikiliza huyu Shia,sababu itikadi zake kwa maswahaba ni chafu,pia wengine anawakufurisha,sasa nyinyi munao mfuata,mutKuwa pia munakufurisha maswahaba
@SaidJuma-ru7vm
@SaidJuma-ru7vm 2 ай бұрын
Kwani maswahaba wote ni wema...?
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 2 ай бұрын
😂😂😂 na kama anaelimu kweli huyoo bin bazi wako kwanni aogope kutangaza hakii 😂😂😂 acha kutufanya sisi kama watoto wadogoo 😂 ukweli utabakia tu kuwa ni ukweli hata mukijaribu kuufichaa , nyinyi mawahabii uwongo ndio sifaa zenuu hamuna jengine😂😂
@AjatAJAT-ef8tm
@AjatAJAT-ef8tm 2 ай бұрын
Kwa hivyo Allah hatoonekana siku ya kiyama
@AjatAJAT-ef8tm
@AjatAJAT-ef8tm 2 ай бұрын
Alafu Waamini kuwa Qurani ni kiumbe si maneno ya Allah
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 2 ай бұрын
uwahabi maanake nn??Naona waropoka
@MohammedSleyyum-g9r
@MohammedSleyyum-g9r 2 ай бұрын
Hizo ni kejeli Tu.
@ameirameir4349
@ameirameir4349 2 ай бұрын
Golo kibaraka wa mashia
@Santana-vu1dn
@Santana-vu1dn 2 ай бұрын
MaKhwawarij wamepinda
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
MAWAHABI MNAOGOPA MSIJIBABAISHE
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
NYIEEE MAWAHABI MNAMTETEA MAITY HALI MWENYEWE ALIKIMBIA MJADALA 😂. HIZO POROJO ZENU ZINABAINISHA WAZI UKWELI WA KUKIMBIA MJADALA IBN BAAZ KUMKIMBIA SHEIKH ALKHALIL. HIO UMASHUHURI AU KUTOKUWA UMASHUHURI INAKHUSU NINI KATIKA KUPELEKA HAQQI?. KWANI HUYU SHEIKH ALKHALIL ALIKUWA HANA WAFUASI NA JEE WAFUASI WA SHEIKH ALKHALIL DUNIANI KOTE KULE HAWAHITAJI KUMFUATA IBN BAAZ KAMA IBN BAAZ NI MSEMA UKWELI?😂😂😂. MAWAHABI MNA VITUKO KAZI POROJO TUU
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
IBN BAAZ KAKATA SHOSHORO , KAWAACHIA WAFUASI WAKE AIBU HAITASAHAULIKA. KAMA MUHAMMAD BACHU ALIPOJIKIJOLEA AKAKATA SHOSHORO😂😂😂
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
IBN BAAZ SHOSHORO kumkimbia MUFTI WA Oman ALKHALIL
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 ww unae sema hivi mche mola wako utaenda ulizwa lini bachu kajikojolea watu wa bidaah akili zenu mbovu kweli zimekaa kama bidaa zenu mzifanyazo Sasa ukiona mtu anakata kiuno mbele za watu maulidini na nimwanaume huyo ni mzima Sasa acha uzushi nyi kuwazushia watu ndo zenu, kama mmemzushia mtume mtashindwa wazushia watu wa kawaida mashekhe
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 watu wa bidaa hamna akili akili zenu zimeharibiwa na uzushi yani ni watu wa ovyo ovyo sana kitikadi na Imani zenu potovu kuwasema vibaya maulamaa wa ahlsuna
@sama-_8368
@sama-_8368 2 ай бұрын
Mimi sio ibadhi wala sio shia ila nyie mnao itwa Wahabi ACHENI KIBRI. Unaogopaje kujadili na mtu ili uitangaze haki kwa watu kupitia huyo?
@adamcity9441
@adamcity9441 2 ай бұрын
Bin Baaz ana elimu gani ? Anasema mungu ana kivuli na Uthaymeen anasema anaesema mungu ana kivuli ni punda.
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 2 ай бұрын
Acha ujinga wewe,maelezo ya bin Bazi na yako tofauti ,hakusema eti wewe sio saizi yangu,mbona nyie mnataaswubi ,kakimbia na angeaibika
USTADHI SHAFII APINGA UTATU MTAKATIFU, AWAUMBUA UST DANIEL MWANKEMWA NA MCH. NDACHA
26:09
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 89 МЛН
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3 МЛН
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 18 М.
RADDI KWA QAASIM MAFUTA NA GENGE LAKE
14:23
FAWAAID za KIELIMU
Рет қаралды 8 М.
MISIMAMO YA MASHEIKH  DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA
28:05
MCHUNGAJI AWATAKA WAKRISTO WOTE KUMZOMEA MH. RAISI SIKU YA IBADA
39:23
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 20 М.
RADD UPOTEVU WA KISHKI, DR. SULLE, ABDUL ROGO |SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA
1:10:34
KITABU|UMDATUL AHKAAM |MAJLISI |41|
40:18
abuu all maan lushoto mlalo
Рет қаралды 14
MAWAHABI WAO KWA WAO WANATIYANA KATIKA BIDA.       BY SHEKH AHMAD MBARAK AWES
5:55
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 89 МЛН