MCHUNGAJI AWATAKA WAKRISTO WOTE KUMZOMEA MH. RAISI SIKU YA IBADA

  Рет қаралды 12,425

SHEIKH MWAIPOPO TV

SHEIKH MWAIPOPO TV

Күн бұрын

#muhubirimwaipopo #sheikhmwaipopo #sheikhmwaipopotv

Пікірлер: 295
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 6 күн бұрын
Samia Suruhu ndio Rais bora Africa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 күн бұрын
Samia for Presidency 2025
@mussakilo4916
@mussakilo4916 5 күн бұрын
Kweli samia ni bonge la kiongozi mitano tena watanzania tuna wajua walio na nia mbov na nchi yetu
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 4 күн бұрын
AHSANTE SHEIKH MWAIPOPO, TUTAGAWANA MBAO SOON NA CHAGADEMA TAWI LA KANISA
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 5 күн бұрын
Ametukosea heshima kanisa
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 4 күн бұрын
Tunakushukuru sana mhadhiri mwaipopo kwa kuweka ukweli bayana hawa wachungaji michongo watatuletea balaa sana
@saidymbila57
@saidymbila57 7 күн бұрын
Hata Mimi nauugana sana na Mr msiba kwa hili hao chadema wanahusika sana kwenye haya mbo ya utekaji serekali wafatilie tu
@aasatt78
@aasatt78 7 күн бұрын
Kama chadema wanahusika washakamatwa zamani ni hao hao usalama wa taifa ndio wenye uwezo wa kufanya wanachotaka na hakuna anaeweza kuwafanya chochote
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 6 күн бұрын
@@saidymbila57 unatombwa sio bure
@JoshuaSalimu
@JoshuaSalimu 6 күн бұрын
@@saidymbila57 kama chadema ndo wanaoteka polis si iwakate, kz ya polisi nini?
@RubyMasuku-x5r
@RubyMasuku-x5r 4 күн бұрын
Jamani huu siyo mzaaa Nani mzuri Nani mbaya kinacho takiwahuu utekaji ufike mwisho wanakufa nibinadamu kama sisi
@RubyMasuku-x5r
@RubyMasuku-x5r 4 күн бұрын
Muache kuchochea udini tushikama nekutokomezeza h uuukatili
@mohamedS-yd9wh
@mohamedS-yd9wh 6 күн бұрын
Sheikh Mwaipopo sisi tunajau Nabii huchaguliwa na Mwenyezi Mungu tu. Nabii anayejitangaza ni nabii kidhabu, hayo yanajulikana,
@chedielimrutu6955
@chedielimrutu6955 3 күн бұрын
Hongera sana Sheikh wewe ni mzalendo na umesema ukweli. Rais Samia ni mwema na mtulivu sana. Mungu amlinde
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 7 күн бұрын
CHADEMA WALIAMUA KUMTEKA MUISLAM ILI WAUNGWE MKONO NA WAISLAAM NA WAMEVAA KANZU NA BARAGHASHIA ILI KUWASHAWISHI WAISLAAM KIJIUNGA NA CHADEMA
@GaboGabby
@GaboGabby 6 күн бұрын
DUU UWEZO MDOGO WA AKILI...KILAZA KWELII WEWE.
@HASSANWAZIRIGAO
@HASSANWAZIRIGAO 6 күн бұрын
@@GaboGabby WEWE HUWAJUI CHADEMA PIA HUMJUI MBOE MAKOMANDOO ALIWATAFUTA KW KAZI GANI
@user-bo2ms3pu6u
@user-bo2ms3pu6u 6 күн бұрын
Kweli hawana jengine isipokuwa ni udini tuu kwa samia ili waislam wamchukie ​@@HASSANWAZIRIGAO
@thamani5842
@thamani5842 6 күн бұрын
Jazakallahulkheir Sheikh, TUNAKUELEWA SANA.
@madetetv6576
@madetetv6576 6 күн бұрын
Kweli ww ni mpumbavu ndugu yangu kwahio chadema wanamiliki silaha nzito kama zile ambazo zinatumiwa na usalama wa taifa? Chadema wasimqmishe gari barabarani na serikali isiwafanye chochote tuache utoto​@@HASSANWAZIRIGAO
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs 5 күн бұрын
Huyu si mchungaji bali ni mpuuuzi hili jizeee latokea wapi?
@user-gy5en6cy8o
@user-gy5en6cy8o 3 күн бұрын
Jazakhalakher ustadh wang Allah akulinde 🙏
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 5 күн бұрын
Mama Samia ni Rais Mzuri hawa wote wanafanza kutaka kumharibia kwanza kwa sababu ni Mzanzibar, Muislam na Anaongoza uzuri na Anaganza mazuri, sisi tunampenda na tuko nae na tunampa kura zote hao wameumia sana, Shekh maneno yako ni kweli ni chuki tu
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 6 күн бұрын
Huyu kafiri chungaji lilaaniwe na watu wote waseme aamin
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 6 күн бұрын
Aaaamin
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 7 күн бұрын
Mama samia mitano tena atakama watachukia
@zedyabdulrwabilingo9042
@zedyabdulrwabilingo9042 6 күн бұрын
We kiazi kabisa wala hufai kuendelea kuishi, Namuomba Allah akufishe kabra ya huo uchaguzi kufika Insha Allah.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 6 күн бұрын
Kutekwa kwa watu ni kitendo cha kishetani na hakikubaliki. Ila kutekwa watu ni kwa Awamu zote tena mauwaji ya wazi2 yaliyotokea kbl ya Rais Samia. Hizo ni chuki za viongozi wa wakiristo kutoa kauli za kashfa na na matusi kumchafua Rais kwa sababu ni muislamu. Mwaipopo kweli umenena jambo.
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 5 күн бұрын
@@zedyabdulrwabilingo9042 ameen
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 4 күн бұрын
Mitano Tena kwa kweli
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 6 күн бұрын
SAMIA OYEEEEEEE CCM SAFIIIIIIIII MASAUNI SAFIIIIIIIII
@JohnArobogast
@JohnArobogast 3 күн бұрын
Umepotea kabla haujafika
@muhammednassor3569
@muhammednassor3569 Күн бұрын
Very good
@yanifaakukufaa9032
@yanifaakukufaa9032 5 күн бұрын
Hehehehehhee chadema kweli watekaji
@binseif2216
@binseif2216 6 күн бұрын
Chadema hatuwapi nchi ni wa Dini sana na wakabila
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 күн бұрын
Mwaipopo umeongea point kubwa sana👍
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 6 күн бұрын
Ndo Maana nachukia siasa baba yangu alikuwa kada Wa cuf kwel kwel mie ulikuwa hunambii kitu kuhusu chadema lakn Sasa sitak kusikia Chama chochote Sabab inanfanya nakuwa mbali na mungu wangu uongo mwingi mbinu chaf nying lengo Kumfanya kiongoz Wa Nchi aonekane mbaya wapo tayar kuharibu ofic hata kudhur Wa karib ktk wafuas wao ili aonekane mtawala Wa serikali mbovu kiongoz Wa Nchi hafai ilhal mbinu wanazifanya wao washenz Wa kubwa sitak kusikia siasa utakuta a kwa muumba wetu ukwel utakuwa wazi
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 7 күн бұрын
TUNAMZOMEA BABA YAKO NA MAMA YAKO ALOKUZAA ,WOOO WOOO WOOO , NI HASARA KUZAA BINADAM KAMA HUYUU , UZIDI KUZOMEWA WOOOOOOOOOO
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 7 күн бұрын
MIJITU ILOKOSA HEKIMA WAFUNDISHE HAO WAPANDAJI CHUKI KAMA WALIVOFANYA RUWANDA , MCHUNGAJI ASOJITAMBUWA
@AsaMtuli
@AsaMtuli 6 күн бұрын
Jamani msameheni huyo mchungaji hajui alitendalo because hakuna mtume kwa wakati huu so huyu ni kama kiboko ya wachawi tu 😅
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
😂😂
@binseif2216
@binseif2216 6 күн бұрын
Huyo askofu kashindwa kuwapa andiko ukristo dini ya Mungu ndani ya bible kaamua kuingilia siasa
@franciscarsongea7948
@franciscarsongea7948 5 күн бұрын
Shehe usiseme wakristo wote hapo znapoongea wapo wangapi anaongea pèke Yake kwaakili Yake kwanini useme wakristo wewe ndio mchochezi kuchanganya wakristo wote 😂
@JumaHiza-mq7ch
@JumaHiza-mq7ch 5 күн бұрын
Huyu nimchungaji mbwa aliyo zungumzwa ktk kitabu cha isaya15 45
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 4 күн бұрын
Ngumaninananyokwenaengumaniaaaaaaaaaaaa
@user-sc4ql5kf9v
@user-sc4ql5kf9v 7 күн бұрын
Mama Samia mitano tena
@hamidmussa838
@hamidmussa838 6 күн бұрын
Tuko Makini Waislam.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 күн бұрын
We stand with Palestine! We stand with Samia 2025!
@user-lb1nb2ls9g
@user-lb1nb2ls9g 4 күн бұрын
Uislam hauna chama chake chakuunga mkono, nachama ambacho uislam hauungi mkono, ila waislama kila mmoja anachama anachokiunga mkono yeye kama yeye, hivyo hoja yako haina uhalisia wowote, kuweni makini na udini.
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 4 күн бұрын
Kalale mjinga namba moja
@lulumatawalo7805
@lulumatawalo7805 5 күн бұрын
Mchungaji kachemka.Biblia inaainisha wazi kwamba ;"Mamlaka zote zilizopo zimewekwa na Mungu " , vilevile tumeagizwa tutii hizo mamlaka. Huyu aombe rehema,hajitambuwi.
@mwanaidrashid5226
@mwanaidrashid5226 4 күн бұрын
Chadema.ndio.watekaji.ndomana.makufuli.alikataA.maandamano
@augustinechitemo8207
@augustinechitemo8207 6 күн бұрын
Kwani aliyoongea mchungaji ni uongo? Wee tatizo lako unaongelea ukristo na uislam na unajaribu kujipendekeza Kwa serikali huna lolote
@AliAhmed-m1o2u
@AliAhmed-m1o2u 5 күн бұрын
Wewe nawe chizi kama yule mchungaji pumbavu mnalo jambo lenu nyie tunawajua nguruwe nyie
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 4 күн бұрын
Sasa kama mchungaji anasema kweli, kwanini aseme kupitia Biblia? Vipi yeye mchumgaji akitumia Biblia kuuzomea Samia halafu iwe kosa kwa Mwaipopo kuutumia Uislam kumtetea Samia?
@RamadhanMakame-ke4cf
@RamadhanMakame-ke4cf 4 күн бұрын
Wacha kusapoti ujinga ww na iyo mchungaji sio Watanzania tuwachieni amani yt na muondoke pandikizi tu nyinyi
@asbornkaduga6001
@asbornkaduga6001 2 күн бұрын
Nimemshangaa sana askofu huyu,labda kama ni askofu wa Chadema anawakilisha dini yake ya Chadema sio anawasemea watanzania .
@hasanimkamba8377
@hasanimkamba8377 Күн бұрын
chadema wanapenda kutafuta kiki sana haswa ikikalibia uchaguzi
@azizikalembo931
@azizikalembo931 10 сағат бұрын
Huyu mchungaji ni mpuuzi, ni msenge, anafirwa.
@sharifajosia879
@sharifajosia879 3 күн бұрын
CHADEMA MKOME TUMESHAWAJUA HATUWATAKI MSITUGOMBANISHE NA SERIKALI SISI TUNAWAPENDA VIONGOZI WOTE WA SERIKARI KUANZIA RAIS MPAKA POLICE NA MAJESHI YOTE TUNAWAHESHIM SANA NYIE CHADEMA MMEFERI ALIWATUMA KACHEMKA MTAUMBUKA NA BADO MTAUMBUKA KAMA BABU YENU FIR AUN.
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 4 сағат бұрын
Uyu jamaaa Afai kuwa kiongozi,nisawa na kiboko wa wachawi anapenda sana kujionesha kujua sana kumbe zero.acha Udharimu.Kwa haya ulio ongea una faida ya sh ngapi? Kama so ufukra?Sikupendi maana unatabia za ovyo.
@zuberisalum2004
@zuberisalum2004 Күн бұрын
Bange
@AllyMsafari
@AllyMsafari 4 күн бұрын
Chadema wanajitekenya na kucheka , wenyewe ,wameona KUPATIA sera zao hawawezi KUPATA ushindi kwenye uchaguzi na kukamata Dola, sasa Wana Fanya njia za kudeka watu ili wananchi waichukie serikali Yao ili wawachague wao. Wanataka ushindi nje ya uwanja kwa mbinu za kudeka watu kuichafua serikali
@AnnaMahene
@AnnaMahene 4 күн бұрын
CCM oyee mama Samia nakupenda nakupa mitano tena mimi ni mkristo huyo mchungaji na kanisa lake afungiwe analiaibisha kanisa
@BjleonardBhianda
@BjleonardBhianda 3 күн бұрын
Dr Samia Suluhu Hassan wewe ni raisi wa Watanzania wote,na sisi tulio wengi miongoni mwa wakristo tunakupenda na tunakuunga mkono,hawakosekani baadhi ya watu wachache wenye mtazamo wa kidini,kikabila na kimaeneo,wamevaa majoo ya uaskofu kumbe ndani yao ni wanasiasa wenye siasa za chuki,raisi Dr Samia Suluhu ni raisi muungwana mwenye ubinadamu sana alimfuata Tundu Lisu Ubeligiji arudi nchini kwa amani,kuna usemi unasema tenda wema nends zako!Samia si wa kufanyiwa vitimbi kama hivi ni mwema sana,lakini usijali mama fanya kazi Mungu atakulipa,Muhammad pamoja na wema wao walitendwa mabaya.usijali sisi tulio wengi tupo pamoja na wewe.Biblia takatifu au Yesu mwenyewe hakuwa na chuki hata walipomtenda mabaya yeye aliwabariki,huyu mchungaji hakutumwa na Yesu kajituma mwenyewe!,kumzomea kiongozi ambaye kwa kweli Mungu ndiye kamweka hapo ni dhambi,hakujipeleka Ikulu mwenyewe,kuna wa ngapi walitamani sana kuwa maraisi lakini hawakupata?! ni Mungu mwenyewe ndiye aliyeridhia mama yetu kuwa katika jumba hilo jeupe,watu wote ni wajibu wetu kumpenda na kumwombe...kama kweli unampenda Mungu huwezi kuacha kumwombea raisi na srrikali yake..Mimi naungana na watanzania walio wengi kumuunga mkono raisi wetu...raisi wetu ni Mtanzania hakutoka Nigeria au nchi yoyote..eitha raisi atatoka Tanzania bara au Zanzibar..anapotokea sehemu moja wapo ya muungano huyo ni raisi wetu wote..zinapotokea kauli za kibaguzi tuzipinge..Mimi kama Mkristo na wakristo wote tumpinge huyu mchungaji kwa sababu kauli zake ni za kibaguzi na kutaka kuligawanya taifa letu kwa misingi ya dini,ukabila na ukanda..Nyerere aliwahi kusema ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu,tuache kabisa mambo hayo ya ubaguzi ni dhambi. Mungu mbariki na kumlinda raisi wetu,muungano wetu na watu wake,upendo na mshikamano.Amina.
@user-sc4ql5kf9v
@user-sc4ql5kf9v 7 күн бұрын
Waislam tupo makini .......
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 7 күн бұрын
Sheikh Mwaipopo,huo ndiyo ukweli Baadhi ya jamii za Kikristo na Wachungaji wao wanachochea kwa wananchi kuichafua na kuto kuipenda Serikali. Hii ni mbaya tunako elekea siyo kuzuri.
@binseif2216
@binseif2216 6 күн бұрын
Huyo mchungaji mwehu
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh 17 сағат бұрын
Weye uliona kama wanajiteka mmmmm? Chunga ulimi kama mwisilam shuruti za kusema jambo kuzomea ni kosa lakini kujiteka siyo sawa
@sharifajosia879
@sharifajosia879 3 күн бұрын
Chadema tulishawajua siku nyingi lengo lao sio zuri hatuwezi kuwachagua sisi tuna akili timam Mama Samia ni Raia mwenye baraka kubwa neema zimeenea Tanzania tangu alipoingia madarakani huyu Samia kaletwa na Mungu kama zawadi kwetu wanyonge tunashukuru baraka zimekuwa kubwa Alhamdulillah tunatamani aongoze miaka yote mpa siku mungu akimchukua ila tunafata katiba ya nchi Samia mitano tenaaaaaa😊😊
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 18 сағат бұрын
Sisi niwenye utambuzi shekhe endelea usiwe nawasi hao niwale ambao wanachukisana hayoniyao jump makanisani
@Elecovid
@Elecovid 9 сағат бұрын
Acha uchochezi ww.raisi mwacheni anapiga kazi
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 3 күн бұрын
Manabii wachumia tumbo wanatakiwa walipe kodi wanakwepa kodi hao manabii
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 3 күн бұрын
Huyu mchunguji mjinga sana, amejidhihirisha mwenyewe km ni muongo nabii gani anaongea ushetani, akapimwe akili huyu
@VenerandaKundi-ph4hg
@VenerandaKundi-ph4hg 4 күн бұрын
Mama Samia bigup Wanataka kukuchafulia cv yako hao karibu wataumbuka TU katibuni waangalie Kwa ukaribu mchungaji feki huyo
@LusiaThom
@LusiaThom 2 күн бұрын
Jamani chadema wanataka kuchafua ali ya ewa wambieni ukwer
@IssaShaban-y7h
@IssaShaban-y7h 10 сағат бұрын
Angekua muislamu ilikua tiari yupo sero
@OmaryMnangwa
@OmaryMnangwa 4 күн бұрын
Wew ni shetani wala wew si binadamu wa kawaida wala aliekufa ni muisilamu wala wakiristo hamuhusiki nae kafiri mkubwa wew shetani
@abdulhakimhassan1795
@abdulhakimhassan1795 3 күн бұрын
Mwaipopo waambie ukweli hao wanatamani fujo itokee nchini na kwao tatizo kubwa ni uislamu ukweli chadema wanatekana wenyewe kwa wenyewe
@wellnesstransportation1490
@wellnesstransportation1490 7 күн бұрын
Mwaipopo unaongea pumba ndo maana hata huna view za kutosha. Huna maana kabisa. Natamani wanao watekwe wauawe halafu urudi hapa tukusikie
@user-td3xz9ej7r
@user-td3xz9ej7r 6 күн бұрын
Sisi huwa hatuangalii namba za views tunachoangalia ni ujumbe wa kweli umefika suala la kukubaliwa na kutokukubaliwa na kazi ya mwenyezimungu.
@AliAhmed-m1o2u
@AliAhmed-m1o2u 5 күн бұрын
Wewe ni mfuasi wa shetani km huyo mchungaji chizi na mbowe mtoto wa ibilisi
@RamadhanMakame-ke4cf
@RamadhanMakame-ke4cf 4 күн бұрын
Aliongea pumba huyo mchungaji wk hata na ww kondoo wake hujielewi unakula nyama badala majani Mungu awaangamize wote wenye nia ovu kwa nchi yt
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 3 күн бұрын
Ukiongea mambo ya kipumbavu, utapata views tu. Mwaipopo hajali mambo ya Views. Tulia wewe KAFIRI.... Mambo ya Waislam yana kuhusu nini wewe Kuffar??
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 Күн бұрын
Wakati wa magufuri mpikuwa hamsemi mmeficha visimi vyenu
@RaheliMollel-v3d
@RaheliMollel-v3d 6 күн бұрын
CCM oyee nijeshii letu yaani wewe mchungaji ujipendi utafichwa
@lamecklugodi6472
@lamecklugodi6472 4 күн бұрын
Si swala la ukristo Wala uislam ni lazima kuitii mamlaka
@RamadhanMakame-ke4cf
@RamadhanMakame-ke4cf 4 күн бұрын
Hivi huyo anaejiita mchungaji ni kweli anawafuasi funga kanisa la wachochezi
@mrok284
@mrok284 3 күн бұрын
Ili askofu kweli ongo. Tanzania c Tanganyika bali ni muungano wa Jamhuri ya watu Zanzibar na Tanganyika.
@SalimMsuya-yg8gu
@SalimMsuya-yg8gu 3 күн бұрын
Duu kumbe huyo Mchungaji anaongea na Watanganyika tu anajiita Mtume amepata Wahayi huyu.
@memorataedson7895
@memorataedson7895 2 күн бұрын
waislam si ndo walimkataa raisi mwanamke mwanzo
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 4 күн бұрын
Hizi zama za sasa hakuna mitume wala nabii wote ni vibokobya wachawi mbwasana
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 3 күн бұрын
Usiwalazimishe watu kipenda samia ameshindw
@RamadhanMakame-ke4cf
@RamadhanMakame-ke4cf 4 күн бұрын
Huyo simchungaji ni mbabaishaji vyombo vinavyohusika vichukue hatua dhidi ya wavunjaji wa amani yt Tanzania
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 5 күн бұрын
Wewe si mtu mwema akuna kitu kama hiko umepungukiwa na hekima akuna Mtume wala Nabii kama wewe Yesu ni wa Amani kama watumishi wengine wa Mungu usitumiye Biblia kwa kutafri vibaya
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 4 күн бұрын
Waislam msitumike na chadema
@abdallaabdalla4416
@abdallaabdalla4416 4 күн бұрын
Huyu mchungaji sijui mtume Mimi nitamteka anamtukana mama etu chadema ni chama Cha watekaji wanatumia macenaries WA south serikali tumia JWTZ hii ni taasisi yenye nidhamu NA uwezo WA kupeleleza NA kumkamata yoyote popote mama usipate TABU wajanja vidume vyenye BUSARA yaani JW watumie watakomesha unyama huu ahsante
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 4 күн бұрын
Hapo nampigia kura samia kumbe wakristo kuna udini sana
@AishaAlly-q2t
@AishaAlly-q2t 5 күн бұрын
Mchungaji anaumwa huyu hv hao waumini anao waongoza wanaakil kwel?
@Omarimakuka
@Omarimakuka 4 күн бұрын
Huyu si mchungaji buyu ni Pumbavu na Akamatwe
@yonaibrahim5112
@yonaibrahim5112 2 күн бұрын
Naona kizunguzugu viongozi wa dini zote wanajibishana ,viongozi wa vyama nao pia wajibishana pasi majibu yenye tija na sisi wanachi tuongozwa na hao wanalumbana mnatakia nn wanaotuongoza? Mm nashauri viongozi wa dini na wa vyama pia tuache serekali ichukue nafasi kupitia vyombo vyake virfanye kazi
@thamani5842
@thamani5842 6 күн бұрын
Chadena wana chuki na wanaubaguzi wa kikanda na dini. Na ao wanojifanya wachungaji hawana uchungaji mmoja. Na huenda wao ndo wana yafanya utekaji na uuwaji ili ionekane serikali ndo inafanya ayo. Hawa wanataka kutuchafulia amani yetu. WATANZANIA amkeni chadema wanajifanya wana akili sana, pengine wao ndo wamemuua, halafu wanajitia kulia.
@AlexMlaba
@AlexMlaba 6 күн бұрын
wachunguze na watuambie watu wote waliotekwa wako wapi na waliompiga lissu risasi tuwajue
@user-ej5ir5pu7r
@user-ej5ir5pu7r 4 күн бұрын
Kamwambie kwanza magufuli achunguze waliopotea wakina sanane
@RamadhanMakame-ke4cf
@RamadhanMakame-ke4cf 4 күн бұрын
Kwa njia hizo chadema hamtoboi sisi Watanzania sio wajinga bora ya Musa kuliko Firauni
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 7 күн бұрын
Mimi nimwislam lakin serikali yetu tumewachoka watu wabaya sana wengi wao wamepoteza watu wengi akiwemo ndugu yangu huu mwaka wanane nae alichukuliwa na usalama wataifa tena akiwa msikitini hii sio serikali bali wauwaji
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 7 күн бұрын
NDUGU HUYO NDUGUYO ALIKUA ANAJISHUHULISHA NA NN AU ANAFANYA KAZI WAPI
@thamani5842
@thamani5842 6 күн бұрын
Hujijui wala hujitambui
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 6 күн бұрын
Mbona unalamba lips kila mara
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 күн бұрын
Kunakitu haiwexekani wamchukuetu bilasababu nakama wamemchukua wao basi Allah karim. Atamlipatu kwaxurma bihiznillah
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 5 күн бұрын
@@HanifaOman-oo4pl nimwambie kitu kuna kipindi walikuwa wanakata waislaam wenye msimamo wengi walipotezwa ndugu yangu nae Allah alikuwa kamjalia kushikamana na dini hakuwahi kuwa mwana siasa kazi yakealikuwa mfanya byishara alikuwa na duka la spare mwanza alikuwa mtu wa watu nasio yeye peke yake niwengi waislaam walipotzwa ajabu walikuja kumkamata mwezi wa Ramadan akiwa msikitini hicho kipindi walikuwa wakuona mtu kafuga ndevu kavaa kazu yake fupi kiasi wanamwita gaidi ila yote kwa yote tulimkabidhi Allah yeye ndie ajuae imepita myaka nane sasa watoto wanabaki kuuliza kwani sisi hatuna baba? Kadogo kalikuwa ndio kamezaliwa kengine kalikuwa na myaka miwili na nusu
@ANGELUSLIJUJA
@ANGELUSLIJUJA 3 күн бұрын
Uhu shekh ANAJUWA VITU kidogo KILA WAKATI WA KALIBU na uchaguzi WATU wanauw KUPATA kiki AQLIN AQLIN MWANGOSI SANANE shekhe kajuwa MBINU zao
@ahmedomar3020
@ahmedomar3020 2 күн бұрын
mchungaji gani mwizi huyoo
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 4 күн бұрын
Mchungaji feki yule mganga njaa. Hakuna nabii wa tanganyika hapa yule shetani tuu.akamzimee mama yake alomzaa. Halafu asiseme Wakristo ajiseme mwenyewe na mahana yake ya kishenzi na kishetani. Ashughulikiwe huyo kibaraka wa Chadema chama cha Mtei na mbowe
@Elecovid
@Elecovid 9 сағат бұрын
Ww mpinga kristo acha kutafuta kiki
@AthumanKinyange
@AthumanKinyange 4 күн бұрын
Huyo mtume mjing a ametoka wapi hana elimu hata kidogo huyo mchungaji ni shetani mbaya sana
@MoshNtabwenke
@MoshNtabwenke 4 күн бұрын
Mwaipopo acha njaa
@ndimizarohomtakatifurichar9802
@ndimizarohomtakatifurichar9802 5 күн бұрын
Sasa shehe unataka watu wakitendewa ubaya wasiseme
@firo0ozdawah378
@firo0ozdawah378 4 күн бұрын
NJIA aliyotumia kufikisha ujumbe si SAWA
@firo0ozdawah378
@firo0ozdawah378 4 күн бұрын
Anastahili kuchukuliwa hatua za kinidhamu ILI ajifunze NJIA za ufikishaji KATIKA nidhamu hususan ukimuongelea MKUU WA NCHI RAIS
@hamisachacha8104
@hamisachacha8104 4 күн бұрын
Huyu nabii mtanganyika ametendewa ubaya gani zaidi ya kujawa na ibirisi wa uchonganishi
@dudejuma
@dudejuma 4 күн бұрын
Ati Rais wetu mpenzi wakristo wamzomee, hivyo huyu jamaa anajua kwamba ametutusi watu wengi Tanzania? Mshenzi sana huyu gay.
@RashidShedaffa-v9x
@RashidShedaffa-v9x 3 күн бұрын
Huyu "nabii"anaongea upuuzi mtupu. Uchochezi wako haufai na hauna faida kwa nchi. Nabii kama huyu ni wale Wanaowanyoa wa mama maeneo nyeti hadharani katika baadhi ya makanisa. Serikali iwe makini nao.
@user-sc4ql5kf9v
@user-sc4ql5kf9v 7 күн бұрын
Wafaham tu nasisi waislam tuna yaona matusi yao
@SHUKURUMahiki
@SHUKURUMahiki 7 күн бұрын
Mwaipopo dereva wa gari ndio alieijulisha familia dereva wa gari ndie anaemfaham huyo askari
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 4 күн бұрын
Mama makanisa yote yasioeleweka funga mbwa hizi zinachochea machafuko
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 3 күн бұрын
Utumbo tu hapo sio dini uwajibikaji hapo dini yoyote hausiki sasa yule mama atoke mambo yamemshinda
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 5 күн бұрын
Wewe sitaki hatanikusikilize nimekuhama utanipa majalibu.
@ShekhMufyd-mn9zn
@ShekhMufyd-mn9zn 4 күн бұрын
Wakristo mbona mnakimbia ukweli kama inauma chomoa ukweli ndio huo
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 6 күн бұрын
Njaa.itakuuwa.
@JohnArobogast
@JohnArobogast 3 күн бұрын
Kwahivyo unamaanisha kwamba uislamu ndio dini bora au
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 3 күн бұрын
Kwa hiyo mtu akiuwawa sio damu wewe ni zuzu hatutaku kuwawa hata mtu mmoja sio kuu.ia tunataka tufe..
@user-mg6hn6os6y
@user-mg6hn6os6y 4 күн бұрын
Huyu shekhe anajuwa kuwa Samia ameshindwa kuongoza nchi.Snasimama na Samia sababu ni Muislamu mwenzake.
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 4 күн бұрын
Kwani shida iko wapi wewe so usimame na Papa ili uolewe
@lawskuli9876
@lawskuli9876 4 күн бұрын
Huyu ni nabii na mtume mchonganishi
@lamecklugodi6472
@lamecklugodi6472 4 күн бұрын
Haiwezekani usalama wa Taifa wateke mtu alafu wakamuue?hiyo haiwezekani wachunguze ndani ya chadema
@waziriabasi9575
@waziriabasi9575 4 күн бұрын
Hi nikwanini huyo mchungaj had leo hajakamatwa
@AlexMlaba
@AlexMlaba 7 күн бұрын
Kwani alitekwa mafichoni au mbele za watu
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 3 күн бұрын
Ww mchungaji ni mchumia tumbo tu
@abdulhakimhassan1795
@abdulhakimhassan1795 3 күн бұрын
Acha unafiki
@lamecklugodi6472
@lamecklugodi6472 4 күн бұрын
Hawafai na ni wahuni tu
@dudejuma
@dudejuma 4 күн бұрын
Wewe si mtume, wala si nabii. Wewe ni mbwa shetani maluuni mkubwa. Na Allah akuhukumu hapa hapa duniani. Hicho ni kitabu cha dini gani? (Yeremia 8:8).
@ahmedomar3020
@ahmedomar3020 2 күн бұрын
huyoo anataka viboko
SHEIKH PONDA ASHAMBULIWA NA MUISLAMU
42:11
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 3,2 М.
TANZANIA YAINGIA BALAA SHEIKH KUBATIZWA NA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD
43:48
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 20 М.
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍 @Mikecrab
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 37 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН
RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA
27:22
SK Media Online TV
Рет қаралды 35 М.
MCHUNGAJI MBEYA AWATAKA WAKRISTO WOTE WAWE WAISLAMU
32:37
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 1,9 М.
WATEKAJI WATU TANZANIA SASA HAWA HAPA
29:46
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 7 М.
MCHUNGAJI ALIE TUKANA QU'RAN SASA YAMKUTA
39:17
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 72 М.