Hosted by: Nassor Bin Shabaan Guest: Sheikh Salim Barahiyan الجواب الكافي {Jibu lenye kutosheleza} RADIO IHSAAN FM TANGA, TANZANIA ANSAAR MUSLIM YOUTH CENTER
Пікірлер: 52
@kassimmanaramalika85922 жыл бұрын
Bismillah maishaallah Shukran Sheikh
@jainaboman89524 жыл бұрын
Shukurani shekhe nimeelewa allah atuongoze wote
@ashasimai93914 жыл бұрын
Namuomba Allah atujalie tuwe ni wenye kuswali swala za ucku kwa khushuui
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh,Sheikh Allah akubarik akuzidishie kheir na neema na barak na mwisho mema pepon.ameen Mie naomba kama kuna kitabu naweza kusoma ili nipate kufahamu vizuri,subhaanah Allah kdg nimekuwa mgumu wa kuhifadhi Allah anijaalie niwe na fahamu ameen.
@Pedeshee014 жыл бұрын
Wa alaykum salaam kitabu gani Ukhty?
@nyotanjemaingarayo53844 жыл бұрын
Nishawahi kukisoma kitabu inaitwa swala ya tasbih vipo vitabu vyengine sala za sunna
@sitysaidmwachipanga1984 жыл бұрын
Shukran jazzaka Allah kher
@abdulimaliksalim72514 жыл бұрын
Tunaomba no. zake tafadhali atusaidie majibu inshaa Allah
@zuwenamohamed13274 жыл бұрын
In Shaa Allah
@abuuyusra39203 жыл бұрын
Ma sha allah
@abdulimaliksalim72514 жыл бұрын
Allahu a'alam
@sadasada12916 жыл бұрын
shukran san Allaah Akuongoze vyema uzdi
@kahasosaid23435 жыл бұрын
shukran
@ommyaasir77595 жыл бұрын
Axante
@nuiasadiki63425 жыл бұрын
shukuran
@allymbaruku69305 жыл бұрын
ma sha allah
@rahmaramla70305 жыл бұрын
Jazala Allahu kheir
@fatmaabdilahi10075 жыл бұрын
Shekhe shukran sana
@husseinsham9335 жыл бұрын
Hellow
@bboykianipowerandtrickscom22915 жыл бұрын
Unatumia jina gan instagram
@ashurasaidi30384 жыл бұрын
Assalam aleykum mi naomba kuuliza hii radio IHSAAN kwa dar inapatikana kwa masafa gani???
@ashuashu38435 жыл бұрын
Nisamehe Sheikh wangu ni pale mwanzo tu nilivyokuwa nazikiza ila nimeendelea kuisikiza sheikh wangu.
@mohamedmtinda76403 жыл бұрын
DdDdddddd
@ashuashu38435 жыл бұрын
Mara 15 ya mwanzo sheikh,subhannah Allah niliona kama umekosea maana 300
@twalibuwaziri60844 жыл бұрын
sawa lakini katika maongezi baadae alikumbuka kuitaja ya kwanza 15
@fadhilmandaliabdalla67362 жыл бұрын
Inaswaliwa wakati upi, mchana au usiku na ni saa zipi? (Swalat Tsbihi)
@maryamalimussa88433 жыл бұрын
Je unakaa tahiyatu ya mwanzo na kusoma au unaendelea moja kwa moja na tahiyatu unakaa ya mwisho tu?
@faridaalihemed12765 жыл бұрын
Assalam alaykum naweza kupata namba ya uyo ustadh
@ruqaiyyawaziri42875 жыл бұрын
Farida Ali Hemed inatajwa mwisho ckiliza vzur
@ashurasaidi30384 жыл бұрын
Assalam aleykum mi nilikuwa naomba kujua radio hii dar es salam inapatikan kwa masafa gani????
@eliamanisenkondoronald17055 жыл бұрын
Subhaanallah, Kwakua ALBAN Kaikubali Nanyi Mumeikubaliiiiiiiiii?? Kweli Mawahabi Ni Vipofu Wenye Utindio Wa Ubongo
@suleimanshaban54194 жыл бұрын
Hapo ndiyo waislamu tunapofeli hatuna kauli nzuri zaidi ya kukashifu
@fatmababaz65735 жыл бұрын
Asalam aleykum,swala ya tasbih ina wakati maalum au wakati wowote unaeza kuiswali??
@rakbinhemidi39925 жыл бұрын
Waaleykum salam warammatullah wabarakatu fatma babaz kwanilivo elewa mimi mda wakuswali swala iyo ni kuanzia asubuh baada ya kuchomoza juwa na mwisho wakuswali ni kabra ya azuhur ndipo inaisha swala iyo kwasiku iyo mpaka kesho tena
@maryamothman77245 жыл бұрын
Swala ya tasbih inaswaliwa baada ya swalatu ishaa tuu
@ruqaiyyawaziri42875 жыл бұрын
Jamani swala ya tasbihi mda wowote ila ya dhuha ndio baada ya kuchomoza jua kutoka swalat fajir na kabla haijaingia dhuhur
@juliethemmanuel61713 жыл бұрын
Asalam alaikum nashukur Sana nazid kufaham mengi
@juliethemmanuel61713 жыл бұрын
Naitaji mafunzo Mimi nimesilim ata mwezi sjamaliza naomba ushilikiano wenu