Je, Unataka kujua kama Mwanaume wako anakupenda? Tazama hii video.

  Рет қаралды 42,431

Mbeki TV

Mbeki TV

Күн бұрын

Пікірлер: 217
@ShubiraCostac
@ShubiraCostac 7 ай бұрын
Umetufungua macho 😂wanawake wengi wanaishi bila kupendwa ,ila wanaishi kwa sababu wamewekeza nguvu zao katika kujenga nyumba na hao wanaume,na wengine umri umeenda wanaona bora wamalizie maisha yao hapo hapo,
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Hakika
@Tatufadhili-ud6se
@Tatufadhili-ud6se 4 ай бұрын
Mashallah somo zur nashukur nipo maali sahihi mungu akuongoze uzid kutufunza mengi
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Amina mpendwa😊🙏
@LightnessMnyanga-uj4yx
@LightnessMnyanga-uj4yx 3 ай бұрын
Ananijali zaidi mimi, kwakwwli yote uliyosema ananifanyia asante Mungu, naomba Mungu azidishe upendo wetu
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@LightnessMnyanga-uj4yx amina🙏😊
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 ай бұрын
Umesem kweli matendo yanaongea kuliko maneno naaam 😍😍
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Hakika
@DevothaDomican
@DevothaDomican 9 ай бұрын
Daaah Kaka mungu akubariki umenifungua masikio yangu laiti ningelijua mapema Ningeachana nae kabla atujakaa mda mrefu lakn nimeachana nae xio mda mrefu ni ngumu kumsahau
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Kumsahau sio lazima wala mateso, muhimu umejikumbuka mwenyewe. Cos kama now umejikumbuka na kuelewa unachostahiri basi haijalishi ata kama utamkumbuka cos ata ukimkumbuka bado utakumbuka hakuwa mtu sahihi so kumkumbuka kwako hakutaathiri kujikumbuka kwako.
@GlorySamwel-b7e
@GlorySamwel-b7e 11 күн бұрын
Asante sana broo nmejifunza na nmeweza kumove on
@Bintmwafurani
@Bintmwafurani 11 ай бұрын
Jamani Asante sana kaka balikiwa mno mpenzi wangu kalibu dalili kadhaa yupo nazo na nimefurahi Kupata ufumbuzi wa maswali niliyokuwa nikijiuliza kuhusu yeye ni wakati wangu sasa wa kuzidisha upendo zaidi ili ifike lengo 🎉🎉🎉
@mbekitv693
@mbekitv693 11 ай бұрын
Woow hongera sana😀👏
@rayhans-h9b
@rayhans-h9b 7 ай бұрын
jamani mafundisho mazuri sana Ahsante ❤
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Karibu saana
@OptimisticStar-yz1yn
@OptimisticStar-yz1yn 5 ай бұрын
Mimi wangu tulipokua tunaanza nilimkuta anasoma kwaio tukawa tunaongea mda wote lkn alipokuja kupata kz yani amebadilika kumtafta mpk nianze mm na nikianza kumtafta kujibu km nilimtafta asubui atanijibu mchana na nikimuuliza kwann anasema yuko bize sana na anachoka sana na kuna wakt namuona online anasema uwa azimi data na kuna wakt nikimlalamikia kuusu kubadilika kwake kuna mda mwengne ajibu au mda mwengn ananijibu kunambia yuko bize sana na niwe na subra kila kitu kitakua sawa
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Pole sn. Kuna somo nimeongelea Kwanini watu upunguza hamu ya mahusiano Ebu litafute lipo hapa katika video zangu. Litakusaidia sana.
@maryamChumas
@maryamChumas 2 ай бұрын
Pole sana dear❤
@JasminiNkusa
@JasminiNkusa 2 ай бұрын
Naomba no za kujiunga na darasa lako kaka
@JasminiNkusa
@JasminiNkusa 2 ай бұрын
​@@mbekitv693Naomba no za kujiunga na darasa lako kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@JasminiNkusa 0659152333
@ShkaChibu
@ShkaChibu 4 ай бұрын
Mmmh namshukuru mungu wangu ananipenda jaman jap sikai nae hila Ana bahabat ya kwel Kansas namuomba mungu azidishe upnd zaid
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@ShkaChibu amina 😀🙏
@LuciaPhinias-wy3do
@LuciaPhinias-wy3do 6 ай бұрын
Hongera❤❤unafundisha vizuri
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Asante sn mpendwa
@JudithiFerdinand
@JudithiFerdinand 3 сағат бұрын
Asant kwa ushauri 🤗
@ZahraYahya-lh2lb
@ZahraYahya-lh2lb 10 ай бұрын
Nice brother i get thing through your saying
@mbekitv693
@mbekitv693 10 ай бұрын
Good👍
@BurureMarwa
@BurureMarwa 2 ай бұрын
Asante sana sasa nimejua niko katika penzi gani
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@BurureMarwa good
@abbymalima9609
@abbymalima9609 4 ай бұрын
Mungu nisaidie nimpate mtu wa namna hiii🙌🙌🙌
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@MarySalama-l2i
@MarySalama-l2i 6 ай бұрын
Asante sana kaka yng ila mm nina swali je ikiwa kama mpnz wako anakupenda ndio tena sana lkn anashindwa kutokuongea na baadhi ya marafiki zako ambao washawai kukusema ww vby mbele yake japokuwa alikasilika lkn bado anaongea nao je huyo ni sahihi 😔
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Yes sio mbaya
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Hakika
@irinekadzo6579
@irinekadzo6579 2 ай бұрын
Ubarikiwe kaka kwa somo zuri
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@irinekadzo6579 amina amina
@SaraMsawila
@SaraMsawila 6 ай бұрын
Axant xana brother mungu akupe maisha malefu zaidi uzidi ku2fungua zaidi wanawake mungu akubaliki xana nimejifuza ki2❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la whatsapp tujifunze pamoja🤝 0659152333
@RichardMustafa-v1i
@RichardMustafa-v1i 5 ай бұрын
Asante San kak angu mwenyez muu akubalik san
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Amina amina
@silviafurah9172
@silviafurah9172 7 ай бұрын
Asante kwa mafundisho be blessed
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Asante sn mpendwa 🙏
@Jokha1Jokha
@Jokha1Jokha 2 ай бұрын
Alhamdulilah mume wangu ananipenda
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@Jokha1Jokha mungu awabariki😊🙏
@Komdomhando59
@Komdomhando59 7 ай бұрын
Kwel kabisa kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Hakika
@FarajaFighter
@FarajaFighter 5 ай бұрын
Ahsante kaka umenifunz kitu
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Good
@maryamChumas
@maryamChumas 2 ай бұрын
Shukran sanaaaa ❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@maryamChumas karibu tena
@MailatiHatibu
@MailatiHatibu 3 ай бұрын
Nipe ushauli jaman.mm mwanaume wangu nampenda sana lakini yeyeyupobize sana anijali kabisa kunitafuta tuu mtihani
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@MailatiHatibu pole sn
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@MailatiHatibu ni mumeo?
@MariamCalyx-ju7jv
@MariamCalyx-ju7jv 5 ай бұрын
Thanks dear🎉👏👍
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu
@NancyKadzo-jn9ws
@NancyKadzo-jn9ws 5 ай бұрын
❤wow wajua kufunza wallahy
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Asante sn😊😰
@UpendoLangasani-v6u
@UpendoLangasani-v6u Ай бұрын
Somo zuri sana
@GladysWanzala-jh6ig
@GladysWanzala-jh6ig 7 ай бұрын
Asante kaka,❤❤❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu👏
@ZASTAMWE
@ZASTAMWE 9 ай бұрын
😅😅asante kaka kumbe na mimi nipo kwenye mahusiano ambayo yanaeleweka yanahusiana na nini😅😂❤ waoooo asanteee kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Karibu sn😀
@BalqeesSaif-s7b
@BalqeesSaif-s7b 8 ай бұрын
Assalam aleykum ​@@mbekitv693
@BalqeesSaif-s7b
@BalqeesSaif-s7b 8 ай бұрын
Naomb unixaidie mie ninampenz Wang Niko nae MBL xan lakn naon xmuelew kwa xax coz 2napendn
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
@@BalqeesSaif-s7b Afrika hatuwezi mapenzi ya mbali mpendwa nyie endeleeni na mahusiano achaneni na mambo ya mapenzi huo ni uongo tu, endeleeni na mahusiano muda ukifika wote mkamaliza mambo yenu mkaja kukutana mtaendelea na mapenzi
@BalqeesSaif-s7b
@BalqeesSaif-s7b 8 ай бұрын
Et kak IV mpenz anaekupend anawez ikafk wiki ajakutaft ap kun mapenz yakwer
@SaraFurahisha
@SaraFurahisha 9 ай бұрын
heee kaka jaman apo kutambulishw umenigusa jaman me natambulishwa sana ad naogop
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Mmefikia wp
@TeddyKombe-u8u
@TeddyKombe-u8u 7 ай бұрын
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
❤️❤️
@HalimaOmari-x8e
@HalimaOmari-x8e 4 ай бұрын
Kweli na mshukuru mungu jamani wakwangu anavo vote vizur ulivo visema
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Oh Mungu awabariki 😀🙏
@Marialadslausmetsela
@Marialadslausmetsela 9 ай бұрын
Kaka mimi kuna mwanaume anaonyesha dalili za kunipenda lakini kila nikimwambia atafute muda tukae mahali tuongee anasema yuko bize lakini kulingana na kazi yake yuko bize nifanyeje ili awe karibu na mimi
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Usifanye lolote acha muda uamue cos muda ni jambo mihimu sana katika mahusiano so heshimu muda, ukitaka kwenda nnje na muda utalazimisha na itakugalimu. So relax kama anakupenda atatafuta njia ya kukufikia
@JoyceWilliam-ee4em
@JoyceWilliam-ee4em 9 ай бұрын
​@@mbekitv693Asante
@aishaignatus2475
@aishaignatus2475 7 ай бұрын
Wangu anisaidii adi nimeamua nimuache nipo sahihi
@doctersalmini9704
@doctersalmini9704 7 ай бұрын
Hello assalaamu ghalaykum kaka mm nilifunga ndoa na mume wangu,ila ajawahi kunitambuliza kwao,,mm ni mkenya tulifunga ndoa lakini sijui ndugu yake at moyo.tulienda tz na yy ila tunayizi nyumba ya kunda,jee nifanye ajee​@@mbekitv693
@maryamChumas
@maryamChumas 2 ай бұрын
Je kama mmeanzisha mahusiano lakin mpo mbl nchi tofaut itamjuajee mtu huyu❤❤please help me kaka❤❤❤
@levajob3326
@levajob3326 4 ай бұрын
Asante 🙏💒💃💃💃💃💃
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@levajob3326 karibu sn
@HadijaKidunda
@HadijaKidunda 10 ай бұрын
Daaah!my future husband ❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 10 ай бұрын
Mungu awabariki🥰🙏🏼
@Khadijah-eq2oe
@Khadijah-eq2oe 10 ай бұрын
❤❤❤❤❤ nmjifunza
@mbekitv693
@mbekitv693 10 ай бұрын
Good🤝
@ernestaalphonce1952
@ernestaalphonce1952 7 ай бұрын
Kaka nashukur sana balikiwa
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Amina🙏
@AngelShedrack-q4u
@AngelShedrack-q4u 6 ай бұрын
Ulikuwa wap siku zotee broo
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
😀 Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
@vivianfransis2473
@vivianfransis2473 2 жыл бұрын
Asante San kwasomo zuri
@mbekitv693
@mbekitv693 2 жыл бұрын
Karibu sn vivian😊🤝
@mbekitv693
@mbekitv693 Жыл бұрын
nitext
@fatumakale7004
@fatumakale7004 7 ай бұрын
Thanks so much
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Karibu sana
@NsabimanaAnge-lj4qp
@NsabimanaAnge-lj4qp 5 ай бұрын
Mbona kama sipendwi 😢
@GracePendo-nc1el
@GracePendo-nc1el 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂subiri wakati wa mungu ukifika hautakuwa na wasiwasi 😢😢😢😢😢jitoe apo
@Kipepeocheusi
@Kipepeocheusi 4 ай бұрын
😂
@GracePalangyo
@GracePalangyo 2 ай бұрын
Tupo wengi dia..
@davidnjile4995
@davidnjile4995 2 ай бұрын
😂😂😂
@MayasaJuma-kk1zi
@MayasaJuma-kk1zi 3 ай бұрын
Hilo la4 acha nicheke mie😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@MayasaJuma-kk1zi eeh😀
@greacembwnwilibati8197
@greacembwnwilibati8197 Ай бұрын
Mpenzi wangu mm simulewi yaani unatumia msg ajibu Kwa alaka adi YY atakapo jisikia kujibu ukimwambia anakwambia ww unawsisi gani mm nakupenda lakini mm Moyo wangu unauma sana 😢😢😢😢
@mbekitv693
@mbekitv693 Ай бұрын
@@greacembwnwilibati8197 tafuta somo hapa linaitwa lugha 5 za mapenzi.. litakufaa sana.
@SubiraLuhanga
@SubiraLuhanga 3 ай бұрын
😂😂😂😂eti mbona kama hupendwi umenichekesha jamani
@ChristineMwasaru
@ChristineMwasaru 8 ай бұрын
Na Je mwanaume akikwambia bado ujani jua vizuri au kumelewa vizuri utafanyaje
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
inategemea na sababu ya kukwambia haujamjua, cos sio kila kitu utajua kuhusu yeye lakini pia sio kila kitu hautojua kuhusu yeye, hivyo itategemea na nini kimetokea hadi anakwambia hivyo kisha link hiyo sababu na namna unavyomuelewa-
@JudithNgela
@JudithNgela 6 ай бұрын
Nikauli inayofanya akufikilishe kwenye uongo wake hakuna chakumjua vizuri hapo
@MarimSali
@MarimSali 5 ай бұрын
Wangu aliniowa aswa na watoto tumezaa watano mmoja mola akamchukua lkn mm apenda sana akiwa aribu yangu atakama atuna kitu lkn ujickia furaha sana lkn akapata kaz mjini kujakwake nyumbani ni baada ya miezi mitatu na ucku saa nne ndio yuaingia na pia atokaa atatoka akaruguruke mpaka saa sita ucku na aligajiri yuaondoka akidai kuwa anakazi zawatu naapo akija ata zawadi ama lada cm kamauma kaunayo bc akuna zawadi na ukijarbu kumwambia Ana sema vtu vyenu viko gali sio kama zetu kila cku nguo zetu ziko gali na ukikaa nae anasema nikipata mke mm naowa mke wapili sasa unashindwa mm moja zikogali je tukiwa wawili na watoto wakike pia itakuaje na mm cke wakukaa tu la napenda sana kufanya biashara ndogo ndogo lkn badae ananifelisha koz nikifanya biashara bc pesa ya matumizi autoiona tena itskua kila kitu tumia izo mpaka atoendelea tena ushauri wangu akipate pesa autaki ukifate wake atuendelei kila cku chanza upya nimeomba talaka nimechoka nikimwambia kuhusu talaka animbia umeshapata mwengine na pia umenichoka umasikini wangu nanikianga lia mm nimempenda koz ni masikini pakulala pia Ana nashidwa cjui ni mwanaume ainagani mpaka nikaamua kuondoka nikaenda saudi kutafuta nikamuacha ajifunze vizuri mm ni nani nanina umuimu gani nilipofika saudi nikamtumia makosa yote na nika mwambia ctokuamini tena pesa zangu cmpi tena cm yake ikaaribika ckumnunulia mpka akaniambi nisamehe nilikuchiti lkn kilicho nikuta ata ctakitena najipanga sasa namaisha yangu na bado niko saudi yy alisharudi kijijini tuliko kua tuna kaa sasa sijui ni vp ebu ni fumbulie uyu mwanaume niwaaina ngani pz naomba jibu
@shedy_marie
@shedy_marie 7 ай бұрын
Mm wangu ni muhuni sugu nimejua juz nataka kuachana nae polepole
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Mmh
@veronicamrukwamba9094
@veronicamrukwamba9094 6 ай бұрын
Ex Wangu tuliachana akaanza mahusiano mengine ila kila siku ananitfuta huyu nimuache kwa njia gani
@shedy_marie
@shedy_marie 6 ай бұрын
@@veronicamrukwamba9094 sikushauri umwache km anakupenda atabadilika tu mpenz la moto
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
@@veronicamrukwamba9094 Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@PaulinaMeshaki
@PaulinaMeshaki 3 ай бұрын
Duh an hap cjui me nifanyaje sasa
@Devotha-h5m
@Devotha-h5m 7 ай бұрын
Mie wangu nimkali sana kunawakati adi namuogopa asa linapokuja swala la kazi nimkali pia anawivu sana adi celewi je ananipenda au ananiitaji
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Kuna video nimeweka hapa inaitwa mambo 5 ya kuzingatia kabla haujaingia katika mahusiano hiyo inakufaa sana ukiitazama itakusaidia sana
@StellaKugomwa
@StellaKugomwa 3 ай бұрын
Je anayependa kuongea vi2 bila vitendo inakuwajee ivooo
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@StellaKugomwa fata matendo zaidi na sio maneno.
@frida-oi6kw
@frida-oi6kw 28 күн бұрын
​@@mbekitv693mfano wa matendo je ni kama yapi
@glorymlawa7078
@glorymlawa7078 7 ай бұрын
Jamani wakwangu mwongo mpaka nukta😂😂
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Then jibu umepata hapo
@NasmaKaunga
@NasmaKaunga 5 ай бұрын
❤❤ wow...
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu kutazama video yangu mpya
@DinahPeles
@DinahPeles 28 күн бұрын
Mbona mwanaume anaoa bibi wawili ama watatu.
@CelineCharles-m4r
@CelineCharles-m4r 8 ай бұрын
Mm anasema kua ataki wanijie ili wasiseme ety iyo imekaaje japo kua kanitambulisha kwawatu kadhaa
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Kuna video Yangu inaitwa Mambo 5 yakuyajua kabla haujaingia katika mahusiano, itafute hiyo video ipo hapa hapa hiyo itakusaidia sana.
@AnnaMushi-d3g
@AnnaMushi-d3g 7 ай бұрын
Kaka mm na kijan kwenye mahusian lakin yupo mbali ila hanataka kua haribu lakin hajali ukimuomba kitu hawez nisaidia kam nipesa anasema sina. Ila ananiqmbia ananipenda saaaan naomba nishaury kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Watanzania wengi hatuwezi mapenzi ya mbali so hivyo ndivyo yatakavyokuwa, so ni juu yako sasa if utapendezwa na namna hiyo basi Sawa but usitegemee tofauti na hivyo
@HalimaOmari-x8e
@HalimaOmari-x8e 4 ай бұрын
Ilaminaona mwanaume akikukuta bikra yeye ndowakwanza kukuacha ningum sana
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 6 ай бұрын
Ubariikiwe
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Amina🙏. Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
@AaAa-s5k2g
@AaAa-s5k2g 8 ай бұрын
Mm katikahayoyote amewahitu kunitiamoyo kwamba ntafanikiwa lakini hayomengineyote cjafanyiwa na kwakweli nampendasana sijui hanipendi yani hana stori cmtuwakuongea
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Sawa
@RehemaIsingo-zb5gk
@RehemaIsingo-zb5gk 6 ай бұрын
Asante kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tujifunze zaidi na kushauriana😊🤝 0659152333
@salmakiti1517
@salmakiti1517 10 ай бұрын
Asante sana kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 10 ай бұрын
Karibu sn
@venahonwonga710
@venahonwonga710 4 ай бұрын
X wangu ndio naona unifanyie hayo yote
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Naam Asante sana
@mbekitv693
@mbekitv693 2 жыл бұрын
Karibu sn Arafa 😊🤝
@adrianysway357
@adrianysway357 7 ай бұрын
Kaka mm mpenz wang anasema ananipenda na mm nampenda lkn kila napo jarib kumjulia hali anajifanya kuwa bize yan anakuwa bize na kaz zake mara ajal kuhusu ww nitafanyj
@aishaabdahh1957
@aishaabdahh1957 7 ай бұрын
Nasubiri majibu maana suali lake linaendana na la kwangu
@kamarhelo
@kamarhelo 7 ай бұрын
Hakupendi kwa kifupi
@hafidhsalim578
@hafidhsalim578 6 ай бұрын
mie wangu namuona tu na dalili za kunipenda ila hawezi kunitamkia huu mwaka tena nifanyeje
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Sijakuelewa
@annahdamascus
@annahdamascus 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@ernestaalphonce1952
@ernestaalphonce1952 7 ай бұрын
Ww ni mwema sana
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Asante sn🙏
@GraciousSP
@GraciousSP 5 ай бұрын
Wangu nko nae mda mref lakini mamb yake hanishirikish ,pia sometimes hantft lbda awe na ham na mm na mm siko available nfany mm nktk
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Mmh mtihani huo😰
@TiffanyCherotich
@TiffanyCherotich 5 ай бұрын
💝💝wow
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
🥰
@annamarybenjamin5754
@annamarybenjamin5754 4 ай бұрын
Yani mimi ndio niko ivyo kwa mwanaume wangu mimi ndio napenda mpka natamani nipate dawa ya kupunguza atukai pamoja naweza kuonana nae leo tukakaa masaa ata 7 kesho yake tu jamani nakua nimmiss kama tunamwaka mzima atujaonana 😢
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Ahahaha
@BekaNyapala
@BekaNyapala 5 ай бұрын
Np nae mwez mmoj na nusu lkn anatk niend kwao kwa mama akee vp hp
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Sio mbaya ila na Yeye ndio aje kwenu ww ndio unaeolewa sio unaeoa.
@safiasuliman5136
@safiasuliman5136 9 ай бұрын
Daah yamenikuta ayo jmn ataman tena
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Eeh
@NaisoSimon
@NaisoSimon 8 ай бұрын
Kaka naomba namba pliz nataka kuongee na wewe zaidi
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
0659162333
@JoyceMartin-co3fu
@JoyceMartin-co3fu 6 ай бұрын
Kaka Mimi wakwangu ukimpigia sm hapokei sms hajibu lkni moyo wangu hauna waswas nabado nampenda nikiacha nguo yngu kwake aliniambia niache lkn namwambia anirudishie hataki nikipata tatizo anapatwa na huruma namimi yn ananihurumia naanaumia kbsa lkn kinachonishangaza kwann sm zangu hapokei Wala cm hajibu? Nahana mke nisaidie kwa ushaur simuelew naaliniweka waz kwakila kitu narafikiyake mmoja ananijua anakujaga nae ofisini kwetu msaada kk
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
@cecyjohn4746
@cecyjohn4746 2 жыл бұрын
💥💥💥
@mbekitv693
@mbekitv693 Жыл бұрын
asante
@EfrahimMwambande
@EfrahimMwambande 3 ай бұрын
Yan me Wang atasimuelew
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@EfrahimMwambande muelewe sasa
@Hashim-p4d
@Hashim-p4d 5 ай бұрын
I really miss my man 😢😢😢😢
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Yuko wpi?
@emilykwingwa236
@emilykwingwa236 10 ай бұрын
Ahsante kaka
@mbekitv693
@mbekitv693 10 ай бұрын
Karibu sn
@emilykwingwa236
@emilykwingwa236 10 ай бұрын
Ahsante
@nchandzessaid680
@nchandzessaid680 5 ай бұрын
N kama mwanaume una date nae lkn hawez kukueka wazi Kwa Maisha yke
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Kuna somo jipya ishara ya mwaume anaetaka kukuoa ebu litazame hili litakusaidia
@HusnaSalvatory
@HusnaSalvatory 2 ай бұрын
Kaka naomba nitumie Whatsap
@mbekitv693
@mbekitv693 2 ай бұрын
@@HusnaSalvatory nicheki whatsap
@FatmaHassan-gq9sh
@FatmaHassan-gq9sh 4 ай бұрын
Mimi wangu hata haeleweki
@mbekitv693
@mbekitv693 3 ай бұрын
@@FatmaHassan-gq9sh muelewe sasa
@Devotha-h5m
@Devotha-h5m 7 ай бұрын
Kwakweli mie sijui km ananipenda au la
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
Hadi umetazama hii video bado haujui nani anakupenda na nani hana upendo?
@ShubiraCostac
@ShubiraCostac 7 ай бұрын
Unajua kinachoendelea ila unajitoa ufahamu❤
@NemaEmmanuely-ch6ez
@NemaEmmanuely-ch6ez 10 ай бұрын
Ahsant kipenz
@mbekitv693
@mbekitv693 10 ай бұрын
Karibu sna 🥰🙏
@siprinadamas4673
@siprinadamas4673 8 ай бұрын
Kaka mwanume wangu mim nilikuwa nae kwenye mahusiano lakini cha ajabu ananimbia sasivi tuwe marafiki sasivi ataki mapenzi wala mahusino lakini akitaka sex ananitafuta anitafuti mpka nimtafute mim nisipo mtafuta yeye anapiga kimya alafu mim nampenda nifanyeje
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
dah pole sana, nadhani sasa hapo umeshaelewa wewe nani kwake [chombo cha starehe] hivyo akiwa nashida ya kukutumia lazima akutafuta ila shida zake zikiisha hana sababu ya kukutafuta. so maamuzi ni yako uendelee kutumika au ukatae-
@RachelEmmanuel-ff2el
@RachelEmmanuel-ff2el 6 ай бұрын
Kwan inamaana lazima hayo yote yawepo!!
@mbekitv693
@mbekitv693 5 ай бұрын
Karibu katika darasa letu la whatsapp tuzidi kujifunza pamoja na kushauriana zaidi.. 0659152333😊🤝
@NepayaMayombe
@NepayaMayombe 8 ай бұрын
Sasa Kama yupo mbali?
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Africa hatuna mapenzi ya mbali tuna mahusiano ya mbali
@ScholahMarco
@ScholahMarco 6 ай бұрын
😢😢😢😢
@mbekitv693
@mbekitv693 6 ай бұрын
Karibu ujiunge katika darasa langu la whatsapp tupate kujifunza mengi pamoja 0659152333😊🤝
@RahelLwanzali
@RahelLwanzali 7 ай бұрын
Kaka mm naomba nsaidie mpenz wangu kanitambulisha kwao lakn hanisaidii kabsaa ata nimwambie nashda nimzito hapo napata mtihani kimtambua ni mtu wa aina gan huyu
@RahelLwanzali
@RahelLwanzali 7 ай бұрын
Naomba namb yako tafadhar nashda unishauli sana
@mbekitv693
@mbekitv693 7 ай бұрын
0659152333
@Munahi-99
@Munahi-99 9 ай бұрын
anasema yuko bizy Kil wakt
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Then hayupo tayari kuwa katika mahusiano ya namna yako kwa sasa
@hanifamasudi9732
@hanifamasudi9732 11 ай бұрын
Asant kaka😭
@mbekitv693
@mbekitv693 11 ай бұрын
Karibu sn mpendwa🤝
@AngelKitomari-h9w
@AngelKitomari-h9w 10 ай бұрын
Kaka me nishauri kitu nna mpenz wangu atanipigia sm tutachat ataitaji kampani kula na kunywa tutukutana tupige atori ila ikitokea namisis kuwa nae faragha anakua hana mda na hicho kitu ata tukikaa miezi mi2 ye anaona sawa tu kwanini
@mbekitv693
@mbekitv693 9 ай бұрын
Yeye anasemaje kuhusu unavyofikilia
@ingabireshakira9631
@ingabireshakira9631 4 ай бұрын
Huyo shoga😂
@DelilaKazamaso-bq4hy
@DelilaKazamaso-bq4hy Жыл бұрын
Kaka ntumie hii watsap🙏🙏
@mbekitv693
@mbekitv693 Жыл бұрын
nitext
@deboramayaya
@deboramayaya 4 ай бұрын
Wanaume wa hivyo walikufa na corona
@mbekitv693
@mbekitv693 4 ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.
@eamieami
@eamieami 11 ай бұрын
Safi kaka na namba yako
@mbekitv693
@mbekitv693 11 ай бұрын
0659152333
@ErastoAnania
@ErastoAnania 8 ай бұрын
Bc
@mbekitv693
@mbekitv693 8 ай бұрын
Vipi tena😐
@annamnyazi8206
@annamnyazi8206 11 ай бұрын
❤❤❤❤
@mbekitv693
@mbekitv693 11 ай бұрын
❤️❤️
Dr. Chris Mauki: Dalili 5 kwamba upo kwenye mahusiano feki
31:04
Chris Mauki
Рет қаралды 477 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 30 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 14 МЛН
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 12 МЛН
SIFA TATU (3) ZA MUME | DEO SUKAMBI
55:00
Deo Sukambi
Рет қаралды 49 М.
VIASHIRIA 10 VYA MWANAUME MUOAJI - MIN.SUNBELLA KYANDO
24:53
Reality of Christ Church
Рет қаралды 304 М.
WANAWAKE WASIOPENDWA #PART2
29:03
Mbeki TV
Рет қаралды 20 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
NJIA 3 ZA KUMUACHA MTU UNAYEMPENDA.
8:50
Mbeki TV
Рет қаралды 29 М.
MAKOSA YA WANAWAKE #mapenzi #upendo #ndoa #uaminifu #love
36:21
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 30 МЛН