Karibu kutazama pia usisahau ku Subscribe, ku Like, na ku Comment.
Пікірлер: 13
@pamellangonyaningonyani76626 күн бұрын
Umenitia moyo sna kaka
@mbekitv6935 күн бұрын
@@pamellangonyaningonyani7662 ooh good😀👏👏
@user-wy7wn7cf6sАй бұрын
Niko nakijana ambaye alikuja akanambia ananipenda mimi pia kumpenda akanielezea maisha yake aliyo pitia katika mahusiano yake yeye yazamani saii hana mda namimi nikimliza yaani simuelewi kabisa mara hivi mara hivi yaani nimechoka kabisa 😢😢😢 sasa hivi anasema karudiana na mke wake chakushangaza anasema eti ataka bibi yake asaidie watoto wake tuu ila hampendi sasa mimi nachanganyikiwa kabisa nawanatumiana malove malove uko sasa nifanyeje mimi
@mbekitv693Ай бұрын
Karibu katika darasa langu la WhatsApp tuendelee kujifunza mengi pamoja, na kushauriana mambo mbali mbali. 0659152333.